MPAKISTANI AONYESHA RB YA POLISI | NYUMBA IMEFIKIA HATUA HII |BATULI AJENGEWA CHUMBA CHAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 145

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +7

    Mashallah mdogo wangu Mama Batuli Tumshukuru mungu kwa kila jambo hatua uliofikia si haba

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 Рік тому +19

    Kaka sauti yako km y kk Zahir!, lkn kk Zahir mungu ambariki alipambana n uyo mama adi nyumba kufikia apo, msitaje kiwango cha pesa jmn, maana kunawatu wanauchu mkali adi roho za kishetwani

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 Рік тому +1

      Mtu na kakake yaani ni ndugu

    • @shubianan
      @shubianan Рік тому +2

      Kwa hiyo saivi mna Chanel 2 na kwa nini siku zote usiende mpk muda mrefu umepita mwambie mwanao atafute kazi mmalizie nyumba yenu

    • @zeramohamed9672
      @zeramohamed9672 Рік тому +4

      Kwa kweli mimi naona mwanae wa kiume ana nguvu afanye kazi ili waendelee na maishakwani wamesaidiwa mpaka kufikia hapo napia aende kwa mzazi mwenzie ampeleke Mbele ili atoe matumizi

    • @juliennenzeyimana3274
      @juliennenzeyimana3274 Рік тому +2

      Uyo mama tama njo nzirimponza yani mpenda tu wili kamoja kamemuponyoka?husaidiwe harafu uwende kununuwa ma dhahabu?

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 Рік тому +2

      Mliosoma cuba mnanielewa, kwanza amesaidiwa pa kutosha pili ana kijana mwenye afya akafanye kazi wamalizie nyumba yao. Yaani ingekuwa ni mmoja wetu uko Pakistani kwao 😢😢wangesha tuuwa wanamanyanyaso hawa. Alafu hawa ni wale ambao mabwana walisha kufa alafu wanaongopea aliolewa na mtanzania 😂😂😂😂. Alafu tamaa imemponza, pesa ya sadaka ameenda kujenga nyumba kuubwa

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +7

    Romania ya mjengo asilaumiwe mpakistani, yeye amefanyiwa tu, kaka zahir ndiye ameona hiyo ramani inafaa

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Рік тому +14

    10:40 Ndugu yangu mtangazaji musitaje ngapi zimetumiwa msaidieni Allah atawalipa
    Kwa uwezo wake

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633

    MASHALLAH.Mungu akulinde na mahasidi.Kaka zahir Mungu akulinde popote pale ulipo.Ulipambana nahuyu mama xana.

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 Рік тому

      Kwa kweli imekuaje akaachana na zahir kwa kua ndie alianza nae

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому +9

    Pole sana Mama batuli Zahir endelea kumsimamia Mama batuli umeanza nae mbali kwanini humtangazi tena huyu Mama batuli

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +7

    Mama usimuachie mtu yyte mtto ukaenda kutafuta kazi hata mm sikushauri hilo mana mtto hapo alipo anakuhitaji ww na anahitaji mapenzi yako na care! Lkn wanao wakubwa wanaweza kujihangaisha, km hawajihangaishi wahimize!

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 Рік тому +5

    Jaman huyu mama nilimmic sana❤

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 Рік тому +13

    maa shaa Allah tumsaidieni jamani amalizie nyumba yake

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +3

    Mtihani walah yangu imefikiya hapo hapo kama yako nashukuru mungu alhadulilah nipofika afadhali wengine hawana kabisa nipo natafuta nishatapeliwa pesa nyingi tu lakini mungu ni mwema alhafulilah

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 Рік тому

      Utamaliza tu usisononeke. Mm nilimaliza hadi palasta waizi wakaja wakavunja wakaiba milango madirisha na, nyaya zote za, umeme nilikua nishafanya ilibak tu tiles. Lakin kwa sasa namalizia nyumba. Usikate tamaa dada

