hamjatuonesha ni vipi Ringo alitoka nyumbani kwa Tin white aliposhikwa na mke wa mtu. Ghafla mnaonyesha Ringo ako kwake na Tin white amekuja kudai kuku wake.
kama iyii kazi imeanza ivi 😅 ichi kizazi kipya kime kwisha 😂mana kama steve ni kichaa ila tin na ringo waisha kufa kitambo waga zimebak nguo tuu 😂 iyii kaz tumeachia macho yetu ila steve naye mweu sasaiv ila ringo na tin wamekutan tena sizan kama atafuwa dafu 😅😂😂
Watu wangu wamaana sna ma best comedian ever tin white Ringo and Ashaboko
Wakwanza jamen naombeni like from🇰🇪🇰🇪
Poa tumekupa
Poa sana dear
Ooo wao
Jaman jueni hii combination nzuri sana tunaenjoy Sana nawap maua yenu
Bei ya jogoo😂😂😂 UTANI umepitiliza huu😂😂😂
nimefurah kumuon Asha bocoo ❤😂
😂😂😂 hawa wajuba wakiwa wote ni unyama sana
Hichi kikosi hatariiiiii😂😂😂😂😂😂
Nawakubali Sana tini na Ringo endeleeni kutuletea vitu vzr
Mukojani sitaki hibesikeli 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Mko vizuri
Kampa mpaka vitamin
Kashaamla huyo
Mnatisha
Tin white big up 😂😂😂😂
nakubal sana hawa watu,i can say mood on if i watch them
Ashaboko nakupenda buuuuree kabs
hamjatuonesha ni vipi Ringo alitoka nyumbani kwa Tin white aliposhikwa na mke wa mtu. Ghafla mnaonyesha Ringo ako kwake na Tin white amekuja kudai kuku wake.
N vipande vya vichekesho
Uyu kachukua kweli wajua Uyu 😂😂
Mnapendeza sana mkiwa wote ivi
Hahahaha mume wa mutuuuu asanteni kwa burudani nzuri
Yaan wakongwe wote kazin jaman mie hoi 😂😂😂
Wooow mko poa san yn mnafanya good sana 😂❤❤❤❤
kama iyii kazi imeanza ivi 😅 ichi kizazi kipya kime kwisha 😂mana kama steve ni kichaa ila tin na ringo waisha kufa kitambo waga zimebak nguo tuu 😂 iyii kaz tumeachia macho yetu ila steve naye mweu sasaiv ila ringo na tin wamekutan tena sizan kama atafuwa dafu 😅😂😂
Me naomba hii iendelee musikatishe njiani
Nawakubali sana kaka zangu
Wakal wa iz kaz wamerud💥💥
Hakika nyie watu ni balaa sanaaaa
Nmewah kidogo
Hhh ety kidog
Leo nimewai number 5😊😊
Noma sana
Ashaboko eti mm nna bloototh 😅😂
Hii movie nimeipenda sana
Wakwanza leo mimi naomben like zangu
Tin noma sana😊😊😅
Wa mia jaman nipeni like zangu
Asha boko hajawah kuwa na akl😅😅😅😅😅
Jamaaa hawa ni noma
Best comedy never seen wapewe mauw yao jmn
Dah😂😅 murudi muwe wote kama hivi ndio mnakua poa sana yaani atali
Tini na kiingereza😂😂😂
Napenda ringo anavo ita martine
Tutaendelea kucheka kama michizi mpaka tufe 😂😂😂😂
Majama noma
Alieletewa mimba hana hata habari😂😂😂
❤Zinduna vp kwenye guest yangu ama ndo basi tumekumiss jmn
Jogooo kaliwa supuu 😅😅😅😅😅
Nyie mtakuja kutuvunja mbavu 😂😂😂😂😂😂
Daaah inapendeza sana
Hongereni sana,mnajua kututoa stress yani nimecheka kwa sautiii😂
Umeonaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Sana nilikua nasinzia lkn nimeamka upya
Mnatisha wajomb
Hii muvi mbona siielewi jamn
Kaxhekii za kihindi utazielewa
Fwatiria visuri utaelewat2
Fwatiri kiundani saidi
nikiwaona hawa jamaa wakiwa pamoja naikumbuka combination ya simba ile akina chama, mikison, na bwalia😅😅😅😅😅 wanathimbaa mnasemaje
Utani ringo daah 😂😂😂😂
Tiny wewe mnomaa 😂😂
Mimi ninapendaga ringo akikutana tin white uwaga ninacheka 😂😂😂🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ila tiny hujawai kuwaga na akili wallah😂😂😂🎉
Jogoo Kaluwa ase
Hawa wahuni wanawezanaa
Wallah nacheka😂😂😂😂kwa saut
Me piah ni wa kwnz nipen likes zangu
Tini white naku kubali sana mzee wangu stress una niondoleya
Dah yan tin weninoma aisee
Tinwhite kitakuramba never say die😂😂😂
tini Ringo nawakubar waooo😅
Waaaah hiki kizungu ni noma 😂😂😂❤❤
Mtoto wa Asikar😂😂😂
Anamimba
walivyo tengana walizingua sasa hapa kazi ipo
Hahaha....miti yapeleka umbea
Hii ime enda kita twaifatiliya kwenye smart TV tokeya pande za 🇿🇦🇿🇦
Khaaa😂😂😂 kengele na upepo wapi na wapi😂😂😂😂
Jaman tin kubali tu
Tunataka numbe 3
Sijaelewa maana nachanganywa tu sema nacheka kwa vituko vyao
Movie hii haieleweki
Siyo movi bali ni vipande byaku chekesha tu
Baba mmetisha unyama ni mwingi
Mimba imekatiliwa hukuuuu😅😅😅
Daaah atar san
Niione kwanza ila mkojani noma san😅
Utani na kula staki 😂
Ashaboko mwingine alosikia mwembamba namnene yan kanivunja mbavu uck sa sita 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapo kwa boni voyagi umeuwa😂😂😂
Tini Jamani 😂😂😂
beskeli unaenda iyoo😂😂😂😂😂😂😂😂
Atajua sasa katu ya jogooo na baskeli kipi Bora🤣🤣🤣
Askari mstaafu na akauza vitumbua😂
Tulimc cana hii colabo tunawashukulu filma zetu
Wakenya jinsi mnavyoongea kingereza cha kikomedy wanadhani Watanzania wote hawajui kumbe maigizo
😂😂😂😂😂baiskel bei ya jogoo
MKIMALIZA HII MTULETEE MSAHAULIFU PIA SERIES YAKE
braza umetisha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂yaan nacheka2
❤❤
Naona kikos kimekamilika tena 😂😂😂😂
Zindu ka zindu.pc ❤
Faida mpaka vitamini
UPEPO UKIVUMAA TU UNASAMBAZAA UMBEAA😅😅😅😅
Jogooo wako anamfupaaaaa atariii😢😢😢😢😢
Tin white noma......😂😂😂
🔥🔥🔥
Bwana wewewe
Haha never say die
Aongezeke mau fundi
Mbona hiyi movies mnachanga vitu
Na mimi imenichanganya
Jamani sio move Bali vipande Tu vya comedy kila kipande kina kichekesho chake
sio muendelexo n vipande
Never say Die...😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂die😅😅
🤔dangerous
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 tiniiiiii
Mmetixh❤❤❤❤
Kofia kama konii😂😂😂😂😂😊
Safi sana