AUDIO BOOK: ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 112

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 2 роки тому +4

    hichi kitabu kilinisaidia shukran sana mwalimu, pia umefanya vizuri sana kuweka kitabu kwa sauti kwa vitabu vilivyopita endelea hivyo hivyo mwenyezi mungu akubariki. tunaomba muendelezo wa vitabu kwa sauti vile vitabu vilivyo pita yaani vitabu ambayo vimeshakulipa.

  • @herbertbavuma7228
    @herbertbavuma7228 2 роки тому +4

    Ukiona hv unabaini hii T.O haikuwa yamchongo, keep ongoing br may Lord God bless u as much ur saving ur society.
    We also see u at the top.

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 2 місяці тому

    Hongera..sana kaka.. Joel nimejifunza kitu...na ..hua naendelea kujifunza.... Mungu azidi kukubariki kw kila jambo....Liko jambo kubwa mungu amekuandalia.....kw..haya mafundisho yko... asante sana 🙏🙏🙏

  • @samwelojwang3043
    @samwelojwang3043 2 роки тому +11

    Umenitoa mbali sana mwalimu videos zako zimebadilisha maisha yangu, ubarikiwe mchungaji Mimi ni shabiki wako sana nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @nitunda
      @nitunda 2 роки тому +1

      kabisa ame tu towa mbali kabisa

  • @nestorymapunda6441
    @nestorymapunda6441 2 роки тому +3

    Binafsi napenda sana vitabu vya audiobook ubarikiwe sana kaka joel

  • @amanijoseph9497
    @amanijoseph9497 2 роки тому

    Ahsante Mentor.
    Ahsante Teacher.
    Ahsante Joel.
    Umenikomboa, Umetukomboa Wengi. Binafsi Ninapenda Kusikiliza Kuliko Kusoma.
    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Arafat_Jabir
    @Arafat_Jabir 3 місяці тому

    Podcast hii ni nzuri sana, ningekuomba Dr joel uwe unatupatia audio books kama hvi hata once per week

  • @zakayolugala4984
    @zakayolugala4984 Рік тому

    Munguakujalie maishamarefu nimejifuza mengi naninaendelea kukufuatilia

  • @nurdin8202
    @nurdin8202 2 роки тому

    Ahsante Sana nakuombea Kwa mungu akupe umri mrefu uendelee kutufundisha Mimi nilifeli form four baadae nilikusikiza nikarudia Tena nikafaulu kwasasa nipo chuo kikuuu ahsnte

  • @gabrielmhina8216
    @gabrielmhina8216 10 місяців тому

    Asante sana Joel Umenifaa sana.Mungu akubariki.

  • @karimabdoul7619
    @karimabdoul7619 2 роки тому +1

    Mwalimu
    Asante sana,ubaarikiwe
    Tuna hitaji Audio book ya Elimu ya Fedha, Na ipi Biashara ya kufanya.
    Nina omba Mwalim 🙏🙏.

  • @habibismael4937
    @habibismael4937 2 роки тому +1

    Mmh Asante love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @NevestWisa
    @NevestWisa Рік тому

    Nashukuru sana Kaka kwa kitabu hiki kizuri...
    Naanza Leo kuyafanyia kazi

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 8 місяців тому

    ASante sana kwa elimu.Nimeitumia na nimeona mafanikio

  • @jamilayuvenal5033
    @jamilayuvenal5033 Рік тому

    My couch for sure yote unayo ya zungumzaga, yana gusa maisha yanguu, kwel umenibadilisha Sana mwalimu, saiv nimeacha kuangalia vitu visivyo na maana mtandaoni badala yake najifunza vitu mbalimbali kutoka kwako na wengine Kama ww

  • @rajabumkwizu2050
    @rajabumkwizu2050 2 роки тому +4

    Kaka Joel kusemakweli nimekisikiliza iki kutabu umenipa kimenipa maono nakupa asante mimi ni MR. Rajabu billionea mwenye umli mdogo nimeiyona keshoyangu asante 🙏 barikiwa sana amina

  • @nestoryvenance4258
    @nestoryvenance4258 Рік тому

    Nime jifunza kaka na nipata elimu kuhusu kugailisha màmbo asante

  • @Prudentssmamtui
    @Prudentssmamtui 8 місяців тому

    Hakika kaka Joeli Mungu kakupa kipaji na unakitumia umenita mbali..

  • @mussakachemba3739
    @mussakachemba3739 2 роки тому +1

    Fanya na vitabu vingine joel.

