MAALIM SIASA AMWAGIKA MCHOZI AKIMUELEZEA HAJJAT BI.AKIBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 сер 2022
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Editors:
    Ali Hassira
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

КОМЕНТАРІ • 262

  • @husna34562
    @husna34562 Рік тому +56

    Mashallah mpka naona wivu wallah Allah amjalie awe pamoja na watu wema nas atupe mwisho mwema

    • @mwanaikaomar8628
      @mwanaikaomar8628 Рік тому +7

      Namie ndo hivohivo naona wivu mwenzangu.jambo sio dogo hili.asiekuwa na wivu Kwa hili Hana akili.Allah atupe shahada wakati wa kufa kwetu na sisi Yaa Rabbiy

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 Рік тому +2

      Amiiiiiiiin yaaa rabbil aaaalamiiiiin🙏

    • @Tatafati-uk8vy
      @Tatafati-uk8vy Рік тому +2

      Amin

    • @husna34562
      @husna34562 Рік тому +2

      @@mwanaikaomar8628 Amiin

    • @aminaabrahim9656
      @aminaabrahim9656 Рік тому +2

      Allahhumma Aamiin yarrab

  • @danielmwijage3045
    @danielmwijage3045 Рік тому +11

    Mama pepo meingia moja kwa moja ni wachache watakao watakao pata hii fulsa. Ewe Mola tujalie mwisho mwema kama ulivyomjalia mama yetu. Amin

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 Рік тому +40

    Daaah Yan mtu akifa hivyo m hua naona wivu...Allah nijalie mm na wenzang tufe ilhal n waumin....

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Рік тому +24

    Mashaallah mama kenda salama kbs hd raha jmn 😢😢mungu ampe pepo ya pamoja na kipenz cha waislamu ( mtume ,s , w ) inshallah na mungu atupe mwisho mwema inshallah 🤲🤲😢😢

  • @shi5a_
    @shi5a_ Рік тому +19

    M mungu amrehem amlaze pema pepon amiin na waislam wote amiin

  • @nasrahozza9231
    @nasrahozza9231 Рік тому +17

    Mashaallah yarab atujalie mwisho mwema

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому +11

    Alhamdulilah MashaAllahMwenyeEnzi Mungu Amjaalie heri kaburini na siku ya kufufuliwa na siku ya hukumu. Na sisi Mungu atusamehe na asituachie tukawa miongoni mwa waliopotea, atujaalie tutimize nguzo Tano zote za uislam na atujaalie janat iwe makazi yetu

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 Рік тому +15

    Mungu alipanga kifo chake kitokee akiwa hija kuna haja ya kutafakari sisi je sisi kitatukuta tukiwa wapi?

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 Рік тому +1

      Utafaishi kimatendo yako na harakat zako na imani yako ndio utakavyokuwa.kifo chako ila tuwache hanasa na maovu Inshallah

    • @kbadijasalim5682
      @kbadijasalim5682 Рік тому

      Kweli kabisa

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 Рік тому +18

    Mashaaallah wallah mpaka unaona wivu allah atupe husnu khatima

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 Рік тому

      Inshaallah

    • @fairunalhashy6938
      @fairunalhashy6938 Рік тому

      Mashaallah hajjat bi akiba amepata bahati kubwa nataman inikute na mm yarabi marhum akiba Allah akurehem akupe kauli thabit

  • @abuuhanan6686
    @abuuhanan6686 Рік тому +5

    Zaman mtu akifa kifo kibaya watu wanashangaa saiv mtu akiwa na mwisho mzur ndo ajabu Allah amempikea mja wake mashallah

  • @omanruwi4935
    @omanruwi4935 Рік тому +7

    mashaallah
    nimejifunza mengi allah amlaze mahal pema

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Рік тому +10

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ampe kitabu chake kwa mkono wake wa kulia allahumma ameen yaarab

  • @zulfahafidh7796
    @zulfahafidh7796 Рік тому +5

    Ma sha Allah mwenyez mungu awajaalie jannatul firdaus wote walotangulia mbele za haki Amiin🤲

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 Рік тому +7

    Innalillah wainnaillah raj'uun. Wallah nimetamani Hadi kulia. Allah atujaalie waislam mwisho mwema

