#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 66

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Місяць тому +3

    Mzize apelekwe kwa mkopo timu ya ligi kuu ajifunze nadhan atapata confidence

  • @danmbizo3472
    @danmbizo3472 Місяць тому +7

    Uko vizuri bro kuchambua

  • @florenskifyoga6997
    @florenskifyoga6997 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @HassanMakongo
    @HassanMakongo Місяць тому +1

    V good frij bov

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 Місяць тому +15

    Uyu jamaa Yuko vzr ktk uchambuz wake

    • @Citymedia25
      @Citymedia25 Місяць тому +4

      Kabisa

    • @athumanibakari8618
      @athumanibakari8618 Місяць тому +3

      Leo Amekuwa mzuri Kwa Sababu anaisifia Yanga???

    • @Mazimoroyal
      @Mazimoroyal Місяць тому +2

      Naomba hii video imfikie mzize aendelee kusikia maoni ya wadau na kujifunza kwani ni dadhina mzuri kwa taifa letu tuweke like ujumbe ufuke🎉🎉

  • @georgeJohn-ct9pt
    @georgeJohn-ct9pt Місяць тому +5

    uko vzr mzee wa frj bovi

  • @ManenoJuma-xd3ii
    @ManenoJuma-xd3ii Місяць тому +1

    Asante Sana broo❤❤❤

  • @user-qg8rp7kl6o
    @user-qg8rp7kl6o Місяць тому +8

    ❤❤❤😊

  • @ManenoJuma-xd3ii
    @ManenoJuma-xd3ii Місяць тому +1

    ❤❤❤❤

  • @allyissa9600
    @allyissa9600 Місяць тому +4

    Jamaa fact sana

  • @omarybashiry5930
    @omarybashiry5930 Місяць тому +1

    Yupo vzr

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 Місяць тому +1

    Mzize amesababisha usajili wa mastraika 3 wa kigeni.anabebwa hajishikilii

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES Місяць тому +4

    Kabisa mzize Bado hajakaa chini akaangalia wapo ankosea mzize Fanya vizuri Ili baadae update pesa nyingi kupitia streka

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Місяць тому +2

    Safi sana Simba SC wako bora sana natamani season 2024/2025 ianze tupate burudani

    • @issackshayo7423
      @issackshayo7423 Місяць тому

      Wamekula sita huko Misri 😂😂😂😂😂

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 Місяць тому

      Wakati wa MAKOLO huu, subiri LIGI ianze utawaskia ooo MANGUNGU...oooo sijui TFF...🤣🤣🤣

  • @IsmailMakeo-ne3iy
    @IsmailMakeo-ne3iy Місяць тому +4

    Yan Bro Mm Naenda Na Ww Mzize Sio Wakupewa Mechi Kubwa Kama Izi

    • @michaelmsambusi9287
      @michaelmsambusi9287 Місяць тому

      Sana yaan mm hata simuelewi huyo dogo mzize tena nikikumbuka Ile mechi na mamerodi alivyofanya upuuzi wake ndio naumia sana na kumchukia Kwa kweli.

  • @IsmailMakeo-ne3iy
    @IsmailMakeo-ne3iy Місяць тому +4

    Upo Sahihi Anazingua Sana Mzize

    • @michaelmsambusi9287
      @michaelmsambusi9287 Місяць тому +1

      Anazingua sana sio utani mm hata simtaki kabisa huyo mtoto mzize nikikumbuka Ile mechi ya mamerodi namchukia zaidi.

  • @comfort-rjtv3291
    @comfort-rjtv3291 Місяць тому +4

    Tunamshauri kocha akae na fimbo mzize bado mdogo sana akiwa akikosea anamchapa tu hakuna shida

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому +1

    Maneno yako Kwa mwenye akili tulivu atagundua kuwa hupendi YANGA waongea Kwa kuumia sana

  • @user-op7vm9mr3z
    @user-op7vm9mr3z Місяць тому +8

    Mnaitamka vibaya siyo ausbag ni augsb(u)rg badala ya a tamka u

  • @MandelaNdauka
    @MandelaNdauka Місяць тому +1

    Frij unaujuwa mpira

  • @AsifuSule
    @AsifuSule Місяць тому +4

    Mzize ni mtu wa kupewa mechi baada ya kupata matokeo

    • @michaelmsambusi9287
      @michaelmsambusi9287 Місяць тому +1

      Lakini kocha letu gamondi alielewi jambo sijui mzize anampa nn gamondi mpaka ampange Kila siku mm naumia sana.

    • @DarliotonTumaini
      @DarliotonTumaini Місяць тому

      Wakiwekwa benchi utaskia wazawa hawaaminiw​@@michaelmsambusi9287

    • @jifunze0042
      @jifunze0042 Місяць тому

      mzize anaweza asifunge ila kusema ukweli jamaa yupo vzr sana kwaio acha kocha aendelee kumuamini

  • @PaulMuasya-z8c
    @PaulMuasya-z8c Місяць тому +1

    Simba walifungwa 5-1 Baleke na Chama wakiwa ndani msimu uliopita.
    Tarehe nane haiko mbali. Baleke mechi 14 kakosa bao 44 akiwa pale Simba. Kilichofanya kukosa timu tangu atoke pale TP Mazembe kwa mkopo iko sababu ambayo nyie wachambuzi huwa hamsemi lakini 8 yaja.

