Poleni sana kwa msiba watoto walio achwa mwenyezi Mungu awalinde awafungulie risk na wapate Deen wasisahau 😢😢😢😢😢 mwanamvua kasha aga Dunia Allah amrehemu😭
Mimi naomba nitoe sadaka kwa hawa watoto niwalipie Ada, Ila huyu dada machoni mwangu si mgeni kwasababu kunaagent wa omani anasafirisha watu aliwahi mpost Poleni sana familia Mimi naomba niwalipie Ada hawa watoto
Tukiwa hai tu hawatupendi ndo wamustiri vizuri na ashakufa sio muarabu😢😢😢 Allah ampe kauli thabiti dada yetu 😢😢pia na sis atulinde turudi makwetu salama😭😭🙏🙏
Oman sijawahi kuona chemba la ivo ila Allah anajua zaidi insha'allah..Allah amrehem ndugu yetu sote ni wasafiri tuko ktk foleni....POLENI wafiwa...tumeumia sana ..nimelia nilivyoona Hawa watoto Bado ni wadogo sana mngu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi😭😭😭
Hakuna linaloshindikana kwa Allah na ndio ajuaye huyu dada kafanywa nini. Yote kwa yote poleni sana familia na Allah atawalipia inshaa Allah. Hongereni sana kwa Iman kubwa mliyonayo
Innalillah wainna illah raji'uun, sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea. Allah amsamehe marehemu makosa yake na awajaalie familia uvumilivu ktk kipindi hichii kigumu
EEE Mwenyez Mungu wape nguvu wafiwa na watt wa mwenzetu aliyetutangulia mbele za haki maskini huruma wazir anaelewa kila kitu yu alia wallah Allah Akbar 😢😢😢
Poleni sana wana familia allah amlaze pahala pema peponi. Kul nafs dhaikat almout popote ulipo kifo kitakupata ikifika siku yako inshallah itajulisha sababu ya kifo chake inshallah allah apotezi hak ya mtu . Msiseme wasiende oman kwani tz hawafariki au inchi nyingine msiponde oman kifo kipo kila sehem
Poleni sana watoto wamarehem.poleni wazazi wamarehemu pole sana mamaetu. Pingo hili nipingo kubwa sana tuzidi kumuombea ndungu yetu marehemu nimipango ya mungu tutazidi kumkumbuka mimi mwenyewe nimevujika nguvu natamani hata leo hii mkataba wangu.wa oman uishe salama ili nirudi tz imezidi wafanyakazi kufia oman inatuuma sana ungu aiifazi.roho hake pema amiina naomba selikali ifatilie wafanya kazi wa oman mwengine hata simu ananyanganywa nabosi wake kwaiyo mtu anapata matatizo hana msaada oote naomba mama samia afatilie hili swara lawafanya kazi wa omani yote tumemukabidhi.mungu amiina
Innallilah wainalilah rajiuni mwanamvua punzka kwa aman Allah akupe kauli thabit jirani yng uyu😢😢 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 tuseme alhamdulillah wakwetu tanga moja tena mtaa moja 😢😢😢 Allah akbar
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Jamani niungeni na mimi kwenye group
Uyo zali aache kuwatetea waarabu mungu apend unafik
Mfatilie vizur uyo dada Zar utamuelewa awatetei sema anajitahid asitoke nje ya mada akaleta shida ukimfatilia utamuelewa niamin mim@@TatoTato-t7s
Mbona GRP halikubali
Grpu alikubali tufanyaje
Wazazi wa Mwananvua wako na busara sana. Mwenyezi Mungu na awafanyie wepesi.
Ameen yaa Rabbi🤲🏽🥺
Ameen
Inshalah😢😢
Inalilah wainalilah rajighuun mwenyezi mungu ampe kauli dhabiti yaarabi nas atupe mwisho mwema yaarabi
Baba wa mwanamvua ana moyo wa unyenyekevu mno. Yaani hii familia kiukweli ni watu wema. Poleni sana
Kabisa hii familia ni watu wenye dini sana
Pumzika kwa amani mpambanaji mwezetu
Pole sana wazee wetu msiba ni wetu sote wafanyakaz wa nnje kifo Cha mwamvua kimetuuma sana
Allahumma ghufirilaha warhamaha waaskanaha filjannah
Poleni sana kwa msiba watoto walio achwa mwenyezi Mungu awalinde awafungulie risk na wapate Deen wasisahau 😢😢😢😢😢 mwanamvua kasha aga Dunia Allah amrehemu😭
Mimi naomba nitoe sadaka kwa hawa watoto niwalipie Ada,
Ila huyu dada machoni mwangu si mgeni kwasababu kunaagent wa omani anasafirisha watu aliwahi mpost
Poleni sana familia
Mimi naomba niwalipie Ada hawa watoto
Maashallah tabarrak allah Allah akufanyie wepes insha'Allah
❤❤❤ mashaallah ashaabesh mola akuzudishie utakapotoa sadaka yako mola akuzudishie inshaallah
@@RamadhaniKitala-gx6wc Allahum amiin inshaallah🙏🏽
@@ChausikuAli Amiin inshaallah
Allah akuzidishie ulipo toa iwe sababu ya mafanikio yako awahumma amin
Baba mdogo Hongera umewakilisha familia kwa hekima kubwa. Poleni sana.
