Yanga SC 4-1 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 28/05/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2024
  • Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick Yanga ikiiadhibu Tanzania Prisons magoli 4-1 kwenye mchezo wa kuhitimisha msimu #NBCPremierLeague 2023-24 uliopigwa Azam Complex, Chamazi.
    Waliotangulia kufunga ni Tanzania Prisons kwa goli la beno Ngassa dakika ya tano huku Aziz akifunga magoli yake dakika ya 11', 12', na 79' huku goli lingine likifungwa na Kennedy Musonda dakika ya 52.
    Magoli haya yamemfanya Aziz kuwa mfungaji bora wa ligi #TopScorer akifikisha jumla ya magoli 21 mbele ya Feisal Salum aliyemaliza na magoli 19
    Tazama highlights....
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 167

  • @lossarungira965
    @lossarungira965 Місяць тому +13

    Mm yanga Ila Niko tofauti kidogo. Nafurahi Ki Aziz kupata kiatu, lakini siwezi kumbeza fei, tukumbuke fei kuondoka yanga kumeketa tija kwa wote wawili😊, yaani fei kuonekana zaidi na azizi kuonekana zaidi tofauti na walipokuwa pamoja huku mara nyingi wakigimbea namba kumi. Narudia, nafurahi Aziz kushinda kiatu, lakini wote fei na Aziz ni wachezaji wazuri Sana. Hongera kwao.

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Місяць тому +131

    Fei toto nakukumbusha tu kuwa mwenzako master ki kabeba medal,kabeba mpira, kabeba kombe, kabeba kiatu na anabeba na Hamisa mobetto😁

  • @KhadijaNgoma
    @KhadijaNgoma Місяць тому +6

    Nakupenda Aziz k

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому +7

    aziz ki kacheza kwa bidii mno,astahili golden Boot,kaichukuwa kwa haki,.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Місяць тому +6

    Skudu yuko bomba sana

  • @elishawilliam4722
    @elishawilliam4722 Місяць тому +3

    Aliyeona kitu kwa Ngassa jr. Tujuane 🙌

  • @BenLaw_2003
    @BenLaw_2003 Місяць тому +6

    Ki aziziii like hapa

  • @user-qz2if6nc9j
    @user-qz2if6nc9j Місяць тому +3

    Huu ulikuwa msimu Bora kwetu wananchi tuombe mungu tuvunje hii rekodi inshaallah

  • @Joycekombe2
    @Joycekombe2 Місяць тому +4

    Aziz kweli mchezaji 🙌.. anajua

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 Місяць тому +1

    Nakupenda sana azizi l love you. baby boy❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SuzyAntony-ko5oz
    @SuzyAntony-ko5oz Місяць тому +5

    akuna kitu kilicho wahi nifurahixha Feisal kukoxa kiatu big up brother

    • @NeemaMichael-pc9jj
      @NeemaMichael-pc9jj Місяць тому

      Haswaaaaaaaaaaa Yan kakosea Nina Raha mpaka nashindwa kueleza yaaan apewe Salam zake hawez shindana na azzzzzz

  • @galadjogadiaga9660
    @galadjogadiaga9660 Місяць тому +2

    Stéphane Aziz Ki 🇧🇫🇧🇫🇧🇫

  • @HASSANABDALLA-uw2ui
    @HASSANABDALLA-uw2ui Місяць тому +1

    Many good things you have done, weldone president hersi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Місяць тому +1

    Azizi ki kapambana sana msimu huu anastahili kiatu❤❤❤

  • @user-vb9zr8lj4o
    @user-vb9zr8lj4o Місяць тому +5

    Embu pendeni kuwapa watu maua Yao mtu akifanya vizuri mpongeze

  • @FilbertFidelis203
    @FilbertFidelis203 Місяць тому +2

    Nasikia laa sana kikwel kwa master ki aziz

  • @FeisalMduda
    @FeisalMduda Місяць тому +4

    Yanga is a best

  • @nasmahhussein7452
    @nasmahhussein7452 Місяць тому +5

    Kilichowaponz ni kuanza kufunga😅😅😅

  • @titusedson2234
    @titusedson2234 Місяць тому +7

    mnzizeee asitoke yanga

    • @lucyhamad3042
      @lucyhamad3042 Місяць тому +1

      Kabsa yaan, alafu hizi match 3 za mwisho alikua anajitahid kumtengenezea Aziz

  • @azizambise
    @azizambise Місяць тому +4

    Nimefurahi wachezaji wamechangia wote mwenzao kupata kiatu

  • @user-cl1ut6oq1v
    @user-cl1ut6oq1v Місяць тому +1

    Jezi nzur Sanaa ushind mnonooo

  • @Ba63828
    @Ba63828 Місяць тому +3

    Bravo

  • @ramadhanrobin-st6hh
    @ramadhanrobin-st6hh Місяць тому +1

    TATU FC wakiona hii highlights wanaumia vibaya mnoo

  • @malietamaliet
    @malietamaliet Місяць тому +10

    Aziz ki kabeba1: kiatu 2:kombe :robo final caf 4:hamisa 5:kabebesha mimba yani musimu huu amekosa tu kumbeba rais

