zuchu aachwe juz juz alikuwa anaekwa kwa Nandy zuchu mmja akaekwa kwa angela huyo huyo kwa yami ina mana mkali ❤️💯 but u team haufai umoja ni nguvu wanawake wenyewe wachache kwenye industry
Zuchu ni zuchu yammi ni yammi ko mcjisheue kumchamba zuchu kisa yammi , kwan zuchu alivyoanza kuimba almtaarfu yammi uo ni unafki jaman wote ni wasanii wetu na wanaitaj support zetu so msifanye k2 kwa kukandamiza upande mmoja mpoo, tena tatizo la watanzania wengi wapo wapo 2 wanafata upepo ko kila m2 ana sauti yake ko mcfananshe fananshe ovyo .. Je yammi asinge kuwa msani mngemfanansha na nani zuchu¿¿¿??? Bt kazen buti cc 2pokwajr ya kuwa suport
Yami we kweli umeukoka Moto na utakuunguza kweli maana kutoka kwa Allah kwenda kwa shetani.shetani katuahidi machafu na Allah katuahidi msamaha namuomba Allah akurudushe kwake akutoe kwa shetani. Dunia ni mapito hutokwenda kwa Mola wako na Nandi utkwenda peke yako na uliyoyafana ukiwa Duniani. 13:27
Vina muda basi zuchu she is something else wasikudanganye dada mgeni, yammi kuimba anaimba sawa lakini kumfikia zuchu bado mno, hizi comment za walimwengu dada mgeni zisikuvimbishe kichwa ukajiona wewe unajua mno bora uendelee kupambana ili ufike mbali nenda kwenye post za zuchu na interview za zuchu za zamani wakati ametambulishwa kuwa ni msanii mpya uone comment za waja zilivyokuwa nzuri nzuri kama hizi hizi zako lakini sasa ivi nenda kwenye post zake mpya na interview mpya uone comment anazopewa hahaha utafurahia shoo hao ndio vigwegwe wanaopatikana kwenye nchi inayojiita tanzania
Yami maasi yako unafananisha na rehma za Allah huo ni mtihani imeingia kwenye sauti ya shetani kakuita umemfuata na mwisho wa siku anakutaa anakwambia hukumuona hio ndio sifa ya Ibilisi aliyelaaniwa. 13:27
Ikiwa kweli mama ako hakupenda uimbe kwasababu alikueomesha misingi ya dini ya Kiislam na leo anakusapot kwa unachokifanya basi hana msimamo thabit kwa Mola wake na yeye atakwenda jibu kwenye mahakama ya Allah, umetoka kwenye misingi ya Mola wako kisa dunia yakuishi muda mchache tu unakaa uchi mama ako anashangiria na Dua anakuombea uzidi kumkosea Muumba wako sijui Kama hayo ni mapenzi ya mzazi maana Moto wa dunia na wa Akhera haulingani yeye yupo tayari aje mtu aweke Moto mbele yake amwambie mama yako namchoma Yami hapa Leo atakubali? Kama hatokubali basi kwa Nini akubali ukachomwe kwa Moto wa Allah usio na mfano? Kisa pesa tu . Tukumbuke wazazi Lina siku ambayo haitamfa mtu mali yake wala watoto tuiyogope hio siku dunia tumeikuta na tutaiyacha.
Kuna msemo fulani niliusikiliza kwenye wimbo fulani eti umejifunza ngumi so unataka kupigana na Tyson... Utaweza kweli wewe dada, wewe si level ya Zuchu kwanza anza kushindana na bosi Wako umpiku.
WASANII WANAUME WANAHANGAIKA NA DIAMOND WANAWAKE NA ZUCHU DUH KWELI NDIO UJUE KWAMBA DIAMOND NA ZUCHU NI TISHIO NA NDIO WAKO JUU KULIKO WASANII WOTE TANZANIA NA EAST AFRICA
Wa tz bhana,!!!,🤔 saivi zuchu mumemsahau, mumeisahau, watsubir Sana , mwambie apunguze kampeni, Jimbo rshacukuriwa, my namba one na ley,vanny, na lmiss you , na vanny Yan arisema sere gogo, na kwikwi na sukari nanisamee na, ninamuogesha namnyonyesha,na nyumba ndogo,,,, na kpendwa lahaa zngnezo aloimba na mboso na wasan wengine na wa injee za kngereza zilzofanya vzur , mpaka leo nandy mwenyewe kwa zuchu hagusi iweje huo mwenye mipua Kama ya babalevo anamzidi, labuda zuchu ashindanihwe na sarafina sio huo kijuso🤧🤧🤧🤧zuchu 🤍🤍🤍🤍
Wanaowapaisha Zuchu na Diamond ni hao hao watangazaji na ndio hao wanawaharibia kwa madongo yao. Wasanii wengine wanahangaika na maisha yao tu hawana muda wa ugomvi.
