MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 бер 2022
  • MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI by Innocent Morris
    Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.
    MSTARI:
    "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."
    Mathayo 15:13
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    UA-cam Link:
    / holyspiritconnect

КОМЕНТАРІ • 353

  • @user-im8pr5cj3n
    @user-im8pr5cj3n Місяць тому +4

    Naomba kila pando lililokinyume kwenye maisha yangu na family yangu likapate kung'olewa Kwa jina la Yesu na presha inayoni sumbua itoweke Kwa jina la Yesu Amen.🙏🙏

    • @paulinachimela1315
      @paulinachimela1315 21 день тому

      Naomba Kila pando ambalo si mpango wako Bwana, juu ya uzao wangu na uchumi wangu yakang,olewe Kwa jina la Bwana

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 11 днів тому

    Bwana yesu nakuomba niondolee mapando yote yliyopandwa maishani mwangu kwa siri na kwa dhahiri. Niondolee maradhi yote mabaya. Niondolee Tamaa za dunia hii.. Niondolee roho zote za kudhulumiwa kwa Jina la yesu ameen

  • @marcellamachio316
    @marcellamachio316 Місяць тому

    Mapando yote yachomoke from my life in Jesus name, spirit of rejection, relationships dont stay, sickness vitoke in Jesus name amen

  • @MARIAMYANGOLE-lu6xj
    @MARIAMYANGOLE-lu6xj 29 днів тому

    Mungu naomba uniodoree kizuizi chochote ktk maisha yangu ktk kazi zangu na ktk iman yangu kwa damu ya yesu

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 21 день тому

    Naomba milango yangu iliyofungwa na shetani ifunguliwe kwa jina la Yesu. Narejesha vyote vilivyo liwa nzige madu madu na tunutu.

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Mungu ondoa kizuizi kincho fanya watoto wangu anywe pombe kwa jina la Yesu

  • @meshacknyabenda
    @meshacknyabenda 13 днів тому

    Asante bwana yesu hujawah kuniacha cku zote umenipigania

  • @peterjackson4877
    @peterjackson4877 18 днів тому

    mungu aondoe chuki na ukimya kwa mchumba wangu vikang'olewe vyote kwa jina la yesu

  • @aliciasande1584
    @aliciasande1584 15 днів тому

    Mungu naomba uondoe mapando waliotupandia ya madeni naya kushindwa na maisha

  • @ChepaBoy
    @ChepaBoy 5 місяців тому +1

    Mungu naomba uondoe udhaifu na kutokujiamini ndani ya mwili wang ammen

    • @user-hx1sj2rr6f
      @user-hx1sj2rr6f 5 місяців тому

      yesu damu yako inene mema juu ya maisha yangu

  • @user-ze4sc1fh6p
    @user-ze4sc1fh6p 20 днів тому +1

    Mungu anipe kusonga mbele katika maisha

  • @user-im8pr5cj3n
    @user-im8pr5cj3n Місяць тому +1

    Mungu naomba uondoe mapando yote ayaliyo pandwa na shetani na niweze kurudi kazini ,naamini Mungu unaenda kujibi maombi yangu na tukae sawa mimi na mume wangu tofauti Zetu zitoke kwa jina la yesu😭🙏

  • @liliannyakerario8180
    @liliannyakerario8180 Місяць тому

    Eee mungu naomba kile kilicho pandwa kwa ndoa yangu na watoto wangu wanikatae eee Mungu naomba ukaweza kung'oa

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Nang'oa kizuizi kicho fanya tusibariki ndoa kwajina la Yesu

  • @marcellamachio316
    @marcellamachio316 Місяць тому

    Mungu aondoe pando la chuki kwa baba ya mtoto wangu , agape ministry wache Kunichukia waniajiri.... roho yakukataliwa ikufe

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Naomba ning'oe ulemavu nakupiga keleleusku kwajina la Yesu

  • @RachelTuliya
    @RachelTuliya 27 днів тому

    Aniponyesheye maman yangu mwili yote inauma shigo moyo mikono migulu bya mingi

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    Made yanan subuwa sana katika maisha yangu Kwa jina la YESU kristo amen

