Innalilah wainna illah rajioon,.allah akuhifadhi miongoni mwa waja wake wema yaallah, khakika umetuacha na sinto fahamu, allah awape subra wazazi na family
Sio ziro my wameongea ukweli walio ambiwa nabos wakwe nahata sisi team glf tunajuahilo mpambanaji mwenzetu kafarika kwakuingia kwenye chemba sasa hapo nani alaumiwe bos wake aliopeleka ripoti ubalozini nakwa family yake au walaumie ubalozi watanzania coz unalozi aukuwepo kwenye tukio bali wao wamepewa tariff tu
@@MonaJuma-cp3jg iltakiwa ubalozi wampelekee wao hosptali wapate trfa kamili mbna rpoti za kwenye makratsi ya hosptali yamepeleka tarfa tofuati polis pia hapo Mungu na liefarki na boss ndie wanao juwa ila Mungu halali huyo boss sizan kama anaaman
@MonaJuma-cp3jg siulaumu kwa tukio hili hapana, ila ubalozi wa tanzania nchini oman auna msahada kwetu! Nishawai kushuhudia mdada kapigwa na boss wke anavuja damu, kufk pale wamemfukuza km mbwaa... yn awatukingii kifua watanzania wenzao wanasikiliza waarabu!
Polen wafiwa kubwa la kuangalia Kua Huyo ni mja wa Allah anapoitwa na Allah popot malipo haangaliwi yup sehem lazima aitike Allah amlaze pema pepo I ampe kitab chak kwa mkongo wa kulipa nasi tuliokuwep Oman Allah akituhitj tuna muomba aturidhie amin
Kama wanavyo sema kaangukia kwenye kisima inawezekana.sasa taarifa ya pili labda wameogopa fine ya kuchimba kisima bila kibali.Allahu yaaalam.Allah amlaze mahala pema yaaaarab.
Alafu kuna huyu muandishi wa habari aitwae zari ni mnafiki wahali yajuu anapenda sana kuwakandamiza wafanyakazi na kuwatetea waarabu sijui wanamgaia vipesa
Innalilah waina lilah rajuuni allah amsemehe allah ampo kauli khabti allah amjalie pepo allah amtilie nuru kabuli yake allah ndo mjuwaji wa yote mshukulieni mungu kwa kila jambo yeye ndo mjuzi
Innalilah wainalilah rajiun pole sna familia tusiwe waongo tuh baloz zetu zahuku nje ya nch hazina maana kabisaaaa bora wazitoe tujue moja wanachojali n hela sio wananch wao
Sijui kwa nini mnaita ni utata? Wenzetu wanaangalia sababu iliyomfanya aanguke. Yeye ni mtu mzima na akili zake hivyo wanaangalia je aliteleza, alijirusha huko, alikuwa kalewa, au alisukumwa? Sasa ili kuwasafisha watu walio karibu naye ni lazima baada ya kuona yote hayapo ni lazima kuangalia kilichomfanya adumbukie kwenye hilo shimo la taka. Hivyo labda alipata kizunguzungu kilichosababishwa na tatizo la moyo na ndio akaangukia huko. Sasa Oman kuonyesha ni moyo sioni ni utata. Tanzania hatuchunguzi sana zaidi ya kuonyesha matokeo. Matokeo ni kuanguka kwenye shimo ila kilichosababisha kuanguka kwenye shimo ndio hiyo heart attack. Ila walivyosema walifikiria katoroka hapo ndio swali kuu. Kwa nini wafikirie katoroka? Alikuwa hafurahii kazi yake? Alikuwa anateswa? Alikuwa stressed? Tumwache apumzike kwa amani
Yaani natamani siku moja hawa waaraabu wakutane na familia ambayo itasimama na mwanasheria step by step mpaka ukweli ujulikane maana wamezoea kuuwa dada zetu,kama haumhitaji mtu kwako mwambie ondoka siyo kumuua,angalia watoto wake walivyokuwa wadogo daa yaani inauma,watoto wanamngoja mama arudi ambaye hawajamuona kwa miaka alafu wanacholetewa ni mwili,mkono wa Mungu ukutane na nyinyi warabu mashetani
Mm sio mungu lakin daah naona mbali ipo siku nchi za kairab zitasaga meno zitalia machoz ya usaha na sio damu becouse zinaharufu za damu za watoto wa watu sasa wameingia Tanga haahaahaa Napenda haya mambo na mungu yupo njiani juwashughulikia hawa madhwalim Inshaallah
