RIYAMA ALLY :KUHUSU UGOMVI NA MWANAHER, TABU ALISHAWAHI KUSEMA ,KUHUSU SERIES YA HUBA…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 5 місяців тому +9

    Riyama mimi shabiki yako sana:sasa kashifa za roho baya hii inakujaje:mbona ufanani nayo? Ebu achana na malumbano yasiyokuwa na msingi.❤❤❤🎉🎉🎉

  • @PatrickTimoth
    @PatrickTimoth 6 місяців тому +5

    Nampenda sana huyu dada kwa kuigiza

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 місяців тому +1

    Mtangazaji macho na mdomo na mwanya na mtindi😋😋😋❤❤❤❤❤😂😂😂mie hoi nkuoe plse lkn mke wa 2

    • @reytox
      @reytox 5 місяців тому

      Ata wa 4 nipo tayari . Sunnah❤

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 місяців тому

    Riyama ww mzaramo lkn NAKUPENDA ❤❤WW NA MUMEO MUNGU AWAZIDISHIE UPENDO

  • @AshaAbdillah-gn3id
    @AshaAbdillah-gn3id 6 місяців тому +1

    Big fan of you Da Riyama sichoki kukutazama❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 6 місяців тому +1

    Mashaallah mie nakupenda sana riyma

  • @WemaRashidmsengule
    @WemaRashidmsengule 6 місяців тому +1

    Nakupenda riyama kuliko maelezo

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 місяців тому +1

    Napenda unaendana na mda mzuri
    Mda wako sio wakuchosha i mean sio mwingi

  • @fettymilly7664
    @fettymilly7664 6 місяців тому +2

    Hapo riyama ally alivyopiga kelele bila shaka alimuona sakina lyoka

  • @rahmaali2694
    @rahmaali2694 5 місяців тому

    Nampenda sana riyama❤❤

  • @Dareaziz
    @Dareaziz 5 місяців тому

    Riyama❤

  • @alhamdullilla5108
    @alhamdullilla5108 5 місяців тому

    Uyu mtangazaji sura mbovu ndiyo alitaka kumkosowa zari tha boss lady mpumbavu kumbe hana lolotee😢

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 5 місяців тому +3

    Ww ni mzaramo kwnza wanzj mnajiifanyaga hamuna kabila wkati wa znj mi wazafamk na wmakonde naqandengereko

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 5 місяців тому

      Mzaramo mmakonde 😂😂😂

  • @WahidaHilaly
    @WahidaHilaly 6 місяців тому +1

    ❤❤

  • @AshuraMnubi-qe4vy
    @AshuraMnubi-qe4vy 6 місяців тому +1

  • @lovirinaa
    @lovirinaa 5 місяців тому

    Wa tz mna penda vi benten ah

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 5 місяців тому

    Mama mateso

  • @latifaabeid-l7j
    @latifaabeid-l7j 5 місяців тому +3

    Wewe ni mzaramu

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 5 місяців тому +1

    Rihama ww ni mzaramu sio mzazimbari ww ni mzaramu hilisi kabila kwa baba sio kwa mama

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 6 місяців тому

    Mbona Iko nusu

  • @cutealaufy9508
    @cutealaufy9508 5 місяців тому

    Wewe sio mzazibar na kabila ninkwa baba sio kwa mama sema wewe mzaramu usidanganye watu bwana weeee

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 5 місяців тому

      Namie nilitaka kusema hivyo umeniwahi mtu anachukua kabila la baba aseme tu ni nzaramo ndio mana kalithi uchambaji😂

    • @husnathabiti4114
      @husnathabiti4114 5 місяців тому +1

      Ukute nje ya ndoa

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 5 місяців тому +1

      Inategemea umelelewa wapi Kwa watu WA pwani asilimia kubwa kama ulilelewa umamani ndo kabila lako huko

    • @esthermugoli4527
      @esthermugoli4527 5 місяців тому +1

      She didnt mean mzazibar anasema she was born in zazibar

    • @AshaAli-f9s
      @AshaAli-f9s 5 місяців тому

      Correct​@@esthermugoli4527

  • @EdinaMakote
    @EdinaMakote 5 місяців тому