BATULI NA MATILDA WAMEFUNGUKA, KUFUNGA NDOA NA MAHUSIANO YAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лис 2019

КОМЕНТАРІ • 198

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 роки тому +61

    Mtangazaji upo juu,,km unamkubali Huyu kijana like twende nzetu sawa

  • @husseinnoormohammed5333
    @husseinnoormohammed5333 3 роки тому +1

    Mashallah Mashallah Mashallah I love these Ladies.
    These are ladies of substance and for sure they know their purpose in this life...
    These are those whom wametajwa katika hadiths nyingi katika dini.
    “Who is the best lady?”
    They said , “those whom wen you look at them or feel happy.”
    These are the Ones...
    Sengo Le Matilda I love your English 👌👌👌

  • @khadijahkhamis5851
    @khadijahkhamis5851 4 роки тому +63

    ila vidox nakupenda jmn unajua kuhoji MashaAllah nipe like yko nami nijidai

  • @MosbMosb-ru5vv
    @MosbMosb-ru5vv 4 роки тому +22

    Namkubali Sana batulii❤️❤️❤️💪💪💪

  • @ndzmah47ali6
    @ndzmah47ali6 4 роки тому +35

    Nawapenda sanaa nyiye wadada wawili munajiheshimu sana

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 роки тому +1

      Mmmmhh !!

    • @ayshabayun9014
      @ayshabayun9014 4 роки тому +1

      Kwani huyo batuli aliachana na yule mume wa mtu?? nilisoma ktk mtandao I'm not sure huyo wife wa huyo mwanaume alikuwa akitukanana na batuli

  • @salimcherrylane7260
    @salimcherrylane7260 3 роки тому +2

    You shall never stop amazing nesh wow.... Keep it up......mrs Tanzania. The more you grow the younger you became, be blessed with your family. Cherrylane.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 роки тому

    Mashaallah hawa Ma Dada ni wazuri tuu.. wana sura nzuri ❤

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 4 роки тому +9

    Masha Allah nawapenda sana..majibu mazuri na pia hamna maringo

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +2

    Mungu awabariki,Ma dada Warembo Mlio tulia.Nawalov Sana Kina dada.

  • @user-gw1qt7mi5x
    @user-gw1qt7mi5x 4 роки тому +1

    nawapenda sana nyie wadada ile sana mungu awape maisha marefu kazi njema kwenu

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 4 роки тому +1

    Hongera qeen dalin jma ndowa ni baraka kutoka Kwa mungu ukitazama warembo wengi huckii kuolewa wanapigwa na kuachwa wakipaata bac mimba lkn ndowa kwao mh ni Sawa na kutafuna chuma Kwa meno

  • @lucyadam8764
    @lucyadam8764 4 роки тому +11

    Mmeendana sana jaman love Ming Ming kwenu Matilda & batuli

  • @Khadija-qr4cr
    @Khadija-qr4cr 3 роки тому +5

    Mashaallah wamefanana kama mapacha

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 роки тому +1

    Mashallah...Nawapendaaa Wazurii😘😘😘😘

  • @josephkisaro1377
    @josephkisaro1377 4 роки тому +8

    Kijana wa Milard Ayo, ni mjanja sana wa kuuliza maswali , ana kipaji sio taaluma tuu, hongera kwake

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 роки тому +35

    Mashallah nimewapenda bure 😘😘😘majibu mazur pia km mapacha

  • @user-cf7gw2gi3v
    @user-cf7gw2gi3v 3 роки тому +1

    Da nyiyi niwazuri kwakweli wasura Nadhani hata.tabia.munguawadumishe naumojawenu semeni amin

  • @zainabumshihiri7041
    @zainabumshihiri7041 4 роки тому +1

    Jaman madada zang nawapenda sana mungu awaweke kwa urafik wenu mzur aamin

  • @reginaldmsofe2437
    @reginaldmsofe2437 4 роки тому +11

    kiukweli kuna maneno mmeongea kama yapo moyoni mwenu mungu adhidi kuwalinda miaka 800 nawapenda sanaaaaaaaaaa........

  • @michaelnzunda7347
    @michaelnzunda7347 4 роки тому +25

    Wazuli Alf wanafanana ,wanajielew..,they look as wife materials weka ndani ndo utaliona balaa lake.....

