Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mungu ailinde ndoa yako Kwa kile ulichomfanyia mama yako,
Kwa furaha Hadi machozi yamenotoka Mungu akubariki Sana umejua kumuheshimisha mama yako mzazi ubarikiwe Sana Hadi ushangae
Mwenyezi Mungu nijalie lililo la kheri❤🎉na mimi. Hongera kwa kumkumbuka mama yako, na msiokuwa na uwezo hata buku 5 hutaki kumtumia mama yako. Wanaozielewa pepo hao.
Hongera kwa harusi nzuri sana ila mnatuangua kuja na vitambi.
❤ sn Shabani na Neina ndani ya real love, Mungu aitunze ndoa Yenu!Aminaaa🙏
Nakupenda mamangu
Hongereni jamn b harus ana kimimba au ni macho yang🥰
Natamn Mung anibariki kitu nami nifanye kitu siku ya harusi yangu Kwa mama na Baba yangu
Mungu awabariki wote na muendelee ku heshimiana.mungu awa protect from devil eyes Ameen.
Congratulations to you both
Hongera mama unaonekana unaupendo,Mungu awabariki maharusi
Sio vya kutamani mshukuru Mungu kwa yote Kila mtu na liziki yake
Na mimi nahitaj mwanamke awe mke wangu🙏
Mungu ni mwema utapata🙏
@@rosemarymathias4938 Na iwe hivyo kwakwel🙏
Etikidogoo😮
❤ilove mamy
Vipi baba mbona simjamsikia au katangulia mbele za haki
Baba yu wapi
jaman baba baba
Kila la kheri kwako
Nani kama mama
Jamn wanaume waivyo wanapatikana wapi nasiye tuolewe
Akuna kama mama
Ndoa hyo nadhani hafai kwani niwazi mwanamke ana mimba hvyo hakuna ndoa hapo
Kwani si kamuoa kabla hajazaa ss shida ni nn. angezaa kabla ya kuoa ndio mtoto angekua wa nje ya ndoa