  • @HappyHiker-nz9vg
    @HappyHiker-nz9vg 8 місяців тому

    Saut kama Zahir mashallah ❤

  • @mamaabduly
    @mamaabduly Рік тому +5

    Mungu anisamehe.. Huyu mama nahisi kwenye upotevu wa pesa ana kauongo flan

    • @FatmaaFatoom
      @FatmaaFatoom Рік тому +1

      Mimi pia nimegundua hivyo maana Zahir hashindwi kitu Kila siku kulalamika

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 Рік тому +1

    Pole sana mung yupo utamaliza

  • @salama1113
    @salama1113 Рік тому +10

    Aibu kwa polisi kilalaia analalamika kwenu😢😢

  • @budhbd5208
    @budhbd5208 Рік тому +2

    Inshaallah kheri utamaliza

  • @isamony58
    @isamony58 Рік тому +3

    kwani zairi yukowapiiiiiiiiii mm batuli tunamtaka kk zairi

  • @LinnahHery
    @LinnahHery 7 місяців тому

    Mama usiogope kaza moyo Zidi kumtegemea Mungu

  • @upendoabraham2010
    @upendoabraham2010 Рік тому +3

    Mimi nakuamini kabisaa kuwa ulitapeliwa maana hata mama angu alitapeliwa Kwa style kama waliyokutapeli wewe hivyo Mtu kama hawajawahi kukutwa na Hilo tukio hawezi kuelewa

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 19 днів тому

    Lkn mashaa llah imefika lkn pia mama batuli unaweza kufanya biashara yeyo ikakuingizia kipsto na ukamalizia kujenga hata kama pia hujapata mchango

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 Рік тому +4

    jamani tumsaidie huyu mama jamani

  • @thuhailamohamed190
    @thuhailamohamed190 Рік тому +7

    Mtu unapotoa toa tu kwaajili yamungu sio kuanza maneno kama hayo mana ukitoa kitu mtu akatumia mpaka akafa basi unafungu kubwa sasa maneno yanini jamani tuache kujizima data

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +2

      Wanaosema karibu na wote hawakutoa walijionea upuuzi tangu mwanzo. Mtu unahitaji msaada halafu unataka makubwa? Hata waliomuahidi wameingia mitini. Kuona walivyotumainia sivyo alivyofanya yy na Zahir wake.

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому

      Ukitaka kujua km watanzania wana roho chafu ndo namna hio...yaani mtu hata kusaidia hasaidii kisha anakuja kucoment ujinga yaani anataka mwenziwe asisaidiwe .watz bana mmh

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      @@shamsahaji6202. Nyie wenye roho nzuri makwenu mnasaidia??? Au waafrika wenzenu mnawasaidia au basi tu kwa kua muhindi ndio akili za kitumwa zimekujaeni???

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      @@shamsahaji6202. Hao wanaosema sio kwamba hawasaidii watu au walikua Hawana nią ya kumsaidia lkn roho yake mbaya ya ubinafs ndio iliofanya warudi nyuma. Kwani muhitaji peke ake??!

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      @@shamsahaji6202. Ww ulokua na roho nzuri msaidie hujakatazwa. Na sisi acha tuseme kwa sbbu lengo na madhumuni ni kukumbushana kusaidia wanyonge waliowengi wanaohitaji msaada wetu na sio kujengea watu vila wajifakharishe.

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 3 місяці тому

    Mrejesho wa mama batuli jamani

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому +3

    Kwani maximum Zahir c ndio alikuwa anasimamia, huyu tena katokea wap

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +1

    Huyu jamaa atakua ni mdogo wake Zahir

  • @bongo39
    @bongo39 Рік тому +9

    Ndugu yangu zahir endelea na sadaka ulioanza kwa huyo mama kwa ajili ya mungu mungu ndio atakae kulipa amini maneno yangu mshike mkono ili umalize kazi ulioanza tuwache yaliopita tugange ya jayo

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 Рік тому +2

      Kwani huyu zahiri yuko wapi

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 Рік тому +3

      Kwani Kuna tatizo lolote lilitokea baina yake na Zahir au. Naona kahama kwa Zahir.??

    • @homemediatanzania
      @homemediatanzania  Рік тому +2

      Hawana tatizo lolote na zahir ila zahir ana majukumu yake kutangaza amestop kidogo

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому

      @@teedullah5708 Na shaangaaa

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому +2

      @@homemediatanzania Nmekuelewa ndugu yangu🤝🤝

  • @khasmamtega5963
    @khasmamtega5963 Рік тому +1

    Dunia hii nimejifunza kitu kumsema mtu nisiyemjua au kuongea kitu nisicho kijua ni mwiko kwangu
    kwa kudra za allah yatatimia

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 10 місяців тому

    Angejenga vyumba viwili na sebule balance inayobaki aanzishe biashara angefanikiwa.

