EPUKA HAYA KATIKA MALENGO YAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 79

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 4 роки тому +28

    ASANTE SANA KWA ELIMU ila Kwa yeyote anayesoma hii..
    nakuombea Baraka na maisha marefu yenye mafanikio tele. siku njema iwe kwako na kwa familia yako YOTE.!

  • @HafidhMakami
    @HafidhMakami 11 місяців тому +1

    Asante mwalimusinasapoti, Zidi kuhusu elimuhii Mmungu nisaidie huu mwanzo Amin ...

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 4 роки тому +6

    Ahsante sana kaka Victor...najifunza zaidi jinsi ya kufocus ktk maisha.

  • @rashidrashid959
    @rashidrashid959 4 роки тому +3

    Asante sana sana sana zaidi ya sanaaa umenifunza sanaaa brooh

  • @winfridamwankenja1924
    @winfridamwankenja1924 3 роки тому

    Elimu nzuri Sana spn mko vizuri

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 роки тому +4

    Mwenyezi Mungu akubariki sana kaka Victor. Nimekuelewa vizuri.

  • @filberthendry8519
    @filberthendry8519 4 роки тому +2

    Asante sna Kaka nimefurahia sna mafunzo yko ila katika vinanipa tabu sna hili suala la kumtafuta menta wako pamoja lingine la kumtauta aliyefikiwa kuliko wwe inakuwa n mitihan sna

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 роки тому +4

    Nimependa elimu hii

  • @ramamazanindegebedua7214
    @ramamazanindegebedua7214 4 роки тому +4

    Assante saana kaka, mara ya mwisho nitaomba tuwasiliane unisaidie kibinafsi.

  • @gaudensiamponela6599
    @gaudensiamponela6599 4 роки тому +2

    Nice my brother .success paths is direction on my future

  • @filberthendry8519
    @filberthendry8519 4 роки тому +2

    Asante Kaka mmekuwa wakomboz wa maskin kwa elimu yenu

  • @kalungu_psychomotive1
    @kalungu_psychomotive1 4 роки тому +1

    Asante Sana kaka

  • @festolonje7023
    @festolonje7023 4 роки тому +3

    Ok

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 4 роки тому +2

    Asante sana brother malengo ninayo sema bado nakwama sijui nakosea wapi

  • @lusackomwaituro674
    @lusackomwaituro674 4 роки тому +7

    Asante kwa kutupa elimu bureeeeee kabisa

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 роки тому +1

    Miaka 5 ijayo labda ntakua kaburini
    Malengo yangu ni mwa ujao insha, Allah sai niko kwenye mikakati na nisiri yangu manake binadamu wamekua na husda Sana.
    Thanks.

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 4 роки тому +1

    Asante sana kwa kutupa elimu ya bureeee allah akujalie sana kaka daaah kwa moyo huu vipo vitu vingi nimejifunza kupitia mafunzo yako kaka

  • @bettyobedy8938
    @bettyobedy8938 4 роки тому +3

    Asante kwa somo nimejifunza kitu kikubwa sana barikiwa sana kaka

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 роки тому

      Asante sana Betty Obedy kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!

  • @samwelmollel3705
    @samwelmollel3705 4 роки тому

    Iko vizuri

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 4 роки тому +3

    Shukrani kaka 👏

  • @mwanasitidettwiler9254
    @mwanasitidettwiler9254 4 роки тому +2

    Asante sana kwa darasa👍👍👏👏

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 4 роки тому +3

    Asante kaka Victor Mwambene🙏 wallah umenifungua ubongo wangu

  • @leonardvicenty483
    @leonardvicenty483 4 роки тому +2

    Bro nakubali

  • @josloitalal4774
    @josloitalal4774 4 роки тому +4

    Asante sana kaka kwa mafunzo mazuri 🙏🙏

  • @hefotatv236
    @hefotatv236 3 роки тому +1

    Good Luck

  • @yusuphmkwabhu8000
    @yusuphmkwabhu8000 4 роки тому +1

    Kaka umenifungua zaidi big work you have done thank you!!!

  • @sabinashabani4688
    @sabinashabani4688 4 роки тому +2

    Somo nzuri sana asante brother

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 4 роки тому +2

    Shukrani sana kaka 👏

  • @MUSICIAN-k6l
    @MUSICIAN-k6l 4 роки тому +3

    dh umenigusa kaka uko sahihi

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 4 роки тому +2

    Asante Sana kwa kutujuza

  • @Jaymiami17
    @Jaymiami17 4 роки тому +6

    Thank you so much may God bless you and your family 🙏🙏keep doing what you doing

  • @anthonyshadrack7761
    @anthonyshadrack7761 4 роки тому +2

    Asante sana pamoja sana

  • @dorismdindile6767
    @dorismdindile6767 4 роки тому +2

    Ahsante kwa somo

  • @samwelmollel3705
    @samwelmollel3705 4 роки тому +1

    Nashukuru sana mungu akujaalie

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 роки тому

    elimu nzur sana iyi

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 4 роки тому +1

    Malengo muhimu. Lakini maisha hupangwa na Mungu

  • @ramahamis5793
    @ramahamis5793 4 роки тому +3

    Ubalikiwe kaka mkubwa

  • @grace-zj6sq
    @grace-zj6sq 4 роки тому +3

    Asante sana brother nimejifunza mengi kwenye hili somo

  • @GraceGodson-fk3tu
    @GraceGodson-fk3tu 11 місяців тому

    Thanks Soo much my brother,you have open my mind,you make me to know how to success untill nw