@@FayzaSultan acha tu ipo sku hawana aki hawajui ubinada hata robo hata kidgo alfu ubaloz msada wake ni hafifu ipo wazi kabsa nchini kwetu nako hawamki kabsa eti nashanga maajent wanasema eti mikataba bado haijawa ofsho mama samia bado hajasain chichote ndio mana wengne huku tukija nayo wanagoma kfata zile taratibu zilizoko kwenye yale makaratsi jamn daaah
Mimi naona labda alipata kweli ugonjwa wa moyo akiwa huko huko na yawezekana ndio uliopelekea kuondoka ghafla yaani heart attack kwenye Hilo shimo la maji machafu.🤔
Innalinllah wainaillaihi lajiun anllah akupe kauri thabiti kipenzi chetu mpambanaji mwenzetu dua zenu muhimu sana sisi ambao tupo kwenye nchi za kiarabu tunakutanq na mambo mengi makubwa 😢😢
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mbona najiunga inagoma
@@SwaumAbdallah-z5h ni kweli ukitaka kuunga inagoma inaaema group does not exist
@@globaltv_online if I want to join it says group does not exist
Fanyen kweli km mwakata kutuunga kwa group hii link haipo sawa
Innalilah wainalilahi rajiun poleni sana
Ndugu zetu tumepokea kwa masikito sana wafanya kazi wenzake allah ampunguzie hazabu ya kabri
Amin
Mwanavua ulikuwepo omani na malengo mengi mwenyez Mungu akupumzshe mahala pema pepon mpambnaji mwezetu umeondka kimasiara daaah😢
Ameen
Ameen
Allah amlaze mahalipema peponi inshallah 😢😢😢😢😢😢😢 inauma sana wallah tumuwachie mungu😢😢
Aminn yaraby
😢😢😢😢😢
Innalilah wainna illah rajioon,.allah akuhifadhi miongoni mwa waja wake wema yaallah, khakika umetuacha na sinto fahamu, allah awape subra wazazi na family
W,,w,w
Aamiin
Jmn jmn team strong huu msiba mgum kwetu imagine mtu hakujal ukiwa mzm unamfanyia kaz leo atakujal umekufa 😢😢😢Allah aturudishe nyumbn salama inshaallah
Mungu atufanyie wepes
Amiin inshaallah
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN.
Poleni sana.
😢😢Mimi sina la kusema moyo wangutu ndio unaliya walah Allah amlehemu dada yetu 😥😭💔nikiwa wana tanga imeniuma sana
Allah atusimamie Polen sana familia
😢😮😢 Waarabu hawana maana kuna kitu kimejificha ndani yake INNALILLAH WAINNAILLAH RAJUUN poleni sana zng
Huna akili waarabu mabwana zenu mkitaka au msitake nyie waswahili wengine hamna kheri
Bwana wako ww kuwa na adabu alokufa c ndugu yako pumbavu ww@@murshidalrawahi5000
Dah Mungu ndio anaejua😢😢hatunabudi kushukuru🙏😭
Innalillah wainnailayh rajiuun 😭, Babaangu unadhani watamjalije wakati muda wote tunaambiwa tunanuka! Mmmh!
Ubalozi wa tanzania ndio zero kbsa yn zero
Kbc yani nchi wahid na wabangar wanaubaloz mzur kwer lkn huu ubaloz wa omn Ni hamn kitu kbc
Sio ziro my wameongea ukweli walio ambiwa nabos wakwe nahata sisi team glf tunajuahilo mpambanaji mwenzetu kafarika kwakuingia kwenye chemba sasa hapo nani alaumiwe bos wake aliopeleka ripoti ubalozini nakwa family yake au walaumie ubalozi watanzania coz unalozi aukuwepo kwenye tukio bali wao wamepewa tariff tu
@@NemaAli-zh6hr exactly
@@MonaJuma-cp3jg iltakiwa ubalozi wampelekee wao hosptali wapate trfa kamili mbna rpoti za kwenye makratsi ya hosptali yamepeleka tarfa tofuati polis pia hapo Mungu na liefarki na boss ndie wanao juwa ila Mungu halali huyo boss sizan kama anaaman
@MonaJuma-cp3jg siulaumu kwa tukio hili hapana, ila ubalozi wa tanzania nchini oman auna msahada kwetu! Nishawai kushuhudia mdada kapigwa na boss wke anavuja damu, kufk pale wamemfukuza km mbwaa... yn awatukingii kifua watanzania wenzao wanasikiliza waarabu!