  • @lovvy854
    @lovvy854 Рік тому +4

    Huyu mama ni Mzembee na tamaa yako ndo iliyo kudhalilisha tafuta kazi ufanye sasa ujitegeme umesaidiwa yakutosha

  • @khadijaabdulrahmani1446
    @khadijaabdulrahmani1446 Рік тому +3

    Kijana wako atafute kazi ili akusaidie mama huo ujenzi na mengineo

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw Рік тому

    Watanzania Kama huyo mama kweli mliamua kumsaidia tumsaidie huyo ni mgeni

  • @AzizaRashid-o6i
    @AzizaRashid-o6i Рік тому +1

    Kwanini home media munamuingilia Zahir katika kazi yake hapo kwa mama batul yy ndio kaanza toka mwanzo leo iweje muwepo kwenye mahojiano nae

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому

    Why home media,

  • @ZawadMussa-sd1od
    @ZawadMussa-sd1od Рік тому +1

    Zahir Yuko wapi jamani

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому

    Mbona huyo sio kk zahir,

  • @DijaMriri-wc4qd
    @DijaMriri-wc4qd Рік тому +2

    Kusema ukwel namuonea huruma sana uyu mama lkn acha nisiongee vby bado siamini unategemea mchango ndo hekalu lote hilo badala angejenga chumba chake cha batuli wanae wa kiume n chumba cha wageni na jiko na seble 😢😢kuna mtoto nmeona anahojiwa kwa zahir ana kansa anahitaji msaada leo mtu badala ashukuru kwa kidogo angejenga vyumba vichache.hawa wenzetu wahindi warabu wanapenda kujitofautisha na waswahili sana wanapenda kuishi kifahari sana huo ndo ukwel.wengi wanahitaji michango ya watanzania mama zabibu alijengewa nyumba simple chap tu haya ile familia fahadi aliwasaidia walijengewa nyumba simple tu ikamalizika basi hata huyu mngemjengea ya simple sa hii labda angekua anasaidiwa hela ya mtaji tu.ni mawazo yangu tu pia sijakamilika kama kuna sehem ntakua nmekosea mnisamehe na kuelekezana🙏Mungu amfanyie wepesi amalize iyo nyumba

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 Рік тому

      Nakuunga mkono nyumba kubw mno jmn angejenga ndogo ya kumtosha yeye na wanawe. Jumba kubwa kama la tajiri flani

    • @thedygeorge4548
      @thedygeorge4548 9 місяців тому

      Mimi nilisemaga toka yupo kwenye msingi kwamba kwann anajenga lijumba likubwa kwakutegemea michango

  • @Zinab-g1i
    @Zinab-g1i Рік тому +1

    Zahir popote ulipo tunaomba uwe bega kwa bega na Mama batul kwani umetoka naembali

  • @KhalidKhalid-ox4pg
    @KhalidKhalid-ox4pg Рік тому +1

    Aisha Oman uyu mpakistan hana akili pesa za msaada unaenda kujengewa mjengo kama mfanya biashara nyumba ya msaada jenga nyumba ya wastani imalizike ukae kila siku utasaidia wewe tuu wapo wenzio wana shida kama wewe

  • @Veni584
    @Veni584 Рік тому +1

    Zahir yuko wapi?

  • @shubianan
    @shubianan Рік тому +2

    Sasa wewe hujaenda siku nyinyi hizo pic haziwexi kuwepo mpk leo wamama wenzio wanauza maandazi na wanajikimu na wanafanya maendeleo

  • @irenebarakelimnene4895
    @irenebarakelimnene4895 Рік тому

    Msameheni SANA ni hivyo keshakosea tusimlaumu

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 Рік тому +4

    Please go to your phone service provider with the police report...your phone service provider should be able to track the thieves phone.

  • @ishadulla4525
    @ishadulla4525 11 місяців тому

    Kwenye kupauwa pauwa kawaida usipandishe ile mapaa marefuuu inaweza kusimama milion 4 tu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 10 місяців тому

    Mhh uyu mama bn kwaaiyo kahamia tena tv i uyu mama ni ujinga tu kaufanya ww utaeka vp oesa wkat unajuwa unajenga

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Рік тому +6

    U ndugu na Zahir kwani mwafanana kiasi na sauti vile vile

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому +2

    Tatizo nyumba ya msaada ingejegwa ndogo wamejenga kubwa

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Рік тому +1

      Acha roho mbaya ww ina ukumbwa gani hio mmh roho ya umasikini tu

  • @arafajabir3194
    @arafajabir3194 Рік тому

    Kwani zahir wa Maximum tv ameachana na huyu dada?

