KUMEKUCHA SHK.WALID ALHAD ATOA NENO MZOZO WA ARAFA AWATAKA WAUMINI WAMSKIZE KWA UMAKINI MKUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / riyadhtvznz
    FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
    TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
    UA-cam: www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 105

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 місяці тому

    Asante sana sheikh wangu M.mungu akubari.
    Watukubalie dua zetu.
    Na aturehemeshee marehemu wetu ishaallah

  • @ZuberiAbasi-ee2vr
    @ZuberiAbasi-ee2vr 2 місяці тому +2

    Mche mola wako kwa wewe unapotosha watu harafu naomba ujibu kaongeze elimu na mungu ni nani / kama tumia neno allah harafu hayo matumbo yenu na uchu wa madaraka arfa siku ya tisa katika mwez wa zur,hija makwata allah aongoze viongoz wake

  • @user-zw4tf5os8b
    @user-zw4tf5os8b 2 місяці тому

    Nakupnda sheikh waleed kwa ajili ya Allah ila hilo jambo la arafa rudi darsa zaidi ukasome!

  • @vicentpantaleo5837
    @vicentpantaleo5837 2 місяці тому +4

    Mimi apo nashindwa kuelewa kwan makka na uku nisiki Moja au ni tofaut

  • @user-tq4bv6gq5d
    @user-tq4bv6gq5d 2 місяці тому +1

    Allah akuongoze

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 2 місяці тому +1

    NENO SIKU.INA MAANA TUPO NA SIKU MOJA DUNIA NZIMA(YAUM).
    MM SIKOROGEKI KWA SABABU NIPO SIKU NA MWEZI MMOJA NA SAUDIA

  • @AhmadYusufu
    @AhmadYusufu 2 місяці тому

    mashallah dawaa zinaitajika siku wataelewa,shekh usichoke kutoa darsa.

  • @HamiduAbdallah-hd8wt
    @HamiduAbdallah-hd8wt 2 місяці тому

    Shekhe walikid muogope mungu wako kwa fatwah unazozitoa kwa waisilamu wa tanzania hakuna tarehe 2tofauti kati ya saudia na Tanzania ingia kwenye word krock tunajua kinacho waangaisha maslahi ya dunia hakuna Asiye jua kuwa BAKWATA.Aliiasisi Raisi Nyerere huko Iringa mwaka 1968

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 місяці тому +1

    Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 місяці тому +2

    SUBHANALLAH! MADAARAKA HAYA NI MTIHANI KWELI! HIVI MIAKA MICHACHE ILIYOPITA WAKATI UNASEMA ARAFA INAENDANA NA KISIMAMO CHA ARAFA ULIKUWA UNA CHANGAMOTO GANI???MUOGOPENI ALLAH NYIE BAKWATA!!

    • @maufoung
      @maufoung 2 місяці тому

      Hakuwa na helimu labda

    • @kisanganyakiswanta1379
      @kisanganyakiswanta1379 2 місяці тому

      Alikua amelewa labda😅

    • @SelemaniSelemani-bw4ps
      @SelemaniSelemani-bw4ps 2 місяці тому

      Tuletee hiyo video aliosema hivyo

    • @user-fb8ng4zu4r
      @user-fb8ng4zu4r 2 місяці тому +1

      Mbona hii clip ni ya muda kabla hata hajawa sheikh WA mkoa

    • @user-ox4fv4cf5l
      @user-ox4fv4cf5l 2 місяці тому

      @@SelemaniSelemani-bw4ps YAANI SHEKH ANAISHI TANZANIA ALAFU ANAKUJA NA HOJA YA CHINA UTADHANI NA YEYE NI MCHINA!

  • @user-su7eu5yn6q
    @user-su7eu5yn6q 2 місяці тому +3

    Hapo kweli umechanganya mambo kwasabu haziwezi kufanana arafaya kukusanywaloro na arafa ya kisimamo cha mahujaji nakukumbusha arafaya sasa ni ileya kusimama mahujaji sioya kukusanywa roho hataukizunguuka ukatoa mifano ya china hainamaanayoyote

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 2 місяці тому

      Ww kwl zuzu ndo uneongea nin apo

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 2 місяці тому

      Mnatuumiza vichwa kuwaeleza, kaeni chini msome kwanza kabla ya kuhoji au kujibu, unazungumza halafu hueleweki unazungumza nini. Sheikh anatoa mazungumzo ya Siku ya arafa maana yake nini wewe unazungumza mambo unayo yajuwa wewe.
      Unaambiwa funga imeanza kabla ya hijja bado huelewi.
      Kasome kwanza.