  • @mapishiyakwetu
    @mapishiyakwetu Рік тому +6

    Innalillah wainnailaihirajiun mashallah.Allah atujaalie mwisho mwema na sisi sote Amin🤲

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Рік тому +15

    Allah amuhifadhi masha Allah mama ame ondoka kwa history nzuri

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому +6

    Mashaallah jmn Mama ameenda vizuri sana,😪😪😪Allah atujalie mwisho mwema

  • @sadafinanivako3991
    @sadafinanivako3991 Рік тому +3

    Kwahakika mama huyu mungu amemjalia pepo ndunguzangu tuzilindeni nafsi zetu juu yamabaya kwahakika mungu anamalipo mazuri aherah amina

  • @umminelson8487
    @umminelson8487 Рік тому +6

    Ina lillah wainah illah rajiun Allah amjaalie Jannatul firdaus iwe maakazi yake nasi atupe mwisho

  • @dazuujuma941
    @dazuujuma941 Рік тому +9

    Ewe Mwezi Mungu mwingi wa rehma mwenye kurehem kwa unyenyekevu tunakuomba utujaalie kabla lmauti tawban , Wai'nda lmaut shahadan , wabaada lmaut jannat wanaiman wamulkan kabiira. Amin

  • @user-vs1my5bn7c
    @user-vs1my5bn7c 2 дні тому +1

    Mungu amrehem amlaze pema pepon amiin na waislam wote amiin

  • @user-tn5gl6zu2v
    @user-tn5gl6zu2v 3 дні тому +1

    Ma shaa Allah Alla amjalie pepo kama alinyo omba mwenyew😢😢😢

  • @swalehbinaliy9413
    @swalehbinaliy9413 Рік тому +8

    Allah amrehemu na amsamehe makosa yake sisi tupo nyuma yake Allah atujalie mwisho mwema

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 Рік тому +6

    ALLAH AKBAR ALLAH atujaliye mwisho mwema ss na vizazi vetu kwa ujumla AMEEN 🤲

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 Рік тому +4

    MashaaAllah tabaraka Rahman hakika mama etu aliipa mgogo dunia na akaitengeneza khara yake nakwauwezo wa Allah amefanikisha ilo Allah atujaharia nasio tuwe wenye kufanya kheriii na atupe mwisho mwema 👏

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Рік тому +5

    Allahuma ghufirllaha warhamha waaskinaha filjanat 🤲🏼

  • @fatmamdidi8108
    @fatmamdidi8108 Рік тому +7

    Mashallah Allahumma ghfirlaha warhamha waskanaha fil jannal

  • @zainabmohammed6700
    @zainabmohammed6700 Рік тому +2

    Masha all ah ,,,,, bi Akiba Allah akujalie pepo y firdaus Ya rabby tupe mwisho mwema na sisi

  • @shadyasaid5828
    @shadyasaid5828 Рік тому +2

    Masha allah!Allah atujaalie na sie mwisho mwema na Atusameh makosa yetu🤲

  • @munayaaalmiskiry4378
    @munayaaalmiskiry4378 Рік тому +4

    Mashallah Allah amjalie kheir katka kabri lke

  • @pilisalehe4562
    @pilisalehe4562 Рік тому +1

    Mashallah namim nimetaman kufa kama alivyo kufa uyu mama mungu nijaalie niweze kubadilika niwe ni mja mnyenyekevu kwako unipe mwisho mwema nimeyakinai matendo yang uyu mama ni muongozo kanifundisha

    • @allymohamed6265
      @allymohamed6265 Рік тому

      Allahu maa aaaamin yaa rabb. Allah akujaalie biidhnillah.

