ZIFAHAMU DUA ZINAZOSOMWA UNAPOSWALI SWALA YA MAITI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Ipo faida kubwa kushiriki katika Swala ya Maiti kama ambavyo imehimizwa wakati wa Mtume S.A.W.
    Tukiwa hapa Makka takribani kila baada ya Swala ya Faradh Waumini wanapata fursa ya kushiriki Swala ya Maiti ambapo miili mingi ya Marehemu huletwa Msikitini.
    Lakini waumini wanaposhiriki Swala hii wanafahamu kitu gani wanapaswa kufanya wakati Swala ikiendelea, Je, kumswalia marehemu mmoja utasoma Dua sawa na wanapokuwa Marehemu wengi, Je anaposwaliwa marehemu wa Kike au Wakiume yanatamkwa maneno sawa na Je anaposwaliwa Mtoto mdogo anaombewa Dua sawa na ile ya Mtu mzima?.
    Tafadhali tazama kwa makini video hii upate kujifunza na uwafundishe wengine

КОМЕНТАРІ •