  • @faustamumbee9160
    @faustamumbee9160 7 місяців тому

    Ee Mungu niondolee maumivu ya mikono yanayonsumbua kwajina la Yesu

  • @NdayishimiyePacifique-xo7ry
    @NdayishimiyePacifique-xo7ry Місяць тому +1

    Niko
    Burundi naomba muniombee mungu aniponye niko naugonjwa wakuvunjika kichwa nina maumi mingi sana na nina stress mingi kwaju ya kichwa hiki sasa nataka Mungu aniponye katika jina Yesu Kristo

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Nang'oa pando lilompandwa kwenyefamilia yangu isiendelee

  • @LinahAtanas
    @LinahAtanas Місяць тому

    Mungu niondoree roho ya umasikini kwenye maisha yangu

  • @chinatanzaniabusiness1262
    @chinatanzaniabusiness1262 3 місяці тому

    Asante bwana Yesu kwa kunifungua,. This is such a powerful prayer I've ever had/heard

  • @Bahati-ho3zv
    @Bahati-ho3zv Місяць тому

    Kila Pando liliopandwa Na adui ambao MUNGU hakunanda likaondoke katika Jina la YESU Kristo.

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 2 місяці тому

    Ameen Ameen Asante Sana Mchungaji kwa ajili ya haya maombi nna imani kua babangu ambaye anagonjeka magonjwa ambavyo hayajulikani atapona kwa Jina la Yesu kristo

  • @edelawino5624
    @edelawino5624 Місяць тому

    Mpando iliopandwa kwa mwili ya yangu na damu yangu vitoke zote

  • @zainatoji1965
    @zainatoji1965 6 місяців тому

    Mungu aniteee duka langu lizidiwe na wateja na nipate mme sahihi

  • @RamadhaniLuhizo
    @RamadhaniLuhizo 3 місяці тому

    Nang'oa mapando yote yaliyo pandwa kwa nguvu za Giza toka kwa jina la yesu

  • @hellenmhina4298
    @hellenmhina4298 4 дні тому +1

    AMEN🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 6 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Naomba adui chochote alichopanda katika maisha yangu leo naing'oa kwangu kwa mumewangu kwatoto wangu

  • @aliciasande1584
    @aliciasande1584 15 днів тому

    Naomba tuondolewe pepo ya madeni na ya kufiridhika

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    Amen nasonga mbele kuanzia leo jina la YESU kristo amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏

  • @user-ck1qx2td1z
    @user-ck1qx2td1z Місяць тому

    Anaomba mtt wangu wa pili wa kiume abadike tabia yake mbaya

  • @judicateurassa7817
    @judicateurassa7817 Місяць тому

    Naomba pando lolote juu yangu yesu ondoa sasa hivi

  • @MARIAMYANGOLE-lu6xj
    @MARIAMYANGOLE-lu6xj 29 днів тому

    Mungu akubariki mtumishi akupe maisha marefu amina

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Yesu nibwana yesu nibwana

  • @SeciliaFuko
    @SeciliaFuko Місяць тому

    Adui yoyote anayenifanya nisipate kazi niwe ombaomba navunja kwadamu ya Yesu hana nafasi sasa namteketeza sasa

  • @vailethnchimbi
    @vailethnchimbi 5 місяців тому

    Naondoa kila kifungo klicho wekwa kinyume namapenzi ya mungu

  • @irenemwakalinga
    @irenemwakalinga Місяць тому

    Nanga mapando yote mabaya kwa Jina la Yesu

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 9 місяців тому +1

    BNmempokea YESU Leo JINALABWANa

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Ameen napokea uponyaji wafamilia ktk biashara

  • @nysirahmohamed4637
    @nysirahmohamed4637 Місяць тому

    Mungu naomba uondowe vyote vinavyo nisumbua

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 Рік тому +1

    Ngome zivunjike kwadamu yayesu naamini mapando yatoke

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 дні тому

    Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 місяці тому

    Mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana niombee sana utabarikiwa na mungu ❤❤umenibariki saaana namushukuru mafundisho Yako yanaponya hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤

  • @lovenesszera9460
    @lovenesszera9460 11 місяців тому

    Asante Bwana YESU Kwa kuniweka huru. 🙏

  • @RechoMtweve-ei2yq
    @RechoMtweve-ei2yq Рік тому +1

    Kweli mngu ningome wakalam2 awe mbaya au muzur ila mungu unastahili imani angu ipo kwake

  • @evasambila8529
    @evasambila8529 4 місяці тому

    Natoa mapando ya wadeni wote wasionilipa,lakini nadhirumiwa kwa damu ya Yesu kristo mapando yaondoke leo.