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 Рік тому +6

    Kwa maelezo tu yatosha kujua kua mama alikua mwema.
    Ya Rabbi muweke fasi ya mtume (Saw)

  • @is-hakaalkindi9220
    @is-hakaalkindi9220 Рік тому +2

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @lailatamour9927
    @lailatamour9927 Рік тому +4

    mashallah namm Allah anipe HUSNLHATMA 🤲

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 Рік тому +3

    Inna lilahi wainna ilayhi rajiuun. WALLAHY L-ADHIM moyo wng umefurrahi kwa huyu ukht safari yake ya mwisho imemfikia akiwa kwenye ibada .. alhamdulilah. Yaa Allah tupe nasi khucni lkhatima. Nawe ukht ampe malazi mema na furaha ktk kabri yake . Moyo na mwili umenisisimka wallahy. Na machozi ya furaha na huzini😭😭😭😭😭

  • @miskiaayallah1872
    @miskiaayallah1872 Рік тому +1

    MashaAllah, Allah atujaalie mwisho mwema.
    Hongera mama Akiba Kwa kupata Pepo

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 Рік тому +5

    Sasa nimeamini ule msemo usemao kifo ni sherehe , kwa huyu mama bi akiba kweli ni sherehe kaondoka vizuri duniani , eeh Mungu tujalie mwisho mwema kama huyu bi akiba, Mana dalili ya mvua mawingu

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 Рік тому +4

    Innalillah wa innailayhi rajiuuni Daaaah Allah amuweke na waja walio wema Yaarabb hakika ya mauti ni Mawaidha tosha kabisa kwetu ss tuliobaki Daaaah kaondoka vzr saan mama etu nasi tumuombe Allah atufishe hali ya kuwa ameturidhia Amiiyn

  • @lutfiaali888
    @lutfiaali888 Рік тому +2

    Inalillah waina illah rajiun 😭🤲🏻🤲🏻😭😭Allah atujalie mwisho mwema ameen🤲🏻🤲🏻

  • @ammaryabubakari6121
    @ammaryabubakari6121 Рік тому +4

    الله اكبر
    اللهم اغفر له وثبتها

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 Рік тому +5

    Allah akupe Pepo ya juu mamangu naamini wema hawadumu lkn hatuna cha kusema ni kusema alhamdilah nasi wafiwa mungu atupe nguvu 😭😭😭😭🤦🏿

    • @asiaiddi2539
      @asiaiddi2539 Рік тому +1

      Polen sanaa Ila hongeren mama yenu amefuzu mashallah...

    • @wildernesstanzania1746
      @wildernesstanzania1746 Рік тому

      Inalilahi waina ilahi rajiun. Allah awape subra katika kipindi hichi,poleni sanaa,Allah ampe kauli thabit

    • @aviwaomar439
      @aviwaomar439 Рік тому

      In Shaa Allah

    • @mejumwinyi5404
      @mejumwinyi5404 Рік тому

      Poleni wapendwa ,,Allah awatie nguvu Insha'Allah

  • @hafidhamana325
    @hafidhamana325 Рік тому +3

    Inna lilahi waina ileihi rajiun mungu amueke mahali pema inshallah ampe kauli thabit inshallah

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Рік тому +2

    Subhanallah allahuma ghfrillahaa warhamhaa waskanal filjanna innallillah wainailaihi raajiun

  • @wemakalama6458
    @wemakalama6458 Рік тому +2

    Bismillah mashaAllah innallillah wainna illahy rajiuun Allah ampe kaully thaabit

  • @ashaali1912
    @ashaali1912 Рік тому +1

    mashallah allah awazidishie kheri inshallah na sisi atujaalie mazuri katika mazuri ya allah na wafiwa awape subra

  • @rizikisuleiman2139
    @rizikisuleiman2139 Рік тому +4

    Mungu msamehe makosa yake na sisi atujaalie mwisho mwema atusamehe makosa yetu. Amiin

  • @fatumasaidi497
    @fatumasaidi497 Рік тому +6

    Mwenye zimungu amsamehe zambi zake amenn

  • @mohamedissakaishema9895
    @mohamedissakaishema9895 Рік тому +3

    Hakika kifo ni mawaidha lakini chako ni shuhuda nzitoo.
    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @ilhamrashid1125
    @ilhamrashid1125 Рік тому +1

    Mashallah yarabi ampe pepo daraja la juu nasisi tuliobaki yarabi husnikhatima

  • @fatumakingi9753
    @fatumakingi9753 Рік тому

    Masha allah mwenyezi mungu ampe pepo ya daraja ya juu mwenyewe alokuwa akililia na inshallah atampa na sisi tulobaki mwenyezimungu atupe mwisho mwema

  • @iymansaciid9492
    @iymansaciid9492 Рік тому +2

    ALLAH ATUPE KHUSNIL KHATIMA NA AMSWAMEH BI'AKIBA,ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI...

