BIG UP Mkojani mimi siyo mpenzi sanaa wa sanaa yako lakini uku ulipoanzia mpaka ulipofika heshima kwako. Vijana inabidi wakuchukulie kama inspiration kwao. Aina kukubali kufeli aina kukata tamaa
Kitovu cha kiswahili ulimwengu mzima ni Tanzania 🇹🇿 kama vyombo vya Habari vita acha kukitukuza kiswahili basi ndo mwanzo wakuporomoka kwa kiswahili ulimwenguni, watangazi katika vyombo vya Habari Tanzania waache kutweng tweng kingereza hewani hakileti shangwe kabisa kwa mashabiki haswa wale tuko Afrika mashariki na Kati. Hapa Kenya 🇰🇪 tumekihenzi kingereza hadi leo lugha ya kiswahili imeharibiwa kabisa kwa mchanganyiko wa maneno yasiyoeleweka kabisa, For those who pretend to be very well educated by imitating the western cultures and pretending to speak like the white men you are slaves to those people.
Yani Kuna muda nataman nisiangalie humu ndani kwasababu Kama anawazalilisha wasiojua kizungu naomba ujilekebishe DIVA DIVA DIVA nakuita mala 3 acha ujinga wako
Mm nachukiya Sana M-TANZANIA kama Dida kujifanya kujuwa English.. Damn!. Trust me unapo muongelesha mtu English while yeye anakuongelea kiswahili kiukweli wanifanya hata nisiangalie tena hio interview. Vp ww una force English mbona unakuwa Kama element.
Huyu Mjomba anavyo tune Sauti yake ana uwezo wa kipekee... #Mkojani_gang. Kubadilisha sauti kwa Scene na natural voice
BIG UP Mkojani mimi siyo mpenzi sanaa wa sanaa yako lakini uku ulipoanzia mpaka ulipofika heshima kwako. Vijana inabidi wakuchukulie kama inspiration kwao. Aina kukubali kufeli aina kukata tamaa
Mm Mkenya lakini napenda vipindi vyenu,Kiswahili dah!! ❤️ 💯
Mashallah , iwe ndoa ya kheri na baraka
punguza vingereza mama nshakwambia na sirudii.
Naona dimpoz kwenye machavu ya wifi yetu wa taifa tena og sio za uturuki❤
Mashallah mungu awabariki mfungr ndoa
"Punguza vizungu mama" mkojani unazingua sana 😃🤪😆😝
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa
Amesema ukwel wake
Huyu dada mzuri
Diva punguza kengerezaa hahahaa🤣🤣🤣🤣
Nakubali ulipambana...nilikua nakuona mitaa ya ilala home kwako
Hahahahaaaa Et punguza viingereza nishakwambia usirudie,
TANGA ndio home 💚
Punguza kingerez umemwambia ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaan hadi raha jaman nimewapenda😍😘
Uyu dada kafanana na yulemtoto alieigiza na kanumba BiG DADY
Kabsa
Huyu Dida ana-pretend kujuwa English but kunacku utapata mtu wakukunyamazisha. Heshima kwa mkojani kuheshimu Kiswahili
Hhhhhhh
Kitovu cha kiswahili ulimwengu mzima ni Tanzania 🇹🇿 kama vyombo vya Habari vita acha kukitukuza kiswahili basi ndo mwanzo wakuporomoka kwa kiswahili ulimwenguni, watangazi katika vyombo vya Habari Tanzania waache kutweng tweng kingereza hewani hakileti shangwe kabisa kwa mashabiki haswa wale tuko Afrika mashariki na Kati. Hapa Kenya 🇰🇪 tumekihenzi kingereza hadi leo lugha ya kiswahili imeharibiwa kabisa kwa mchanganyiko wa maneno yasiyoeleweka kabisa, For those who pretend to be very well educated by imitating the western cultures and pretending to speak like the white men you are slaves to those people.
Yani Kuna muda nataman nisiangalie humu ndani kwasababu Kama anawazalilisha wasiojua kizungu naomba ujilekebishe DIVA DIVA DIVA nakuita mala 3 acha ujinga wako
😀😃😃 vingereza visizidi
Mkojoni the best keep doing the good work
punguza kingereza🤣😁😁
Punguza kingereza ongea kiswazi bhan diva 😂😂😂🤪🤪
😁😁😁😁punguza vingeereza 😂
From ,🇳🇬🇺🇸
Nice
Nani kasikia diva kasema hi mama mkojan kataka kuitikia
Oyoooooooooo
Maswali mengine bwana
Punguza vingereza😂😂😂
😂😂😂
😂😂
Uyo dem ni mrembo
Mkojani 🤣🤣🤣🤣
Mm nachukiya Sana M-TANZANIA kama Dida kujifanya kujuwa English.. Damn!. Trust me unapo muongelesha mtu English while yeye anakuongelea kiswahili kiukweli wanifanya hata nisiangalie tena hio interview. Vp ww una force English mbona unakuwa Kama element.
ujue uyu jamaa anaojiwa yuko serious lakn me nacheka uku
Vingereza visizidi mama angu😅😊
😀😀😀😀😀
😂😂😂
Huyu nae kutwa vingereza kam ulimpeleka shule mtu ww
Miaka mitano mingi sanaaa, I spent 12 years with girl and no marrige
Ndio maana munatakiwa muoane
Punguza vingereza mama
Mkojani kutoka msili😂😂
Msiri sio msili
Kafanana mdogo ake sofia wa big dady yakanumba haki had vidimpozi
Punguza kiingereza
Diamond plantum
Haaaaah kingeleza mkojani kinamchangqnya
Pungusa kingeresa
Diva maswali ya ovyo tu
Azam tv bondita
Punguza kingereza
Kademi kazuri
🤣🤣🤣😅😂
POMBE BARAKA MAGUFULI ua-cam.com/video/SHhvVmylpzA/v-deo.html
Sikupendi wwe Dad diva sijuwi kwa nini maan unavyoongea kingereze chako nyau weekend
😂😂😂