  • @CharlesCharlesmaduhu
    @CharlesCharlesmaduhu Місяць тому

    Asante sana Azizkii

  • @rahelnamonde
    @rahelnamonde Місяць тому +3

    Na fard jamn hamjamuon km anaweza

  • @nangonga1991
    @nangonga1991 Місяць тому +2

    Magoli ayo ametaabiriwa na Harmonize

  • @denismwaisanila3223
    @denismwaisanila3223 Місяць тому +3

    naomba yanga hii isibomolewe ila mwamnyeto akapumzike

  • @trice_yanga
    @trice_yanga Місяць тому +3

    mwamnyeto baba tunakupenda badilika😢

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Місяць тому +6

    Jamani mashut ya aziz k ni ya moto naona golikipa wa prisoni anadaka alaf anapuliza mikono hatari ila prisoni wameyataka wenyewe pale walipo jaribu kupiga mzinga wa nyuki busu ndipo nyuki wakaamka kweli kweli comback ya kibabe

  • @MashakaMajiji
    @MashakaMajiji Місяць тому +1

    Mwamba WA Ouagadougou ni ninja tu.

  • @user-jn8us1qi1z
    @user-jn8us1qi1z Місяць тому +2

    Ndo wanafananisha na fei😂😂😂🎉

  • @user-uv5jf6he8r
    @user-uv5jf6he8r Місяць тому +3

    Tuvaa hizo jezi Huwa tuko noma sisi fei

  • @frankevaristo6918
    @frankevaristo6918 Місяць тому

    Pamojaaaa sanaaa Azizi kiiiiiii

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi Місяць тому +4

    Kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @mwajumabandula6122
    @mwajumabandula6122 Місяць тому +1

    ❤❤❤

  • @ChirwaWaisaka
    @ChirwaWaisaka Місяць тому +5

    Mwamba Aziz kiiiiiiii hakuna wa kutokea kama kiiii

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles Місяць тому +3

    msheri kaonyesha ni kipa wa daraja gani, mwamnyeto kaonyesha ni beki wa daraja gani, goli moja limetupa majibu mawili
    yaani jiwe mmoja ndege wawili

    • @idanysedrc1200
      @idanysedrc1200 Місяць тому

      Goal kosa la mshery hana maamuz ya hraka maana kaishaona mwamnyeto kabanwa na watu 2 kwann asibane angle ya pemben au akamsaidie mwamnyeto? Maana mwamnyeto kaenda kuclear makosa ya yao

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je Місяць тому

      Mwamnyeto hajaanza leo

  • @user-ge3yd1tx5e
    @user-ge3yd1tx5e Місяць тому +2

    Sasa Mliona rahisi Fiken nyie Kwenye shirikisho Final Tuone.........Hawooooooo Makolo

  • @Nelody77
    @Nelody77 Місяць тому

    Huyu jamaa ana just sanaaaaa

  • @ProsperEnock
    @ProsperEnock Місяць тому

    Ki Aziz ❤❤

  • @izvibez6823
    @izvibez6823 Місяць тому +1

    I blame Tanzania prisons for scoring first😂

  • @UpendoJoseph-ht3qy
    @UpendoJoseph-ht3qy Місяць тому +1

    Jaman Aziz ki so mchezaj wa kuliganishwa na fei too

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib Місяць тому +3

    Uyondio mwamnyeto ninaemjua mm makosa yakijinga afaikia yanga uyu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Місяць тому +4

    Huyu golikipa wa yanga anadaka kwa macho

  • @zeroconscious1916
    @zeroconscious1916 Місяць тому

    Huyu mwamba namkubali sana aisee. Mungu azifi kumtia nguvu

  • @user-uv5jf6he8r
    @user-uv5jf6he8r Місяць тому +1

    Mpeni salaam fei sisi tushiki

  • @MartinYakobo-io1og
    @MartinYakobo-io1og Місяць тому +1

    Yanga wana

  • @catherinesembeka1417
    @catherinesembeka1417 Місяць тому +1

    Kama wyn room wa man u vile.🙌🙌🙌🙌

  • @johnmichael2524
    @johnmichael2524 Місяць тому +3

    The video quality is very low and bad

  • @nadhirijay9902
    @nadhirijay9902 Місяць тому +2

    Kuna namna league yetu iwe na championship playoff kuanzia wa kwanza Hadi wa 7 afu na relagation play off wacheze 8 - 16 watu wachukue ubingwa kwa mbinde