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 Рік тому +3

    Alinikera kwa kujenga jumba kama hekalu kwa pesa za maskini sisi,na zahiri wake

    • @homemediatanzania
      @homemediatanzania  Рік тому +2

      Sasa hapa zahir ameingiaje wakat mkusanya pesa ndo yeye mwenyewe huyu mama

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      @@homemediatanzania. Zahir si ndo msimamizi na ndie mwenye tv? Alikua amshauri na kumfahamisha kua wahitaji si peke ake.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Рік тому

      @@Fear_Allah394 sina nyongeza,umemjibu vyema sana

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 Рік тому +1

      Mimi swali langu
      Kwa nini aweke pesa bank
      Siangemalizia mjengo wake?
      Naomba wenye kuelewa wanieleweshe

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Рік тому

      @@hawakiza6067 ndugu yangu achana na story za huyu mama,wanajuwana na zahiri wake kwa kuporomosha jingo kubwa kwa misaada ya maskini sisi.story zao ni ndefu na hazieleweki.fanya mambo yako,huyu mpakstani,Achana naye,story zake ngumu.

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 Рік тому +3

    Dada mwambie arudi kwenye dini yake ya haki

  • @zainarashid1024
    @zainarashid1024 Рік тому +2

    Atamlipa Allah kila aliemsaidia na mwanzilishi Zahir

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc Рік тому

    Nilimis huyu mama

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 Рік тому

    Zile pesa zilizo kua bank
    Kwa nini zikae bank asiweke kwenye ujenzi

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 Рік тому

    Wewe bongo haina msaada wala politics labda wananchi watakusaidia ila polis Hahawa kitu bila rushwa ndio kazi zao

  • @Haluwa_Bawaly
    @Haluwa_Bawaly Рік тому +2

    Ndugu mtangazaji huko bank walifika ,hakuna hata Moja muhusika , alionekana na camera haiwezekani .na polisi ni kweli hawafanyi kazi bila ya hongo , lkn Kuna idara ya usimamizi wa polisi , inatakikana kuwe na mwanahabari na ushahidi muweze kuonesha .

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 Рік тому

    Zahir Mwanangu uko wapi? Msaidie huyu mama umalizane naye au kulikoni

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 Рік тому +2

    Kwani zahir yukp wapi jamani?

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Рік тому

      hujui kitu kaa kimya zahir ndio aliwatuma hao na alisema hii media ni yake pia

    • @alfamgayatv872
      @alfamgayatv872 Рік тому

      😂

  • @annmanu3134
    @annmanu3134 Рік тому

    Mm nakuomba zahir please please km uliyvoanza na huyu maam basi changisha na umalizane lakin huo huo pesa kaa nazo wew na maliza kujeng cz huyu mama sijui ilikuwaje mpk hiz pesa zote kutapeliw nivyema ukae nazo wew na wakt mwengine punguza nyumba km unasaindia juu nyumb kubwa hiyv na ni wa 3 tu kuna wengin pia wanatak huo msaand na hawapat

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 Рік тому

    Zahiri ana damu ya kuongea na watu wakatoa,wakina happy karibia watahamia

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 Рік тому +1

    hao waraabu ni watu hatari sana wana roho mbaya

    • @KhalfanKishki
      @KhalfanKishki Рік тому

      Siyo wote. Hata wewe pia una roho mbaya

    • @Maysam470
      @Maysam470 Рік тому

      Safi sana kijana kwa jibu ulilompatia

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 11 місяців тому

    Wewe ndio mwizi. Unachangiwa pesa unaalika ndg zako waje.kula.biriani. ulichezea.bahatintako mwenyewe.

