Mama pole sana kwakumpoteza mtto wako lakin hajapolea kabisa kaachawajukuu haondioyo kiyoo chako mama watuzebwata kusaidia baadae kama mama Yao alivo kua anakupenda inalilahi wainalilahi rajiuna 💔💔😭😭😭😭 nakupenda sana mama pole mama
In the Name of Allah, nakataa kurudi nikiwa kwenye jeneza😭🙏 Na kama Kuna lolote lililofanyika kwa dada mwanamvua, basi Allah ashughulike nalo😭, tunakuja huku gulf countries tukiwa Hai,, why turudi tukiwa wafu⁉️Allah, tunakuachia wewe ,maana wewe ndiye msemahi wa Mwisho 🙏
@@MishiPapalan Oman tu ndio kuna izraili mtowa roho za waafrika kwengine hakuna nawala hamfi nakm walikusudia walotenda Allah atawahukumu naww pia mwenye kusema warabu wa Oman unamaanisha ni wote haya njoo utunyonge maana ww utaishi mpaka siku yamwisho maana mlivyoshempelea hata family ya marehem hawajayakuza km nyinyi wengine uchungu wakinafik tu muhimu muonekane kwenye comment
Siku zote changamoto za kazi huwa hatuwambii wazazi wetu kama mimi mamaangu ana roho nyepesi sana ukimwambia too nateseka anaanza kupiga mayowe so % kubwa hatutaki kuwatia presha wazazi
Sisi tunaofanya kazi nchi za kiarabu kuna muda tunapitia changamoto ila tukiongea na wazazi wetu tunaficha ili kutokuwapa wasiwasi tukijipa moyo kuwa yataisha tutarudi😢😢
@@YasmeenKhalifa-zq1zk but kwa sasa inabidi tujufunze kuongea tu ukweli kabla hayajatukuta matatizo kama unahofia kumpa mama maumivu tafuta msiri wako dada au kaka au rafiki yako yyte wa kalibu ajue maisha yako anllah atujaalie tumalize salama inshaanllah
Wanatilisha huruma watoto wake.. tuonesheni copy ya death certificate inayosema amekufa kwa moyo ..na hilo shimo sio la karo ni shimo dogo sana na fupi..vipi Litauwa mtu? Pia fatilieni zaidi na zaidi mujue exactly kitu kilichomuuwa..
Acha ujinga tukishatulia ww utahudumia familia zetu? Vp ww kw vile upo nyumbn hutokufa au unajua kifo chako kitakuaj? Sis bado tupo M.mungu nd tegemeo letu alotupangia hatuna njia y kuliepuka kw namn yyt.. Ubaya hauna rangi nyeupe wala zambarau..
wanajitoa ufaham kile ni kisima na blad mvua kila mara kwani wale watoto wa shule walidumbukia kwenye shimo siku ya mvua mbona walitolewa wamefariki wote wawili sasa hilo shimo wameona ajabu pengine alitereza bahati mbaya ila watu wanaunda story kila kukicha
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Allah amraham mwanamvua na ampe nguvu mama pamoj na watt nasisi Allah atutie nguvu na atupe subr tueze kumaliza salam mkataba turud makwetu inshaallah
Inshaallah yarab mm nataman hata leo nirud leo kila nikiskia hili tukio
Inalillah wainaih ilahi rajiun mungu amlaze pema peponi 🇴🇲🇴🇲😭😭
Mama walee wajukuu zako na mungu atakusaidia safar yetu sote
Pole sana mama etu kwa msiba Allah akupe subra inshallah 😢
😢😢inaumiza sana
Allah ampe subra uyu mama mana anaumia sana kwenye moyo
Watoto wameniliza jamani 😭😭😭niwadogo mno naombane mnipatie namba ya huyu mama jamani 😢😢
Allah atie Nuru kaburi lake Inshallah 😢
Amin❤
Pole mmayetu,,,,Allah ampe kauli thabit akapokee kitabu chake kwa mkono wa kulia ameen
Masikini 😢😢 ALLAH akupe subra katika kipindi hiki kigumu ALLAH atalipa kwa njia yake inshaAllah
Daah Hao watt jaman wanalia mpk Huruma 😢 Allaah ampe kauli thabiti