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 4 роки тому +6

    Nyie wadada na wa appreciate, mnajitambua sanaaaa

  • @getrudeswai412
    @getrudeswai412 4 роки тому +3

    Love mingi kwao

  • @biusimohamed1049
    @biusimohamed1049 4 роки тому +10

    wadada wazuri hawa mashallah nawapenda bure

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 4 роки тому +1

    Mashaallah nyote ni wazuri wallah Allah awalinde na kila baya

  • @annaroosevelt4459
    @annaroosevelt4459 4 роки тому +5

    Nimewapenda sanaaaa wadada tena sanaaa

  • @israel8044
    @israel8044 Рік тому

    Matilda ni bonge la actrice anajuwa ku acter zaidi ya sana naeza kusema ni number one Tz najiuliza angeli kutanaka na kanumba sijiwe ingelikuwa je ?? Jordan mayele from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 роки тому +22

    Nawapenda saaana ❤❤🇧🇮

  • @khadijahkhamis5851
    @khadijahkhamis5851 4 роки тому +50

    Majibu kuntu sasa hawa ndio wife materials wnye akili zao

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 роки тому +7

    Batuli🔥🔥🔥

  • @kimzhavia2653
    @kimzhavia2653 4 роки тому +3

    Nawapenda mm bure ❤❤

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому +13

    Nawapenda wazur km mapacha 😘😘

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 4 роки тому +1

    Matirida love you

  • @superdeeboy6100
    @superdeeboy6100 3 роки тому

    Mashallah mko vizur dada zangu ongeren

  • @ngemabohero2853
    @ngemabohero2853 4 роки тому +1

    nimewapenda sana 😘 .

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 4 роки тому +7

    Kama umemuon masanja mkandamizaji amevaa koti la suti rangi ya maroon kwanyuma amepiga picha na shabiki wake then akapita chaaap gonga like kibao hapa

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому

    Hongereni mmependeza sana wasanii wetu.

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 роки тому +1

    Mbarikiwe sana hawa ni marafi wa kweli

  • @reahsamwel9903
    @reahsamwel9903 3 роки тому +1

    Masha Allah wazuri sana

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @sylviamwano2206
    @sylviamwano2206 4 роки тому +1

    nakupenda bure Rebecca😘😘

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 4 роки тому +7

    Kwa swali la ndoa daaah imejibu kiukubwa

  • @gracehenry7137
    @gracehenry7137 3 роки тому +1

    Nawapenda jmn hawa wadada dah ❣️

  • @laurineurban4919
    @laurineurban4919 4 роки тому +4

    beauties wit brain😘😘

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +25

    Wazuri wote mashallah

  • @hellenmasasi3850
    @hellenmasasi3850 4 роки тому +5

    Wanaonekana wana furaha sana hongera zao

  • @lulucherb477
    @lulucherb477 4 роки тому +1

    Walembo Sana afu nyi nawapenda hamupo kwenye mitandao walembo sana

  • @ayoubfadhili4695
    @ayoubfadhili4695 4 роки тому

    dem akiwa na hela anataman cc tusionazo, ila asie nazo anataman mweny nazo, na hayo maisha

  • @aishaasia4087
    @aishaasia4087 4 роки тому +2

    Awo ndo wasani wanao jiheshimu afu wazuri kweli hawaringiyi uzuri wao nawapenda bure ❤❤❤

  • @yassinizuberi8029
    @yassinizuberi8029 4 роки тому

    Safi sana tilda ake pesa na mume tofauti sanaaa

  • @sadakhamis6684
    @sadakhamis6684 4 роки тому +2

    Mnajielewa sana ✅

  • @hawasaid484
    @hawasaid484 4 роки тому +1

    wazur jmn😙😙

  • @rauhiyasaidi9281
    @rauhiyasaidi9281 4 роки тому

    Hongereni sana

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 роки тому +11

    Warembo 😍😍👏

  • @annaprosper4845
    @annaprosper4845 4 роки тому +6

    Mmependeza

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 4 роки тому +1

    Napendaga move zenu kwakwel matlda ongea yake iko ivyo ivyo ata kwa move nawapenda sana nyie amnaga skendo mbovu wala ampendi kiki

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 4 роки тому +1

    Millard cku izi ushaanza chafua vichwa vya habari na habar tofauti ndani!!

  • @fatumasalmini2241
    @fatumasalmini2241 4 роки тому

    Nawapenda sana

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +1

    Matilda kanenepa huyo🙄🙄🙄🙄

  • @phineking3911
    @phineking3911 4 роки тому

    Mie Nadhani Tunajichanganya Sana Na Kitu Kinaitwa Mahusiano,
    Hivi Mungu Alituumba Tuishi Katika Mahusiano Au Katika Ndoa???
    Athari Za Mahusiano tunazishuhudia Leo kwamba wanaume wanawatuhumu wanawake kuwa ni waongo, Na wanawake wanawatuhumu wanaume ni waongo pia.
    Kiukweli Ndoa Ndio Hasa Takwa La Mungu Na Kusudi La Mungu Kumuumba Mtu Mke Na Mtu Mume,
    Inakuaje Mtu Uridhie Kwamba Mnaweza Kuishi Katika Mahusiano Tu!!???
    Tunamhitaji Mungu Zaidi Ili Atuongoze Katika Njia Inayofaa Kuliko Kuifuatisha Namna Ya Dunia Hii Ambayo Mambo Mengi Yamekuwa Yakifanyika Chini Ya Uongozi Wa Shetani.

