"MAREHEMU MWANAMVUA AMEACHA WATOTO 2" - BABA wa MREMBO MWANAMVUA AFUNGUKA kwa UCHUNGU....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 95

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  14 днів тому +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @shamzone388
    @shamzone388 14 днів тому +9

    Mash allah baba ni mtu mwenye dini sana mungu akuzidishie iman zaid

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 днів тому +7

    😭😭😭😭watoto wameniliza jamani. Alllah awapesubra naawalinde naawalipe malipo makubwa daaa.inauma jamani. Mungu anisamee naatusameewote atupesubra. Watoto😢

  • @RukayaAdam-l8x
    @RukayaAdam-l8x 14 днів тому +9

    Nimelia jmn watto hao nikikumbukaa wakwangu daaah mungu atunusuruu sisi jmnii 😭😭😭

    • @MonaEd-o4z
      @MonaEd-o4z 14 днів тому

      Amin thumma amin inshaallah my

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@RukayaAdam-l8x huko Kila siku tunasika matukia ya watu hufanyi vibaya lakini nyinyi hua mnaona kama wake ndugu zenu kwa kua dini Moja wajinga sana nyinyi

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 10 днів тому

    Baba pole Sana Allah akuzidishie imaan

  • @oman-h1h
    @oman-h1h 7 днів тому

    Polen sana baba na mama wa marehem mwamvua mungu aniweke pemw na amlindie watt wake

  • @Saada-g4j
    @Saada-g4j 14 днів тому +3

    MaanshaAllah Mwenyezi Mungu atakujalia utaenda

  • @Thumaommy
    @Thumaommy 13 днів тому

    😢😢😢😢 allah atuezeshe sisi tulio huku ugenini ...watoto wamenliza ...allah ampe Kauli thabit mwanmvua

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 14 днів тому +2

    Asa Allah ata kufanyia wepesi kwa uwezo wake Allah uta kwenda Insha Allah

  • @salamasaleh7077
    @salamasaleh7077 14 днів тому +1

    Mwenyezi mungu atakujaalia utaenda hija baba kwa uwezo wake utaenda hija

  • @GatekaFatma
    @GatekaFatma 13 днів тому

    Nimeliwa na watt mimi jmn Allah atukutanishe na vizazi vyetu insha Allah 😢😢😢

  • @JasiminJasimin-i5l
    @JasiminJasimin-i5l 14 днів тому +2

    Inshallah 🤲🤲 baba angu utaenda

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 14 днів тому +5

    Amefanana na mwamvua. Pole sana Baba

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 14 днів тому

      Sanna kafanana nae mungu ampe kauli thabit

  • @ALIFatuma-pc4fc
    @ALIFatuma-pc4fc 11 днів тому

    Maashaalh ❤❤❤

  • @AishaBakari-qc5to
    @AishaBakari-qc5to 13 днів тому

    Hii wazazi wangu wasiiyone wakiiyona nimekwisha mimi watalia Sana nakunyambia nirudi mungu wangu tupe vifo kwenye mnchi zetu mungu wangu

  • @mpendahaki_home_decor
    @mpendahaki_home_decor 14 днів тому +2

    Allah amuhifadhi Mwanamvua lakini pia Kwa upande wake ametimiza nia yake

  • @NajmaKhasan
    @NajmaKhasan 14 днів тому

    Dada zari mungu akuzidishie

  • @SalamaMohammade
    @SalamaMohammade 13 днів тому

    Wallah nimejikuta namwaga
    Machoz maskin watoto wadogo 😅😅😅

  • @HawaRamadhan-x5g
    @HawaRamadhan-x5g 14 днів тому

    Pole baba mungu akupesubir yarab

  • @rahmahussein-m9o
    @rahmahussein-m9o 14 днів тому +2

    Allah awape subra hao watt😢😢

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 14 днів тому +2

    Watoto jmn😢😢😢😢😢

  • @MwanahawaAli-s9d
    @MwanahawaAli-s9d 13 днів тому

    Pole sana kwa msiba

  • @Zynhaa3
    @Zynhaa3 14 днів тому +1

    Jamani watoto wameniliza Mungu awatie subra😭😭😭😭

  • @NasraIbrahimu-n1y
    @NasraIbrahimu-n1y 14 днів тому +3

    Ishallah mung yupo utaenda

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 13 днів тому

    Inna lilah wainna ilayhi rajiuuni poleni sana ndugu zangu

  • @MuniraGambere
    @MuniraGambere 14 днів тому

    Innah Lillah wa innah ilayhi rajioon....poleni sana jamani dah 💔😭💔💔😭😭

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 9 днів тому

    Polen jaman inauma kaz ya mungu haina makosa lkn inauma aaah😅😅

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 14 днів тому +1

    Pole Sana..Baba

  • @FawzaRobert
    @FawzaRobert 14 днів тому +2

    Pole baba mbele yetu nyuma yake kazi yamung haina makosa

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@FawzaRobert mtu kafa kifo Cha utata mnasingizia mungu apambane kutafuta Haki ya mwanae afanye uchunguzi mwenyewe hapa Tanzania maiti si imefika tanga

