Huyu Ndugu Madulu, nashauri aandike vitabu kuwasaidia hata wale ambao hawana sim za smart waweze kunufaika na maarifa anayoyatoa. The man is exceptional..
Aiseeee hongera saaaana mwalimu.COSMAS Mimi mwanafunzi wako umenifundisha primary Montessory miaka ya 2003 katikati humo iliopo mwanza hadi leo bado nakuona mwalimu mpya kabisa.navyosikiliza interviews zako nakumbuka mbali na nakuona mbali sana huwa sisahau safar vya motisha ulopewa na sister Denis mattle [mzungu sister] kwenda ulaya na ukakaahuko mwaka mzima kamasjasahau kwa sababu ya utendaji mzuri shuleni. Daaaaah big up saaaanaticha Cosma mwalimu wangu japo saivi ndio msaikolojia wamoto nchini
🤝🤛Hakika. Tatizo pia kwa mtazamo wangu ni kuwa Tanzania ina utaratibu mbovu wa kuwalipa wananchi wake mishahara. Kwanini watu wasilipwe kutokana na muda kama nchi nyingi duniani? Maisha na kila hatua na pumzi ya kila mtu ni muda. Ili tupige hatua Serikali iweke viwango lakini kwa vyovyote vile watu walipwe kutokana na muda na nguvu zao na sio kila mwezi pesa hazitoshi. Asanteni sana kwa topic nzuri 🤝
Nitashangaa ikiwa unangalia haya na huna sehemu ya kuandika. Pili wazo kubwa analokuwa nalo mtu humfanya kuonekana taahira mbele ya wasioona pazia zito la ndoto za mafanikio ya mwenye wazo. Nina shuhuda za kuwa na jambo kwa muda mrefu na likitokea ndio watu wanakuunga mkono. Kweli masikini wa fikira bado wako wengi.
Nimeasikiliza wanasaikolojia wengi sana especially wa tz,Ila huyu ana kitu tofauti sana pia nimegundua hasomi sana vitabu kama wenzie I need to know, nini kimemfanya awe hivi.
Huyu Ndugu Madulu, nashauri aandike vitabu kuwasaidia hata wale ambao hawana sim za smart waweze kunufaika na maarifa anayoyatoa. The man is exceptional..
Tabia ya kusoma vitabu hatuna still watanufaika wachache mno hata ukiuza 3,000 wanunuaji hamna
Sahihi
God bless you
Tutnunua bhnaa
Aiseeee hongera saaaana mwalimu.COSMAS
Mimi mwanafunzi wako umenifundisha primary Montessory miaka ya 2003 katikati humo iliopo mwanza hadi leo bado nakuona mwalimu mpya kabisa.navyosikiliza interviews zako nakumbuka mbali na nakuona mbali sana huwa sisahau safar vya motisha ulopewa na sister Denis mattle [mzungu sister] kwenda ulaya na ukakaahuko mwaka mzima kamasjasahau kwa sababu ya utendaji mzuri shuleni. Daaaaah big up saaaanaticha Cosma mwalimu wangu japo saivi ndio msaikolojia wamoto nchini
Apa ndo nawaerewa Waaachookoonoooziiiiiii👏
Madulu ni mtu na nusu.Ahsante Mungu kwa hii hadhina❤
Madulu Tafadhari weka namba ya malipo nahitaji niwe natoa sadaka Umebadiri maisha yangu 🎉
Hii show ya taarifa na maarifa nilikuwa nayo mwanzo hadi mwisho; kwakweli nimejifunza jambo kubwa sana sana
Sio Siri hii ni hazina,madini ni mengi mno.ahsante sana.
Nmepata maarifa naenda kuyatumia ,,👏my brother gee
🤝🤛Hakika. Tatizo pia kwa mtazamo wangu ni kuwa Tanzania ina utaratibu mbovu wa kuwalipa wananchi wake mishahara. Kwanini watu wasilipwe kutokana na muda kama nchi nyingi duniani? Maisha na kila hatua na pumzi ya kila mtu ni muda. Ili tupige hatua Serikali iweke viwango lakini kwa vyovyote vile watu walipwe kutokana na muda na nguvu zao na sio kila mwezi pesa hazitoshi. Asanteni sana kwa topic nzuri 🤝
Jamaaa anajua sana tena::: huyu jamaa allah kampa kitu sio cha kawaida❤
Mwenyezi Mungu akutunze Gee na team yako yote 🙏
Jamaa ni best sana 💪🏿
Nitashangaa ikiwa unangalia haya na huna sehemu ya kuandika. Pili wazo kubwa analokuwa nalo mtu humfanya kuonekana taahira mbele ya wasioona pazia zito la ndoto za mafanikio ya mwenye wazo. Nina shuhuda za kuwa na jambo kwa muda mrefu na likitokea ndio watu wanakuunga mkono. Kweli masikini wa fikira bado wako wengi.
Mtangazaji unamhamisha sana,uwe unamuacha atiririke
Nataka niiponye familia yangu(watoto)maana hakuna hata mwenye baskel ktk famia
King madulu,mwamba toka kanda ya ziwa ❤
Jamani Asanteni sana
huyu mzee ni mtu hatarii
Aisee huyu mwalim ni zaidi ya ualimu ni mtu na nusu, kwa hiyo elimu ya bongo ni hatari mhasibu nae anashindwa kuzimiliki pesa
dah kweli haya ni madini pamoja..
Mashaallah kaka madulu❤
❤❤❤❤
Safiiii sanaaaaaa
Mwambie uyo mwarimu atoe namba ya Simu nimtumie kias Cha pesa kidogo maana nimekuelewa mpaka bac yaan uyo ni noma
Aiseeee
Kaka tuko pamoja Sana
Nawafuatilia sana
Hakika muda hautoshi kwa madini haya.
Bro Gidion anko cosmas awe anataja ata whasapp namba yake ili tuwe tunamcheki kwa ushauri zaidi kak
Respect
🙏 🙏 🙏 🙏
Nimeasikiliza wanasaikolojia wengi sana especially wa tz,Ila huyu ana kitu tofauti sana pia nimegundua hasomi sana vitabu kama wenzie I need to know, nini kimemfanya awe hivi.
NAWAKUBALI SANA
Kuna wakati nawaza sana kuusu mawazo kama haya juu yamtu aliyonayo huwa naisi labda sio mtu😮
Show iko poa san madin kama yote
Lakn audiomark mzigo mbona upandi
Watu kama uyo ni wachache sana tukiwatumia vizur inatosha,yuko vixur mno
🙏
🧠+🙌🙌
Aisee akili kubwa
Natamani siku moja kukutana na bwana madulu kwa kuzungumza nae japo machache tu
Haswaaaaaa