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 Рік тому

    Kuna zaidi ❤❤❤❤

  • @suzanamushi4567
    @suzanamushi4567 2 роки тому

    nimeanza kutumia 2 mnts rule, duuh it works aisee, ndo nimeanza rasmi, Thanks Joel

  • @calvinulomi4144
    @calvinulomi4144 2 роки тому

    Nimejifunza vingi sana kaka Joel..kupitia wewe. Be blessed indeed our mentor 🙏

  • @nvpmedia6467
    @nvpmedia6467 2 роки тому +1

    Kanuni ya 18/40/60 imenisaidia sana Mkuu mimi kama kijana tangu nilipo jifunza nina fanikiwa kufanikisha Mambo niliyo yapanga kufanya bila kujali kua kuna watu au jamaa watanitazamaje au watasemaje. MUNGU AZIDI KUKUTUMIA PASTOR JOEL NANAUKA
    See U at the top

  • @maboyiamurani331
    @maboyiamurani331 2 роки тому

    Ndugu Asante kwa kurefusha masomo tunashukuru mungu akulinde

  • @MustafaShomari-nh7pn
    @MustafaShomari-nh7pn 10 місяців тому

    Asante kaka najitaidi Sana kukutangaza ubalikiWe

  • @user-ipallangyo
    @user-ipallangyo Рік тому

    I am glade that you know why you was born

  • @SalehUssi-j2t
    @SalehUssi-j2t Рік тому

    Mungu akuweke mwalimu wangu Amin

  • @muhamedkhamiss8882
    @muhamedkhamiss8882 2 роки тому +2

    Kaka mkubwa .Aina ya voice nimeikubali haina tofauti na wale ,safi cn uko good

  • @saidagalu2914
    @saidagalu2914 2 роки тому

    Mungu akubariki nimejifunza na ntafikia mbali ahsante sana

  • @stellanyato3644
    @stellanyato3644 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥pastor

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 2 роки тому +1

    Hongera sana

  • @vickymollel9867
    @vickymollel9867 Рік тому

    Nimevuka hakika, naweza kufanya vikubwa kuanzia Sasa. MUNGU akubariki. Lakini naomba na kwa vitabu vingine ufanye hivi Ili kuwasaidia pia wenye changamoto ya uoni🙏🙏

  • @GoodluckKibiki-x3f
    @GoodluckKibiki-x3f Рік тому

    Leo Tar 1.12.2023, ninaanza kufuatilia video na coachings zoooote you have beeen sharing. I hope i am going to change, nitarudi na ushuhuda haphapa. Thank you in advance.

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 2 роки тому

    Hbr my kaka. Yaaan ubarikiwe sana. Mungu akubariki sana kwa kazi zako 🙏🤝. Shukran sana nimejfunza sana. Nitatafuta vtabu

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 8 місяців тому

    ASante sana kwa elimu

  • @user-ipallangyo
    @user-ipallangyo Рік тому

    Thank you so much for this content, God bless you so much, I promise you I gonna change in Jesus name

  • @wiliamabdallah7714
    @wiliamabdallah7714 2 роки тому

    Asante Sana kaka Joel Mimi binafsi unanijenga japo nipo Veta nasoma level two naendea kujivunia uwepo wako Pia nazidi soma kitabu chako cha Timiza Malengo Asante sana...Bwana akubariki

  • @binjafa6362
    @binjafa6362 2 роки тому +1

    Nipo naww kaka umenisaidia mambo mengi sn

  • @moxmulo825
    @moxmulo825 2 роки тому +2

    Aisee bro joel nimesikiliza mwanzo mwisho kwakweli nimejifunza vitu muhimu sana ambavyo kiukweli nikifanyia kazi naona kabisa vitu vitakuja kufunguka.
    Mungu akubariki pia kwa kuendelea kutupa nondo muhimu zinazotusaidia kwenye maisha yetu ya kila siku.🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      Ahsante sana, tuendelee kujifunza na endelea kuwaalika na wengine.