  • @asmaally8353
    @asmaally8353 4 роки тому

    KWA MATATIZO YA NGOZI,KAMA MICHIRIZI SUGU, MAKOVU, NYAMA UZEMBE, KUONGEZA SHEPU, HIPS,N.K,DAWA ZIPO,SMS/WHATSAP 0693_330284

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому

    Warembo😍😍

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    God bless you

  • @sarahalfani3124
    @sarahalfani3124 4 роки тому +1

    Wanafanana wanaendana kwa kweli hawana skendo ,lkn ubaya ni urafiki
    wao labda hautodumu sababu ni waigizaji ,

  • @zanderprinceton9539
    @zanderprinceton9539 4 роки тому +1

    Why are they putting so much pressure on women to get married ❓

  • @latb2747
    @latb2747 4 роки тому +2

    video mbona hamutoi mpk chini zipo passport size tu mnakera

  • @sarahbenard6971
    @sarahbenard6971 3 роки тому

    Nampenda sana matlida

  • @furahamswah5015
    @furahamswah5015 4 роки тому

    Kuwapenda tyu

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 роки тому

    Mtangazaji yupo vzr aisee ameoji mbaka laha sapolaiz

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 4 роки тому

    Qali sana vidox

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 роки тому

    Nampenda batuli mim jamani lik kwa batuli wake

  • @veronicanana1660
    @veronicanana1660 4 роки тому +1

    Ad mnafanana

  • @khadijaomar2723
    @khadijaomar2723 4 роки тому +1

    Wanajitambua hawa wadada

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi 2 роки тому

    Good...

  • @faithikyamba992
    @faithikyamba992 3 роки тому

    Nice

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 роки тому +1

    NDOA NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU HAILAZIMISHWI WAKATI UKIFIKA MTATUNUKIWA HILA WANAUME WENGI WANAOGOPA WADADA WANAOPENDA OUTING.

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 роки тому

    Wamefanana pia

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 4 роки тому

    Safi

  • @bupemwamakamba1132
    @bupemwamakamba1132 4 роки тому +4

    Asante Millard kwa kutuongezea tangazo😂😂

  • @kiya0910
    @kiya0910 Рік тому

    Nawapenda hawa wa dada

  • @bethymichaellaizer8629
    @bethymichaellaizer8629 4 роки тому +4

    Hivi ni mapacha au?

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 2 місяці тому

    Huyu batuli mbona zamani alikuwa haongei hivi au ndio ubishoo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +4

    Huyo sio REBECCA ama machoyanguu

  • @twaibaali8766
    @twaibaali8766 2 роки тому

    Kweli kabisaa muhimu uthaminiwe kuliko pesa

  • @halunamaneno9986
    @halunamaneno9986 4 роки тому

    Yaani wewe matulida nakupenda sana ivi kwa nini ulizubutu kuzaa na mzee stivini nyelele? ulikosa wanaume wa saisi yako? nipe jibu,

  • @gloryjulius1108
    @gloryjulius1108 4 роки тому

    Wazuri sana

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 4 роки тому +1

    Wadada Wenye eshmazao nawapenda mno

  • @pascasiohubert2687
    @pascasiohubert2687 4 роки тому

    Matilda namkubali sana

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому

    Mie NAWAPENDA lkn rebeca punguza poz kdg....

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 Рік тому

    Rakini vitu vitamu au ndio mbwembwe tu michezo mnaiweza au maji matupu

  • @komboali8203
    @komboali8203 3 роки тому

    Matilda ila umenenepa, kiukweli nakukubali Sana,

  • @user-sz8ct3ni9z
    @user-sz8ct3ni9z 4 роки тому

    Mbona munafanana Sanaa.nimapacha

  • @feintmwashikumbulu8097
    @feintmwashikumbulu8097 4 роки тому

    Aje kwangu awe mke wa pili

  • @estherkaidza1618
    @estherkaidza1618 3 роки тому

    Love them wanawake

  • @neemadanielkinduri9638
    @neemadanielkinduri9638 3 роки тому

    Hawana maringo alaf hakun skendo kma wengine

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 3 роки тому

    ❤️❤️❤️

  • @mariachuhila9518
    @mariachuhila9518 4 роки тому

    Safi wadada mnajitambua sana

  • @mercyherbert8978
    @mercyherbert8978 4 роки тому

    nmeipenda eti money come and go for sure iko ivyo bg up dadaz

  • @aminamorgan3935
    @aminamorgan3935 3 роки тому

    Karembo matilda

  • @rahmaali3800
    @rahmaali3800 3 роки тому

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @cessianthony2644
    @cessianthony2644 4 роки тому +1

    Midada mizuri hii