EKARISTIA | Tumaini Swai | (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao unatukumbusha kuzitafuta neema za Mungu katika Ekaristi.
Wimbo: Ekaristia
Mtunzi: Tumaini Swai (FM)
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe
Ni maumbi kweli ya mkate na divai, yaliyo geuzwa kuwa mwili na damu ya Yesu✨🎶❤️
Nyimbo zenye St. Paul's Students choir wameimba na Waalimu kutoka TZ are of great quality...Nyimbo ambazo wakizicheza unaskia kweli huo wimbo una uzito wake.....Congratulations our students choir you have advanced very much.
Thank you very much🎉
Best quality..in all aspects including their attire
@@franciskironjo9369 Very true.
Wimbo mtaamu huo,nimeucheza ndani ya basi nkielekea Kampala,abiria wangu wamependezwa tu saana. Hongera kwenu @Tumaini Swai
Tuijongeeni meza ya Bwana ✨🎶❤️
Good voices
Hongereni sana kwa sauti nzuri
Twendeni wote tukampokee, ili pia yeye atupokee. Wimbo mtamu kweli🎉
Best part harmony
Wimbo tamu mpaka inaingia kwa roho ❤
Hongera mko vizuri mmetulia safi sana mmbarikiwe sana wimbo ni mzuri.
Mambo karibu inachemka❤❤
Nyimbo tamu sana Wanakwaya wa Mt. Paulo, Chuo Kikuu Cha Nairobi. Ekaristia ni mwili na damu ya Bwana wetu. Pongezi sana Wanakwaya na mtunzi Tumaini Swai.
Tazama kwaya inavyopendeza😊..Aki ya Mungu chonjo Sana🤌🙏
TZ studios are the best, heko Kwa UON kwa kazi nzuri mnayofanya, the flow of the song, dance styles etc❤❤
Nice song ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💪💪
Swai at his best, nice composition, and good organist.
Vijana wanakwaya..mbarikiwe..
Hongereni WANAKWAYA WA st. Paul university of Nairobi mungu aedelee na KUWABALIKI na kipaji cha uimbaji mueze kumtukuza milele Amina.
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 absolutely beautiful ❤️
😍 Amazing
Chemchemi ya mziki mtakatifu. Safi sana aise
Wow it is wonderful ❤
Beautiful song, good for tomorrow the Corpus Christi Sunday 🎉🎉
Job well done 🙏 ni Mwili damu ya Bwana wetu Yesu
🎉🎉🎉🎉🎉The song is amazing 👏 😍
Hongera sana Wanakwaya wa Mt. Paul II ,Chuo kikuu Cha Nairobi❤ Twendeni wote tukampokee
One of my best downloads.....much love all the way from the Netherlands ❣️.....
Organist mwalimu Tumaini swai is on onother level congratulations
An amazing song.. twendeni tukampokee
Kazi nzuri sanaa kaka swai hongera sana kwa utunzi wako
Nice song 🔥
Ekaristia, Corpus Christi 🙏 St Paul's Students' Choir Doing it Best🎵
Bila mbwembe na kelele, super projected voices and angelic 😊
Hongereni sana kwa wimbo mzuri🙏🙏🎶
Ekaristia 🔥🔥🔥
Bonge la kazi 👌👌👌
Evangelizing through singing
Long live St Paul's Students Choir
Asanteni kwa wimbo mzuri barikiwa ❤❤❤
The best song I have heard in a while. Perfect composition, audio & video. The modulation 4:20 is lovely. Congratulations 🎉
Beautifully done❤
Nawapenda nyote
Keep it up🎉🎉🎉
The song is amazing, video very good quality, awesome
❤
Keep going 💪🙏🏽🙏🏽
Shukrani zangu za dhati ziwafikie enyi Wanakwaya wa Chuo kikuu cha Nairobi .Heko kwenu 🎉
Wow....what a wonderful composition begining with instruments voices and super vocals hongera Sana tumaini swai and the entire team❤❤❤
Nzuri👏kama naweza kupata nota naombeni tafazali
Wimbo mzuri👏👏 Mungu awabariki zaidi na zaidi
MW Swai nakuelewa sana kaka endelea na utume wakumsifu mungu kwa njia ya nyimbo
Good melody and the message congrats Wana st Paul's for the good work
Imeandaliwa kwa upendo tuende tumpokee🔥🔥♥️
Kazi safi🎉
Asante sana kaka
Mungu azidi kuwabariki♥️
Wimbo mzuri sana... Utunzi mwema
Thanks UON. St. Paul choir. I have repeatedly played this song since 19/6/2023
Amazing job ❤❤
Hii imeweza .....
The blending of the voices👍👍👍....
Thanks Sir Swai and the entire choir....
It is finally here. Great Communiion hymn.
Hongera sana kwenu ❤❤❤❤❤
Nyimbo nzur xan hongeren kwa utume mwem
Lovely song❤
if there was ever a treble award for choir😅...but do we say😍
Well done St Paul's choir and Swai for doing the work of God.May He reward you abundantly
Welcoming the Corpus Christi Sunday😊💝💝,,,,heavenly🔥🔥
Vocals🔥
Organ👏
Moves🙌
This is a five star for sure💝💝🔥🔥hongereni wana paulo👏
Tunashukuru sana
Wimbo mzuri naomba nota
Well done St. Paul's choir. Proudly associated 🎉
Nyimbo tamu.......❤❤
I love this hymn. Well done Catholic community of UoN not forgetting Mr. Tumaini Swai.May God reward you in the work you're doing
Nice one 👌 nice vocals st Paul's students choir 👏
Beautiful song
4:28 volume 9 favourite!
Nice song... Tumaini swai🔥🔥
Nice one❤ sauti safi,,,keep up sisters and brothers
Thank you 😊
🔥🔥🔥
Long awaited Ekaristia is in . ❤️
Wow..wimbo mzuri
great job
Safiii
💯💯💯
Amen 🙏🙏🙏
Great sana wakuu
Shukran
❤❤❤
I received my first Holy Eucharist
❤
Wanamtakatifu sentipoli😊 kujieni chai.
Kazi safi sana aisee; mnatubariki kwa nyimbo zenu tamu. Hongera!🔥
Nota za huu wimbo tafadhali
Wow, beautiful song❤
Nyimbo nzuri 💯💯
💯💯
❤❤❤continue evangelising through singing 🤗🤗
Hakika tujongee meza ya bwana
Amazing ❤️❤️
Let the Eucharist be the food for my soul always.
Wimbo mtamu sana ❤❤❤❤❤
Naam
Muziki mtamu kweli
The song is amazing sana ❤❤❤ I love it you are blessed
Naomba nota
Very nice song
Lovely
🤩🤩
✨🎶❤️
Beautiful ❤️
Asanteni sana🛐⚪🍷⛪🤗🎶
Welcome
I love the composition ❤
It's such a blessing
Karibu
Beautifull and blessed voices. 🙏 ❤ Lovely. 🤩🥳
Thank you so much!
Nice song