Alhamdulillah Bibi umeongea maneno mazima Mashaa Allah Allah akuzidishieni subra Yaa Raab
Baba mdogo kaongea kwel kabisa yaan jaman tusijilazimishe kuvumilia visivyo vumilika tena wallah hii kitu inauma sana jaman 😢😢😢😢😢
😢😢 baba mdogo unajibu vizur mungu ampe kauri thabiti
Poleni sana wanafamilia😢 Allah amrehemu ampe kauli thabiti
Mungu ninusur nikafie kwetu mana Sina agent familia yangu pia haina uwezo wa kupambana kama ivi nikafika kwetu Tanzania ..naisi ntazikwa huku 😭😭😭
Umeniza sana ata mimi ivo ivo familia yangu haina uwezo 😢😢😢
Wewe balozi wako yupo utafika tuu nyumban ila omba tuu uzima
Yani weacha tuu M/MUNGU atufanyie wepec turudi makwetu salama Allahumma amiiin
Kajikatie Insurance mbona ni rahisi tu
@@hadijamohd6028kajikatie Insurance mbona rahisi tu
Allah akujaaalie kauli thabiti mpendwa wetu mpambanaji😢😢
Tukiwa hai tu hawatupendi ndo wamustiri vizuri na ashakufa sio muarabu😢😢😢 Allah ampe kauli thabiti dada yetu 😢😢pia na sis atulinde turudi makwetu salama😭😭🙏🙏
Ameena yarabi
😢😢😢😢 Yaan acha tu ndo maaana unaambiwa kufa upendwe na watu Allah atupe mwisho mwema
Chakuliza nini uso rudi kwenu unafik tu km huko sipo wafanya nini mpaka sasa
Usomuombea mwenzio dua una uwarabu tu
Aaamiin
Allahumma ghufirilaha warhamaha waasknaha filjannah
Ndio mwisho wa binadamum Allah amsamehe makosa yake amlaze peponi Aamin
Ilibaki ni kumuombea dua tu ata wakiwa awakuridhika akuna faida letu ni duaa na mengine mungu ndio atahukumu
Innalillah waina ileih rajiun Allah ampe kauli thabat na muhesabu katka waja wake wema nanyi Allah awape subra na Iman iwe nguzo thabit moyoni mwenu.
Mungu akusaidie baba pia akufanyie wepes uweze kuwalea wajukuu ulioachiwa
Oman sijawahi kuona chemba la ivo ila Allah anajua zaidi insha'allah..Allah amrehem ndugu yetu sote ni wasafiri tuko ktk foleni....POLENI wafiwa...tumeumia sana ..nimelia nilivyoona Hawa watoto Bado ni wadogo sana mngu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi😭😭😭
yapo shoga huko kijini nilienda nikiona kwa macho yangu nisingejua ila gari nililikuja kunyonya mavi
Umehonae hata mie sjawahi hona
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN
Walahi Allah awaongoze kwa Deen ndio jambo litakalo wasaidia kwa ukuwaji wao 😭😭😭
Vijijini maisha hayo yapo ila ndio hivyo tumuachie mungu
Allah awape subra wafiwa wote.allah amsamehe marehem makosa yk Ampe kauli thabit.mbele yk nyuma yetu.
Ewe mwenyezi mungu mwingi wa rehema nakuomba uninusuru nirudi nyumbani salama
EEeeh mungu akuludishe salama na hata kama ukiludi tz hutoenda tena uko omani
Hofu imetawala tulioko oman ewemwenyez mungu tulinde na mitihan
🙏🙏
Poleni sana kwa msiba wa mtanzania mwenzetu.Tumwachie Mungu atalipa kwa kuwa kisasi ni chake.