Wanatia huruma bado wadogo sana
Pole sana Bi Egy ,Mungu akutunze Bibi angu Kipenz Dada ametangulia tumuombee Mungu ampokee
Allah akurehem mwanamvua km siamn ivi had leo namba yko nashindwa kuifuta 😢😢 ilikua ni rafk usieringa hata kdg
Pole sana mama yetu kwa mtihan ulio kukuta na ss tupo tunapambana 😢 Allah akujalie nguvu kwa kipindi hiki kigum
Pole sana mama mungu akutie nguv daah inauma sana jamna
Mama pole sana kwakumpoteza mtto wako lakin hajapolea kabisa kaachawajukuu haondioyo kiyoo chako mama watuzebwata kusaidia baadae kama mama Yao alivo kua anakupenda inalilahi wainalilahi rajiuna 💔💔😭😭😭😭 nakupenda sana mama pole mama
Poleni sana mbele yake nyuma yetu
Kifo ni kimoja tu ila sababu ni tofauti, Allah( sw) amlaze mahali pema na amsamehe dhambi zake
Allah amguhufirie dhambi zake
Pole mamaangu
Mola mpe subra mama yetu
Allah akurehmu dda yetu😭😭😭😭
pole sana mama
😢😢😢daah nashindwa kusema mie😭😭😭naumia mwenzenu
Allah ampe kauli thabiti 😊
Kama wamemuwa asilale kaburini spirit yake ikawanga mize walio muuwa kama kifo chake cha kawaida Mungu ampoke kwa aman ampe kauli thabit
Pole mama watoto wamenitoa machozi
In the Name of Allah, nakataa kurudi nikiwa kwenye jeneza😭🙏 Na kama Kuna lolote lililofanyika kwa dada mwanamvua, basi Allah ashughulike nalo😭, tunakuja huku gulf countries tukiwa Hai,, why turudi tukiwa wafu⁉️Allah, tunakuachia wewe ,maana wewe ndiye msemahi wa Mwisho 🙏
Amiin
Warabu wa oman mungu anawaona ipo siku mtalipa tuu inallahu maswabirna
@@MishiPapalan Oman tu ndio kuna izraili mtowa roho za waafrika kwengine hakuna nawala hamfi nakm walikusudia walotenda Allah atawahukumu naww pia mwenye kusema warabu wa Oman unamaanisha ni wote haya njoo utunyonge maana ww utaishi mpaka siku yamwisho maana mlivyoshempelea hata family ya marehem hawajayakuza km nyinyi wengine uchungu wakinafik tu muhimu muonekane kwenye comment
Mungu wape faraja watoto Hawa 😭😭😭😭 jaman
Pole sana mama mshukuru mungu
Mama.pole..sana
Mungu amwangazie kabuli lake
Pole sana mama
Pole mama😢😢😢
Pole sana mama angu kipenz kwani kufa ni ahadi yetu sote amini hii ndiyo ilikuwa ahidi ya mwanao kufa maana hakuna atakae dumu katk huu ulimwengu
Allah akupe subra mama yetu
Inalilh wainalilh rajiun 😢😢😢
Pole sana Baba na Mama na watoto na family
Duuuh inauma sana poleni
Siku zote changamoto za kazi huwa hatuwambii wazazi wetu kama mimi mamaangu ana roho nyepesi sana ukimwambia too nateseka anaanza kupiga mayowe so % kubwa hatutaki kuwatia presha wazazi
Innalillah wainaillah rojiun
Allah akutue nguvu mama katika kipindi hiki kigumu ulee wajukuu wako
Anllah akupe subra mama yetu
Watoto wameniliza Jaman 😢😢😢
Jaman watoto😢😢
Wadogo ALLAH awakuze
Inalilahi rajau emwenyi mungu uampe kauli sabiti 😢😢
Allah awape subra wafiwa
Lile shimo Nila kuchomea shwaaa jaman. Mliopo Oman mnajua Ile nyama Yao warab wanayo choma kwenye mashimo
Ndio jamani hile shimo la nyama mtu hawezi kufa hapo, wallah siamini hata kidg😢😢
Mashimo yakuchomea nyama hayapo ivo bhn achen hizo
@Kutaila99 wewe mashimo ya choo na maji taka Oman yapo hivyo au hujawah kushuhudia ujenz wa Oman wanavyo jenga kaa kimya kama huelew
Innalilah wainnailah rajihun
