Mwinyi Mpeku na Kitatange _ ZAKAATUL - FITRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 98

  • @khamisjihadi9833
    @khamisjihadi9833 2 роки тому +1

    Mashaallah sheh swadakta 👍

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 роки тому +1

    Wazanzibar maigizo yenu yanamafundisho raha kuangalia sio bongo muvi washenzitu

  • @emmi4319
    @emmi4319 4 роки тому +1

    Asanteni sana jufe film kwa mafundisho mazr

  • @hawaomary96
    @hawaomary96 2 роки тому +1

    Hapo kwenye moto😄😄😄😄😄

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 2 роки тому

    Mwinyi na Kitatange aaaaaaaa wavijiwaaaaa

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 Рік тому

    SHEIKH UMEMPA FUNGU MZEE MWINYI AMBALO SIO LAKE ,KUMBUKA HUYO SIO MFANYAKAZI ALIEPEWA KAZI NA BEITL-MAL ,KWA HIO HANA FUNGU KATIKA HILO LABDA ALIETOWA AWE KAMWAMBIA,HIO SIO MALI YA BEITL-MA KUMBUKA.
    ALLAH ANAJUA ZAIDI.

  • @kayambavitalis8700
    @kayambavitalis8700 6 років тому +3

    Mwnyi mpeku nawaelewa sana na huyo mwanao

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs Місяць тому

    ❤❤❤

  • @PEMBANKWETU7
    @PEMBANKWETU7 4 місяці тому

    Gooood 2024 3:56

  • @mudrikmaulid8912
    @mudrikmaulid8912 3 роки тому

    Good

  • @wakichilizi5275
    @wakichilizi5275 6 років тому +2

    Inaonesha!!!!Hujapata mshauri mzuri weeyeee !!!!!! Hizo pesa!!! Katafute mchele wa mapembe polo moja!!! elifu 50 elifu. 55 na kuku mmoja zinazobakia twazigawa!!!!!!

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 Рік тому +1

    Tukiliingia jambo la dini tufanya mapitio kwanza ,wale watu wa aina 8 walotajwa sio wanaopata Mali ya mayatima .

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 років тому +1

    aki nawapenda mie 😍😍

  • @abdulibakali3652
    @abdulibakali3652 3 роки тому

    Ngoja nipewe pesa weye

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 6 років тому

    Mashallah... Mzee mwinyi mpeku, kwa wawili na watoto 17...

  • @khamisamani4361
    @khamisamani4361 6 років тому

    Nakubali kaz mwinyi na kikund chako

  • @salmaabdillah1708
    @salmaabdillah1708 3 роки тому

    Maashallah tabaaraka llah

  • @abdallahhamad298
    @abdallahhamad298 6 років тому +5

    Uyoo ataka tufisa kwa Mungu tena

    • @yusoboy_tz
      @yusoboy_tz 6 років тому +1

      Abdallah Hamad tena umemuona alivouchuna kitatange

    • @abdallahhamad298
      @abdallahhamad298 6 років тому

      Yusoboy_tz yeah

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 років тому

      Assalaamu alykum NDUGU yangu, kama bado hujasabscribe AZAIN TV tafadhali bonyeza linki HII ujionee KISHA chukua hatua. 👇🏿ua-cam.com/video/LEDc7JxwsJg/v-deo.html

    • @jumaali7615
      @jumaali7615 6 років тому

      Bado in yatima

    • @massoudkhalidy1106
      @massoudkhalidy1106 6 років тому

      hahahaha mze mwinyi moto Wa ssahir

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 5 років тому +1

    hahahaha, kitatange usihonge diraaaaaaaaaaaa

  • @abdallahhamiss9297
    @abdallahhamiss9297 2 роки тому

    Asumanima

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 років тому +1

    jaazaallah heiry

  • @salymomar9793
    @salymomar9793 6 років тому +1

    Masha allah

  • @ameiryussuf7222
    @ameiryussuf7222 3 роки тому

    Nice one

  • @ibrabofubofu8763
    @ibrabofubofu8763 5 років тому +1

    Uwiiii mbavu zanguuu 😂😂😂

  • @kassimjuma1539
    @kassimjuma1539 6 років тому

    kazi nzuri assanteni.