  • @user-br9ve8px9c
    @user-br9ve8px9c 4 місяці тому

    Amina pastor kwa kunifungua na Kila aina ya mapando kupitia damu ya yesu

  • @faustamumbee9160
    @faustamumbee9160 7 місяців тому

    Niondolee roho zote chafu kwa jina Yesu

  • @LinahAtanas
    @LinahAtanas Місяць тому

    Mtumishi nimempokea yesu kwenye maisha yangu amina

  • @marcellamachio316
    @marcellamachio316 Місяць тому

    Naomba baba ya mtoto wangu na mamake wache Kunichukia

  • @kanumbapaulina5749
    @kanumbapaulina5749 7 місяців тому

    Kila pando la shetani ninaling'oa kwenye kila rneo la maisha yangu

  • @buzanation1040
    @buzanation1040 Місяць тому +1

    Eee Mungu babayangu ondoa mapando ya magonjwa, ulafi,kucheleweshwa haki , ndoa kwa ajili yangu na wanangu, wanangu wafunguliwe; kimasomo, kikazi , kiafya n ktk safari zao

  • @francisomary5284
    @francisomary5284 2 місяці тому +1

    Kila pando alilo aslolipanda MUNGU ndani yangu naliamuru litoke katika Jina la YESU krito

  • @LinaMbowe
    @LinaMbowe 2 місяці тому +1

    Naomba Kila kilicho kinyume na maisha yangu na kwa familia yangu kiondoke kwa damu ya Yesu kristo..

  • @user-qd5oc3bt8o
    @user-qd5oc3bt8o 3 місяці тому

    Mungu niondolee vidonda vya tumbo nataka niwe Dada wa kufunga na kuomba lakini hali hii inanirudisha nyuma hali ya kuhailisha vitu vya KiMungu.

  • @kaylamariani3142
    @kaylamariani3142 2 роки тому +5

    Pando lolote aduu alilo panda kwenye maisha yangu au family yangu Nina ngwoa kwa jina la Yesu kristo wanazareti naachilia damu ya Yesu

  • @LovelyKhamis
    @LovelyKhamis 11 місяців тому

    Bwana yesu wewe ni bwana katk jina la yesu krsto

  • @user-tr1uo4ns9z
    @user-tr1uo4ns9z 2 місяці тому

    Mtumishi nimemupokea bwana yesu leo

  • @ASIAMACHOLIMA
    @ASIAMACHOLIMA 16 днів тому

    Mtumishi nimempokea Yesu leo

  • @PeterMwinura-vg2vi
    @PeterMwinura-vg2vi Місяць тому

    asante mungu kwa zawadiii hiii ya uzma

  • @mariekabura4227
    @mariekabura4227 Рік тому +1

    Nasikilizasana maombi yako nafunguliwasana ubarikiwe

  • @tmaniacell1731
    @tmaniacell1731 5 місяців тому +1

    Amen and Amen hallelujah 🙌 🙏 👏🏻 napokea ushidy

  • @user-tj3wu4jw2p
    @user-tj3wu4jw2p 9 місяців тому +1

    Amen, nashukuru kwa aye maombi❤

  • @tabithanjoki2137
    @tabithanjoki2137 Рік тому

    Asante yesu kwa kuniweka huru

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx Рік тому +1

    Asante Yesu nimepona

  • @LovenessRichard-ho7pt
    @LovenessRichard-ho7pt 10 місяців тому

    Amen napokea kwa jina la yesu

  • @DemuyuMuyumba-ky5re
    @DemuyuMuyumba-ky5re 3 місяці тому

    asante kwa damu ya yesu kwa kuniocha

  • @lilianemanuel2579
    @lilianemanuel2579 4 місяці тому

    Bwana naomba ondoa magonjwa yote mwilini mwanangu 😢😢😢😢

  • @solandimbo6205
    @solandimbo6205 4 місяці тому

    Ameni nimebarikiwa na somo

  • @kasigwaabel3036
    @kasigwaabel3036 25 днів тому

    Naamin kong-oa mapando yote mwilinni mwangu kuanzia ss

  • @lall2037
    @lall2037 8 місяців тому

    Mwenye nyumba anipende mm na asinitoe chumbani kwa jina la yesu🙏

  • @francoisenshimirimana4928
    @francoisenshimirimana4928 2 роки тому

    Ooh Mungu Wangu open My mariage 27th August caming soon Open My fiance in the park pls