😭😭😭inatakiwa isomeee kisomo kama wamefanya kibaya kiwarudie 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kabsa hata aliehusika wote wadhurike
Ikiwa hakufanyiwa ubaya basi kitawarudia wenyewe familiya. Haya wasome
Tusio na Agent ni mtihani mungu atulinde jmn
Innalillahi wainna ilaihirajiuun Allah ampe kauli thabit amuingize peponi amjaalie awe miongoni mwa waja wema amiina
Hakuna linaloshindikana kwa Allah na ndio ajuaye huyu dada kafanywa nini. Yote kwa yote poleni sana familia na Allah atawalipia inshaa Allah. Hongereni sana kwa Iman kubwa mliyonayo
Poleni sana mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye kupindi hiki kigumu
Innalillah wainna illah raji'uun, sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea. Allah amsamehe marehemu makosa yake na awajaalie familia uvumilivu ktk kipindi hichii kigumu
Ewee ALLAH lijaalie kabur lake liwe miongoni mwa majumba ya peponi amiina
Ameen
Amyn
Kisomo tuu kitaonesha kila kitu alicho dhulumiwa nafsi yake InshaAllah..Abinnallah. waneemali wakili.
Pole sana dad's dharinkwskutupambsniyaa allla atakulipaa❤❤
Yaan arabun mhh mungu anisaidie tu ubaloz wetu wazembe mno turidhike na kidogo jmn 😭😭😭uwiiiii pole watoto wang mungu awatie nguvu mkazane kusoma
Mungu wakumbatie watoto wamwavuwa🙏🙏 wape tumaini jipy
Nmeona watt wana muwekea mama yao mchanga allah amrehem da mwana😢😢😢😢😢
Pole sana baba mwenyezi mungu akupe subra
Poleni sana ndugu zetu 😢 wazazi wetu
Pole sana watoto wa Mwanamvua pamoja na jamii kwa ujumla
Watoto wameniliza sana 😭😭😭😭😭Mimi jaman ewe mungu msamehe mazambi yake mwanamvua
Allah akupe kauli thabiti dada Amiiiiin nacc Allah atuludishe salama tz 🇹🇿😭
Ameen
Mwenyezi mungu awape moyo wa subira allh akbar😢
Allah atunusur sote tuliopo nchi za watu tuweze kurud salama ya raby😢
Poleni sana pole mwanangu inauma sana wekeni namba tuwe pamoja katika kuwafariji watoto wasijihisi ubweke inauma jaman polen sana familiya 😭😭😭😭
Allah. Akurehemu. 😢😢😢😢 dada. Mwamvuwa. 😢😢😢 pole. Sana. Baba. Agu. Tumuombee. 😢😢😢
Poleni sana familia ya marehemu Allah awapeni Subrah kwa mtihani mzito
Tumeumia Sana poleni hii family ina imani,Sana mungu atawapa nguvu, ukweli wote anaujua mungu,, insha'Allah
Utakwenda mzee wangu mwaka huu kwauwezo wa Allah
Hii familia Allah aipe wepesi hasa kwa watoto wetu umaskini mbaya sana😢😢
Baba Mungu akubariki sana umesema ukweli tupo huku Dua kwa ajili yetu
Duh pole Sana huu msiba ni wetu wote
INNA LILAHY WAINNA ILAYHI RAJIUUN MWENYEZMUNGU AMLAZE PEMA PEPONI NA SISI ATUPE KHUSNI LKHATIMA 🤲
Iseeeee yaanii wazazi wanahekima hawa MUNGU awatie nguvu 😢😢
Poleni sana msiba huu imetugusa sote, Mungu amrehem na amlaze pahala pema
Nimempenda Baba Mdogo Ana Imani sana.
Poleni Sana tumeumia Sana Allah awape subira
Wainarlaah wainarlaah rajughuni mungu amuepushie na adhabu ya kabri amen
Baba wa maana kabisa huyu mungu Ni mwema baba
Pole sana baba Allah akupe subra inshallah 😢
Innlillahi wainnailyi rajiun mungu amrehemu na sisi atupe meisho mwema in shaALLA 🤲 in
Mwenye Mungu na ailaze Roho ya Mwananvua mahali pema.