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 2 місяці тому +1

    Wee sheikh walidi weee hapo kwenye takbiiraah😂😂😂😂 aloo jamaa tusome lasivyo tutadanganywa saana na masuufiii😂😂

  • @HassanAhmedAbdallah
    @HassanAhmedAbdallah 2 місяці тому

    Jibu la kua hakukueko simu wala tv wala radio,hao walikua na udhur na ajabu unae jigamba msomi kama wewe, ukaiponza hii kaida " ما جاز لعذر بطل بزواله.Lenye kuruhusiwa kwa udhuru, ruhusa inabatilika kwa kuondoka udhuru. Imam suyuti katika kitabu chake, Al ashbah wannadhaair

  • @HossenAlly-xr6kb
    @HossenAlly-xr6kb 2 місяці тому +1

    Mwenye elmu hawezi kutuma sms kwa kumkosoa mtu katika jambo la hitilafu la wanazuoni

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 2 місяці тому +1

    Sheikh walidi hapo umekoea kdg hija na arafa zilikuwepo, kwani muanzilishi ni Ibrahim baba wa mitume na wewe mwenyewe umesema hapo punde kua mambo ya kuchinja na hijja yameanza zama za nabii Ibrahim , na ndiomaana kabla ya mtume Muhammed watu walikua wafanya ibada ya hija ila kufaradhishwa hijja ni zama za mtume Muhammed swallahu alyhi wasallam. Ila arafa imebaki kua ni sunnah

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 2 місяці тому

    hahaha.... hapo kwenye mchanganuo ndio umeniacha hoi sheikh. nlikuwa sinampango wa kucheka

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 2 місяці тому +2

    Mimi sijaona pia palipoandikwa hivyo IDULHAJJI

  • @matwilainoorfoundation
    @matwilainoorfoundation 2 місяці тому

    Jamani jamani jamani mmmh

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 2 місяці тому +1

    UPO VIZURI SHEKHE MWEZI NDO UNAFATWA.ANAGALIA ULIPO.WANASIMAMA
    ARAFA WE SOMA DUWA ZAKO KAMA KAWAIDA NA SIKU YAPILI ENDELEA MUHIM ANGALIA MWEZI NA TRH ULIPP

    • @zubedaallymuhammed8465
      @zubedaallymuhammed8465 2 місяці тому

      Sheikh walid allah akulipe kheri .na hawa majahili wanaofuata uzushi achana nao sisi twakuombea dua .na allah akulipe kheri

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 2 місяці тому

    kwan Tanzania na kenya si nichi tafauti kabla palpokua hapana mawasliano kila nchi ilikua inafunga peke yake nn kilchowafanya sasa hv kufunga pamoja kama si mawasliano

    • @HassanAhmedAbdallah
      @HassanAhmedAbdallah 2 місяці тому

      Na ndio siku Mtume swa alishukishuwa Aya alyawma akmaltu lakum diynamum akiwa katika Kisimamo cha arafa,waambie nahilo. Hadithi ndani ya bukhari na muslím

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 2 місяці тому +1

    USISAHAU KUMFAHAMISHA KADHI WA KENYA MASAA YA CHINA YEYE AMETOFAUTIANA NA TANZANIA KUHUSU ARAFA

    • @makenaOG
      @makenaOG 2 місяці тому

      Mashekhe wa huko kenya tayari washamkosoa

  • @twahamkasi-gn1lo
    @twahamkasi-gn1lo 2 місяці тому +2

    kwa nini mifano ya arafa unatolea china .kwa nini hamtolei tanzania

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 місяці тому +3

    ALAFU MBONA NYIE HUWA MNAPENDA KUTOA MFANO WA CHINA AU AUSTRALIA? KWANI TANZANIA AMBAYO MNAISHI INATOFAUTIANA NA SUUDIA MASAA 6??? WEWE TNZANIA UNAPASWA KUZUNGUMZIA MACHWEO YA TANZANIA NA SI CHINA MAANA SISI SIO WACHINA!

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 місяці тому

      Wanazungumzia china maana tumeambia ndani ya quraan itafutieni elmu japo china
      Mfano mwengine tu suudia ni arafa uk australia canada na nchi nyengine bado haijafika hiyo siku upo ndugu yangu

    • @user-ox4fv4cf5l
      @user-ox4fv4cf5l 2 місяці тому

      @@shamzone388 Sasa yeye aache kupotosha umma kwa kutetea maslahi yao aizungumzie Tanzania na Suudia kwmba je tuna tofauti ya maasaa 6 kiasi kwaba tuwe na trh mbili tofauti??