  • @catherinejmwanjunga6694
    @catherinejmwanjunga6694 Рік тому

    Amennn Asante YESU KRISTO

  • @janethnjau
    @janethnjau Рік тому

    Asante yesu mungu nisaidie

  • @kasigwaabel3036
    @kasigwaabel3036 25 днів тому

    Nimempokea BWANA yesu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    Mapando yote yaondoke katika biashara yangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN

  • @chinatanzaniabusiness1262
    @chinatanzaniabusiness1262 Місяць тому

    Nang'oa Kila mapando ya majini mahaba katika mawili wangu kwa jina ya Yesu kristo na kwa Damu ya Yesu kristo iliyomwagika pale msalabani. Amen🙏

  • @user-cm7np5up3t
    @user-cm7np5up3t 11 місяців тому

    Nataka mwanangu emanuel kila nikimpa biashara analewa anakula msingi

  • @husenikinofu1030
    @husenikinofu1030 19 днів тому

    Amina

  • @peterjackson4877
    @peterjackson4877 18 днів тому

    amina apokea uponyaj

  • @user-jq8lu7dv2t
    @user-jq8lu7dv2t Місяць тому

    Dam yasu damu ya. Yesu

  • @joycesikana4513
    @joycesikana4513 11 місяців тому

    Hakuna miximu itakayo kaa ngoka kwa jina la Yesu

  • @shakirakiwalekiwale3560
    @shakirakiwalekiwale3560 Рік тому +1

    Ubarikiwe Mtumishi Sana Sana Asante Yesu Kwa kunifungua 🙏🙏

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 2 роки тому +2

    Kila pando lilopandwa na adui katika Familia yangu namwambia Yesu ayaondoe kwa damu yake Takatifu Amina

  • @buzanation1040
    @buzanation1040 Місяць тому

    Ninang’oa mapando yaliyopandwa kwangu, kwa watoto wangu n familia yangu… Yang’oke yote kwa jina la Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @georginantemi8598
    @georginantemi8598 2 роки тому +3

    Mungu niondolee mikosi yote iliyowekwa na adui ili nisifanikiwe niwe mtu wa kuhangaika

  • @angle3600
    @angle3600 21 день тому

    Ni kweli mtumishi ukipata pesa tu majanga yanatokea

  • @veronicajerome1184
    @veronicajerome1184 Рік тому +1

    Amin nime pokes

  • @hortenseornella-po8zw
    @hortenseornella-po8zw Рік тому

    eeee!!! bwana yesu nalomba ongowa mapando ya aduyi katika maisha yangu.

  • @ummunureinamakove9911
    @ummunureinamakove9911 Рік тому +1

    Mashemeji wabadilike ma father in law mungu tenda yaliyo ya ko🙏🙏🙏

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @RehemaRahima
    @RehemaRahima 2 місяці тому

    Ameeen and ameeeeen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 6 місяців тому

    AMEN AMEN 🙏🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 9 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏

  • @omaryabdallah6669
    @omaryabdallah6669 4 місяці тому

    Amen kwajina la yesu mim juditi nang'oa kila pando lililo pandwa na kila adui ndan ya maisha yangu nang'oa pando la opaleshen katika tumbo langu langu nan'goa kwa watoto wangu yusra na samia miliamu timotheo ezekieli kwa wazazi wangu na ndugu zangu iwe kwenye uchumi kwenye ndoa kwenye elimu kwenye afya kwe kazi za mikono yetu yote nang'oa pando la magonjwa pando la kupata ela nakuisha bila mafanikio nan'goa kitu chochote adui anakitumia nisisonge mbele ninaamulu kwa jina la yesu kwa damu ya yesu liondoke dabodabo amen