@@wahidamaulid9527 ulivyosema asithubutu kushndana nae .... Wote walkuwa hawafahamik.... Ila kiuhalisia bila kuangalia nan kaanza kutoka kwng game.... Mwny talent ya kuimba Yammy sio Zuchu, hii haimaansh kwmb Zuchu hajui kuimba.. lahasha
@@halidhemed7524 zuchu anajitihada na talent yami nyimbo zake hazifikii za Zuchu uwo nd ukweli sema watu Zuchu huangalia makosa sana kama ile performance alosema mic sijui watu tena nd sababu ya kumuona kuwa zuchu hana kipaji mi naona siyo kweli ata iyo lebel ingebeba watu wengi wakafika level za zuchu mbna wameshindwa je una uhakika ata fika level xa zuchu? siamini msanii ukiwa huna jitihada hata lebel mzigo 2 kina angela wamefika wapi ,lavalava au hata mbosoo hana ata tuzo na yupo lebel iyo unosema zuchu hana lolote kabebwa
@@halidhemed7524 tumuangalie mana pia zuchu hakuanza vibaya alianza vizuri zaidi ya yammi na akaendelea na kukua zaidi hii haimaanishi kila msanii anaweza wapo waloanza vizuri ila kumeintein nd mtihani
Nakuona mbali sana dadangu unajua kuimba napenda sana nyimbo zako.
wenye wivu mjinyonge tyuu👌🏼❤️❤️ kw qeut Yammi mambo ni🔥🔥🔥 mjipange sn👌🏼🥳🥳🥳
Siku zote wa2 uanza kwa moto badae upoa , bt ngj 2subr😊
Kabisa
Nandy huyo mtoto ume mtolea wap man ni fire
Usiguse Moto utanguunguzaaa,achana na zuchu namba one
Katika wanamziki woote wakike bila uongo wala kupepesa macho ni RUBY sema tu wakumshika mkono ndio hakuna
💯👌🏾 Ruby anasauti bwana wamemroga TU 😂
Ruby inaonekana discipline hana yuke
Nimependa ulivyosema ukweli Ruby ni kifaa anajua
Kweli kabisa
Napenda sauti yake balaah na hakuna mwenye saut nzuri kama ya ruby katuka wanamuzik wote wa kike wa Tz
zuchu aachwe juz juz alikuwa anaekwa kwa Nandy zuchu mmja akaekwa kwa angela huyo huyo kwa yami ina mana mkali ❤️💯 but u team haufai umoja ni nguvu wanawake wenyewe wachache kwenye industry
Yeah ❤
I love u yammi u have nice sound in reality, u sing good
Namkubali dadangu zuchu❤😅😂😂😂
Zuchu ni zuchu yammi ni yammi ko mcjisheue kumchamba zuchu kisa yammi , kwan zuchu alivyoanza kuimba almtaarfu yammi uo ni unafki jaman wote ni wasanii wetu na wanaitaj support zetu so msifanye k2 kwa kukandamiza upande mmoja mpoo, tena tatizo la watanzania wengi wapo wapo 2 wanafata upepo ko kila m2 ana sauti yake ko mcfananshe fananshe ovyo .. Je yammi asinge kuwa msani mngemfanansha na nani zuchu¿¿¿??? Bt kazen buti cc 2pokwajr ya kuwa suport
Kumfikia zuchu bado sana my dear 😊
Yamy i like your songs❤❤❤❤❤ mungu akuzidishie
Yammi mdada mzuri but still hujitambui ... Umemsahau Allah na kwenda kwa shetan 😅pole sana bint umekimbilia pabaya
Mnagombanisha watu kwa Kichwa Chenu cha habari…Mnataka kumuharibia wakati ni mtoto mdogo anajitafta mfyuuuu shenzy
Hawa waandishi niwachonganishi sana hawa