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 2 місяці тому +1

      ​@@shamzone388hakuna qur'an ilotwambia tafuta elimu mpaka China mnapata dhambi shauri yenu

    • @makenaOG
      @makenaOG 2 місяці тому

      Hivi unajuwa saudia wanaswali alfajir saa tisa kama nusu hivi je tz wanaswali alfajir saa ngapi kwa hiyo hata kama masaa yako sawa ila kwa Saudi jua liko mbele sana

    • @user-km7xi4ev9j
      @user-km7xi4ev9j 2 місяці тому

      ​@@makenaOG kutofautiana masaa na mawio na machweo co hoja.
      Mtume allaah amfikishie rehema na amani ametufahamisha tufunge cku ya arafa.
      Hvy alie mbele au nyuma ya saudia (TUKIO LA ARAFA) ataanza swaumu kwa mujibu wa alfajiri ya mahali alipo lkn siku ni hii hii jumamosi kwa maana hakuna nchi iliozidi masaa 8.
      Kwa sbb huko china saa hii saa kumi na nusu hvy yumo ndani ya siku ya Arafa (JUMAMOSI) na
      huko canada saa hii ni saa kumi na nusu Alfajiri wanakula daku kwa ajili ya swaumu ya arafa ndani ya jumamosi hii hii.
      HVY TOFAUTI YA MASAA, MAWIO NA MACHWEO C O HOJA Y MSINGI
      Kw nn tuwe na siku 1(JUMAMOSI)
      lkn tarehe zitofautiane?
      Tafakari

  • @NammanaMobile
    @NammanaMobile 2 місяці тому

    Unaweza kuwa sawa na unachokiona... Lakin hoja ya msingi ni kupishana kwa siku mbili tofauti... Ikiwa Mungu aliewaambia wafunge kwa kuuona na wafungue kwa kuuona ni waislam waliopewa quran na kuipokea na ni walimwengu mzima siyo wa location fulan kwann unapoandama mwez dunia popote pele tusiufuate ikiwa wale ni waislam na wameuona mana Mungu aliposema fungeni kwa kuuona hakuweka matabaka ya kusema kwa sehem flan ila wangine wasubiri mpaka wauone au watimize maana yake hii sunna kuna baaz itawakosa I kwa wote wa dunia nzima atashindwa kufungua et mpaka uone...... Sawa tuachane na ayo kama hatutaki kuifanya maka iwe uongozi wa dunia kuandamisha mwez ili tufuate... Mbona kibla tunafuata... Na mbona hijja tunaenda hiji kule

    • @saidilikananowe1446
      @saidilikananowe1446 2 місяці тому

      Kwa fikra zako umeona huyu sheikh hakuna anachojua kwa huu msimamo wake ila ww ndio unataka umfundishe sio?

    • @NammanaMobile
      @NammanaMobile 2 місяці тому

      @@saidilikananowe1446 ww ubongo wako umeganda... Walioambiwa apa ni waislam.. Wote.. Quran haikulenga location... Inaposema yaaayuha nnasu au yaaayuha nlazina amanu ni kwa wote maana yake unapisikia sehem flan umeandama wote sisi ni waislam tunatakiwa tuabalishane

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b 2 місяці тому +1

    Endelea hivyo hivyo kuwachezea wasiojielewa wavivu wasio soma na wasiofuatilia uislam

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 2 місяці тому

      UMESOMA WAPI ?
      MBONA MASHEKHE WA SAUDIA NDIYO FATUWA YAO HIYO
      MAWAHABI WA TZ HAMWISHI KUJIPENDEZA KWA WASAUDIA WAKATI WASAUDI HAWANA HABARI NA UPOTEVU WENU MAWAHABI
      ALLAH AKUONGOZENI NYINYI PAMOJA NA SISI AMIN

  • @bihayisefu8810
    @bihayisefu8810 2 місяці тому

    Nam shekh: tofauti nini kt ya kufunga taraerhe na tukio la arafaa?