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 14 днів тому +3

    ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 днів тому +1

    Allahnatakuweshe utaenda kuhiji lnshaallah

  • @asha-z3n
    @asha-z3n 14 днів тому +2

    Watoto hawana mama jaman ya raby!!! Tupe mwisho mwema siye wajawako

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid 14 днів тому

    Watoto jamani wameniliza duu poreni sana kazi ya mungu Aina makosa 😢😢😢

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 13 днів тому

    Hawa watoto jamani poleni sana jaman 😢

  • @HawaRamadhan-x5g
    @HawaRamadhan-x5g 14 днів тому

    Mungu afanyiyee wepes yarab takabali duwa watoto wapee unzimaa waondoshee maradh

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    lnsha allahkupitiyaniya yakopamojananiya yamareham mtotowako allh atatiyawepesi.

  • @Shaniatwain06
    @Shaniatwain06 14 днів тому +1

    Dah huruma jaman watoto hawajiwezi Allahu Akbar Mwenyenzi Mungu watie nguvu malaika wako😢😢

  • @HavugimanaFabrice-ez1es
    @HavugimanaFabrice-ez1es 14 днів тому

    Pole muzee wangu.

  • @NoorLheyNoorLhey
    @NoorLheyNoorLhey 14 днів тому

    polenisana munguawapesubra

  • @KhadejaTa
    @KhadejaTa 13 днів тому

    Maskini 😭😭😭😭😭 mpambanaji mwenzetu

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 14 днів тому +3

    Ishallah utakwenda kwa uwezo wa mwenyezi mungu pole sn mwenyezi mungu hatakupa moyo subra

  • @MputuDavid
    @MputuDavid 14 днів тому +2

    yakwenda irya🤦🤦🤦

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 14 днів тому

    Punzika kwa Amani mpambanaji mwenzetu😢😢😢😢😢😢😢

  • @salhaomar5382
    @salhaomar5382 14 днів тому +1

    Ila zari mungu atakulipa

  • @susanaseyonyundo9689
    @susanaseyonyundo9689 13 днів тому

    Wacha apumzike kwa amani😢😢😢

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 11 днів тому

    jamani natafuta baba anifanye niwe mwanae ntamjali nakumsaidia for the rest of my life

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 13 днів тому

    😢😢😢 😢

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 14 днів тому

    Mungu wanguu

  • @NanaNima-jy5pi
    @NanaNima-jy5pi 14 днів тому

    Watoto
    😭😭😭😭

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 14 днів тому +1

    Mbele yetu nasi tuko Nyuma Yake,Tunamuombea

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 14 днів тому

    Inauma kwa kweli 🤣🤣

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 14 днів тому +2

    Inna lillahi wainna ilaihi raajiun

  • @AbisinaMustafa
    @AbisinaMustafa 13 днів тому

    Baba umeniliza sana lazima nikutafute.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 14 днів тому +1

    😢😢😢😢

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 14 днів тому

    Kwa kweli watoto wadogo sana

  • @AllyMsanya
    @AllyMsanya 14 днів тому +1

    DaudiMinzi Acha maneno yako machafu ya ivyo usisababishe tukakujibu tofaut

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@AllyMsanya ukweli unauma kama kweli mna umoja pambaneni na hicho kifo Cha utata maiti si imefika tanga ichunguzeni

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 14 днів тому +2

    Watoto wananìtia smanzi

  • @jokha431
    @jokha431 14 днів тому

    Innalillah wainaillah rojiun

  • @ALIFatuma-pc4fc
    @ALIFatuma-pc4fc 11 днів тому

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @Zainabu-g5f
    @Zainabu-g5f 14 днів тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd 13 днів тому

    Uyu dada huenda kwel kadumbukua kweny chemba ila izo documents za kwamba ni heart attack nazan wamegush ili kupunguza mambo mengi kwa wale wenyej wake yule mwanamvua mamb ya police uchunguz na ghasia mbal mbal nais wakabid wagush ivo ili iwe rahis kusafirish pia

  • @miriambenjamin6595
    @miriambenjamin6595 14 днів тому

    Huyu ni nani kwani?

