We jamaa unafundisha vitu vikubwa Sana katika maisha ya binadamu ya kila siku ! Ukifuatilia huyu jamaa na kuyaishi yale anayofundisha lazima ufanikiwe na utakuwa mtu wa tofauti Sana
Asante sana kaka JOEL NANAUKA nimejifunza mengi sana kutoka kwako mpaka naamua kukuita mwalimu Mimi naitwa Daniel Gabriel nilipata ajali iliyopelekea mwili mzima kupooza lakini na ndoto ya kua motivational speaker niweze kuwa inspire wenye ulemavu kama wangu au wanao pitia changamoto mbalimbali naomba nisaidie support yako mwalimu
Naxhukuru xana umeniongezea maana nilikuwa nacha lakin inarudi , xx nimepata mubadala na xehem zinazo chochea au ktembelea xtafanya , Barikiwa xana Mkuu.
Thanks kwa somo zur nimependa sana point ya mwisho...unapotaka kubadilika anza kwa hatua ndogo....hii ni kweli kabisa hata mm nilijaribu kutakakubadilika kwa hatua kubwa nikashindwa...but today l got good points...!!!🙏🙏
Habari za leo. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Mazingira ni tatizo kubwa sana, na wakati mwengine ni vigumu kuyaepuka, inabidi uwe nao watu ambao wanaosababisha tabia isio nzuri.
Nadhani Kuna kazi kubwa Sana ya kuweza kuwaelimisha watu juu ya kujua their real nature and their identities especially in spiritual way hii itaweza kufanya Jambo ingawa ni mchakato mrefu
Kwa kweli umekuwa msaada mkubwa kwangu, kabla ya kuanza majukumu yangu lazima nisikilize kipande cha ujumbe kutoka kwako imekuwa tabia yangu sasa..! Kwa kweli mtu anayekufatilia lazima atakuwa mtu wa tofauti.
Asante Mr Joel! Ningependa siku moja utuandalie video ya nivitabu gan vizur MTU anaeweza kuanza navo kuvisoma mbali na vya kwako ambavo nafikiri karibia vote nimevisoma.(hata kama n English au Swahili ni sawa) Asante.
Ahsante.Ila uzuri wa kitabu inategemea na uhitaji ulionao kwa wakati huo.So naweza kusema hivi ni vizuri ila vikawa sio sahihi kwako kwa wakati huo.Ndio maana huwa napendekeza kitabu kulingana na Topic.Kuhusu kutaja vya waandishi wengine hiwa navitaja,ukinisikiliza nimeshawahi kutaja kadhaa vikiwemo:Richest man in babylon,The millionaire Next Door,5AM Club, The Slight Edge etc
Hii ndio video yangu bora ya mwaka hongera sanah kaka joel mungu akupe maisha marefu sana naiman ntatimiza ndoto yangu yakukutana na ww kabla xjaondoka dunian amen.
Brother umenifanyia niangushe machozi on this video.... Kila ulichokielezea ni kama vile unanisema mm umenifungua kweny kifungo kikubwa sanaa kaka shukran sanaa kaka ubarikiwe milele kaka GOD bless you alot am free now i believe am going to stop these behaviors i gat
Asnte sana kaka ubarikiwe Sana Kwa mafundisho yako najua sijanunua bndo langu bure...kabis nimejifunz zaizldi na zaidi...na hapa naendelea kukagua nijfuze zaidi tena
Asante kaka mim niliamua kuwa was tofauti na wengine . na pia kwa upande wa kubadili tabia pia nipo kwenye process za kushinda ingawa sometimes izo tabia zinapotea alafu zinakuja tena ... BT naamini nitazishinda sana tuuu .. See you at the upppp