Poleni sana dugu jaama na marafiki 😢 Allah ampe kauli thabit 🤲🤲🤲🤲
EEE Mwenyez Mungu wape nguvu wafiwa na watt wa mwenzetu aliyetutangulia mbele za haki maskini huruma wazir anaelewa kila kitu yu alia wallah Allah Akbar 😢😢😢
Allah amlaze mahali pema pepuni insha allah
Poleni sana wana familia allah amlaze pahala pema peponi. Kul nafs dhaikat almout popote ulipo kifo kitakupata ikifika siku yako inshallah itajulisha sababu ya kifo chake inshallah allah apotezi hak ya mtu . Msiseme wasiende oman kwani tz hawafariki au inchi nyingine msiponde oman kifo kipo kila sehem
Inamaana hata agenty ameshindwa kujitokeza na sio kama hajui anajua na anaona ila haya bana mungu ndio hakimu wa haki
Kabisa yn kakaa kimya jmn
Allah awa fanyie wepesi family kwa kumpoteza mtoto wenu na mngu awape subura watoto😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Poleni Sana Na MUNGU awape faraja wanafamilia wote.
Poleni sana watoto wamarehem.poleni wazazi wamarehemu pole sana mamaetu. Pingo hili nipingo kubwa sana tuzidi kumuombea ndungu yetu marehemu nimipango ya mungu tutazidi kumkumbuka mimi mwenyewe nimevujika nguvu natamani hata leo hii mkataba wangu.wa oman uishe salama ili nirudi tz imezidi wafanyakazi kufia oman inatuuma sana ungu aiifazi.roho hake pema amiina naomba selikali ifatilie wafanya kazi wa oman mwengine hata simu ananyanganywa nabosi wake kwaiyo mtu anapata matatizo hana msaada oote naomba mama samia afatilie hili swara lawafanya kazi wa omani yote tumemukabidhi.mungu amiina
Inah lillah wa innah lillah rajiunne 😭😭😭 nalizwa na hao watto mm jm😭😭😭😭
Innalillah wainna ilayh raji'un poleni sana familia Subhana Allah inatuumiza pia sisi wafanyakazi 😢
Daaaa poleni sana family uku tuliko mtuombee mana daaa mwenyezi mungu atajibu nashidwa niongee nn 😢😢😢
😢😢😢masikini ya mungu tumchangie huyu baba😢😢😢
Siku zote kwa mungu hakuna kubwa...ipo siku itajulikana UKwelii maana mungu wao na marehem Ndio wanajua
Poleni sana inalilahi wainarajuni mungu amlaze mahala pema pepon amin
Innallilah wainalilah rajiuni mwanamvua punzka kwa aman Allah akupe kauli thabit jirani yng uyu😢😢 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 tuseme alhamdulillah wakwetu tanga moja tena mtaa moja 😢😢😢 Allah akbar
Watt wameniliza mimi daaah 😭😭😭😭😭
JuLlANA..🤲🏻🕌🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Daah watoto wameniliza masikini😢
Mungu mjuzi zaidi Allah ampe mwisho mwema Ameen
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
Allaah amsaamehe amrahamu
Inalillah waina illah rajuu😢😢😢😢jmn hii issue imetokea lini jmn
Innalilah waina illah rajuun sote ni wa allah na kwake tutarejea ,, allah ndie mjuzi Zaid 😭😭
Nikwel kabisa baba 🙏🙏
Huyu mdogo bado hajaelewa kitu kinacho endelea 😭😭😭
Poleni sana wanafamilia Allah amlaze mahali pema popeni
Omani kulikuwa kunakitu kinaniambia hii nchi utakufa toka haraka. Kweli nilitoka
😢😢😢😢😢 Mungu awatie nguvu wana familia 😢😢poleni sana
RABI GHUFIR waliwalidaya kama Ràbbayaan SWAGHIRA. Amina tabaraka rahman
Innalilah wainnailaah rajioun mungu tufanyie wepes turud salama
Inna lilLah wainna ilahi rajiun YaalLah awafanyie wepesi Aamiin Yaarab 🤲
AlhamdulilLah
Poleni familia ndugu na marafiki
Innalillah wainaylah rajiuun 😢😢😢
😢😢😢😢 Inna lillah wainna ilah rajuun mwenyezi Mungu Amrehemu
Innalillah wainnailahiraajiuun pole nisana familia
POLENI SANA FAMILIA YA MWANAMVU NA MARAFIKI ZAKE SISI WOTE
Allah ampe kauli thabiti ndugu yetu
Poleni sana wanafamilia ya mwavua Kwa kweli inauma sana ila tumuachia m / mung