  • @SuadSuad-ml7lr
    @SuadSuad-ml7lr 14 днів тому

    POLE. BABA. MUNGU. AKUPE. UVUMILIVU.

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 14 днів тому

    Inalilah wa inailah rajuun

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 14 днів тому

    Aya yote wanasababisha wanaume wasiojielewa

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@salmamlokela1987 umejuaje kua wanaume hawajitambui ulisha fanya kesi ya hao ukakuta mwanaume ana kosa

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 10 днів тому

    Globoli mleteni huku umra

  • @AllyMsanya
    @AllyMsanya 14 днів тому

    Saudi shida ako wewe una chuki na Dini ya kiislam nachokupinga mimi ni kulifanya tukio hili na uislam hii ni changamoto ata uko ulaya usemako changamoto inaweza kukupata Asa we unaongea utumbo kwamba hao waislam wenzake una maanisha nini Acha chuki na Uislam wewe sisi sote jamii moja

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 14 днів тому +1

    POLE SANA BABA😢😢😢

  • @LipangalaMinzi-n4l
    @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому +3

    Kwaiyo kwenye kifo cha mwanae umepata cha kuongelea uombe msada uwende huku huku ambako wanawaona kama nyani wafrica badilikeni

    • @ZuwenaSalumu-e5i
      @ZuwenaSalumu-e5i 14 днів тому +1

      Nyamaza kama hauna cha kuandka😢

    • @ruqayaissa990
      @ruqayaissa990 14 днів тому

      Muache ww kinakuuma Nini shobo tu

    • @SihabaAbdallah-li6dx
      @SihabaAbdallah-li6dx 14 днів тому

      Sasa kaomba MSAADA gn

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@ruqayaissa990 walabu hawawapendi mnajibebisha kwani Tanzania hakuna misikiti Hadi uwenda Maka kifo Cha mwanea utumia msada ufike huko. mwambieni apambane na utata wa kifo Cha mtoto wake huko omani

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@ruqayaissa990 huyo ni mtanzani Hadi vyombo vya habali vimemfata manayake mtoto wake kifo chake kinautata sio anze kujieleza anataka kwenda Maka acheni shobo walabu wanawaona ngedele kwenye inchi zao kwani hapa bongo hakuna misikiti watumwa kwa fikla nyini

  • @LipangalaMinzi-n4l
    @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

    Mhhhh hua mnaona kama walabu kama ndugu zenu kwa kua wao ni waislamu wezenu hapo ndio utatofautisha kati ya mzungu na mwalabu

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 14 днів тому

      Wallah bora ukae na kafiri kuliko hawa😢

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 14 днів тому +1

      Wewe usiwe mpumbavu wamawazo ukiona nzii wanakufata kichwani basi ujuwe akilimavi sisi tupo viwanjani wapo wazungu ao ao wanalombaya na wanafanya mauwaji mfano angalia israer wanavyo fanya na kwenye bibilia wapo unaonaje

    • @ummohamed4404
      @ummohamed4404 14 днів тому

      @@bahatinassorali5222Mungu
      Mungu aulani mdomo wako
      Yule alieteka wtt wawili si ndio nyinyi wenyewe
      Mambo kibao kwenu lkn husda tu msije omn hatuwataki
      Mnaletwa kwa vile ni rahisi
      Msije

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 14 днів тому

      ​@@bahatinassorali5222sasa ukae na kafir gn na ww ni kafir

    • @LipangalaMinzi-n4l
      @LipangalaMinzi-n4l 14 днів тому

      @@babuloliondo74 ile ni vita ya kati inch na inchi saw tofauti na ukiwa kwenye inchi za kialabu na ulaya kwa Hawa wafanyakazi wa ndani ni mara 20000 ukiwa ulaya una amani na Haki kuliko uwende inch za kialabu Kila siku tunasika habali za huko huko dada zetu wanafanyiwa vibaya mbona hatusikii inch za ulaya wakifanyiwa vibaya nyinyi watumwa wa dini Huwa mnasema ndugu zenu halafu wao wanawaona Nyani

  • @SwaumAbdallah-z5h
    @SwaumAbdallah-z5h 13 днів тому

    Watoto jmn😢😭😭

  • @asiatenga710
    @asiatenga710 14 днів тому

    😢😢😢😢

  • @TeddyAugustino-g7r
    @TeddyAugustino-g7r 14 днів тому

    😢😢😢😢😢