Dah watoto wananiuma mm jmn 😭😭
Masikini mamaangu Allah ampe subra zaid 😢😢
Poleni sana watt wameniuma jmn😢😢😢
Kuna mtoto analia 😢😢😢😢
Poleni sana, inauma sana😢
Sisi tunaofanya kazi nchi za kiarabu kuna muda tunapitia changamoto ila tukiongea na wazazi wetu tunaficha ili kutokuwapa wasiwasi tukijipa moyo kuwa yataisha tutarudi😢😢
Nikweli kipenz hata mm huwa simwambii mama magum nnayopitia😢
@@YasmeenKhalifa-zq1zk but kwa sasa inabidi tujufunze kuongea tu ukweli kabla hayajatukuta matatizo kama unahofia kumpa mama maumivu tafuta msiri wako dada au kaka au rafiki yako yyte wa kalibu ajue maisha yako anllah atujaalie tumalize salama inshaanllah
nikweli ata dadangu alikua ivyo amerudi nikichaa adi leo ana miaka mi4 😢
@@khamisswalehe anllah amfanyie wepesi inshaanllah pole dear inauma sana wanllah shida zetu zinatupeleka kwenye matatizo makubwa sana
@@NajmaAlly-gt6nw sahihi kabisa asante
Awape subura
Ina laillah waina ileyh rajiun
Polee mama inaumiza
Inalillah waina lilah rajuni 😢😢😢😢
😔
Polen sana mungu awatie nguvu
Wanatilisha huruma watoto wake.. tuonesheni copy ya death certificate inayosema amekufa kwa moyo ..na hilo shimo sio la karo ni shimo dogo sana na fupi..vipi Litauwa mtu?
Pia fatilieni zaidi na zaidi mujue exactly kitu kilichomuuwa..
😢😢😢😢😢😢
Mwarabu kwanini kaua,kwanini ripoti iwe maradhi ya moyo? Allah atalipa mda mfupituu hatakama alifanya kosa siyo kwa kuua
Awo watoto ndy wananiliza kabisa dah
Jmn mnamchosha mama
Maashimo ya uku niimara. Mnoo
Mwanamke wa oman huwa hawasemi kutokana kuweka mawazo ndugu
Mama angu asisikie maana mmh
Kumbe Da Egy ndio mama wa Marehemu
Ndio ni bi egy mwaya
Sisi hatuwambii wazazi tunahofia kuwapa mawazo ndomana tunanyamaza
𝕀𝕟𝕟𝕒𝕝𝕚𝕝𝕒𝕙 𝕨𝕒𝕚𝕟𝕟𝕒𝕙𝕚𝕝𝕒𝕚𝕙 𝕣𝕒𝕛𝕚𝕦𝕟😢😢
Umauti ukikufikia lazima uanguke
Kifo cha mwamvua kina umiza sana
Tulieni nchini🇹🇿mwenu jmn mungu akiamua kukupa anakupa popote ulipo watu hawa rangi nyeupe ni asilimia kumi kati ya mia wanaotupenda sisi weusi📌
Acha ujinga tukishatulia ww utahudumia familia zetu? Vp ww kw vile upo nyumbn hutokufa au unajua kifo chako kitakuaj? Sis bado tupo M.mungu nd tegemeo letu alotupangia hatuna njia y kuliepuka kw namn yyt.. Ubaya hauna rangi nyeupe wala zambarau..
Hawajifunzi hawa watu. Mwarabu hajawahi kumthamini mtu mweusi. Wanatuona kama watumwa
Kweli kabisa الأعراب أشد كفرا ونفاقا
@@ZeynuuFaqih لا تقول هكذا يا أخي
Changamoto
Warab mmh ila Mungu anawaona poleni sana😢😢😢😢
Hivi matukio yanao tokea huku kwetu wanao uwa pia warabu au ? Akili zako duni sana mwehu mkubwa . Uso muombea mwenzio dua ww akili yako mwarabu
Nani alishuhudia kama kauliwa?
Hiyo shimo aliingia shimo gani hilojamani mbona hata kuona mashimo huku ningumu jamani😢😢😢😢😢pole sana mamaaa
Ndio nimeshangaa
@@ShukranMwakyamboww unakaa bladi bladi kumejaa visima na mashimo
Ss yy ni uku niliko mm rustag hakuna mashimo@@RitbayRitbay
wanajitoa ufaham kile ni kisima na blad mvua kila mara kwani wale watoto wa shule walidumbukia kwenye shimo siku ya mvua mbona walitolewa wamefariki wote wawili sasa hilo shimo wameona ajabu pengine alitereza bahati mbaya ila watu wanaunda story kila kukicha
Ndio njia yetu imefika siku yake
Waandishi maswali ya kijinga sana
😢😢😢😢