Kiukweli mwalim Joel ananibarik sana mpaka kuna mda najiuliza haya mambo anayatoaga wapi? Mana ni ukweli mtupu, kiukweli miongoni ya tabia ambayo inawatafuna watu wengi na mimi nikiwemo ni upuuzi wa kufanya mambo yaani unakuta jambo ni la muhimu na unajuwa namna ya kulifanya unajikuta hulifanyi unapuuza, mfano pesa unapata unjuwa njia ya kuziweka lakini unazitumia kwa mabo yaliyo nje ya ratiba au bajeti yako, nadhani kwa somo hili kwanz nakubali upuuzi wangu na nadhani kwa imani nimeushinda tayari kutokana na somo hili asante san mwalim joel
Nazania kuna vitu viwii katika tabia kuna tabia mbaya ambayo huipendi kwa sababu mbaya lkn unaipenda kwa sababu unajua mbaya lkn huwezi iacha kwa sababu huna mbadala wake Mfano kuna wanaume au wanawake hawana boy friend au girl friend au mke au mumeo so kuna tabia ya kununua Malaya au kufanya Beshen punyeto Jingine kuna tabia ni mbaya na pia huipendi lkn labda mazingira au mazowea mfno unga , ulevi , sigara na vingine unataka kuacha lkn ni tabu Katika hz tabia unaweza kuiacha hii ya pili kuliko ya mwanzo katika nilizozitaja
Asante Joel Nimegundua Kitabu "Ishinde Tabia ya Ghairisha Mambo" Kinamchango mkubwa. Nimeona mafundisho yako Mengi Huachi kukitaja kitabu hicho. Mm ninacho na ninaendelea kukitumia kimsingi kitabu hiki nikitabu cha kuanzia ktk vitabu vyako. Hongera sana kwa Maono Mapana
Asee Joel hii Ni video nyingine ambayo imenigusa kwa Kila ulichokielezea. Kuna tabia nilikuwa nayo na nilipata kibarua kizito Sana kuiacha. Vijana tunapitia changamoto Nyingi Sana😭😭😭😭😭
We jamaa unafundisha vitu vikubwa Sana katika maisha ya binadamu ya kila siku ! Ukifuatilia huyu jamaa na kuyaishi yale anayofundisha lazima ufanikiwe na utakuwa mtu wa tofauti Sana
God bless you man Mungu anakutumia kuimprove na kufungua ,kubadili akili za watu
God bless you man Mungu anakutumia kuimprove na kufungua ,kubadili akili za watu
Kumwacha Tania Na kuwa Na mbadaka Hilo Nido nikujifunza ndokta Joel 🎉🎉
Wangap tumeangalia tena 2024😍Be blessed Mr. Joel Nanauka🎉
Nakukubali sana... Yani hatari mungu akuzidishie naakupe mwisho mwema
Wangapi tumeangalia tena mwaka 2023.🎉🎉🎉 Upewe maua Yako Mr. Nanauka.
This man is a genius ❤❤
Joel Nanauka Asante kaka Mafunzo yako yananisaidia sana ktk maisha yangu hususani ya kibiashara Allah akulipe Kheri kaka Amin Amin
🙏hili somo limenipa mwanzo mzuri wa mapambano juu ya tabia sugu inayonifanya nishindwe kuiacha na kuendelea kuwa muhanga kila siku.
Mr. joel tunajifunza mengi ahsante kwa kutuwezesha kuwa na utulivu mindset zetu. from zanzibar island
Asante kwa mafundisho yako. Mungu awe mwalimu bora kwako ili akufunze mengi zaidi.
U don't change the habit,u replace the habit"umegusa hapo
Nashukuru mno kwa somo lako Mungu akubariki sana naamini nitabadilika sasa nitaanza hatua moja na Mimi kwa kuoitoa somo hili amen
Asante sana kaka JOEL NANAUKA nimejifunza mengi sana kutoka kwako mpaka naamua kukuita mwalimu Mimi naitwa Daniel Gabriel nilipata ajali iliyopelekea mwili mzima kupooza lakini na ndoto ya kua motivational speaker niweze kuwa inspire wenye ulemavu kama wangu au wanao pitia changamoto mbalimbali naomba nisaidie support yako mwalimu
Iseee nimekupata vzur zaid may God bless u,
Naxhukuru xana umeniongezea maana nilikuwa nacha lakin inarudi , xx nimepata mubadala na xehem zinazo chochea au ktembelea xtafanya , Barikiwa xana Mkuu.
