Halima Mdee Amvaa Vikali Waziri Mwigulu, Spika Tulia Aingilia Kati, Msukuma Aweka Neno Ku..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 73

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 7 місяців тому +5

    Meigulu aswekwe ndani sasa. Amewadharau sana watanzania. Ataifishiwe mali zote nje na ndani. Gerezani maisha bila kumwonea huruma..Aache like si na kukejeli wananchi.

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 7 місяців тому +4

    Hapo serikali inatuchanganya.
    Bora wangesema tender apewe mtu mwenye uwezo wa kusubiri malipo yetu kwa awamu

  • @mwljosephmlitas
    @mwljosephmlitas 7 місяців тому +5

    Halima na spika bigup nimekuelewa

    • @johnchuwa2888
      @johnchuwa2888 2 місяці тому

      Tuna waziri wa fedha asijua kutetea hoja yake

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 7 місяців тому +3

    Bashungwa unasikilizwa kuliko mwigulu hongera

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 7 місяців тому +4

    Huyo mama wa hapo pemveni anaonekana na MNAFIKI😂😂😂

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 7 місяців тому +2

    Spika uko vizuri na Mdee uko vizuri pambana na na huyo waziri,anajichanganya tu

  • @HumphreykirutuKirutu
    @HumphreykirutuKirutu 7 місяців тому +3

    Jenister anakiherere cjawai kuiona

  • @jainkamwela2015
    @jainkamwela2015 2 місяці тому +1

    Hivi mawazir kama mwigulu😂😂😂😂😢😅

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 7 місяців тому +2

    Huyo mama aliyepemben kwan vipi anapiga makofi wananchi hatumuerewi!!!

  • @anethkatoto3630
    @anethkatoto3630 7 місяців тому

    Namuona MH Bashungwa Yani mm chawa wako ushapita miaka mitan tena bila kupingwa 🥰

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 7 місяців тому +4

    Mwiguru uwezo huw hana kabisa cjui ichi cheo anapatajee. Kwauchawii tuu

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 7 місяців тому +2

    Mbona siwaelewi wabunge,anachokise Mwigulu mnapiga makofi,akibananishwa na spika mnapiga makofi,sasa mko wapi ninyi

  • @isiakakamtande2749
    @isiakakamtande2749 2 місяці тому

    Mwizi tu😊

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 7 місяців тому +3

    Samia na watu wake ni vituko

  • @malackayubu606
    @malackayubu606 7 місяців тому +1

    Huyo mama hàjielewi,badala ya kuhoji masilahi ya waliomchagua,kazi yake ni kupiga meza,hakika Kuna shida katika uelewa.

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 2 місяці тому +1

    Alim mdee😂😂

  • @isiakakamtande2749
    @isiakakamtande2749 2 місяці тому

    Barabara ya njombe ludewa mkandarasi hayupo site ngoja mvua inyeshe siku tatu mpaka tuseme kazi iendelee

  • @StivinSapi-eg7kr
    @StivinSapi-eg7kr 2 місяці тому +1

    Waziri wa fedha hakuna kitu

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 7 місяців тому +1

    Kutafuta pesa sisi hatutaki kujua wala kusaidia as long tumeshaweka mkataba na wao na value ya tenda ipo mentioned

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 7 місяців тому +1

    Aiseeee hiki hapa ni shinda

  • @fredrickjoseph2907
    @fredrickjoseph2907 7 місяців тому +1

    Huyu mwigulu ana dharau sana.

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 7 місяців тому +2

    Spika unacheka wakati ni maswala ya serious

  • @johnchrisbrown-b5g
    @johnchrisbrown-b5g 2 місяці тому

    Huyu aliyekaa na huyu jamaa Mbona kazi kupiga makofi kwa kila kitu huyu mama Mbona cmelewi 😅😅😅😅

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 2 місяці тому

    Hivi hawa ndiyo wasomi watakaotutoa hapa kweli Mungu avunje huu mfumo aweke mpya vinginevyo tumekwisha

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 7 місяців тому +4

    Huyu mpigaji

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 7 місяців тому

      Ni mwizi.

  • @hopefully7090
    @hopefully7090 2 місяці тому

    Fedha anachukua kusajili team mabbiioni.

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 7 місяців тому +1

    Hivi huyu Mwiguru aliteuliwa na nani jamani yaani tuna bonge la bomu la waziri wa fedha ni nini hiki jamani

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 7 місяців тому +1

    Mambo yakitaifa haya

  • @CalmOmbreSky-iz2hj
    @CalmOmbreSky-iz2hj 19 днів тому

    Mwigulu kaa pembeni unacho kiongea sikuwewi😂😂😂

  • @Estarmarwa
    @Estarmarwa 2 місяці тому

    bunge lakiuni mawaziri ote mafisidi sta sipika mwenyewe beleko kiujumla atunabunge wala viogizii wotemafisandi

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 7 місяців тому +1

    Mnatuletea wakandarasi wasio ña vigezo inamaana ni watu wao wapigaji tu

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 6 місяців тому +1

    Alishachukua ten parcent huyo

  • @EjaRoman
    @EjaRoman 4 місяці тому +1

    Mmmh app lazma ichinguzwe jaman ndug zang

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 7 місяців тому

    Huyo Jenista anapiga makofi tu😂

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 7 місяців тому

    Mh.Jenista Mhagama utavunja hiyo meza,duh🤨

  • @stanslausmateru
    @stanslausmateru 7 місяців тому

    Kwa mazingira ya mjadala huu, hekima ya Mh. Tulia inadhihirika wazi, kwa kweli nchi yetu inahazina kubwa sana.