  • @HellenaAkinyi23_30
    @HellenaAkinyi23_30 2 роки тому +7

    Ubarikiwe sana coach Joel kwa kushare huu maarifa kuu kwa youtube... You're a blessing in my life 😇
    Eagerly waiting to hear your reading coach🤗

  • @jovanafidelis2802
    @jovanafidelis2802 2 роки тому

    Yaani nimelengwa Moja Kwa Moja Hadi nahisi nimechomwa mkuki khaaa

  • @reiphan9894
    @reiphan9894 2 роки тому +1

    Ubarikiwe zaidi Nanauka

  • @francischiwangafrans3161
    @francischiwangafrans3161 2 роки тому +3

    Brazer somo zuri,Naomba namba zako ili tupate vitabu

  • @nassorokigeta9802
    @nassorokigeta9802 2 роки тому

    Naomba nikushukuru kwamara yakwanza mkuu nanauka mm nimepata mafanikio mengi sana kupitia kwako mungu akujalie kila lililo jema kwako amin

  • @simbamaepo3192
    @simbamaepo3192 2 роки тому +2

    Good creativity kwa kutusomea kitabu kizima. Hongera Mwalimu

  • @kigoracredit7314
    @kigoracredit7314 2 роки тому

    Safi sana kaka hii ndio nzul sana tulio wengi hatupendi kusoma ila tunapenda kusikiliza sana

  • @abduvensapa
    @abduvensapa 2 роки тому +2

    great work Couch

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 роки тому +1

    Jeuri yangu mjini na utajiri ninao miliki unatokana na kitabu cha kughairisha mambo

  • @hassanomary7353
    @hassanomary7353 2 роки тому +1

    Asante sana Kwa kutuamsha

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 2 роки тому

    shukrani bradha Joel kwa elimu pana

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 2 роки тому

    Hongera Joel Mungu akulinde

  • @daktariwamauzo
    @daktariwamauzo 2 роки тому

    Nilikisoma miaka 4 iliyopita, kimenisaidia sana kufocus, ahsante sana!

  • @subiramahmoud6863
    @subiramahmoud6863 2 роки тому

    Nanauka , barikiwa brother ❤️❤️❤️

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 роки тому

    Congratulations dear, great job

  • @omarjuma1794
    @omarjuma1794 2 роки тому +1

    #JoelArthurNanauka Jenius By Discovery

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 2 роки тому

    Kubadilika ni njia ngumu sana lkn inahitaji subra na plans na kudum nayo
    Naamini video zako ni njia moja lakini umuhimu zaidi ni ww mwenyewe kuwa tayari
    ahsante kwa maneno mazuri na yenye kutia hamasa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Subiri ni download 🙌🙌🙌🙌💃😍iiii video 💔

  • @abelgeorge7535
    @abelgeorge7535 2 роки тому

    Ubarikiwe sana kaka kitabu chako nilikisoma na kwa hakika kimenisaidia sana kuondokana na tabia ya kughairisha mambo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      Hongera sana sana👏🏼👏🏼👏🏼

  • @JasmineMilima
    @JasmineMilima 10 місяців тому

    😢Mm ni muhanga hususani matumiz makubwa ya kimtandao, kuliko kazi, pia najua kua mziki wakidunia ni dhambi Lakin nashindwa kuacha kusikiliza kutokana na upweke nilio nao nataman Hali hii initoke kabisa😢

  • @Rehema815
    @Rehema815 3 місяці тому

    Natamani ingekua vitabu vingi tunavipata kwa njia ya audio

  • @rosenaafya9356
    @rosenaafya9356 2 роки тому

    Uwiiiiiiii😫😫😫😫 uyo ni mimi 🥹🥹

  • @alexbushishi8342
    @alexbushishi8342 2 роки тому

    Limbic & Prefontal Contex ⏱️ for time management.💯

  • @nellyswithin6299
    @nellyswithin6299 Рік тому

    Ubarikiwe

  • @domimido8460
    @domimido8460 2 роки тому

    Sijui mi ntaoa lini jaman Yan Kila nikipanga naona maisha ya ndoa yatanishinda sio kwa kuogopa huku na miaka inakimbia kinyama daaah

  • @alonemakanyaga1760
    @alonemakanyaga1760 2 роки тому +1

    Nalewa sana kaka joel

  • @giserahenerico5185
    @giserahenerico5185 2 роки тому

    Naamin mahamzi yangu nikiyoyaogopa kuyafanya kwa mda mrefi hapa dawa imeshapatikana kujiamni na kufanya bila kughaili mungu anishike mkona mafanikio tumeumbiwa wote hapa duniani kumbe

  • @amaniupendo1078
    @amaniupendo1078 2 роки тому +2

    Merci beaucoup pour ton précieux livre. Vraiment il est très riche. Plus encore, ta voix qui lit. C'est comme si tu me parle directement.
    Be blessed.
    🇨🇩🇨🇩

  • @patrickpatrick6386
    @patrickpatrick6386 2 роки тому

    Shukrana

  • @williamkilulu2222
    @williamkilulu2222 2 роки тому +4

    kaka joel, kwa maneno yako naweza kusema unanifufua kila siku, hakika kwa mafanikio yangu yote sito kusaau, naitwa william dk naishi canada🇨🇦
    ila tanzania nimezaliwa

    • @williamkilulu2222
      @williamkilulu2222 2 роки тому

      mungu akupe maisha marefu
      mafanikio yetu yawe kwa kizazi chako kijacho..