  • @alihamad6046
    @alihamad6046 Рік тому +5

    Maalim siasa mwalim wangu

  • @masoudsaid7971
    @masoudsaid7971 Рік тому

    Yaa Allaah, MSAMEHE, MREHEMU NA MLAZE PEPONI

  • @zakiyasalim9847
    @zakiyasalim9847 Рік тому +3

    INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN

  • @aminaabdalla9532
    @aminaabdalla9532 Рік тому +1

    Allah anisameh, atusameh sote , atuongoze sisi na vizazi vyetu, atujalie tawba kablal mauti, atujalie husnl khatima yaa Rabb, atutangamanishe na waja wake wema. Kisa Cha huyu mama etu kiwa sadaqatul jariya kwake kwa kila atakae pata zingatio kupitia mauti yake

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Рік тому +3

    Masha allah

  • @nas2800
    @nas2800 Рік тому +1

    Innalilah wainna illah rajiun Allah atujaalie mwisho mwema na atuongoze kwenye kufanya kher

  • @a.856
    @a.856 Рік тому +1

    Jazakallah khayran

  • @user-ym6hw2ks8x
    @user-ym6hw2ks8x 6 днів тому

    Mungu amlaze pema. Peponi amina

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 Рік тому +1

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH MAMA ALLAH AKUJAALIE PEPO YAKE INSHALLAH TUMEJIFUNGA KITU INSHALLAH TUDHIDI KUMUOMBA ALLAH ATUJAALI MWISHO MWEMA INSHALLAH

  • @user-ur6zr7wc8n
    @user-ur6zr7wc8n Рік тому +1

    mashallah mungu amlaze Mahala Pema peponi amiin

  • @sinangoarashid504
    @sinangoarashid504 Рік тому +1

    Ya allah tupe nasi mwisho mwema😭😭 biakiba mwenzetu kaupata mwisho mwema😭

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 Рік тому +1

    Mashaallah.. Allahumma Ghfir laha.

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 Рік тому +5

    أللهم أغفر لها وارحمها واسكنها فسيح جناته

    • @rahmaaltoki9835
      @rahmaaltoki9835 Рік тому

      ‎رب اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته مع النبيين والصديقين والصالحين والشهداء وحسن اؤلاءك رفيقا اللهم امييين

    • @mwamgazamuya9825
      @mwamgazamuya9825 Рік тому +1

      Mashallah Allah nijalie nami hatma njema yarab nisiondoke mpaka Allah awe ameniridhia Amiin

  • @bishumbanamohd6137
    @bishumbanamohd6137 Рік тому +2

    Mashaalah

  • @fadhilasuleiman1611
    @fadhilasuleiman1611 Рік тому

    Mashaalah shekh Allah awsimamie

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 Рік тому +2

    Mashaaallah Mashaaallah

  • @abdimgua798
    @abdimgua798 Рік тому

    AlHamduLilAllah MaaShaaAllah may Allah Bless Us in Shaa Allah,

  • @latiffaomar6429
    @latiffaomar6429 Рік тому

    MashaALLAH MashaALLAH ALLAH atupe mwisho mwema in shaa ALLAH

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Рік тому +1

    Innalilah waina ilaih rajiun.allah amsamehe dhambi zake ampe nuru katika kaburi lake firdausi iwe makazi yake allah amuweke na waja wema peponi. Poleni wafiwa wote allah atupe subira hata mimi ni mmoja walio ondokewa kipindi hiki cha eid lhaj kwani mama yangu mzazi alifunga swaum siku 9 ambao ni siku ya arafa.siku ya eid alfajiri hakujaaliwa kuinuka tena ndio ikawa safari yake.innalilah waina ilaih rajiun.😭😭

    • @fatmamossadeq3072
      @fatmamossadeq3072 Рік тому

      pole ndugu yangu Allah ampe kauli thabit kaburi lake liwe na nuru roho yake iwe mahali pema peponi Allah akupeni subra amin