Polenii sana wanafamilia,wameshindwa kumsitiri kumuhifadhi maiti vizuri 😢 Waliomfanyia Mwanamvua na wao watafanyiwa hivohivo Allah anashuhudia yote
Inna lillah wainna illaihi rajiun 🤲 Allahumma ughfr llaha War-hamha Wasq-nnaha FIL -janna.. amiin 🤲... Allah ndie Hakim wa haki
Polen wafiwa kubwa la kuangalia Kua Huyo ni mja wa Allah anapoitwa na Allah popot malipo haangaliwi yup sehem lazima aitike Allah amlaze pema pepo I ampe kitab chak kwa mkongo wa kulipa nasi tuliokuwep Oman Allah akituhitj tuna muomba aturidhie amin
Hawa ni mbwa yaani hata kumhifadhi marehemu vzr wameshindwa, ee Mwenyezi Mungu tunakuomba tumalize salama mikataba yetu
@@batulimabewa6953 Amiin
na weye mbwa
Inaelekea ww ndoo ulomuua 😢@@murshidalrawahi5000
Kama wanavyo sema kaangukia kwenye kisima inawezekana.sasa taarifa ya pili labda wameogopa fine ya kuchimba kisima bila kibali.Allahu yaaalam.Allah amlaze mahala pema yaaaarab.
Inalillh wainaillh rajuuni mungu ampe kauli thabiti ddyetu 😢😢😢😢😢😢
Mungu amsamehe dhambi zake 😭😭😭
Poleni sana 💔😭😭
Alafu kuna huyu muandishi wa habari aitwae zari ni mnafiki wahali yajuu anapenda sana kuwakandamiza wafanyakazi na kuwatetea waarabu sijui wanamgaia vipesa
Ata mmi nasi kuna vipesa anapewa uyo zaria. Nimnafiki sana
Hapana ujuwe kwenye mapito wengi wawo wanawo koment ni maajent sasa huwa ndiyo munaona anatukandamiza lakini ayuko ivyo mnavyo fikiria
Zari mpaka jana anepaza sauti wale wote walokuwa jela oman watolewe nyinyi uwa amfatilii mapito global tv
@@OmanOman-bx5duinawezekana nyinyi ndo mmelipwa hizoo pesa hakuna mtu yyt anaetufutlia wafnykaz wa ndani kama hyoo zari tafakar kabla hujakoment
@@Saada-g4j kweli kbsa ndo hvyoo huwezi kupendwa na Kila mtu ukiwa mwema kwaoo
mashaka mashakil waallah allah atupe mwisho mwema hii ni dulma ya waz waz 😢😢😢
Life is spiritual 😢 tunaweza ishia laum waarabu kumbe ndugu ze wamemvuta , kiroho zaidi
Allah amsamehe makosa yake n wote maiti zetu w kiisilamu.
Alikuwa azikwe huko alipofia
Wana jambo wamemfanya😭😭😭ila allah atamlipia chozi la wanafamilia mungu hataliwacha bure
😢😢😢😢😢😢😢😢😢mungu Tulinde sisi tulo kuwepo huku bado
😢😢😢😢😢poleni Sana Sana 😢😢😢
Nitazeekea hpa hpa Tanzania 🇹🇿 wallah ugali mlenda unanitosha😢
Innalillah wainnailayh rajiun
Allah ampe qaul thabit
Inna lillah wainna illaih rajiuuun,,,, poleni sana wana familia allah awape subra
Allah ndiye mjuzi zaidi😢😢mungu atulinde turudi makwetu tukiwa wazima
Inna lillah wainna illah rajiun kinachoumiza zaidi ni watoto wake😭😭😭
Daaah 😭😭innalirah wainnarah rajoun 😢😢
Allahu akibarr akibarr mama 😭😭😭