Thanks kwa somo zur nimependa sana point ya mwisho...unapotaka kubadilika anza kwa hatua ndogo....hii ni kweli kabisa hata mm nilijaribu kutakakubadilika kwa hatua kubwa nikashindwa...but today l got good points...!!!🙏🙏
I found myself following most of the video posted. A lot of heavy lessons. Congrats.
Kaka uko vizuri wewe ni jiazi serikali inatakiwa iwape urizi watu kama hawa wanatufundishi vitu vyote vinavyo tuzunguka.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila km sitosema ahsante mwalim
Ahsante snaa Salehe🙏🏻
sio vibaya ukitengeneza utaratibu wa watu kukushukuru yaan kutoa sadaka ili uendelee kukusanya matirio
Thanks kwa somo zur ‘’unapotaka kubadilika anza na hatua ‘’...nimeipenda sana...!!!
Thank's hakika maarifa unayotoa yanasaidia jamii kuishi ktk hali nzuri
asante Mungu akubariki umenijenga sana tangu niaze kukufuatilia
Asante Sana Kaka Joel na mmi ngoja nitumie hizi kanuni nikifanikiwa nitakujulisha. #seeyouathetop
Mm Kuna tabia ya kuangalia picha chafu na punyeto ndo napambana sana kuichaa mtumishi wa Mungu
Pole
Habari za leo. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Mazingira ni tatizo kubwa sana, na wakati mwengine ni vigumu kuyaepuka, inabidi uwe nao watu ambao wanaosababisha tabia isio nzuri.
Mungu akupe maalifa Zaid ya hapo uzidi kufundisha.Amen
Mwalimu somo zuri sana hasa kwa vijana, Wakolosai 3:5 imekuwa kipengele sana keep Educating dem
Yupo beste yangu anashindwa kuacha kupiga nyeto😃😃..hii video itamsaidia
Nadhani Kuna kazi kubwa Sana ya kuweza kuwaelimisha watu juu ya kujua their real nature and their identities especially in spiritual way hii itaweza kufanya Jambo ingawa ni mchakato mrefu
Kwa kweli umekuwa msaada mkubwa kwangu, kabla ya kuanza majukumu yangu lazima nisikilize kipande cha ujumbe kutoka kwako imekuwa tabia yangu sasa..! Kwa kweli mtu anayekufatilia lazima atakuwa mtu wa tofauti.
Ahsante Sana Dodo🙏🏻
Asante
Hongera kaka
Asante sana ..Mungu akubariki kwa mafunzo yako..Bro..
Asante Mr Joel!
Ningependa siku moja utuandalie video ya nivitabu gan vizur MTU anaeweza kuanza navo kuvisoma mbali na vya kwako ambavo nafikiri karibia vote nimevisoma.(hata kama n English au Swahili ni sawa)
Asante.
Ahsante.Ila uzuri wa kitabu inategemea na uhitaji ulionao kwa wakati huo.So naweza kusema hivi ni vizuri ila vikawa sio sahihi kwako kwa wakati huo.Ndio maana huwa napendekeza kitabu kulingana na Topic.Kuhusu kutaja vya waandishi wengine hiwa navitaja,ukinisikiliza nimeshawahi kutaja kadhaa vikiwemo:Richest man in babylon,The millionaire Next Door,5AM Club, The Slight Edge etc
@@joelnanauka Asante San!🙏
SaldalhzgsdlsjlsllhmamlavksllbAvnzvnahsklagbazmFmaxnlgskdhalgaljldbalalhllaagdladklkvagljllshakaklhajldaadhdgllaaajkagdkahlhlafllksldhkallaalgkakhaagllhajgndhabgaksfsljgkgsdashlgghllagjlgsagkskaklaMllhHdjfslalfsgkjladlhgglsflhflgggzaddlsjagag
Asante saaana mwalimu, Mungu wa mbinguni akulinde
LEO NI SIKU YA KWANZA I NAPATA UFAHAMU MPYA AMBAO SIKUWA NAO GOD BLESS YOU
Mwenyenzi mungu ukubarik uzid kutuelimisha nimebarikiwa sana🙏
Hii ndio video yangu bora ya mwaka hongera sanah kaka joel mungu akupe maisha marefu sana naiman ntatimiza ndoto yangu yakukutana na ww kabla xjaondoka dunian amen.
