NGUO NA NDEVU ZA MTUME MUHAMMAD UTURUKI !

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Uturuki ni moja ya mataifa makubwa ulimwenguni ambayo huwavutia watalii kutoka katika pembe zote za dunia.
    Miongoni mwa vitu ambayo huwavutia watalii ni vitu vya kale vilivyoachwa na himaya tofauti zilizotawala dunia.
    Katika makala yetu tumetembelea jumba la makumbusho la TopKapı mjini Istanbul, kuthibitisha au kukanusha kile ambacho kimeenea katika mitandoa ya kijamii kwamba mavazi na vifaa tofauti vya Mtume Muhammad vimehifadhiwa katika jumba hilo ambalo linapatikana mjini Istanbul.
    ►Subscribe to KyataOnline on UA-cam : bit.ly/3dMAX0l
    ►Follow KyataOnline :
    / hamimkyata
    / kyataonline
    / hamim_kyata_
    Production : - Kyata Online @kyataonline
    - Eloi B.
    Executive Producer : Diaspora Visuals @diaspora_visuals

КОМЕНТАРІ • 54

  • @josephchris7043
    @josephchris7043 10 місяців тому +2

    Nyinyi mnapiga kelele tuu mwenzangu anaizunguka dunia kwenda kujionea kwa macho yake alafu mnamtukana kweli hakili zenu ni mbovu sana

  • @FarajiMaulidi-qe5jf
    @FarajiMaulidi-qe5jf Рік тому +3

    Hakuna upuuzi kama huo waislam sio wapuuzi kiasi hicho wadanganye wapuuzi wenzio. Walghiyadhu bi l, lah

  • @jumamagesa2618
    @jumamagesa2618 11 місяців тому +1

    Tena acheni ujinga wenu huo

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      vinapatikana kwenye hili jumba la makumbusho , mimi nikufahamisha tu mzee Juma Magesa !

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 11 місяців тому +1

    Huyu kafiri inaonekana

    • @ruzedukajacques8885
      @ruzedukajacques8885 11 місяців тому

      tembea uone wewe acha ujinga ! huyo yeye anakuonesha kinachosemwa kuwa kipo katika makumbusho ya Uturuki.

  • @EdimaraPius
    @EdimaraPius 10 місяців тому

    Ulitakiwa kuongozwa na mwenyej akuelekeze sio ww mgen unamaliza mb zetu pumbav

  • @khalfansharji-ez7pg
    @khalfansharji-ez7pg 11 місяців тому +1

    Upuuzi mtupu mfano wa binaadam wa kwanza kuwa fuvu lake liligunduliwa na mzungu tanzania ujinga mtupu!

  • @AshaSaid-gy2tg
    @AshaSaid-gy2tg 11 місяців тому

    Inna lilahi waililay rajiuun kafiri mkubwa unatafut rizk ya haramu😂

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      vinapatikana katika jumba hilo la makumbusho ambalo lipo mjini Istanbul

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 11 місяців тому

    Safi lkn ungejarbu kuuliza wenyej ndo utupakulie nasi unaposema hapa "pamezungushiwa uzio pana historia yake" mimi ckuelewi

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      asante kwa comment yako. Tutalifanyia kazi ombi lako

  • @FarajiMaulidi-qe5jf
    @FarajiMaulidi-qe5jf Рік тому +1

    Acheni upuuzi. Mtadhalilika nyie ,,,...

    • @osmankapitula617
      @osmankapitula617 11 місяців тому

      mbona wajinga sana ! kila kitu huwa mnaona tatizo

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 Рік тому +2

    Makafiri wakubwa nyie nguo za maswahaba mtaziona nyie hayo makaburi yao hamjayaona jahannam ni makazi yenu

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      asante kwa comment yako

    • @osmankapitula617
      @osmankapitula617 11 місяців тому

      matusi nyie !

    • @Alkaburu
      @Alkaburu 10 місяців тому

      Hiyo ni tabia yako Binafsi sio tabia ya uislamu kuwajibu watu kama ulivyo fanya Mtume Muhammad S. A. W. Ametukataza

  • @saidmhamedsimba4720
    @saidmhamedsimba4720 11 місяців тому +1

    Mpumavu wewe

  • @farideyilmaz1234
    @farideyilmaz1234 3 роки тому +1

    ndio

  • @serengetinationalparkintan7418
    @serengetinationalparkintan7418 3 роки тому +1

    tunashkuru sana kyata online zidii kutuelimisha kwa yanao jiliiii uturuki

  • @osmankapitula617
    @osmankapitula617 3 роки тому +1

    haya tunajiandaa kuja kutembelea huko

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 11 місяців тому

    Mkisikia muhamadi munachachamaa kama jina lake lingeweza kufukuza majini kama la yesu kristo ingekuaje?

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      asante kwa comment yako

    • @RayanDai-fr7ks
      @RayanDai-fr7ks 9 місяців тому

      Ndio maana Ni Mtume wa Mungu tena wa mwisho tena chunga ulimi wako huyo unaemwita yesu ss tunamjuwa ni mtume wa mungu tena tunamiheshimu sw

  • @NassorMohamed-o1c
    @NassorMohamed-o1c 11 місяців тому

    Yesu kwetu ni mtume kma wengne af chunga maneno yako maandazi ww

  • @jamalkisuse7508
    @jamalkisuse7508 11 місяців тому +1

    Upuuuzi tu

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni3094 11 місяців тому

    Upuuzi MTU huo

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 11 місяців тому

    Uongo_mtupu

  • @KWEKWECHIKAKAYA
    @KWEKWECHIKAKAYA 11 місяців тому

    Ulikuw wakati huo ww ht wasumlia upuuzi ama mtume kamuona n nguo Hz wanafki nyinyi Allah walaani duniani mpaka kesho akher kw kumtaja mtume mhammad kw ujinga

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha Рік тому

    Acheni ushenzi Mbona hamjatuonyesha izo nguo

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262  11 місяців тому

      skiliza nanichoongea acha kukurupuka ili uelewe !

    • @osmankapitula617
      @osmankapitula617 11 місяців тому

      hukuskia anakwambia bado hawajafungua kipindi hiko