Wewe ni hazina kubwa.Nimeshaijua ile dhahabu iliyotupwa kwenye kinyesi cha ng'ombe.Aiseeeee!!!!,well done man of God.Wabarikiwe sana wazazi waliokuzaa na kukulea vema kwani wao waliokufanya uwe Joel wa sisi sote tunaofuatilia masomo yako.Mimi ni mmoja wa watu waliopata uraibu wa mafundisho yako,sikosi kukufuatilia kila siku.
Kwnza kiongozi mungu akubrki sna na kukupa afya njema uendleee kutufunza siee vijana hadi tukmlshe ndto ze2 . Ww ni zawad kubwa kutoka kwa mungu ambae umeltwa kwa ajli ya kuwaandaa vijana wengi waweze kufnikiwa katka nyanja mbli mbli ubrkiwee sana
Abulazizi Dulieta umechangia vizuri sana ila siku nyingine nakuomba andika kiswahili fasaha unafanya mwalimu wetu anasoma maoni yako kwa shida unamtesa mwalimu wetu
Joel asante sana, mimi naona unanifaa sana aisee, yaani umekua mtu wangu wa karibu kuliko wengi walionizunguka na naona nikikaa na wewe akili yangu ndio inaelewa zaidi. Ni maombi yangu tu uendelee kuwepo. Asante sana.
Hao wanaosema pesa zio mhimu wanafiki kwasababu (ukitoa hewa ya oxygen kinacho futia kwa kuhitajika nipesa Ili izae (chakula na vinginevyo vinavyo patikana duniani vikiwa vimetayalishwa 😊- so bro Joel tupeElimu mpaka tuelewe au mpaka ikitajwa pesa lije jina la Joel kwenye Ubongo Thank you for the lesson
Wewe ni hazina kubwa.Nimeshaijua ile dhahabu iliyotupwa kwenye kinyesi cha ng'ombe.Aiseeeee!!!!,well done man of God.Wabarikiwe sana wazazi waliokuzaa na kukulea vema kwani wao waliokufanya uwe Joel wa sisi sote tunaofuatilia masomo yako.Mimi ni mmoja wa watu waliopata uraibu wa mafundisho yako,sikosi kukufuatilia kila siku.
Asante sana..kaka Joel barikiwa.... mafundisho yko yanazidi kunipa mwanga
Asnt sana bro❤❤
🇨🇩 Asante sana kaka
From south Africa Durban sijachelewa mwalimu ❤❤❤❤
Tuendelee kujifunza🙏
I need to improve in financial wealth and Spiritual wealth
Kwnza kiongozi mungu akubrki sna na kukupa afya njema uendleee kutufunza siee vijana hadi tukmlshe ndto ze2 . Ww ni zawad kubwa kutoka kwa mungu ambae umeltwa kwa ajli ya kuwaandaa vijana wengi waweze kufnikiwa katka nyanja mbli mbli ubrkiwee sana
Ameen Ahsante sana sana
Abulazizi Dulieta umechangia vizuri sana ila siku nyingine nakuomba andika kiswahili fasaha unafanya mwalimu wetu anasoma maoni yako kwa shida unamtesa mwalimu wetu
@@joelnanaukaUbarikiwe sana asee wewe ni mtu wa mhimu sana kwetu vijana mungu akubaliki sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Asante,,nimejifunza kitu,,
Mimi sikujua kama kwenyefedha Kuna mchakato mkubwa hivo, umenifumbua ubongo kaka. Asante.
Mimi sikujua kama kwenyefedha Kuna mchakato mkubwa hivo umenifumbua ubongo kaka Asante.
Mungu akubariki sana kaka
❤❤❤❤❤❤❤❤ Asante sana kiongozi wangu
Mentor SoMo ni zurii Asante sana
Mwanangu wa Kwanza naenda kuita Joel kwakweli.
Ninabarikiwa sana na kupiga hatua nyingi katika maisha yangu, Mungu akubariki
Asante kaka...Kenya watching
Joel asante sana, mimi naona unanifaa sana aisee, yaani umekua mtu wangu wa karibu kuliko wengi walionizunguka na naona nikikaa na wewe akili yangu ndio inaelewa zaidi. Ni maombi yangu tu uendelee kuwepo. Asante sana.
Ameen nashukuru sana, endelee kuniombea🙏
Mungu atusaidie ❤️
Ubarikiwe sana mkuu hakika wewe nimental wang
Thanks my brother nilikua nime slump katika maisha yangu but umenifanya niwe still pia strong thanks mungu akubariki
Somo 🔥🏆
Asante 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤
🙏 amen
Nakukubali sana joeli
Zidi kubarikiwa bro👂🏼✍🏼
Ubarikiwe sana kaka joel naendelea kupata maarifa kupitia ww mungu akubariki sana
Asante sana
Sina cha kusema ila mungu akubariki sana kaka
Shukrani sana kaka joel❤❤
Big Brilliant
Mungu akutie Nguvu kaka unatusaidia wengi sana
Nashukuru sana🙏
🏆🏆🏆
professor nanauka you are a genius and a giant..... lusaka zambia
kk sna cha kusema Mana uko vizuli
Brazaa joeli your the great and the best
Ahsante sana sana🙏
Asante sana mana nimepata maarifa
Hao wanaosema pesa zio mhimu wanafiki kwasababu (ukitoa hewa ya oxygen kinacho futia kwa kuhitajika nipesa Ili izae (chakula na vinginevyo vinavyo patikana duniani vikiwa vimetayalishwa 😊- so bro Joel tupeElimu mpaka tuelewe au mpaka ikitajwa pesa lije jina la Joel kwenye Ubongo
Thank you for the lesson
Shukurani sana kaka Joel nimejifunza kitu
Asante sana ninaendelea kujifunza
Mungu akubariki kaka kiukweli unajitoa mno,muda wako kwetu hakika Mungu akutunze
Ameen nashukuru sana snaa
Yani championi madini makubwa
👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏 Mungu aendelee kukubari
Naomba somo la kustaafu kaka joel❤❤❤
God bless you 🙏
Nina shukuru sana. Mimi Niko Congo RDC nahitaji kitabu Ila kufikia kutuma pesa shida inakuwa kwenye shop
Thx bro
Stay blessed ever.
Aise uzidi kubarikiwa
Somo zuri linajenga
Naomba uweunaongeza sauti kaka sauti ipo chin sana kwenye izi voice
Ubarikiwe.
Barikiwa sana kaka
Najivunia kukufatilia wewe
🙏🙏🙏🙏
Naombakitabuchamkomozi wa familia.
Namtukuza MUNGU kwaajili yako kaka
Funguo ya mabadiriko
ASANTE
Naomba namba za watu wa kupata hivyo vitabu ambavyo umesema
❤❤❤
AHSANTE
🙏🏾🙏🏾
🇰🇪
Barikiwa mama
Nahitaji hivyo vitabu sijui nitavipataje?
🇰🇪