Sawa jamani ndug nimeshukur kwa ushaur ya vitabu vyako nitapataj vitabu ixo
Shukran kaka joel leo na acha kila tabia mbaya
Ahsante kwa elimu nzuri ngoja niifanyie kazi niziondoe tabia nazoziona ni mbaya kwangu ubarikiwe sana🙏
Brother umenifanyia niangushe machozi on this video.... Kila ulichokielezea ni kama vile unanisema mm umenifungua kweny kifungo kikubwa sanaa kaka shukran sanaa kaka ubarikiwe milele kaka GOD bless you alot am free now i believe am going to stop these behaviors i gat
Asnte sana kaka ubarikiwe Sana Kwa mafundisho yako najua sijanunua bndo langu bure...kabis nimejifunz zaizldi na zaidi...na hapa naendelea kukagua nijfuze zaidi tena
Karibu Joshua, tuendelee kujifunza.
Aisee umekua na mchango mkubwa San kuikuza furaha yangu asante sana bro na nimeshea mafundisho yako na yanapendwa san kazi nzuri
Asante sana Mwalimu umekuwa msaada sana kwangu, Mungu akubariki sana
Asante sana kaka. mimi ninatabia yakutokutima malengo.naanzisha biashara zinakuwa hazina mwendelezo
Ubarikiwe mie nikajua nimepigwa jini yaan nimelogwa kumbe
Mazingira ndo changamoto ila nashukuruu God bless you
Asante rafiki umenifungua akili na kuniongezea maarifa
Asante kaka mim niliamua kuwa was tofauti na wengine . na pia kwa upande wa kubadili tabia pia nipo kwenye process za kushinda ingawa sometimes izo tabia zinapotea alafu zinakuja tena ... BT naamini nitazishinda sana tuuu .. See you at the upppp
Hongera sana,endelea mbele na naamini utaishinda.
Yani upo sawa kabisa ngudu
Nime jifunza kitu🙏🙏🙏
Kiukweli mwalim Joel ananibarik sana mpaka kuna mda najiuliza haya mambo anayatoaga wapi? Mana ni ukweli mtupu, kiukweli miongoni ya tabia ambayo inawatafuna watu wengi na mimi nikiwemo ni upuuzi wa kufanya mambo yaani unakuta jambo ni la muhimu na unajuwa namna ya kulifanya unajikuta hulifanyi unapuuza, mfano pesa unapata unjuwa njia ya kuziweka lakini unazitumia kwa mabo yaliyo nje ya ratiba au bajeti yako, nadhani kwa somo hili kwanz nakubali upuuzi wangu na nadhani kwa imani nimeushinda tayari kutokana na somo hili asante san mwalim joel
Thanks brother nafata nyendo zako your amazing
Daaah umenigusa sana kaka angu,hasa pale pa kipengele cha kushindwa kiacha jambo kutokana na mazingira,yan utafikili umenipoint mimi aisee
Asante joel nahisi kusonga mbele kila ninapokusikiliza ubarikiwe broo
Joel vizuri sana MUNGU BABA anakutumia
Ahsante mtumishi wa Mungu. ..ubarikiwe sana
kiukweli hayo mafundisho yako yamefumbua macho 🙏🙏🙏🙏 kaka joel
Nimejikuta nakumbushwa somo la procastination, Kwa Kweli leo hii umekuwa baraka sana kwangu, Joel, Mungu akubariki sana.
God ukubleas maana unatufulia njinsi ya kuishi good
Thanks coach ninakuelewa sana yaan na masomo yako by the way napataje hicho kitabu
Mada zako unagusa watu mioyo,
Hongera sana, 👍👍👍
Kazi nzuri sana✍️
Ahsante Sana kiongozi.