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому +1

    Asa mbona kaweka mjengo mkubwa kiasi hicho ,,, pesa zilizotumika angejenga nyumba ndogo na ikatosha na sasa angekua kwake,,, hana uwezo anataka mjumba wa kitajiri ,,, kuna watu wenye uhitaji wengi jaribuni kujitafakari kabla ya kufanya jambo hilo. , pia kuna masharifu walitaka kumsadia ilikuaje ,,, mnazingua sometimes 😢😢😢

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +2

      Hawa wanaochangisha hua hawaji km wanaosaidia na wao wanawatu wao wa kuwasaidia. Na sadaka ya Kumsaidia mtu wako ndio sadaka bora zaidi kuliko ya mtu mbali, Ila huruma za watu huona na wasiowajua wawasaidie. Wanaona labda watu wanazo wamepanda miti wanatoka nje wakachuma tu na ndio mana wanapowajia wahitaji hua hawatumii akili wakajenga nyumba za kiasi ili na wengine wapate kusaidiwa.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      Mwanawe kweli mgonjwa na namuhurumia sana. Mana kuuguza au kuugua ni mtihani mkubwa sana duniani, Allah amsaidie. Lkn ilikua yy na zahir wakumbuke kua muhitaji si peke yake. Watu wanaswafa yy atakua anataka nyumba km anajengewa na raisi??? Wkt wanaochangia ni watu wa kawaida na tena wana na majukumu yao na wengine wanabeba na ya watu wao.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому

    Kawasomee albadiri mbwa hao waoze mwili mzima

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Рік тому +1

    KWANI KAIBIWAJE IBIWAJE

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +1

    Hatua Iliyo baki Milioni 7? Mbao Aina 2 kubwa na Ndogo, Bati, misumari, kofia, pesa ya Fundi, Milioni 7 Haimalizi Hapo,.

    • @homemediatanzania
      @homemediatanzania  Рік тому +1

      Million 7 ni kubwa kwa ujenzi wa zahir ila huyu mama kakutana na wapigaji ndomana bei kubwa

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +1

    Inawezekana huyo meneja anashirikiana na hao matapelu.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому +4

    Mbinafs utadhani Tnz nzima muhitaji peke ako? Kuna wenzio wanawtto wagonjwa na wenyewe wagonjwa na vibanda wanavyoishi vibovu na hawana hata wtto wakubwa wa kuwasaidia. Ilikua ujenge nyumba saiz na wenzio wapate. Ulitaka Dhahir akutangaze ww kila siku na anawahitaji wengine? Watu wengine hawajui kula kipofu, mtihani!

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 Рік тому +1

      Umeongea point huyu anataka kujenga kujifaharisha kwa wahindi wenzie ili badae naye aonekane tajiri

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Рік тому

      Yaaan tunawahitaji Weng sana

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      @@Muslim-gs6rn. Kweli ndugu yangu tena wa damu kabisa ambao Allah na Mtume s.a.w anasisitiza zaidi kuwasaidia wao kwanza kuliko wa mbali. Na ndio mana Mtume s.a.w alipokwenda Miraj alikuta kisima kinarusha maji but kinakiuka kisima cha pembeni mwake na kurusha chengine, alipouliza akaambiwa hawa ni baadhi ya watu ktk umma wako, ambao watakua wanasaidia wa mbali na kuacha wa karibu.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      @@Muslim-gs6rn. Ckm kumsaidia wa mbali hupati kitu…unapata lkn zaidi wa karibu. Lkn siku hzi wambali wakisaidiwa huona watu km hawana wakaribu wakuwasaidia au huona km wenye shida na mttzo ni peke yao wanajisahau. Na wkt kila familia siku hzi haikosi masikini, wagonjwa, walemavu, mafukara, wenye shida, mttzo. Na usije kukuta na huyo msaidizi na yy anasaidia tu kueka kiakiba anapokwenda/akhera lkn si km na yy anazo au hana shida na mttzo.

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому

    Uyu mama anamambo mengi

  • @aishaabdulla166
    @aishaabdulla166 Рік тому

    Kaka Zahir yuko wapi😢😢😢

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 Рік тому +2

    Kwani huyu mama sialikuwa ana saidiwa na zahri

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 Рік тому

      Baada yakutapeliwa ml 6, Zahir alijitoa jumla. Huyu anaye muhoji sasa ni mwingine

    • @janifajani8875
      @janifajani8875 Рік тому

      Sasa ilikuwa je akatapeliwa nanani

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 Рік тому

      @@janifajani8875 heee, achana na Dar esalam ndugu yangu. Ukisikiliza alivyo ibiwa utadhani alitekwa akili. Alikuwa anaenda kariakoo kununua vitu vya Batuli. Alipokuwa stand ana ngoja gari, ndiyo hapo, walipo mdaka wakaanza kumtapeli mpaka akaingia kwenye 18 zao. 😭

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633

    Kwn kaka zahir ako wapi?