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 4 роки тому +1

    Powa sana

  • @calvinjoseph
    @calvinjoseph 4 роки тому +4

    Thanks thou for the Great contents, Hit like If this video is helpful at your side

  • @floramwaijele9322
    @floramwaijele9322 4 роки тому +2

    God bless you Victor

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому

    Shukran sana

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 роки тому +1

    Shukran sana.kaka nikwelii

  • @mussajohn1362
    @mussajohn1362 4 роки тому +1

    Yaap bro hapo super

  • @sylvestershaib7012
    @sylvestershaib7012 4 роки тому +1

    Asante,, ubarikiwe sana bro

  • @shafiimpilika3574
    @shafiimpilika3574 4 місяці тому

    Sijakupa asante hapa dunian tu hata mwisho wako uwe mwema, umepushi mambo muhimu bro.

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 4 роки тому

    mungu.azidi.kukueka.asante.sana.kaka.kwa.elimu.yako

  • @noelgunda9935
    @noelgunda9935 4 роки тому

    Hii ni vizur

  • @brysonaidan7956
    @brysonaidan7956 4 роки тому +2

    Hakika

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 роки тому

    sichoki kusikiliza bro mungu akubariki miaka mingi zaidi.

  • @kassimali1477
    @kassimali1477 4 роки тому +3

    thnx alot bro

  • @sulimemsigwa9048
    @sulimemsigwa9048 2 роки тому

    Thanks braza

  • @neythejam5717
    @neythejam5717 4 роки тому +2

    Naomba niuliz kit mfano umefanya biashara badae ukajikuta unafeli unachotakiw kufanya nn?

    • @salumuhaji3227
      @salumuhaji3227 3 роки тому

      Unacho takiwa kufanya ni kuchunguza kitu gani haswa kimepelekea biashara yako ifeli.. Na ukisha gundua hicho kitu usi kirudie tena uki kirudia tena utafeli tena..

  • @mickmussa9353
    @mickmussa9353 4 роки тому +1

    Thanks bro for your time and efforts to help us God bless you in your life

  • @dulladullayo4986
    @dulladullayo4986 4 роки тому

    Good

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +1

    Thank you my Brother Victor Mwabene you made it Bro your lessons are very helpful indeed, Shout out To the entire Team of Success path this is the real meaning of EACH ONE TEACH ONE we Appreciate you guys🙏🙏🙏🙏

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 роки тому

    Nice bro

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 4 роки тому +1

    Nawakubali sana na nmfuatiliaji sana wa hii channel, , But Nina nakala nmeandaa but cjapata presenter , , nakala inafundisha na nzuri ktk maisha pia

  • @mtindimagogera2525
    @mtindimagogera2525 4 роки тому

    Bro nakubal motivation zak

  • @DRICK-vn3oj
    @DRICK-vn3oj 4 роки тому +2

    Bro uko vizuri kuliko Ezden

  • @isakayolam
    @isakayolam 2 роки тому

    du akika unatupenda sana

  • @alvinbenito9115
    @alvinbenito9115 4 роки тому +2

    You can't know your tomorrow

  • @mangestobaisha8706
    @mangestobaisha8706 4 роки тому +1

    Nahitaji audio ya elimu hii na mada zenu kwa ujumla nifanyeje

  • @neythejam5717
    @neythejam5717 4 роки тому

    Nimefulah San nimependa

  • @paschalbarnabas7313
    @paschalbarnabas7313 4 роки тому +2

    Kitabu cha nanauka naipataje?
    Na ni sh ngapi?

  • @kidemimsuya4198
    @kidemimsuya4198 4 роки тому +1

    Mm nimekuelewa sana sana .. naomba namba ya kaka jumanne nataka nimwelezee ndoto yangu ...

  • @Elizabeth-i9z
    @Elizabeth-i9z 3 місяці тому

    Hicho kitabu cha kutimiza malengo unacho na unauza bei gani nakihitaji

  • @petronilamgani861
    @petronilamgani861 4 роки тому

    Wasomi tuelimike

  • @kelvinshirima8847
    @kelvinshirima8847 Рік тому

    Nkbl ichokitb bei gn nakipataje

  • @anjelitamakele5945
    @anjelitamakele5945 4 роки тому

    kitabu tunaweza kukipata vipi kaka?

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    Shukran kaka