Yami we kweli umeukoka Moto na utakuunguza kweli maana kutoka kwa Allah kwenda kwa shetani.shetani katuahidi machafu na Allah katuahidi msamaha namuomba Allah akurudushe kwake akutoe kwa shetani. Dunia ni mapito hutokwenda kwa Mola wako na Nandi utkwenda peke yako na
uliyoyafana ukiwa
Duniani. 13:27
Kusema kweli zuchu anamzidi hata boss wako Nandy. Zuchu ni level ya juu saaana 👌❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@@RosetteKahuga aiseee Nan alikwambia kuwa Nandi ni boss wake zuchu wew wa wapi hv😂😂😂😂
Zuch Humuenz Jipange Zuch Level Nyengine
Amesemaanamweza
Who said so
Achen kugombanisha wa2 jamani kama unaon hajui kaimbe wewe all in all wanaweza
Daaah wasanii wanakazi sana cjuh wanaona wanachoongea mashabiki
Vina muda basi zuchu she is something else wasikudanganye dada mgeni, yammi kuimba anaimba sawa lakini kumfikia zuchu bado mno, hizi comment za walimwengu dada mgeni zisikuvimbishe kichwa ukajiona wewe unajua mno bora uendelee kupambana ili ufike mbali nenda kwenye post za zuchu na interview za zuchu za zamani wakati ametambulishwa kuwa ni msanii mpya uone comment za waja zilivyokuwa nzuri nzuri kama hizi hizi zako lakini sasa ivi nenda kwenye post zake mpya na interview mpya uone comment anazopewa hahaha utafurahia shoo hao ndio vigwegwe wanaopatikana kwenye nchi inayojiita tanzania
Hahahahha ashindan na boss wake kwanz
Kwanii amesema anataka kumfikia zuchu😜
@@sarishy0664 muulize huyo kilandage wako ndugu matangazaji aliyetuletea huo upuuzi
Yami unasauti nzuri weembo umenifrahisha
Yammy we mzuri sana ❤❤❤❤
Nakupend nlikupenda Zaid kweny tiririka
Yami maasi yako unafananisha na rehma za Allah huo ni mtihani imeingia kwenye sauti ya shetani kakuita umemfuata na mwisho wa siku anakutaa anakwambia hukumuona hio ndio sifa ya Ibilisi aliyelaaniwa. 13:27
Ikiwa kweli mama ako hakupenda uimbe kwasababu alikueomesha misingi ya dini ya Kiislam na leo anakusapot kwa unachokifanya basi hana msimamo thabit kwa Mola wake na yeye atakwenda jibu kwenye mahakama ya Allah, umetoka kwenye misingi ya Mola wako kisa dunia yakuishi muda mchache tu unakaa uchi mama ako anashangiria na Dua anakuombea uzidi kumkosea Muumba wako sijui Kama hayo ni mapenzi ya mzazi maana Moto wa dunia na wa Akhera haulingani yeye yupo tayari aje mtu aweke Moto mbele yake amwambie mama yako namchoma Yami hapa Leo atakubali?
Kama hatokubali basi kwa Nini akubali ukachomwe kwa Moto wa Allah usio na mfano? Kisa pesa tu .
Tukumbuke wazazi Lina siku ambayo haitamfa mtu mali yake wala watoto tuiyogope hio siku dunia tumeikuta na tutaiyacha.
Zuchu kiboko we yammi kaa pembeni asaaa
Zuchu ni hela ndio maana anafananishwa na wasanii wengi
Kuna msemo fulani niliusikiliza kwenye wimbo fulani eti umejifunza ngumi so unataka kupigana na Tyson... Utaweza kweli wewe dada, wewe si level ya Zuchu kwanza anza kushindana na bosi Wako umpiku.
HAKIAMUNGU ZUCHU NI MTANZANIA
Mama alikua sawa kukataa usiimbe... Mbele ya Mungu anamajibu...
