Amina kubwa ! Nakushukuru Mungu baba uliyenifunguliya mlango kwa mafundisho ya Mwl Christopher Mwakasege. Ninachokuomba, eeh Baba mwaminifu, uendeleye kumuvuvia mtumishi wako na kumuwezesha katika kazi hii. Nami unisaidiye Siku moja niwe mwalimu wa neno lako sawasawa na Mwl Christopher Mwakasege, na hata zaidi kuliko yeye. Mimi ni Julien Tembeyaone mwanafunzi wa Christopher Mwakasege, nikiwa GOMA/DRC. Mungu akubariki Mwalimu wangu.
Mwl mwakasege MUNGU akubariki.mno miaka Fulani nilikuwa nikifuatilia somo ulifundisha namna ya kumsikia Mungu anapoongea nawe.. nilianza kuweka kwenye matendo yaan Namshukuru Mungu sana limenisaidia mno kwenye safari ya wokovu naogopa kufanya jambo bila kumsikia Mungu anataka nifanye nn na kwa wakat Gani.. hata naona unashuhudia unapotii saut ya Mungu Kuna faida kubwa mnooooo 🔥 nimejifunza mengi sana sana✍️ Kuna mengine Mungu hukuepusha na mitego ya adui wow very powerful 🔥
Nakubariki sana Mungu Kwa Kwa ujumbe huu kupitia Mtumishi wako Mwl Mwakasege katika Semina hii. Hutuna Cha kukutosha mikononi mwetu ila Roho zetu zikuishi wewe peke Yako Mfalme wa Mbingu na nchi. Tupe kutii na kunyenyekea chini ya miguu Yako.

Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe.
Tunakushukuru Mungu sana kwa siku hiii
Sifa kwa Mungu
AMEEEN AMEEEN
Amen, amen
Amen
Amina
❤❤
Baraka Mangia.
Ameen
🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
🙏🏾🎷
👏
Hakika somo ni zuri
0
Amen
Ameen
Sifa kwa Mungu
Amen
Amina
Amina
Amen
Amen
AMEN