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Рік тому

      Majukum sio kila siku atangazwe yeye watu wapo tele wene shida

  • @ameenaameena422
    @ameenaameena422 Рік тому

    Nnafanana saut to much

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 Рік тому

    Lakini mama ungejengewa nyumba ndogo saa hizi ushaamia kwako, umejenga nyumba kubwa inagarimu ela, na ela yenyewe ni za msaada.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 Рік тому

      Yote hayo ni majaliwa yake Mola

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Рік тому

      Anataka sifa waone ndugu huko kajenga mjengo taz😂😂

  • @tulizolazaro7928
    @tulizolazaro7928 Рік тому

    UNAJENGA NYUMBA KUBWA UTADHANI HELA UNATAFUTA WEWE BAADA YA KUJENGA VYUMBA VIWILI NA SEBULE NA JIKO BASI

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 Рік тому +2

    Mhuuu uwo mmama iyo nyumba kajenga kubwa sas mama angu ungejenga ndog hel zenyew za mchango jamani

    • @homemediatanzania
      @homemediatanzania  Рік тому +1

      Hawa ndo watoa misaada acha kubishana na watu hovyo wana haki ya kuuliza kwasababu hawa ndo jamii

  • @mosammo7724
    @mosammo7724 Рік тому +2

    Baada ya miezi mingi nilijua yameisha

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому +1

    Mbona umemuacha zahir kunan

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 Рік тому

    Dada pesa hupati pesa tena shukuru mungu

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 Рік тому +2

      Kwanini hapati tena kwani wewe ndio mgawaji wa Riziki acha Roho mbaya aliyefikisha nyumba hiyo hapo ndio atamuwezesha huyu mama nyumba kukamilika Pesa na Watu vyoote ni Mali ya Bwana Mungu wetu atainua watu wake kwani wewe ushampa shs ngapi

  • @rahmamct
    @rahmamct Рік тому +2

    Sasa wewe mama umemuona zahir hana mchango mpka kufikia hapo

    • @sifandayisaba9360
      @sifandayisaba9360 Рік тому +1

      Muritaz mdogo wangu achana na kujibizana na watu wa mitandaoni uta zidi kuharibu cv yenu tazama tu usijibu chochote

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 Рік тому +2

      Usisem hivyo huwezi juwa Zahir kamwambia Nini tangu aibiwe Ile pesa sioni Tena Zahir akimuhoji??😮

    • @rahmamct
      @rahmamct Рік тому

      ​@@khadidjasuleiman8006kweli ila kila jambo huwenda kwa riski ila huyu mama zahir alimwambia hio pesa ya biashar lete tuweke kwenye ujenzi akakata

  • @alsam4881
    @alsam4881 Рік тому

    Siku hizi kuna watu wameona kuna fursa kubwa ya kuwaombea watu dhaifu misaada mitandaoni ili na wao wanufaike nayo , badala ya wao kwenda kufanya kazi na kula kwa jasho lao, lakini wameona ni bora kuwatafuta watu masikini, wagonjwa, walemavu na mayatima ili wawaombee misaada ili na wao wapatiamo maslahi yao hapo, Kwakweli hakuna mtu atafanya kazi ya kuwaombea watu dhaifu misaada mitandaoni bure kama hapati maslahi nayo hapo, kwasababu ukiangalia muda wake, petrol yake, chakula chake n.k nani analipia hapo? Jamani tuweni makini sana na hawa watu wanaowaombea watu wenye kuhitaji misaada mitandaoni. Ni bora kupeleka misaada kwa walengwa direct.

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 10 місяців тому

      Upataji wao ni ss tunao angaliq iki kipindi lkn hawaingizi kwa njia ingine

    • @LinnahHery
      @LinnahHery 7 місяців тому

      Ni jeri wawaombee kwa sababu wasipowaombea nani atasimama kuwaombea si hero wapate msaada tu hat anaewaombea afanya kazi njema nae akila apo kidogo ni sawa tu

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 Рік тому +1

    Zahir yuko wapi?