  • @mwatanojongo9306
    @mwatanojongo9306 2 роки тому

    daaaah kwakweli unanishibisha ubongo kk yani kitabu icho nnacho na jinsi nilivo kielewa uwa napenda kukirudia kusoma mara kwa mara kk

  • @selemanihussein7873
    @selemanihussein7873 2 роки тому

    Thank you for the gift

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 2 роки тому

    Heko sana nanauka

  • @innocentswai6239
    @innocentswai6239 2 роки тому

    nzur sana life coach ila ningepndkez uwe unaweka may be audio mark au boom play

  • @matukiotv1146
    @matukiotv1146 2 роки тому

    My mental master amefikia kwenye game la *Audibook*
    Someone said ..YEAH.
    Lem see....
    Nimegundua wanaokomenti huku woooote ni Mabilionea miaka michache ijayo. aamin lab...

  • @deboramenard1855
    @deboramenard1855 2 роки тому

    Ubarikiwe sana kaka

  • @NoelJaysunny88
    @NoelJaysunny88 3 місяці тому

    Mimi ninatatizo la kuweka malengo kwa fikra mbili akili inaniambia nifanye iki nyingine inaniambia nifanyie iki na zote zinakuwa na nguvu nikijalibu kufanya kimoja akili inaniambia usifanye icho fanya iki mwishoe pesa zinapotea nashidwa kufika 😢😢

  • @mwinjatheson2367
    @mwinjatheson2367 2 роки тому

    Asant sana kiongozi nahitaji vitabu vyako

  • @ghfhfdtyfgggd6271
    @ghfhfdtyfgggd6271 2 роки тому

    Tunasubili na vitabu vingine.Mutuwekee

  • @ndumefit2141
    @ndumefit2141 2 роки тому

    Kaka je audio ipo kwenye boardcast

  • @hamzermahundu6371
    @hamzermahundu6371 2 роки тому +1

    Nipoo

    • @ibrahphones9945
      @ibrahphones9945 2 роки тому

      Salute mkuu mungu ata zidi kukubariki coz umenitoa kwenye gizaaa

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому

    Asante studios

  • @abdallahmakombo3866
    @abdallahmakombo3866 2 роки тому

    TABIA NZURI NI NGUMU KUIJENGA NA NI RAHISI KUIACHA "JOEL NANAUKA

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 2 роки тому +1

    Hizi mbinu zilinisaidia sana kipindi nipo Secondary,ulifundishaga Clouds kwenye kipindi Cha terminal

    • @daktariwamauzo
      @daktariwamauzo 2 роки тому

      At that time nilikuwa kidato cha tano, kilinisaidia sana na mimi, nilisikiliza CLOUDS FM

  • @JoyceHaule-v7t
    @JoyceHaule-v7t Рік тому

    Natamani ningejua haya mapema nilihairisha jambo wenzangu wapo juu walioendelea wamenizidi mara dufu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому

    Asante

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 2 роки тому

    Tupo pamoja

  • @muhamadharun9432
    @muhamadharun9432 Рік тому

    Hii content nzuri sana thank you kaka 🙏🏾

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Awesome 💐

  • @veronicawangari8089
    @veronicawangari8089 2 роки тому +1

    Niko dani kabisa 🤣

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 2 роки тому

    Kitabu ninacho na Audio hii Nitadownload. 😁shukran sana

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 2 роки тому

      Hongera Dea madini ayo ume nunuwa wapi naomba na mim basi nisome

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 2 роки тому +1

      @@faudhiasalum7279 Nilinunua Dar kwenye book shop zake Joel pale ubungo. Ila niliondoka nacho, ningekua karibu ningekuletea usome Dea.

  • @halimahleema5165
    @halimahleema5165 2 роки тому

    Mchungaji wewe niwabaraka Sana kwangu Ila ninaombi tusaidie kutubadilishia audio za secret books mara nyingi vitu vingi vinatupika lkn tunaitaji kujifunza Kwa Lunga raisi za kiswahili

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    💔

  • @BestinaCleti
    @BestinaCleti 11 місяців тому

    Asante