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 років тому

    Huyooo ataka tufisa kwa muungu tena

  • @abdallahhamiss9297
    @abdallahhamiss9297 2 роки тому

    Asumanimu

  • @dulaabdalatajanambayasimu7606
    @dulaabdalatajanambayasimu7606 2 роки тому

    Kitatange ww izo pesa za ng,ombe muzile

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 Рік тому

    Hahaha

  • @TheChidonline
    @TheChidonline 6 років тому +1

    MashAllah.. nzuri

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 років тому

      Assalaamu alykum NDUGU yangu, kama bado hujasabscribe AZAIN TV tafadhali bonyeza linki HII ujionee KISHA chukua hatua. 👇🏿ua-cam.com/video/LEDc7JxwsJg/v-deo.html

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 6 років тому

    Kitatange wee kw ushauri noma

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 років тому

    Jamani ile yakiringo iwapi

  • @massoudjr6146
    @massoudjr6146 3 роки тому

    Etii Kanunuw Mapembe ndo nn

  • @wakichilizi5275
    @wakichilizi5275 6 років тому +2

    Babaaa naamie thina nguo za skukuu 😂😂😂😂😂😂

  • @shemsahumood4262
    @shemsahumood4262 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣 mwanamke ashamuahidi dira 🤣🤣🤣 kitatange unajua kuhonga

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 6 років тому

    Duh yani mardadi sana

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    Majununu😂😂😂😂

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 років тому

    Hahaha mashaallah shukran jazzak Allah khery

  • @abdulibakali3652
    @abdulibakali3652 3 роки тому

    2021

  • @aliabda6693
    @aliabda6693 5 років тому

    Napita njia tu mm

  • @jumamakame8552
    @jumamakame8552 6 років тому

    hongereni

  • @ahamadykhamis6101
    @ahamadykhamis6101 6 років тому +2

    ujumbe umefika

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 років тому

      Assalaamu alykum NDUGU yangu, kama bado hujasabscribe AZAIN TV tafadhali bonyeza linki HII ujionee KISHA chukua hatua. 👇🏿ua-cam.com/video/LEDc7JxwsJg/v-deo.html

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 років тому

    Hahaaha Raha Rahaa

  • @omaryshawqii7372
    @omaryshawqii7372 6 років тому

    message sent

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 років тому +1

    Hahaha Aet siutaki

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 6 років тому

    Kithathange Ata kuwafisha kwa mungu.... Hahahaaaa

  • @omarmohdjuma183
    @omarmohdjuma183 5 років тому

    Hahahah Et mzee mwinyi mpe yeye hizo pesa by kitatange

  • @omarsaid268
    @omarsaid268 6 років тому +1

    insha allah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому

    Moto wa sahiri hautaki😂😂😂😂

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 роки тому

    Inaelimisha kwa kwel Zenji raha

  • @khamispcali8099
    @khamispcali8099 6 років тому

    kitatange wataka honga tuuu

  • @khamispcali8099
    @khamispcali8099 6 років тому

    hatar kweli

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 років тому

    Kitatange hee

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 4 роки тому

    Kitatanhe ana mawazo ya bajeti kbs ili wagawane hahahhahahhahaha shida😀😀😀😀😀😀😀

  • @khamikhan5091
    @khamikhan5091 4 роки тому

    usijifanye kumvaa kikofia na hicho kikanzu ukajiona ushehe unanjaa kama mie weye tena bora weye njaa kama mie