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 місяців тому

      Huyu mbarawa ndo alipigia bandari debe ad imeenda Mzee magu alimtumbuaga

  • @abdallahmkodo
    @abdallahmkodo 7 місяців тому +1

    Uyo mama aliyekaa karibu na mwiguli kazi yake kupija mezatu

  • @Ba63828
    @Ba63828 7 місяців тому +1

    Mijadala murwa na wabunge wamejitihidi kuelemisha tunaofuatilia ila it is very wrong kwa serikali kun'ga'gania kinamna msimamamo wake kwa kudai these are very tecnhical

  • @HassanSwize
    @HassanSwize 2 місяці тому

    Inaonelana Mpango Wa Waziri Na Kuongea Hayo Si Kweli Maana Yake Kumpa Mjenzi Kazi Na Hana Uwezo Hapo Inaonyesha Kuna 10%P Huo Ugaigai Wa Waziri Na Ndio Maana Anashindwa Kutoa Ufafanuzi Wakurizisha,

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 7 місяців тому +1

    Huyu jamaa anaegemeo lakinga ya uharibifuwa fedhaza zetu kujiamini from out of nothing hituachamidomo wazi maana hujitanuasamakwakitu ambacho hana..

  • @JenithaMligo-kc5uj
    @JenithaMligo-kc5uj 2 місяці тому +1

    Balabala yete ya ludewa njombe ilikua nzuri yangu magu imetelekezwa nyie kwetu kula hazipo

  • @ajmagowaajetha
    @ajmagowaajetha 7 місяців тому +3

    Watanzania wezangu hivi huyu waziri wa fedha aoni aibu kweli yaani anaona watanzania wajinga yaani huu mradi ni fursa ya ufisadi yaani daah Tanzania 🇹🇿 yetu

  • @MwesigePoul-bg4jd
    @MwesigePoul-bg4jd 7 місяців тому

    Uyu mpigaji

  • @johnchrisbrown-b5g
    @johnchrisbrown-b5g 2 місяці тому

    Jenister kazi ni makofi wakati hajaelewa chochote kile

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 7 місяців тому

    Huyu anapiga sana hadi anajichanganya

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 7 місяців тому

    Mwigulu wizara haiwezi

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 місяців тому

      Huyo wapembeni kazi yake kupigapiga makofi tuu halina uko vizuri

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 місяців тому

      Mwingulu anasema watu hawajui kingereza anamaanisha watz hawana elimu jamani

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 місяців тому

      Huyu mbarawa ni walewale

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 7 місяців тому

    JPM alimuona kumupinga chini aikua batibaya dkt tulia oyeeeeeee

  • @kushcultureralph568
    @kushcultureralph568 Місяць тому

    Huyu mwigulu ni mwizi na hukumu yake haiko mbali,ipo siku atakuja kiongozi makini tutamkumbusha kuhusu hili jizi

  • @StivinSapi-eg7kr
    @StivinSapi-eg7kr 2 місяці тому

    Mpigaji huyo

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 7 місяців тому

    Hakuna mkataba hapo ni utapeli

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 7 місяців тому

    JPM alimuona kumupinga chini aikua batibaya

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 7 місяців тому +1

    Yaani mtu upo bungeni kazi yako nikupiga makofi tuu kwa kila atakae ongea..upuuzi mkubwa sana huu unaendelea bungeni

    • @abdallahmkodo
      @abdallahmkodo 7 місяців тому

      Kweli kuna wengine kazi yao kupiga makofi

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 2 місяці тому

    Mnapogonga meza hata kabla mtu hajamaliza kutoa joja inakuwa ka kafujo.

  • @Estarmarwa
    @Estarmarwa 2 місяці тому

    sipika.acha beleko unamtetea mwinguru naweupokwenyefilen nasiku moja nafis itaigea watz tumewachoka tena tumechoka na maduduyenu zikijaoja zenyemaana mnazipiidisha dada yetu anampinga mwinguru wewe unamtetra

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 7 місяців тому

    ila sipika tulia ana moyo wa dhati na inchi yake

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 місяців тому

    lakini mbona hawamruhusu huyu waziri aongee? wanamuuliza maswali halafu akitaka kujibu wanamuingilia kabla hajaanza hata kujibu..mmmh jmni. ila nae mvumilivu mnooo mtu wa watu

    • @ErizicDaud
      @ErizicDaud 7 місяців тому

      Wanajua janja yake

  • @JenithaMligo-kc5uj
    @JenithaMligo-kc5uj 2 місяці тому

    Mama wee pemben mpumbavu

  • @calistusmahombo-ty8ni
    @calistusmahombo-ty8ni 7 місяців тому

    Hivi lazima mawaziri hawako wengine?

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 7 місяців тому

    Wacha kelele COVID-19

    • @calistusmahombo-ty8ni
      @calistusmahombo-ty8ni 7 місяців тому

      Kama madini hayo aliyotoa unaona so kitu kiasi kwamba Binge lote linazizima tujitafakari.

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 7 місяців тому +1

    Huyo mama wa hapo pemveni anaonekana na MNAFIKI😂😂😂