Nazania kuna vitu viwii katika tabia kuna tabia mbaya ambayo huipendi kwa sababu mbaya lkn unaipenda kwa sababu unajua mbaya lkn huwezi iacha kwa sababu huna mbadala wake
Mfano kuna wanaume au wanawake hawana boy friend au girl friend au mke au mumeo so kuna tabia ya kununua Malaya au kufanya Beshen punyeto
Jingine kuna tabia ni mbaya na pia huipendi lkn labda mazingira au mazowea mfno unga , ulevi , sigara na vingine unataka kuacha lkn ni tabu
Katika hz tabia unaweza kuiacha hii ya pili kuliko ya mwanzo katika nilizozitaja
That's cool 😚😚😚
Fact💯
Nilikua nakungoja video mpya , basi nikawa nasikiliza video za nyuma Asante kwa masomo mazuri na Mungu akubariki sana
ua-cam.com/video/eh8k61D_NRs/v-deo.html
Ameen Veronica,nashukuru sana.Tusiache kuwashirikisha wengine pia🙏🏻
Asante Joel
Nimegundua Kitabu "Ishinde Tabia ya Ghairisha Mambo"
Kinamchango mkubwa.
Nimeona mafundisho yako Mengi Huachi kukitaja kitabu hicho.
Mm ninacho na ninaendelea kukitumia kimsingi kitabu hiki nikitabu cha kuanzia ktk vitabu vyako.
Hongera sana kwa Maono Mapana
Ni kweli,kinasaidia sana kwa mtu anaytaka kubadilika hasa katika tabiap
Kitabu kinapatikana wap?
Nisaidie basi soft copy ya kitabu Cha ishinde tabia ya kughairisha mambo"
Hii video ilisababisha nikaacha kunywa pombe asante sana kaka
My all time mentor live longer my brother Joel 🙏🙏
Dah me Joel ajaeee nakupenda sana kaka
See you at the top
Mambo mazuri sana. Mungu akubariki
Nashukuru sana boss nondo zako zinatuvushae
Yaani mimi kaka Nanauka nikiwa na stress natumia hela kwaajili ya kula sana... Eee Mungu turehemu
We jamaa genius..😂🎉😊😊 jamani kama utafata haya alioyasema uhakika utaacha tabia mbaya yako mtu!!!
Asante sana kaka joeli nanauka kwaelimu unayoitoa
Asee Joel hii Ni video nyingine ambayo imenigusa kwa Kila ulichokielezea. Kuna tabia nilikuwa nayo na nilipata kibarua kizito Sana kuiacha. Vijana tunapitia changamoto Nyingi Sana😭😭😭😭😭
Ahsante kaka mafunzo yako yananiponya
Dah Asante sana kweli 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah genius man may Allah bless you...always
Nimekupata kijana Mungu akubariki sana
Mhhh kaka uko vzuri sanaaaaaa
U ar genius bro..upo right na umetugusa sana honger brother
Safi bro,kazi nzur!
Hello Asante Sana Kwa Mafundisho Yako
Ahsantee sana ubarikiwe
Asante mwalimu Nimeipenda
JOEL NANAUKA RESPECT BROO
Unani inspire sana kakaa God bless you!!!!!🎉🎉
Umenisaidia Sana broo✌️
Uko vizuri akubaliki
Shikamo Mwl joel nimeelewa Sana somo asante natamani ungeipata historia yangu nazani unge nisaidie sijui nifanyeje
Kweema Israel komba?
Raha Sana unaamka asbuhi na video kma hii...!! Hongera Sana Kaka Joel
ua-cam.com/video/eh8k61D_NRs/v-deo.html
Thank You So Much🙏🏻
Amen kiongoz Hakika Naelimika
Mungu akubariki
Assnte kaka..hakika wewe ni mentor wangu
Unaokoa maisha yetu
Ubarikiwee mwalm nakupend kak
Asante Sana kwa mafunzo mazuri
So nice my brother my God bless you
Hayo usemayo Ni ya kwelii kabisa
Kiukwel broo mimi kama vile vyote vimenigusa thanks a lot
Thank you,God bless you
Asante Sana kwa somo
Aiseee thanks for all you toking about
Joel MUUMBA anaondoa kabisa tabia jeshini nilijifunza matusi baada ya wokovu matusi yalikuwa hayatamkiki muda nilipochukia
Very informative, thanks for sharing