ubari wa tanzania wanapenda sana rushwa
Yaani ni rushwa tuu wanajali mashwetani ila Kwa MWENYEZI MUNGU hakuna rushwa
Innalilah waina lilah rajuuni allah amsemehe allah ampo kauli khabti allah amjalie pepo allah amtilie nuru kabuli yake allah ndo mjuwaji wa yote mshukulieni mungu kwa kila jambo yeye ndo mjuzi
Dah hatuna msaada huku km ubalozi nao hivyo😢😢eeh mung wetu tulinde turud nyumbani salama
Amina ishallah
Mama yule kaja kupiga hela tu hana msaada wowote
mungu akulinde kumbe upo omani
Allah awape subra hakina sote ndo njia yetu nimeumia kwajili ya watoto wake😢
😢😢😢 Tustili yarab 😢 umasikini mbaya
Watanzania acheni kwenda kwa hao wauwaji tafuteni maisha tanzania ona sasa amekufa ameacha watoto na shidaa
Innalilah wainalilah rajiun pole sna familia tusiwe waongo tuh baloz zetu zahuku nje ya nch hazina maana kabisaaaa bora wazitoe tujue moja wanachojali n hela sio wananch wao
Innalillah wainna illahy rajiun Alhamdulillah
Huku kubaya mno jaman dua zenu wallah
Duuh Mungu awalinde ndg zetu na mrudi salama ❤❤
Tunaakaa n hawa wat ilaa ni mtihanii xan mungu atuximamiyeeeee😢😢😢😢😢
Sasa ubalozi haujui hata lugha, au haukuweza hata kufatilia
Poleni ndugu
Ila shimo la taka au chooni dah mbona hainiingii akilini wallah MUNGU nisamehe (innalilah wainailah rajghun 😢
Inna lillah wainahyllah rajioun poleni sana 😢😢
Uko tunapapenda tu. Lakini hakuna faida yoyote wanatutoa kafara warabu
Hii n uchungu kwa kweli Rip team strong 😢
😢😢😢😢😢😢😢poleni wana familia
Allah ampe kaul thabit inshallah 😢inaumiza sana😢Unaenda kwnye utafutaji unarud maiti😢
Sijui kwa nini mnaita ni utata? Wenzetu wanaangalia sababu iliyomfanya aanguke. Yeye ni mtu mzima na akili zake hivyo wanaangalia je aliteleza, alijirusha huko, alikuwa kalewa, au alisukumwa? Sasa ili kuwasafisha watu walio karibu naye ni lazima baada ya kuona yote hayapo ni lazima kuangalia kilichomfanya adumbukie kwenye hilo shimo la taka. Hivyo labda alipata kizunguzungu kilichosababishwa na tatizo la moyo na ndio akaangukia huko. Sasa Oman kuonyesha ni moyo sioni ni utata. Tanzania hatuchunguzi sana zaidi ya kuonyesha matokeo. Matokeo ni kuanguka kwenye shimo ila kilichosababisha kuanguka kwenye shimo ndio hiyo heart attack. Ila walivyosema walifikiria katoroka hapo ndio swali kuu. Kwa nini wafikirie katoroka? Alikuwa hafurahii kazi yake? Alikuwa anateswa? Alikuwa stressed?
Tumwache apumzike kwa amani
Poleni sana.
😭😭😭😭asee inaumaa sana Hawa watu so poa
Mungu ndie ajuaye tumshukuru Allah ,Allah atalipa subira TU Iko siku atabainisha uwazi .
