MFAHAMU MUNGU AKULINDAYE || Sunday Swahili Service || PASTOR GEORGE MUKABWA || 15/12/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 52

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry Місяць тому +7

    Kumbe huku kwetu Kenya MuNGU anatupenda hivio mtumisi wa MUNGU endelea kuwalea Hawa watoto wa MUNgU utaendelea kumbalikiwa AMEN

  • @millymatekwa4688
    @millymatekwa4688 Місяць тому +5

    Ushuuda unao fuata ni wa kwangu katika jina la yesu amen 🙏

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 Місяць тому +4

    Amen.. ushuhuda unao fata ni WA kwangu katika jina la yesu. GOD BLESS YOU PASTOR

  • @Patience763
    @Patience763 Місяць тому +7

    AMIN AMIN Nimependa sana shuhuda zote hataa nilikua nakata tamaa lkn MUNGU NI MWEMA YAANI MUNGU NI MWANZO NA MWISHO ❤❤❤❤❤

  • @silasmagesa6165
    @silasmagesa6165 Місяць тому +1

    Ameni Yesu kristo atanilinda siku zote na hakuna Vita yoyote itakayopangwa na Adui wa Aina yeyote kuniangamiza Mimi na kikundi changu ,pamoja familia yangu

  • @StellaMkhodya
    @StellaMkhodya Місяць тому +2

    Amina amen mungu naomba unitsaidie katika yote ninayoipitia kudhurumia kupitia mafunzo ya pastor mungu ingilia kati amina

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 29 днів тому

    Yani siku tatu nikisikiza neno halishi but nashukuru mungu Leo nimemaliza nikabariki, asanti mtumishi wa bwana mungu pia akulinde na familia yako

  • @Ministermaiyo
    @Ministermaiyo Місяць тому +2

    Hosea God bless your new step, we shall celebrate together April congratulations that what God has made for you

  • @AnneMwangi-j8w
    @AnneMwangi-j8w Місяць тому +2

    Fresh oil over me in Jesus name

  • @Sophie-u6e
    @Sophie-u6e Місяць тому +15

    Wakenya wa kwetu hao bendera inapeperuka

  • @PaulGimase-f7b
    @PaulGimase-f7b Місяць тому +3

    Amen am paul Gimase from kuria kenya

  • @rachellwanzo2335
    @rachellwanzo2335 Місяць тому +2

    nami nitashuhudia makku ya bwana soon and very soon

    • @SylviaMfaume
      @SylviaMfaume 28 днів тому

      Pastor unafanyika baraka sana kwetu, Mungu akuinunie zaidi na zaidi

  • @judysondara7654
    @judysondara7654 27 днів тому

    Kwa kweli Kuna nguvu za Mungu mahali hapa Matumishi pastor@George mukabwa umefanyika baraka kwa wengi

  • @MirriamOsanya-rw7nb
    @MirriamOsanya-rw7nb Місяць тому

    Amen,nami Miriam pia naamini nitampata wa kwangu,mme wangu mtarajiwa jitokeze

  • @irenekemunto9658
    @irenekemunto9658 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤ it is Avery beautiful day to me just humbled.natumia damu hai ya Yesu ambayo inanena wema na neema zake Mungu

  • @RachaelCharles-g5z
    @RachaelCharles-g5z Місяць тому

    Asante kwa somo zuri mtumishi mungu akuongezee hekima ili uzidi kunifundisha zaidi na siku moja mpaka nifike tanzania kwa ibada🙏🙏🙏

  • @glorianyambua1348
    @glorianyambua1348 28 днів тому

    Jambo moja nmejifunza kwa ushuhuda n kwamba ,,, Mungu yuko mwaminii tu

  • @mtumishidalmas4402
    @mtumishidalmas4402 Місяць тому

    Amen Man of God ni Mtumishi Dalmas from Kenya mwimbaji wa nyimbo za injli ipo siku nitafika

  • @GetrudaJohn-tf1kr
    @GetrudaJohn-tf1kr Місяць тому +2

    MUNGU Amenifungua kupitia mafundisho yako baba

  • @JaphetMohamedi
    @JaphetMohamedi Місяць тому +1

    Aimeni baba tunakuelewa sana kwa mtandao kwa mafundisho yako umenifungua pakubwa sana

  • @ROPHENCEBENDERA
    @ROPHENCEBENDERA Місяць тому +1

    Amina,, najiunganisha na madhabahu Bwana ni mokozi na mlinzi Wangu.

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl Місяць тому +2

    Amina

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 29 днів тому

    Ameen Ameen

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 Місяць тому +1

    Niko Hapaaaaass❤❤❤❤❤❤❤❤❤Ameeeeeeeeni❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @doreencenamonje9517
    @doreencenamonje9517 Місяць тому +1

    Asante sana YESU kwa neno lako

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 Місяць тому

    Amena Amena tunajimbatanisha na mazabu ya JRc kwa Jina la Yesu Asante kwa maombi ya psm 121

  • @MARYVICENT-m9c
    @MARYVICENT-m9c Місяць тому

    Aminaa mtumish wa Mungu ,Mungu azidi kukutumia .Hakika unafundisha neno na siyo uongo .

  • @HaronKithinji-p3v
    @HaronKithinji-p3v Місяць тому

    God bless you Man of God for teaching world of God

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 Місяць тому

    Nimebarikiwa sana sana

  • @PaulineMbuli
    @PaulineMbuli Місяць тому +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @BrianWekesa-o5e
    @BrianWekesa-o5e Місяць тому

    Amen pst nomeadikiwa sana kiroho

  • @dgracious
    @dgracious Місяць тому

    GOD walk with me

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 Місяць тому

    Amen baba

  • @marundimahugija8168
    @marundimahugija8168 Місяць тому

    Ameeeeeeeen.....Mom Lee

  • @Ministermaiyo
    @Ministermaiyo Місяць тому +1

    God is our keeper ..

  • @JescaEnock-g2p
    @JescaEnock-g2p Місяць тому

    Maombi ya hana

  • @prisca4612
    @prisca4612 Місяць тому

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏❤️🙏🏿

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤mpesa nr pls

  • @AlexKasena-d9p
    @AlexKasena-d9p Місяць тому +1

    Nice word, be blessed man of God

  • @HendricaAjiambo
    @HendricaAjiambo Місяць тому

    Mm natatizika nikituma sadaka inaleta jina Susan je nihio ama ni rong number

  • @ZachariaKiduma
    @ZachariaKiduma Місяць тому +2

    Amen ❤

  • @BettyNanniesAgencies
    @BettyNanniesAgencies Місяць тому

    Amen amen

  • @Sophie-u6e
    @Sophie-u6e Місяць тому +1

    Amina

  • @AnneMwangi-j8w
    @AnneMwangi-j8w Місяць тому +1

    Amen

  • @prisca4612
    @prisca4612 Місяць тому

    Amen!!!!!

  • @EsthermlongoEsther
    @EsthermlongoEsther Місяць тому

    Amen Ameen 🙏🙏🙏

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un Місяць тому

    Ameeen

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un Місяць тому

    Amina

  • @SabinaOchami
    @SabinaOchami Місяць тому

    Amen

  • @peninnahchepoisho861
    @peninnahchepoisho861 29 днів тому

    Amen