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 місяці тому

    Hatutaki manrno kujifanya unahua kuongea et kuchanganua
    Ni kinachotakiwa ushahid na wa qur'an na hadith
    Sio mabeno utoe kichwan
    Huyo unae mtaja nurdin humuwez
    Ubishi tu lkn nafsi inakusuta

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 2 місяці тому +1

    😂😂❤❤

  • @mohammedabdallahalazri3238
    @mohammedabdallahalazri3238 2 місяці тому +1

    Sasa kama hiyo siku ya arafa ndiyo siku zilizoumbwa roho zote.Jee hizo roho za Wanzibari wa Oman wa Saudia wa Tanganyika ziliumbwa siku tofauti na hii Iddi tunayosali mwezi kumi haihusiani na hijah ya huko Makka?

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 2 місяці тому

      Allah ndo anavojalia wakat awa wamepumzika wengine wanafanya ibada na siku anavohesabu Allah na sisi sizanikama sawa kwa elimu yangu yakusoma qur'an

  • @majidkhalifa3250
    @majidkhalifa3250 2 місяці тому

    kwahiyo shekhe yeye kasoma sana kuliko wenzake wanakopi mh elim nipana

  • @salehthesword
    @salehthesword 2 місяці тому

    Yaani Waislamu msipate tabu ukishamuona Shee anamipete imemjaa ujue hamna kitu.

  • @nassorsarahan8334
    @nassorsarahan8334 2 місяці тому

    Suali alipo amrishwa kumchinja yy slikua ana miaka mingapi

  • @babukhamis1246
    @babukhamis1246 2 місяці тому +1

    Mashehe wetu wamekuwa KAMA wachungaji makanisani

  • @HassanAhmedAbdallah
    @HassanAhmedAbdallah 2 місяці тому

    Mbona hutuambii Tanzania watwambia chaina? Alafu hujambiwa swamu ya siku ya arafa, hivyo hata tukitafautiana masaa 10 ikabaki masaa2 tu bado yupo ndani ya siku ya arafa. Haya ww hapo na maka mnatafutiana matlai?

  • @SafiaHaji-fo3sl
    @SafiaHaji-fo3sl 2 місяці тому

    mstowe mawaidha kwa kujionesha

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 2 місяці тому

    Akaaa!Imchuzi mwekundu!kwrli jmniii huyu ni kituko na sio kichekesho!

  • @tibabilashirki3712
    @tibabilashirki3712 2 місяці тому

    Munatakiwa mumfate mumfikishie Sio kusema humu

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 2 місяці тому

    Mtume alisema"HIJA NI ARAFA"sasa hizo porojo za nini?au hii hakuipata?hapa sio pahala pa vichekesho ni pa kutoa hoja za kielimu!huyu kweli ni kiongozi wa waislamu?

  • @hldysnlk
    @hldysnlk 2 місяці тому +3

    Matumbo yatawapeleka Mashekhe Pabaya...
    Hayo ni kwa wale mapoyoyo..
    Illa kwa watu wenye akili sawasawa na kuchanganua haqiqa ya dini hamuwezi kuwapoteza kizembe haiwezekani.
    Saudia na Tanzania....swasawa tuu..
    Tuliopita ktk darasa la Geografia...tunawaona mnapiga tiktaka tuu illa mwajua ukweli..

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 2 місяці тому

      Hakukuwai kuwa na hoja suudia na tz bali duniani na ikiwa dunia wakat suydia saa12 kwengin saa9 usiku awajapat taraweh awajatia nia awa watafung sawa na saudia

    • @jumanneomary2997
      @jumanneomary2997 2 місяці тому

      Jiheshimu

    • @SharifuKombo-rb6vk
      @SharifuKombo-rb6vk 2 місяці тому

      Hy ww ndy umeongoka jmn

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 місяці тому +2

    PIA HAIINGII AKILINI ETI TANZANIA NA SUUDIA ZINAPISHANA TOFAUTI YA DK.CHACHE ZIPISHANE TAREHE YAANI NA TRH MBILI TOFAUTI!!! NYIE ENDELEENI KUTETEA MASILAHI YENU KWA GIA YA DINI

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 2 місяці тому

      ARAFA NI MWEZI INAO ANDAMA DUNIA NZIMA
      NA SWAUMU YA ARAFA HAIYUSIANI NA HIJJA
      HATA KAMA HIJA HAIPO ARAFA IPO PALE PALE

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 2 місяці тому +1

      Tarehe gn na mwezi mbn kifuu tundu ww

  • @maufoung
    @maufoung 2 місяці тому

    Duh! Shekh Warid we kiboko😆umeifanya vipi hii?

