Wanawake wakanisa wavamia daawah mitaani na maswali moto sana mwisho wasema wachungaji wanawapoteza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 66

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +5

    SHEIKH SALIM MAY ALLAH ONE DAY YOU WILL BE A TIME OF YOU TO GOING MAAKAH

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +2

      Inn shaa Allah my dream

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Рік тому +3

      AMEEEEEN kwa Team mzima!
      Allahswt awa wezeshe wao wote.!

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 Рік тому +1

      RIZIKI MTOAJI NI ALLAH LAKINI WAKATI MWENGINE UNAWEZA KUSEMA RIZIKI INATOKA FROM NO WAY UNAJISHITUKIZIA MDOSI AMEKUPA USAFIRI AU AMEKUPA TIKETI YAKWENDA ULIPOKUA UNATARAJIA KWENDA

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Рік тому +3

    Namuombea dua huyo mama anaeenda kufanya resach,Allah amuoneshe njia ya hakki na aweze kuifata

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Рік тому +5

    Maasha Allah.Leo nimefurahi sana ALLAH analeta mashahidi ili watoe ushuhuda kuhusu sehem zake takatifu..Alhamdulillah kwa neema ya uislam.

  • @rabiba
    @rabiba Рік тому +3

    Shaikh Salim Allah akujaalie safari ya Hajj na Umrah inshaAllah🤲🤲🤲 ww na mashaikh ambao hawajapata nafasi ya kwenda kuzuru....na Allah awajaalie ilmu na subra ya kuendeleza daawa na Allah awajaalie IKHLAS....amiin

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому +4

    Maashaallah baarakallah wakristo wamepata somo na huyu dada alie kwenda makkah mpaka huyu mama mary amesema anaenda kufanya research..bila ushindani alhamdulillah to be a Muslim

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +2

    Masha Allah mungu amuongoze mama aingie Islam ishallah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +1

    MUNGU amjalie Dada etu kuiona haki na aweze kuifata amiin

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 Рік тому +3

    MashAllah Allah amuongoze mama amekubali kua amepotea

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Kabisa huwa anahudhulia daawah hapa ila ameanza kuelewa

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +3

    Assallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillah tuko pamoja inshaAllah Allah awalinde na jicho la husda Allah watie nguvu mkazidi kufungua wenzetu macho na kuona haki ulipo inshaAllah kazi nzuri sana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +4

    SISTER IS SO LUCKY TO GET IN MAAKAH BECAUSE MAAKAH IS NOT PLACE FOR HOLIDAY AND IS NOT PLACE FOR UNKNOW MUISLIM TO ENTER EXCEPT MUSLIM ONLY

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Рік тому +1

      She does NOT realise how lucy she is!
      She thinks that the MZUNGU CULT calling itself 'christianity', started in 1611AD, will OKOA her!

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Рік тому +2

    Maasha Allah.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Рік тому +1

    Amiin ya Rabbi MUNGU awajalie masheikh wetu timu yote ya Da'awah ya salim mtaani ifike makkah

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +3

    haha hyo kijana amepatkana;hakuna kipya chini ya jua

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 Рік тому +2

    Mashaalah

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Рік тому +4

    OSHA kwa sabuni namaji kausha kwa tissues unalizia kutayamam.

  • @RamadhanHamisi-t1j
    @RamadhanHamisi-t1j Рік тому +2

    Alhamdulillah

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +4

    DADA ATUU YUPO NABAHATI KUINGIA MJI WA WAMANGA WAKATI NIMKRISTO BAHATI KUBWA SANA KUTOKANA NAMATAJIRI ZAKE HAWAKUWA NA ELIMU NAKUMPELEKA MAANEO YA TWAWAF SABABU NIWAISILAMU TU PEKEAKE NDIO WANAKUBALIWA KUINGIA NDANI MAKAA SABABU PIA ALIYEJENGA AKUINGIA NDANI BAADA YAKUMALIZA SABABU AKUWA NA PERMISSION MPAKA ALIPOSILIMU NDIO AKAINGIA NDANI NAKUONA KAZI YAKE ALIYOFANYA

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому +1

    Jazaakallah khayrii ❤❤

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Рік тому +4

    Mume sahau kuwa ambia ya kwamba, IBRAHIM na Ismaeel ndio walio anzisha kujenga the KA'ABA!
    Na HAPO ndio ibada inao fanyiwa PEPONI na Ma MALAIKA, (vile Biblia inavyo elezaa), NDIO ino fanyniwa na BIN ADAM, hapa DUNIANI!
    TabarakAllah Team na Vijana wanoa support hii Team!
    WaIslamu, musi sahau ku Changia Dawah!
    NA the KA'ABA, ilio katika MECCA, (which is between two MOUNTAINS), ndio Biblia ina eleza,: "ni Mahali ilio CHAGULIWA na Bwana Mungu wako"!
    Biblia, ime kusanywa na Ku TUNGWA na KING JAMES, na Wa Andishi wake 46, in 1611AD, kule ENGLAND!