  • @BenedictoMeakyeja
    @BenedictoMeakyeja Місяць тому +4

    kak yang wamejitahidi

  • @carolinambalamwezi4216
    @carolinambalamwezi4216 Місяць тому +1

    Mara nyingi sana tunafelishwa na huyu mzize kocha aangalie aina gani ya mechi ya kumtumia wa mamelodi shughuli tungemaliza hapahapa

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Місяць тому +3

    Diara na BACA HATARI

  • @adamuayubumwendolwa7723
    @adamuayubumwendolwa7723 Місяць тому +1

    Jamaa acha kauongo basi Yanga ilipata iliattempt hata kipindi cha kwanza. Shuti la Max na Aziz ile ilikuwa nini😅😅😅

  • @WABONGOKADENGE
    @WABONGOKADENGE Місяць тому +1

    Kaka unatisha Kwa uchambuzi.

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g Місяць тому +2

    Mzize hakutakiwa kuanza ilitakiwa aingie kama sub

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Місяць тому +1

    Gamond. Alisema,ts not about RESULTS!

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er Місяць тому +1

    Kuna ishu ya malipo Kati ya mazembe na yanga hawajamalizana Kaka ndio mana hawamtangazi yupo kwa mkopo

  • @OmaryzingZing-jd3xm
    @OmaryzingZing-jd3xm Місяць тому +1

    Unajua mkongwe uko vizuli me J.Naldo apa kutoka Bagamoyo unajua kuchambua mwamba

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Місяць тому +2

    Mzinze aonane na mwanasaikolojia

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 Місяць тому

    wewe mjamzito ,attempt b4 baleke i think ulikuwa unaangalia mpira ukitamani kutangaza yanga ilivyozidiwa,post ya max na save ya shuti la aziz KI,kwako ilikuwa temptation au goal attempt.

  • @JohnMaja
    @JohnMaja Місяць тому

    Krementi Yuko sawa muangalieni vizuri amefanya vizuri sana muiangalie makosa tu angalieni pia nafasi karibatsyu alizofanya vizuri kwanini msimpe sifa yake

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk Місяць тому +1

    We mwongo, eti yanga hawakuwa na attemp yoyote kabla ya Baleke, iliyogonga mwamba siyo attempt? Nduki ya Azizi Ki siyo attempt?

  • @EleonoraHeiland
    @EleonoraHeiland Місяць тому +1

    Anajuwq kuchambuwq Co Akina jemedari hao washenzi,fyuu

  • @michaelmsambusi9287
    @michaelmsambusi9287 Місяць тому +1

    Huyo mtoto mzize ni mpumbavu sana Kila siku mm nasema kwanini gamondi anampa nafasi na wakati anatukokesha ushindi ,mm naboweka sana wanayanga wenzangu kuona mzize anapewa nafasi na wakat anakosa magoli.

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 Місяць тому

      Mzize anahusika kwenye 'build up' ya magoli, hata akikosa uwepo wake unasaidia hasa kwenye kuanza kukaba kuanzia juu...wachambuzi wengi hawaelewi, ndiyo maana wanaongea utumbo tu na ndiyo mnaowasikiliza...nyumbu tu...

  • @adamuayubumwendolwa7723
    @adamuayubumwendolwa7723 Місяць тому +1

    Kakosa goli Dube sio issue kaosa Mzize ni issue. Wabongo tuna roho mbaya sanaaaaaaa

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому

      Hapana ni kweli mzize ana presha sana ni zaidi ya mechi moja tumemshuhudia kwa hyo akiambiwa ukweli itakuwa sababu ya yy kujirekebisha

    • @adamuayubumwendolwa7723
      @adamuayubumwendolwa7723 Місяць тому

      @@fettiemaganza1484 hio presha unaipimaje?kama kukosa magoli hata wengine wanakosa

  • @RebiamMwilike-ru8te
    @RebiamMwilike-ru8te Місяць тому +1

    Kaka unakitu uhakika unaongea vema

  • @user-sq4tm1ol7o
    @user-sq4tm1ol7o Місяць тому

    Friji bovu namkubali sana

  • @user-dd8ew6fw2x
    @user-dd8ew6fw2x Місяць тому +1

    Musilo lijuwa mzize ame silimishwa na injinia na ame muahidi hatokosa kucheza kw iyo gamondi huambiwa na injinia amchezeshe

    • @ramadhanimrungu5806
      @ramadhanimrungu5806 Місяць тому +1

      Acha uongo ww

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому +2

      Muone doctor wa mental health akusaidiee ...pia zingatia ushauri pamoja na kutumia vyakula vinavyowez kurutubisha medulla oblongata yako......

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 Місяць тому

      Acha kuongea matapishi we kolokwinyo domo lako linatoa harufu mbaya ya UDINI, idiot

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому

      Unadhani gamond ndio wale makocha wa kupangiwa kikosi

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 Місяць тому +1

    Mzize wamuuze tu

  • @vijasa1124
    @vijasa1124 Місяць тому +2

    Inabidi gamond na yanga waingie ktk mfumo wa chama au chama aingie ktk mfumo wa gamond
    Muda utaongea baina Simba n yanga n chama ipi kubwa

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 Місяць тому +1

      Yanga sio Simba ndugu yangu

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому +1

      Yaan yanga wafuate mfumo wa chama? Atakaa bench tu hakuna namna

  • @AsifuSule
    @AsifuSule Місяць тому +2

    Mzize ni mtu wa kupewa mechi baada ya kupata matokeo