  • @majidkhalifa3250
    @majidkhalifa3250 2 місяці тому

    mbona hakukua na gari enzi ya mtume kama haifayi kuangalia tv

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 2 місяці тому

    Acha kubabaisha waislamu kuna siku inaitwa arafah? Dalili yako ni nn eti hiyo siku yaitwa hivyo muongo sana we shekh Allah anakuona

  • @MariamHamad-cd6hy
    @MariamHamad-cd6hy 2 місяці тому

    Hebu jiulize nafsi yako je Ile siku ambayo watu wote duniani pamoja na ndugu zetu watanzania pia wanaposimama arafa makka sio yaumu arafa ?na hii siku yetu ya kitanzania Tu ndio siku ya arafa?tusiburutweee ndugu zangu na watu wasio na elmu Bali tuwasikilize watu wenye ilmu ahlulilmu.tuitukuze ibada ya hijja tusije tukapinga nguzo ya kiislam.unajifananiza na watu wa marekani na China wakati wewe uko karibu na Makkah umepishana nao Makkah Kwa dakika Kumu na tano tu.waangalieni hao mashehe zenu hao ubwabwa wanatoa mawaiza ya Stori za paukwa pakawa kisha wanakushanya hela hapo halo mbele yenu , ndugu yangu amkaaa!

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 місяці тому

    Haya maneno ni mazuri na ni matam lkn sasa atupe rejea tupate kusoma zaid

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b 2 місяці тому

    Hana Aya wala hadithi ndo anachanganua hivyo

  • @hemedmselem4889
    @hemedmselem4889 2 місяці тому

    Baada ya kuteuliw aumebadili msimamo ?
    We si ulisema tuende sawa na arafa ?
    Wape wafuasi wako hadisi za mitaani uongo ukiwakolea wacheke
    Wakishacheka watakuona ww bonge la shehe
    Kumbe hamna kitu ni ilmu l falaq tu

  • @user-su7eu5yn6q
    @user-su7eu5yn6q 2 місяці тому +11

    Waislamu wote nindugu sasa unapungukiwa Nini ww muislamu watanzania Ambae masaa,siku zinaendasawa namji mtukufuwa maka ambako ndipo inapotekelezwa ibadatukufu ya hija ambayo ndaniyake inapatikana kisimamocha arafa unakossnini ukifuata tareheya mahujaji unakossnini na tangazo la Allah tushikamane kwenyekambamoja sasa ipi mnang,ang,ANIA tarehezenu tuwekeni wazi mnapata faidagani mkitengeneza hitilafu sahemu ambayo ipowazi sana?

    • @checkcheck5191
      @checkcheck5191 2 місяці тому +2

      Kweny vitu vyenye dalili usitumie akili.

    • @braqutourssafaris4672
      @braqutourssafaris4672 2 місяці тому +2

      Shida yenu mkishindwa hoja mnatia huruma na kusoma Aya nyengine 😂😂jibun hoja kwenye sunna na hadith uislamu sio WA Tanzania peke yake na Wala wacha Mungu hawako hapa peke yake

    • @makenaOG
      @makenaOG 2 місяці тому

      Changanua utapata jibu sahihi

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 2 місяці тому

      ​@@braqutourssafaris4672saa wakati makka wanaon mwezi kuna nchi huko saa9 usiku awajapata taraweh atania awakupat je dunia nzima twende sawa . Kwasab atasaa za kizungu akuna anaengalia kwa mwenzie anaangalia masaa na dkk zake zitimie cku ibadilike

    • @hassanabazar9411
      @hassanabazar9411 2 місяці тому +3

      Arafa siyo kisimamo arafa ilikuapo kabla ya hijja tusomeni hadithi za mtume

  • @eddiqota
    @eddiqota 2 місяці тому +1

    hiyo siku ni moja ama mbili
    sasa kama Allah aliwauliza watu siku 1 ina maana gani mnapotaka kuwepo siku tofauti ?

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 2 місяці тому

    Sija kuelewa

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 2 місяці тому +2

    Huna lolote

    • @AllyAlmiskry-yy3xk
      @AllyAlmiskry-yy3xk 2 місяці тому

      Bora wewe mwanawazuoni kama yeye Hana lolote soma kwanza usimkosoe tu

    • @AhmedAhmed-gf1rd
      @AhmedAhmed-gf1rd 2 місяці тому

      Ww unalo tuambie somo yngu

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому

    Waislam wanachoka kwa mizozo hiyo masheikh kila mwakaaaaaa