VITUKO VYA WANAWAKE WAJAWAZITO - MAKAME NUHUSI NA KOMBO KICHWA
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- #MauMpemba #KomboKichwa #MakameNuhusi
VITUKO VYA WANAWAKE WAJAWAZITO - MAKAME NUHUSI NA KOMBO KICHWA
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Hii video naiangalia kila sikuuu naipendaaa ntakupiga embe la uso weyeee
Wapemba oyeee
Mmetisha San watu wa Zanzibar aisee iko vizur san
Nimekubali kazi safi makame and kombo🔥🔥🎬🎥
Mau na kombo mnaweza sana mungu awabariki sana
Jmni mabetau nimeyamisi
😂😂😂Me napenda wanavyoongea lafudhi yao
Muko vizur
Makame Nuhusi namkubari sana mieeee😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda sana makame
Hii kali 😂
Yassir Rashid 😃😃😃😃😃😃
hii kali sana
Kombo hyo paraaaaa
Siipendi kwa sababu imekiuka maadili yetu.
kweli
Maadili kivp ss
@@allyhassan4614 utamshikaje shemegi yako vile haifai katika sheria na
Kugusana na mwanamme asiyo maharim wako ni Haram. Msifate michezo ya kibongo. Furahisheni watu kwa kufuata MAADILI. Mnakoenda sipo
Ni kweli tuzidi kupotea.
Ilo paraaaa
Muko vizuri sana
Jamani mimba changa iyo kwetu raha
Hahahahaaaa Kombo ajiachiaaaa😂😂😂😂
Hiiiiiii! Hongeren sana akukamatee nkon
Daaah!
Jamam kombo kichwa balaa
Yani katika vidio kali bc nii hii apa super cana
Kichwa kama mtungi wa ges
🤣🤣🤣
alaza kichwa tu kombo wajiachia
Over Achievers film production tunawatambua
Hahahahha kombooo katulia
Aaaa kombo lajiachia tena
hierdie young will Mamma's 😂
Nawapigeni bakora wote na kombo wako hamna adabu alaaa! Hahahahahahahahaha
Mimba hizi🤣🤣🤣
Veŕry well
mbna umekua mwepesi ivo ww makame hufai et kumbe
Mwanamke yupo uchi.
Uchi kivipi
Assanteniii
Aloo makame fund
Nice
Kombo umetulia
Dah makame kombe so bure uyooo
Komba nawe una haraka kweli
🤣🤣..@makame tafuta jembe umtwange nalo kombo la kichwa...😜😜
Mau mau
Hahaha 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂 naqubal sana bro makame
tobaaa
Dah wanawake kweli malaya
We kombo nawe waongoza kichwa😂😂😂😂
Haaaaaaaa kombo we mkali
Mau jmn kaweke kichwa icho 😃😃😃😃
Kombo asipate mdomo
Kombo unaharibu alooo zungumza kipemba ndo unapendeza
😅🤣😂Makame Bwana Mbavu Zangu Miye😅🤣😂😅🤣😂
Jamani kombo ana sifa huyu
We kombo we
Kombo una nn mbona unamzengua mwenzako akikuona haoni raha😂😂😂😂
Kombo ameleta balaa
Mimba kama hixi zipitie mbali ama akae kwao yani unamunyimaa mwanaume rahaaa akhaaaa huko huko hadi uzae
Kombo uyo kwio
Kombo
Makame wajawazito hawataniwii
Nimeirejesha Mara mbili
😅😅😅komboooo
Kombo achunguzweeeee uyo
Kombo kichwa
Dah at Kama mm nalia
Fundiletevituuu
🤣😆😜😅😄😃😀🤭 Makame nuhusi utauwaaaa
hhhhhhhhh kombo jichwa oyeee
Acheni ujinga pakanyie
Jamani kombo nibala
😄😄😄 kombo ttz lako ww una maneno mengi mpk shemegi amekushtukizia
Kombo hajui kukataa hahahahaaaaa.....
😂😂😂Duh atar sna!
😂🤣🤣😂😂kombo kiboko😂😂😂
😆😆😆kombo unashidaa
😂😂😂😂😂😂😂hatar mbona
😂😂😂😂Yaan vituko kweli
Assalamualaikum
Eti nachongesha Kam kichwa chako
makame nuhus asemaje ci umuache kichwa
Hiki kichwa cha kombo ndiyo kinamchanganya bi dada 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ha haaaa
Ni kukosa tu adabu... Upumbavu tu
Ukikutana na mwanamke kama huyu pindi akiwa mjamzito utajua ni kwanini
Yani schoki kutazama hii
😃😃😃😃komboo jamanii
nakubal sn kz zenu hongeren sn
Ni hatari
Kombo ajiachiaaa😂😂😂😂😂
Yahani kombo kichwa Ndo tusi kubwa kwake😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamen nimecheka Leo mbavu zinaniumaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo
@@alfanm.8221 poa
Mimba ya kombo
Ha ni noma kweli
Kichw km mtung was gesi 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahahahhahaha
😁😁😁😁😁Hiyo cmimba sasa nkukomowana
hahaha kombo
Nzuri lakini mmezidisha sana haa mpaka chooni apelekwe na kombo?
Absolute true.....sio uhalisia tena
Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamaninyiiikombo alazakichwa tuu mutatuuws
Dada anajua sn namkubali
Vzr san
Ona kombo anavyojiachia
😁😁😁😁😁😁 kombo. Name wawatu chooni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kombo kala zari hahahaha
Ila makame unavuka mipa mipaka ya allah acha mara moja tabia hio
Kombo ahitahid aongee kama mpemba xio aigize kigeni
Kweli bwanaas
Kombo kichwa
Makame kama mm najinyonga
Kombo wajiachia
Ila wewe dada jitahidi ndiyo upo kazini lakini jistiri unaonwmana duniani utakua mas uli kwa allah ukiekti huku ymevaa mbona inapendeza tuy
Nikweli
Komboooooooooooo🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jaman hah 🤔