Inalilahi waina ilahi rajiuni Allah amjalie qauli thabiti
Pole sana wanafamilia sote nijia Moja tuwaombee tu
Halibadirii lazima isomwee kw hawa mbwa 😢😢😢😢😢
Umsomee albadil mwarabu ndugu yangu wengi wao wanaishi na majini hao
😢😢😢😢Innalilah wainailah Rajiun
Hawa watu moto wao ni wa gasi Allah uwende ukafanye hukum ktk familiya yao kma wamehusika kwa namna moja au ingine
Polen familia
Mungu ndo anafaham yote asee tumuachien ty Allah ni mjuzi R.I.P da mwanamvua😢😢😢
Innalillah wainna illah rajiun Allah ampe kauli thabiti
Allah akuhifadhi umemekufa katika kifo Cha jihadi mwamvua
Inaumiza sana nalia moyoni
Inna Lillah waina ilahy rajjiun Allah ampe kauli thabit
Inalillah waina ilayhi rajiuna 😭😭😭
Innallahi wainnallahi rajoun 😢😢
Innalilah wainailah rajiun, inaumiza mnoo wallah
Pole.na.msiba
Yaani natamani siku moja hawa waaraabu wakutane na familia ambayo itasimama na mwanasheria step by step mpaka ukweli ujulikane maana wamezoea kuuwa dada zetu,kama haumhitaji mtu kwako mwambie ondoka siyo kumuua,angalia watoto wake walivyokuwa wadogo daa yaani inauma,watoto wanamngoja mama arudi ambaye hawajamuona kwa miaka alafu wanacholetewa ni mwili,mkono wa Mungu ukutane na nyinyi warabu mashetani
Innalilah wainnah rajiun 😭😭
Innalillah waina ilah rajiun 😢😢
inna lilah wainna ilaih rajoun Allah ampe kaur thabit mpambanaj mwenzangu
Co sad wallah
Kakaangu polen sana kimeniuma sana na ikiwa kama mm nipo huku huku nimeumia sana mwarab awezi mshurikia maiti mweusi kakaangu😢
Sio maiti tu kuishurikia ata itokee unamwa hoi unafanya haja zote apo chini sizani kama mwarab atakushurikia huku tunalindwa na Allah tu😢
Mmmmh😢😢😢😢
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Ya Allah
RIP OUR BELOVED Dada
Poleni
Inalilahiwainailayh.raajiun😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Weeeee acha tu nimeumia hatari mpaka matumbo yananienda mbio hapa nilipo
Mm sio mungu lakin daah naona mbali ipo siku nchi za kairab zitasaga meno zitalia machoz ya usaha na sio damu becouse zinaharufu za damu za watoto wa watu sasa wameingia Tanga haahaahaa Napenda haya mambo na mungu yupo njiani juwashughulikia hawa madhwalim Inshaallah
@@FayzaSultan acha tu ipo sku hawana aki hawajui ubinada hata robo hata kidgo alfu ubaloz msada wake ni hafifu ipo wazi kabsa nchini kwetu nako hawamki kabsa eti nashanga maajent wanasema eti mikataba bado haijawa ofsho mama samia bado hajasain chichote ndio mana wengne huku tukija nayo wanagoma kfata zile taratibu zilizoko kwenye yale makaratsi jamn daaah
Wana tupanda kwenye kazi zako Tu nasio kingine Allah akulinde SS tulio Baki Huku inshaallah tumalize mkataba Trudi salama nyumba Amni😢😢
@@JosephKingwere Nawachukia hawa nguruwe waliojivisha ngozi ya paka
@@FayzaSultanhuoni yavyosalitiana yenyewe Kwa yenyewe wasubiri adhabu ya MUUMBA wetu
Yaani hawajui watanga hawa
Mungu akupe kauli thabit mpambanaji mwenzetu..
INA LILLAHI WAINA ILAIHI RAJ UNI MWENYEZIMUNGU AMPE KAULI THABITI
Kila sku WA Kenya wanasema jamna huko uwarabuni watu wanatesema sn,maboss wao hawanaga huruma Na waafrika
Ninyi hamwajui hao watu. Hizo sala tano mmmmm sijui.
Shimo hilo linatoka wapi jamani muogopeni mungu kwanini kauli zinakua tata
Innalilah wa Inna ilahy rajiun
Mimi nikisema ubarozi wa Omani hausaidii kwa nn ubarozi usipitie ripoti ya hospitari
Daah😢😢😢
Kauwawa dah😢
Mimi naona labda alipata kweli ugonjwa wa moyo akiwa huko huko na yawezekana ndio uliopelekea kuondoka ghafla yaani heart attack kwenye Hilo shimo la maji machafu.🤔
Labda alivoumwa wakamuacha afe then wakamtupa umo ndani ya shimo kwa hasira au wao ndo walompa hilo janga la moyo rip
@@vanessalaizer4363 waarabu sio watu wazuri yana roho mbaya sana
Awatujali wafanyakazi tuna fanywa kama sio binadam
Innalinllah wainaillaihi lajiun anllah akupe kauri thabiti kipenzi chetu mpambanaji mwenzetu dua zenu muhimu sana sisi ambao tupo kwenye nchi za kiarabu tunakutanq na mambo mengi makubwa 😢😢
Mmmmh jamani 😭😭😭mungu atusadie sisi tuliyoko oman
Polisi walifanya uchunguzi sii kweli kauliwa ni siku zake zimefika mola ndie mpangaji wa uhai na umaiti Inna'lillahi wa'inna ilayhi rajiyoon
Inalilah wainailah rajirun 😢
Yawezakua alipata heart attack akaangukia shimoni
Inalilah wainalilahy rajuny