    • @abcfisheries2865
      @abcfisheries2865 Рік тому +1

      Kweli Kabisa! Biblia ni STORYBOOK ya WaZungu wa England!

  • @Maryam-h4y1q
    @Maryam-h4y1q Рік тому +2

    Mashalla allahmdulilah ❤

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +2

    Subhana Allah wallah hivi nivichekesho vyawakristo walibebewa dhambi natena bado wakonadhambi 😂😂😂

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 7 місяців тому +1

    Allah akulete makkah nakuombea ustadh Salim

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 10 місяців тому +1

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 Рік тому +1

    Assalamu waleikum warahmatullahi wabaraqatu sheikh salim ngugi

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +1

    Asalamu alakumu mashala mungu amulidi kwakilajabo

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +3

    DADA AMEPATA BAHATI SANA KWENDA NA WADOSI WAKE MAAKAH SABABU FUNGU YAKUINGIA PEPONI NI SALAH NISAWA NA FUNGUO YAKUINGIA MAAKAH NI MUISLAM TU SABABU ZAKE KAMA KILA MTU ALIYEKUA NA ASIYEKUA MUISLAM HARUHUSIWE KWENDA SABABU WANGEKWENDA WATU WENGI SANA KAMA UTEMBEZI TU LAKINI MDOSI AU TAJIRI WA DADA AKUWA NAHILIMU NDIO MAANA AKAMCHUKUA DADA MAAKAH NDANI SABABU PIA ALIYEJENGA MAAKAH HAKURUHUSIWA KUINGIA NDANI ALIPOMALIZA KUJENGA AU UKANDARASI WAKE NAKWENDA KUKAGUA AU KUANGALIA KAZI YAKE ALIYOHIFANYA ALIPEWA SHATI KUINGIA NIKWAMUISLAM TU KWAHIO ALISILIMU NDIO AKARUHUSIWA KUINGIA

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +2

    mashaallah ts been long buh am bak

  • @alimaalim2454
    @alimaalim2454 Рік тому +4

    Jennifer leo uko wpi

  • @BabuuSharia
    @BabuuSharia Рік тому +1

    Mashallah

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому +1

    Maa shaa Allah ❤❤

  • @alimaalim2454
    @alimaalim2454 Рік тому +2

    Team sheikh Salim, si hilo jiwe huyu dada alisema ni Hajarul-Aswad the black stone that Allah sent down from Jannah. Ama nimekosea

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Рік тому +3

      Yes, that is the one, but it would be too complicated to explain to these brainwashed people!
      That is why Ustad Salim gave a SIMILAR example of a similar STONE by Joshua, in the Bible!
      THAT example by Ustad Salim is perfect.

    • @alimaalim2454
      @alimaalim2454 Рік тому +2

      Okay noted

    • @samxx411
      @samxx411 Рік тому +2

      ​@@Sai.Mo69umesema kweli kabisa

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Рік тому +1

      @@samxx411 👍👍

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому

    Hapo mnaongelea habari za agano la lake. Baada ya Yesu Kristo kuzaliwa ndipo ufuasi wa Yesu Kristo ukatokea baada ya Kristo kufa Msalabani na kumwaga damu yake iondoayo dhambi za binadamu kwa imani.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому

    Zamani waumini wote walikuwa wanaingia sinagogi yaani msikitini. Kila dini iwe Mwislam awe Mkristo wote walitumia majengo hayo kwa kuabudu kwa mda husika.
    Ila kwa sasa kila dhehebu wana majengo yao. Makanisa kwa Wakristo na misikiti kwa Waislam.
    Mariam hakuwa Mwislam.

  • @bausifarouk1798
    @bausifarouk1798 Рік тому +1

    Warabu huko hawajui kiswahili

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 Рік тому +2

      WAARABU PIA WANAJUA KISWAHILI MBONA NDUGU ZETU WAKENYA WAPO WENGI ARABUNI WANAFANYA KAZI QATAR SAUDIA OMAN NAKADHALIKA KWAHIO WAARABU WANAZUGUMZA KISWAHILI

    • @bausifarouk1798
      @bausifarouk1798 Рік тому

      @@jumahamad9463 sawa ndugu,but yule mschana ndio anasema aliwauliza maana ya Bismillah kwa kiswahili hakujulishawa huko s.arabia.

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Рік тому +1

      mombasa waarabu wanaongea Swahili LAKINI uarabuni hawaongei but baaadhi ya maneno yao mengi niya kiswahili

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      ​@@sheemaryamswadkta dada👍👍💯💯

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Рік тому

    Dunia ni yetu sote. Macca si kwa Waislam peke yake . Hata kwa Wakristo pia maana Ibrahim na Hajra waliabudu hapo.