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 Рік тому +2

    Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah Amsamehe makosa yake

  • @fadhilakayungi1919
    @fadhilakayungi1919 Рік тому

    Mashaaallah yarab tujaalie mwisho mwemaa 🙏🙏

  • @zainaballymashaaallahmasha9562

    Alhamdulillah

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 Рік тому +1

    maashaallah mama kapat neema ya kufia saudia mji mtakatifu

  • @bibah-h2133
    @bibah-h2133 Рік тому

    MashaAllah, innalillahi wainna ilaihi rajiun
    Allah atujaalie mwisho mwema wallah natamani kifo km hiki InshaAllah

  • @basumaadam2686
    @basumaadam2686 Рік тому +2

    Yan nataman kweli kwel kama ningekuwa me Mana ya Dunia wamenichosha

  • @tatuisihaka1229
    @tatuisihaka1229 Рік тому

    Mashaalah
    Alwah
    Atupe
    Mwisho
    Kwema

  • @hafswaanassor1298
    @hafswaanassor1298 Рік тому +2

    اللهم اغفرلها ورحمها

  • @mejumwinyi5404
    @mejumwinyi5404 Рік тому

    MashaAllah LailahaillaAllah

  • @fatumakingi9753
    @fatumakingi9753 Рік тому

    Masha allah masha llah mashallah 🤲🤲🤲

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Рік тому +2

    Na sie atupe mwisho mwema yaarab mama etu kaondoka vizuri yaarab

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve Рік тому

    MASHAALLAH

  • @bishumbanamohd6137
    @bishumbanamohd6137 Рік тому +3

    innalilah wainnailah rajion

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Рік тому +2

    Inna Lilah wainna ilahy rajiun allahumma ghafirhaa warahamaha waaskanaha fill jannah

  • @lailalaila8646
    @lailalaila8646 Рік тому

    Mashaallah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Рік тому +1

    Inna Lillahi Wainna Illayhi Raajiuun. Allahumma Aghfirlahu Wa Arhamaha Wa Askinha Fi Jannat Ya Rabb. Amiin Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin

  • @asyaabdallah756
    @asyaabdallah756 Рік тому

    Innalillahi wainna ilaihi raj un. Allah amjaalie pepo ya darja la juu.inshaallah nasi atujaalie mwisho mwema pamoja na vizazi vyetu

  • @nasramzee1131
    @nasramzee1131 Рік тому

    Inna lillahi wainnaa ilayh Raajiuun. Allah akulipe pepo ya darja ya juu mama angu. Tutakukumbuka sana mama .

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому +4

    Mashaallah Allah atupe mwisho mwema 🤲🤲

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima3414 Рік тому +1

    Innalillahi wainnailaihi raajiuna Allah mpe pepo njema nac utufishe salama inshaallah

  • @Meme-sr1gl
    @Meme-sr1gl Рік тому +1

    Mwandishi wahabari ingependeza zaidi ungevaa kanzu ya msikitini kuliko kuvaaa jezii

  • @sikukuumshihirisikukuumshi5468

    Allah hamueke mahali pema peponi nasi pia hatujalie mwisho mwema insha'Allah

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому +1

    mashallah

  • @hamidaayoub744
    @hamidaayoub744 Рік тому

    Inna lillah wainna ilayh rajiuun bi hajjat kaupata mwisho mwema na sie Allah atujaalie mwisho mwema yaraab

  • @zainaballymashaaallahmasha9562

    Innalilah wainna ilayhi rajioon

  • @nuraynmakoya803
    @nuraynmakoya803 Рік тому

    Ina Lillahi waina ilayhi rajiuna allah amjaaliye makaz mema nasi pia atupe mwisho mwema inshaallah 😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏🙏

  • @bebbybebby655
    @bebbybebby655 Рік тому

    Innah lilaih wainnah lilaih rajiuon pole kwa msiba ,Allah awape Subrah wakati huu mgumu

  • @nuraally8233
    @nuraally8233 Рік тому

    Allahumma ghfirlaha warhamha waskinha filjanna

  • @nassorsubah3100
    @nassorsubah3100 Рік тому

    Mmungu amuweke mahala pema peponi Amin Amin Amin

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 Рік тому +1

    mm nilijuwa sheikh chizenga wanefanana Sana na sheikh Hassan chizenga..!