Hujamfikia zuhura dada, nandy ackudanganye, zuhura motor sana, jitahidi sana ukitaka mfikia zuhura
Ata wew hawushind zuch puwakam langurube
Anaweza sana
WASANII WANAUME WANAHANGAIKA NA DIAMOND WANAWAKE NA ZUCHU DUH KWELI NDIO UJUE KWAMBA DIAMOND NA ZUCHU NI TISHIO NA NDIO WAKO JUU KULIKO WASANII WOTE TANZANIA NA EAST AFRICA
We yammi zuchu unampatia wapi
Ucmfananishe zuhura na vitu vya ajabuuu
Usijisifu unambio wakati hujakimbizwa subiri ukimbizweeee kwanza
Hahahahahahaha weee Yammi kiboko zuchu ayumo ....Yammi mpole maskin n pia yaonekana life ilikuwa ngumu maskin ila kuwa msiriwa waja wambea dadangu
Wew namupuwa kam wabay unawez kufikia zuch
Zuchu apingwi kwakua yuko kwa diamond( wasafi) tu ngoja pekeake kama nandy ama wasanii wengine ....atakua chini sana tu
hasa huyu yami si ndo anajitafta mmeshaanza kumjaza kichwa
Acha wivu wewe humfiki zuchu
Hata pi a zuchu alianzia chini poa yeye alilia xaa pia kitu chaanziwa chini msaport ni moto sana
Yammmin nakukubar pambana dada angu
Kwamfano ukimpiga Alafu Akakaa pembeni Akawa Anaimba lazima utoke chozi kwanini umempiga
Wa tz bhana,!!!,🤔 saivi zuchu mumemsahau, mumeisahau, watsubir Sana , mwambie apunguze kampeni, Jimbo rshacukuriwa, my namba one na ley,vanny, na lmiss you , na vanny Yan arisema sere gogo, na kwikwi na sukari nanisamee na, ninamuogesha namnyonyesha,na nyumba ndogo,,,, na kpendwa lahaa zngnezo aloimba na mboso na wasan wengine na wa injee za kngereza zilzofanya vzur , mpaka leo nandy mwenyewe kwa zuchu hagusi iweje huo mwenye mipua Kama ya babalevo anamzidi, labuda zuchu ashindanihwe na sarafina sio huo kijuso🤧🤧🤧🤧zuchu 🤍🤍🤍🤍
😂😂😂😂😂😂😂 umeamua utaje kbsa na orodha ya nyimbo za zuchu 😂😂😂😂😂😂 we kiboko bac taja naza yammi😋😋
Yani unapua mby unastiriwa na mekap
Huyu bado mikojo mtupuuuu
Yammy happend ugomvi😅
Yammy kitu unique alichokua nacho ni kitovuu tu 😂😂 ila anaona aibu kusema
Zuchu sio levo ya nand jaman labda gani na wasanii wengine chipukizi
Uyo ni moto sana,anamzidi zuchu mbaliiii kuimba tena bila wongo
Inatisha nakupenda
Mashallah unajywa❤️
Ul
Wanaowapaisha Zuchu na Diamond ni hao hao watangazaji na ndio hao wanawaharibia kwa madongo yao. Wasanii wengine wanahangaika na maisha yao tu hawana muda wa ugomvi.
Sasa huyu unamuigiza zuchu
Bado sana kaza
Yammy anafanana na ruby
Yami kaza unaweza sana tu
Bila zuchu mambo hovyo
mkali ila zuchu asithubutu kushindana nae asivimbe kichwa kiivo 😂 zuchu level zile
Label inambeba... Ila talent n kawaida
@@halidhemed7524 na uyo nae c kabebwa na lebo au zuuuchu achwe jitihada pia anayo
@@wahidamaulid9527 ulivyosema asithubutu kushndana nae .... Wote walkuwa hawafahamik.... Ila kiuhalisia bila kuangalia nan kaanza kutoka kwng game.... Mwny talent ya kuimba Yammy sio Zuchu, hii haimaansh kwmb Zuchu hajui kuimba.. lahasha
@@halidhemed7524 zuchu anajitihada na talent yami nyimbo zake hazifikii za Zuchu uwo nd ukweli sema watu Zuchu huangalia makosa sana kama ile performance alosema mic sijui watu tena nd sababu ya kumuona kuwa zuchu hana kipaji mi naona siyo kweli ata iyo lebel ingebeba watu wengi wakafika level za zuchu mbna wameshindwa je una uhakika ata fika level xa zuchu? siamini msanii ukiwa huna jitihada hata lebel mzigo 2 kina angela wamefika wapi ,lavalava au hata mbosoo hana ata tuzo na yupo lebel iyo unosema zuchu hana lolote kabebwa
@@halidhemed7524 tumuangalie mana pia zuchu hakuanza vibaya alianza vizuri zaidi ya yammi na akaendelea na kukua zaidi hii haimaanishi kila msanii anaweza wapo waloanza vizuri ila kumeintein nd mtihani
Zuchu kama zuch
Saw
We mtoto was juzi tuuu funga ilo domo lako
Kwanz huyu yammi hajui ata kuvaa kw kwel😂
❤❤
Walikuja kina anjela we uombe mungu
Iko kipand3ee nakipenda mno
Huyu Anaweza duu hii nibayyati maimuna
Mbona mtangazaj anaongea na Yammy kama vile amemuelewa? Au nyie mnaonaj duuuuh! Au pengne hyo nmeiona pekeangu 🤷
haha hatari??
Sasa wewe jamaa unaemuoji yammy ayo mamikono uku kule yanini mshamba wewe
Yaamy yuko moto
Tuacheni unafki bhn zuchu cy wa level iz uko ashavukaga embu muachen jmn
Komwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Anaibaga taarab
Oyo mikwala sas
Mfyuuuuuuuu
✌️✌️