Nikweli kabisa dada riyama mimi mwenyewe mkewangu tunazidiana myaka kumi mimi nina miyaka 25 mke wAngu ana miyaka35 nampenda sana mana stamani kumpoteza kwasababu ni lulu yangu nimempata kwa ugum sana
Uwiiiii Kuna wanawake wanaingia kwenye ndoa za watu Kwa vishindo na matusi na mashindano juu Kila siku ni uchonganishi ndiyo maana watu wanauogopa uke wenza jamaniii raha ya uke wenza awe Mwenye dini, heshima ustatabu na adabu na mume awe na hela
Riama wewe ni mzuri MA SHA ALLAH… jitahidi upunguze mwili kidogo. Sbb mwili ni sbb ya maradhi mengi. Na pia inaweza kua ni kikwazo cha wewe kupata wtt dear. Nakupenda saana Riama.
Mie nampenda sana Riyama, ila hapo kwenye marafiki sijaelewa vizuri kwasababu kwanza amesema hana marafiki zaidi ya mume wake, wazazi wake na watoto wake, halafu baadaye amesema alimuunganisha Tabu Mtingita na nusu ya marafiki zake, Je hapo imekaaje?🤔
Lakini mbona mnamchoshaga rihama wangu. Kila kucha kumuuliza maswali kuhusu mume wake. Yaani miaka yote Kila interview lazima kuulizwa ulianzaje kumtongoza😢

Mashaallh kuna utu na ubinaadamu mashaallh vyote anavo riama mungu akupe unayohitaji
Umeonga vizur xaa dd angu m/mung atakup zaidi🙏🏻🙏🏻❤❤
Mdogo wanguu Riyama umetishaaaaaaa sanaaa, luv from Da Nuu 💕
Riyama kwenye Hilo lakukubali mmeo aongeze mke nakuombeya kwaAllah aifanye kuwasababu yawewe kupatawatotonaye amiin ,maana niwanawake wacace wenye kukubalihilo
Umeongea vzr sn Da Riyama kila la kheri
Nakupenda Dada Riyama ❤❤
Nikweli kabisa dada riyama mimi mwenyewe mkewangu tunazidiana myaka kumi mimi nina miyaka 25 mke wAngu ana miyaka35 nampenda sana mana stamani kumpoteza kwasababu ni lulu yangu nimempata kwa ugum sana
Riyama umenena sanaaa kuhusu chidi umenigusaa👏👏👏👏🤝
Uwiiiii Kuna wanawake wanaingia kwenye ndoa za watu Kwa vishindo na matusi na mashindano juu Kila siku ni uchonganishi ndiyo maana watu wanauogopa uke wenza jamaniii raha ya uke wenza awe Mwenye dini, heshima ustatabu na adabu na mume awe na hela
Anahekima sana nakupenda sana❤
Nakupenda riama sana ikosiku nitakutafuta
Allah akufadhi kipenzi chetu Riyama ❤Allah awalinde na family yako mpendane mskilizane daima🤲
Riama wewe ni mzuri MA SHA ALLAH… jitahidi upunguze mwili kidogo. Sbb mwili ni sbb ya maradhi mengi. Na pia inaweza kua ni kikwazo cha wewe kupata wtt dear. Nakupenda saana Riama.
Sasa kama mumewe ndo anapenda huo unene je jamani mradi hana 😅tumbo namanyama uzembe
Binadamu wanakazi sana mm nimekuelewa riyama
Big up Riyama nimependa majibu yako
🎉🎉🎉Mungu akubariki
Pachawangu❤❤❤❤ nakupendamno
Nakupenda da rihama❤❤❤❤❤
Riama mzur Mashaallah
Love Riyama ❤❤❤
Chidi chidi chidi chidi benz❤❤
Anaongea kiswahili fasaha haachanganyi lugha mashaa-Allah
Kumbuka pia kiingereza hajui labda ndo sababu!
😂😂😂😂😂@@kherichapa7324
Huyo ni mzanzibar na kiswahili fasaha kinapatika zenj
Huyu ndo rihama sasa❤❤❤❤
Riyama ❤❤❤❤ hoyeeeeeeeee
Riyama❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu awatunzie ndoa yenu
Hao wanaomchukia riama wote ni wamakonde yani wamakonde wengi ni washamba samba hiyo ndo shida
Daa riyama utakuwa wewe ni mamake chitoto mume fanana😅
Riama napenda unavyoongea. Na una busara saana.
Mie nampenda sana Riyama, ila hapo kwenye marafiki sijaelewa vizuri kwasababu kwanza amesema hana marafiki zaidi ya mume wake, wazazi wake na watoto wake, halafu baadaye amesema alimuunganisha Tabu Mtingita na nusu ya marafiki zake, Je hapo imekaaje?🤔
Ukiwa na d zako lazima uwelewe
Alewa neno alikuwa na marafiki ila kwa sasa hana
Riyama jamaa kashakumaliza !! Kakupa nini huyu jamaa?
Riyama ww ni mwanamke nanusu mke mmoja hatosh mume aowet ila aowe mke mwenyehof ya mung
Ameen😍🙏
Lakini mbona mnamchoshaga rihama wangu. Kila kucha kumuuliza maswali kuhusu mume wake. Yaani miaka yote Kila interview lazima kuulizwa ulianzaje kumtongoza😢
Chid bez ana akili ila akilewa tu ila yukopowa mmnoo
❤❤
Ulisema hauna marafiki zaidi ya wazazi na wanao.mbona unasema ulimpeleka kwa marafikizako unaofanya naokaxi
Marafiki zake kwajili yakazi
Mm mwenyewe cna rafiki ila ninaao niliosoma nao ndo hvy
❤❤🎉🎉
Nikweli kabisa dada riyama mimi mwenyewe mkewangu tunazidiana myaka kumi mimi nina miyaka 25 mke wAngu ana miyaka35 nampenda sana mana stamani kumpoteza kwasababu ni lulu yangu nimempata kwa ugum sana
Hongera kaza kijana. Umri mo tu
Sahihi
Mh 😂😂tafuta size yako bro
Mh 😂😂tafuta size yako bro
Mh 😂😂tafuta size yako bro
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