  • @hafinhosilva9963
    @hafinhosilva9963 6 років тому +4

    mpe yeye hizo pesa 😂😂😂

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 Рік тому

    Aya ilitaja mambo ya Zakka na sio Sio mali waliopewa mayatima na mtu

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 5 років тому +2

    Kwahivyo alivyoanza huyo mpe hata kilo4 huyo

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 6 років тому

    Kashatufisa 🤣🤣

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 6 років тому

    Hapo ulipo weye ni yatima

  • @38wahida
    @38wahida 6 років тому +1

    Kitatange si wa spot spot 😂

  • @tarzanjr9725
    @tarzanjr9725 5 років тому

    Sina ta ndururu

  • @ahmedjuma2674
    @ahmedjuma2674 3 роки тому

    Kma huamin hya bas siburi ufe

  • @wakichilizi5275
    @wakichilizi5275 6 років тому

    Mzee!!! Mwinyi skukuuu ishafika nami nishamuahidi mwanamke dira!!!! Sijui nifanye nini miee!!!!!!!!!😠😠😠

  • @hajimakame5067
    @hajimakame5067 6 років тому +2

    kama wapo wenye tabia hii waache,

  • @yuk2012
    @yuk2012 6 років тому +8

    Hahahahahaha eti ckiliza weye ucjione kunvaa hicho kikazu na kikofia ukajina ushekh weye unanjaa km mie au kushinda mie 😀😀😀😂😂😂😃😃😃😃duh nimecheka sn pale kitatange aliposema uyo ataka tufisa kwa mungu ss 😃😃😃😃

  • @khamisali6206
    @khamisali6206 6 років тому

    Mwinyi mpeku huna chako ww na sheikh wako bcz nyinyi hamkusanyi zakka na anaepata ni yule anaekusanya.
    yy katumwa tu na wala hio mali haiotoki baitul mali, nyinyi chekesheni mambo mengine lkn sio dini.

    • @bakarkhamisjuma3773
      @bakarkhamisjuma3773 6 років тому

      Kama ni hivyo je anaesimamia hana fungu,? Elimu zenu izo jiangalieni

    • @biabumsewe3420
      @biabumsewe3420 5 років тому

      Nice

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому

      kwani wao si wako kwenye kuelimisha ? tunawajua watu wameletewa tende za ramadhani mara hii zimeuzwa? na kuna mtu namjua skukuu huchinjisha magombe wengi akajaza kwake kwenye mafreezer , kwa mamake , wanachukuwa fridge kwa jirani kwa nduguze wallah anajaza nyama . inatia uchungu ukiona kuna watu skukuu wamejinyonga na watoto ikisha mtu anafanya hivi tena misaada inakuja kwa balozi mdogo wa Oman naye ndio msimamizi na mpaka cash zinatolewa kajenga kigorofa .

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 років тому

    Hahahaa

  • @user-ri8iw3we7l
    @user-ri8iw3we7l 6 років тому

    Nipa nishamuahidi ntu nke dira

  • @jumamakame8552
    @jumamakame8552 6 років тому

    😀😀

  • @lutherking3666
    @lutherking3666 6 років тому

    Nna wake 2 na wtto 17

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 6 років тому

    😂😂😂😂😂😂mbavu zangu mieee huyo anata kutufikisha kwa Mungu

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 6 років тому

    😂😂😂

  • @slumwaalid5274
    @slumwaalid5274 6 років тому +1

    😂

    • @AzainTv
      @AzainTv 6 років тому

      Assalaamu alykum NDUGU yangu, kama bado hujasabscribe AZAIN TV tafadhali bonyeza linki HII ujionee KISHA chukua hatua. 👇🏿ua-cam.com/video/LEDc7JxwsJg/v-deo.html

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 років тому

    Uyoo ataka tupeleka kwa mungu

  • @bekaali1752
    @bekaali1752 6 років тому

    Good

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 років тому

    Hahaha

  • @nassraramadhans1074
    @nassraramadhans1074 6 років тому

    😂😂😂😂

  • @mahiraliseif8529
    @mahiraliseif8529 6 років тому

    😂😂😂😂