  • @kirobotonyo6352
    @kirobotonyo6352 Місяць тому +3

    Siache mmbachao...kwa msala upitao
    Fei take care.....😂😂

  • @NdevuKamdini
    @NdevuKamdini Місяць тому

    Aziz k 🎉🎉🎉🎉

  • @khamisisima711
    @khamisisima711 Місяць тому +1

    Ukimfuatilia sana Mwamnyeto Kila goli atakalofungwa yanga basi lazima yeye kafanya kosa kiukweli amekua na makosa Kila mchezo ambaye anacheza

    • @FlorahDaud
      @FlorahDaud Місяць тому

      acha wivu bro 😮😮😮😮

  • @willisonkahamba4344
    @willisonkahamba4344 Місяць тому

    Nomaaa

  • @ogmr-bg7gd
    @ogmr-bg7gd Місяць тому +1

    Woooooooooxh

  • @AbuuRayyaanah
    @AbuuRayyaanah Місяць тому +1

    Master key

  • @RobertLaizer-tk8ym
    @RobertLaizer-tk8ym Місяць тому +1

    Naomba skudu asiondoke

  • @babacaren1801
    @babacaren1801 Місяць тому +2

    Mabigwa WA kila kitu🎉

  • @user-lf5mo3tp9k
    @user-lf5mo3tp9k Місяць тому +1

    Mwamnyeto dah mi ananikwaza kweli kweli

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉, ametisha sanaaaaa kaka Kiiiii

  • @RithaPhellan-qw3uh
    @RithaPhellan-qw3uh Місяць тому +1

    Fei alikuwa anampiga misumari mwamba....ila mungu naye ni nani😂😂😂😂

  • @hajially4527
    @hajially4527 Місяць тому +4

    Fei toto atapewa socks

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 Місяць тому +1

    Ila mwamnyeto tumpe thank yu

  • @HafidhSimba-hu3ne
    @HafidhSimba-hu3ne Місяць тому +2

    Watoto 2nabalaa

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 Місяць тому

    Yule streka wa majini au teka la mguu mmoja salamu zimfikie...

  • @ChartyMpepo
    @ChartyMpepo Місяць тому +1

    Kama huna D 2 uwezi kuewa😅😅😅😅😅😅

  • @MwesigaGodfrey
    @MwesigaGodfrey 20 днів тому

    😊😊

  • @user-xg1qk1li9y
    @user-xg1qk1li9y Місяць тому +1

    Master ki mwamba kwel kwel

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 Місяць тому

    Mamaeeeeeeh

  • @rajabmwange4634
    @rajabmwange4634 Місяць тому +1

    Ila Mwamnyeto!😂

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Місяць тому

    Mtasema mengii ila.. ndo ivo kajituma na Mungu kashamwandkia kitambo kushinda na leo kahitimisha .ligi imeisha muwape washindi maua yao

  • @JosephineItambu
    @JosephineItambu Місяць тому +3

    Quality ya video mbovu Azam Tv jmn khaaa🙄🙂‍↔️💔

  • @rahelnamonde
    @rahelnamonde Місяць тому +4

    Skud abaki

  • @FarhiaRamadhani
    @FarhiaRamadhani Місяць тому

    Yangaaaaaaa

    • @user-wb3ff1eq1b
      @user-wb3ff1eq1b Місяць тому

      Au wewe ndo wale waliokosaa D mbilii ambacho huelewii nn???😱😱😱😱😱 hata kuonana!!!!!!!

  • @jaymorisonwonder1156
    @jaymorisonwonder1156 Місяць тому +2

    Hivi mwamnyeto aliyemroga alikufa???

    • @KelvinRobert-mn2mn
      @KelvinRobert-mn2mn Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂😂 amutaft

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 Місяць тому +2

      Yani mm hua nashangaa sn kuckia simba wanamtaka huyu alafu hua nashangaa sn kua eti hatuwapi😂

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Місяць тому

      😅😅😅😅😅😅

  • @AmosiVicente
    @AmosiVicente 9 днів тому

    Walijaa box tukanyoosha

  • @NailaMickey
    @NailaMickey Місяць тому

    Haka kabeno ngasa soon kaje yanga

  • @aminimwanga4818
    @aminimwanga4818 Місяць тому +1

    Wacha wanaostahili kushinda ashinde kiatu cha mfungaji bora

    • @user-jn8us1qi1z
      @user-jn8us1qi1z Місяць тому

      Kuna fala anapiga hatrik wachezaji wako 8 lakini master ki kapiga hatriki Azam wako 11😂 alafu makolo wanasema fei😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому

      😂😂 hata Azam kapigwa 3 nmaster k

  • @SkayuMusic
    @SkayuMusic Місяць тому

    Key anawashenyenta mabeki na makipa

  • @EbbyMalende
    @EbbyMalende Місяць тому

    jiniaz

  • @kelvin7ithuiumwasamaki987
    @kelvin7ithuiumwasamaki987 Місяць тому +8

    Huyu skudu leo

    • @MrBema87
      @MrBema87 Місяць тому +2

      🎉 ana vitu vingi na nimdogo sana

  • @fabiandanielkatikiro1478
    @fabiandanielkatikiro1478 Місяць тому

    Mwamnyeto nguvu nyingi akili kiduchu 🤔

  • @imaniisaya-np9md
    @imaniisaya-np9md Місяць тому +1

    Hivi mwamnyeto wa ninni

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 Місяць тому

    Wanachangia au tayr maongezi yamepita

  • @RestutaLeo-xq7rf
    @RestutaLeo-xq7rf Місяць тому

    Hv mbangula yumo kwl?

  • @dickMassawe
    @dickMassawe Місяць тому

    Clement yanga wakimtumia kama winga alaf watuletee striker anayeeleweka clement tutaona umuhimu wake

    • @lossarungira965
      @lossarungira965 Місяць тому

      Sahihi Sana, tofauti na clement kucheza kama striker

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 Місяць тому

    PIRA BIRIAN.

  • @user-yq7te7ms5p
    @user-yq7te7ms5p Місяць тому

    Acha huo mgol Cheo mpas wa shekh

  • @gerrardcharlesmonyo1331
    @gerrardcharlesmonyo1331 Місяць тому

    Azizi ki anasemaje dada fei ni wake na anatamba nae namimi kama baba mkwe npepitisha ndoa ifungwe

  • @user-hv8ns7gs9c
    @user-hv8ns7gs9c Місяць тому

    This is top foul

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 Місяць тому

    Sisi humu Tu

  • @SubiraMohammed-ks6qg
    @SubiraMohammed-ks6qg Місяць тому

    Ila gharib mzinga maneno yako jaman mbona mambo d2

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 Місяць тому +1

    Fei we fei wewe ,adi mobeto anachukuliwa ,zanzibar bure kabisa

  • @MysarahMohamed
    @MysarahMohamed Місяць тому

    Mwamnyeto cjui ana shida gani huyu

    • @ashikalojr6961
      @ashikalojr6961 Місяць тому

      Yan hzo ndio mech za nyumban tukienda kimataifa attuzngua hyu aspo jilekevisha

  • @mamohamed1252
    @mamohamed1252 Місяць тому +1

    Mtangazaji kiswahili ni Msumari sio Msumali duuu😂

    • @chire4574
      @chire4574 Місяць тому

      Izo ni vitu vudogo ww

  • @clintonjames7154
    @clintonjames7154 Місяць тому

    Iyo mechi Ni Kama imeuzwa😮

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 Місяць тому

    Huyu dogo Ngasa kwani vp?

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p Місяць тому

    Magoal ya mchongo

  • @user-be6rc7le8l
    @user-be6rc7le8l Місяць тому +1

    Unasifia kijinga wee mtngazaji kiwango ambacho anaonyesha azizki ni chakawaida tu unampa kichwa na masifa kibao ambayo hana, top class unamjuwa wap?au unaongea tu kwakuwa umekata spika tena ndo watu wakuskie unaongea kiingeraza feki kisichokuwa na mpangilio

    • @gladnessmushi-ge6fd
      @gladnessmushi-ge6fd Місяць тому +1

      Makasiriko ya nn kolo😂😂😂ni top class magoli 21

    • @charlesmillinga992
      @charlesmillinga992 Місяць тому +1

      Pole ndugu

    • @kapambahassan1183
      @kapambahassan1183 Місяць тому +2

      Wewe ndio umeandika ujinga, eti kiwango cha kawaida lete takwimu kama kuna Mchezaji yeyote kutoka kwenye litimu lako lililoshika nafasi ya 3 anayemfikia.

    • @georgewilson6830
      @georgewilson6830 Місяць тому +1

      Una maumivu eti?

    • @abdulkarimabdallah9536
      @abdulkarimabdallah9536 Місяць тому

      Kama haitoshi jitombe mwenyewe sikujui sijui una mshono au muhogo utajijua mwenyewe nakam huwezi jitumbukize chooni kwako