Munaaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Sehemu ya 1 (Taqsiimu tawhiid)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 315

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx 16 годин тому +1

    Huyu kijana ana vitisho mijitabu yote hio na ni kijana mzee ametulizana elmu yatoka kichwani kwa sheikh wetu kidawa ALLAH akuzidishie fahmu hekma na elmu ambayo ulipata baraka kwa wanachuoni wako.

  • @abuubabamzazi
    @abuubabamzazi 2 дні тому +3

    Twarika hatutaki tuko vizuri sheikhe kidawa mungu akubariki bachu karibu tawrika

    • @Yussufjuma-xh3nn
      @Yussufjuma-xh3nn 2 дні тому

      yuko vizur mtu kusema kutumia vitabu bidaa kwel yuko vizur huy

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj День тому

      ​@@Yussufjuma-xh3nnukisoma utajua

    • @Yussufjuma-xh3nn
      @Yussufjuma-xh3nn День тому

      @@saba-gv3mj nitajua nini labda utasomaj bila ya kusoma vitabu yy mwnyw alikua anatoa hoj kupitia vitabu

  • @ALLYMOHAMMED-ge2cs
    @ALLYMOHAMMED-ge2cs 3 дні тому +10

    WE MTOTO WA BACHU ALLAH AKULINDE NA AKUPE NGUVU ZAIDI

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj День тому

      Hata fraun alipewa nguvu mwisho wa siku kikamramba

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 2 дні тому +1

    Mashaa Allah shukran jazakallahu kheiran fadhilatu sheikh Muhammad bachu kwa kuwafahamisha maana ya tawheed

  • @HASSANANUBI
    @HASSANANUBI 2 дні тому +2

    Aslm Alykm shekh kidawa nimekukubali.umetulia ni faswaha.kweli kusoma ni muhimu saana.Allah atupe wepesi

  • @ZahranJuma-ye2gr
    @ZahranJuma-ye2gr 3 дні тому +6

    Allah amrehemu shehe Nassor bachu kwa kutuachia nuru njema kama hii.

    • @AthumaniAmiri-fv5zp
      @AthumaniAmiri-fv5zp 3 дні тому +2

      kama muhamad bachu ni nuru njema ktk uislam bas uislam upo mwishoni kuangamia

    • @mdoekibai3991
      @mdoekibai3991 3 дні тому

      wee hujielew kama icho kidagaa bachu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 2 дні тому +1

      @@ZahranJuma-ye2gr kama nuru ni hiyo Mimi nasema inalillahi wainna ilaihi rajiun ni msiba kwelikweli

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 2 дні тому

      Aamiin

    • @darajanida
      @darajanida 2 дні тому +1

      wewe kwel jahil yani kikojoz una muita nuru

  • @salehrashid3153
    @salehrashid3153 3 дні тому +5

    Shukran sheikh Haji upepo Allah akulipe kheri, tuletee part 2 tuzidi kupata faida ili tujue mchele upi na chuwa ipi.

  • @chimbaboytv2937
    @chimbaboytv2937 2 дні тому +4

    Mimi sina ushabiki kama walivyowengi humu. Ninachoangalia mimi ni hoja. Kiukweli upande wangu mimi nimahamu na kujifunza mengi. Kwannza madai kuwa tauhidi ameanzisha Ibnu taimiya kumbe ni imamu Abuu hanifa. Kwahiyo kiupande wangu nimeridhika na vigawanyo vya tauhid.

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 3 дні тому +3

    Allah Akuzidishie elimu na akulinde Shkh wetu Bachou.
    Amin.
    Na huyo sheikh kidawa Allah amwongoze kwenye haqi.
    Amin

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 3 дні тому

      Hajaonesha kigawanyo cha tawheed labda hujasikiliza,Amuongoze kwenye kuigawa tawhid mara 3 ndio haki hiyo.

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 3 дні тому

      Sheikh Kidawa katoa aya kisha anaambiwa aongozwe na mtu hajatoa aya wala hadith

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 3 дні тому

      Haqi Gani hiyo ya utatu wa tauhid acha taasub nenda ukasome

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 2 дні тому +1

    Mashaallah....bachu unavyowabana awa mashekh wa twariqa huwa hawachomoki tunaendelea pale pale tulipomalizia kweny 19 kwa bila na pale kwenye 1 bila

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 2 дні тому

      @@idrisjames9392 acha unafiki ndgu, kambana nani mtu ambae hajathibitisha Kwa Hadeeth, qur-an Wala maisha ya maswahaba kuanzia mwanzo had mwsho... Cio ndio wao siku zote wanabweka na unafiki wao wanajifanya wao Wanafanya vitu Kwa mujibu wa sunna ya mtume.
      Suali la msingi hakujibu, kiukweli TAKSIM TAUHID haikuepo wakati wa mtume Wala maswahaba na zaidi KARNE TATU BORA zote.
      Sasa wewe Baki na unafiki wako hatukulazimishi.
      Lkn jibu la jumla ni. TAKSIM TAUHID NI UZUSHI. NYNY ENDELEENI KUBWEKA HUO NDIO UKWELI
      wasalam.

  • @ABBASDOLOLO
    @ABBASDOLOLO 2 дні тому +2

    As salaam alykum, ndugu zanguni tuacheni kuchangia hapa kwakulumbana,nibora sana kama tungeweza kuangalia ukweli uliopo hap na tuufaate

    • @zakariasuleiman4113
      @zakariasuleiman4113 2 дні тому

      Tupe muongozo basi tufate wapi hhhh mana unalengo lako ila ujidhiirishi

  • @MaalimKhatib
    @MaalimKhatib 3 дні тому +2

    Bachu mungu akuongoze

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 3 дні тому +13

    Naam,naamini Muhammad bachu itakuwa ni sababu ya watu kufahamu ubaya w uwahabi ,sababu wataelewa kwa fujo lake haqi na batwili,,,mashekh wa taswawwufu hawasemi yeye anafosi waseme❤

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 дні тому +2

      Sasa mbona mmemkataa shekh wenu wa maulidi sim dudula kakubali hizo tahwed 3 Kagawa mtume sasa ww inakuaje umkatae shekh wako kwahilo ukubali la mawlid? Au mnachaguwa vya kufata mnavyotaka ninyi shekh wenu alotunga maulidi mnamuunga mkono kwenye tahweed mnakataa mwaona mkikubali mtawapa poitn wahabi kuwa wakisemacho ni hakki sasa kazi ya watu wa bidaah ni ujinga na ushabiki bila ilmu

    • @darajanida
      @darajanida 3 дні тому

      ​@@AbdulIssa-o7e fahamu kanuni za munakasha kwanza au hujasklza una coment tu ujanja ujanja hamna tarumbeta lenu bado launguruma tu hamna kitu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 дні тому

      @@darajanida nimeskiza vzr tuuh katoa kitabu Cha shekh wenu wa mawlid ni kwamba kataja tahwed 3 kataja mtume Sasa ndo nauliza Leo ndo mnajuwa kujenga hoja kwa kitabu na sunnah? Sabu sikuzote ninyi ni wapinzani wa kitabu na sunnah arafu ukitaka kitabu na sunnah tunakuta mawlidi hayapo, mbona tukiwaambia Hilo mnasema kataja shekh Fulani mawlidi yafaa, huyo huyo shekh mnaomkubali katika mawlid mbona mwamkatalia hili la tahwed 3 ndo twasema ninyi ni watu wa matamanio sio mnaenda vile nafsi zenu xinapotaka tuuh kwahiyo mi nilijuwa la vigawanyo vya tahweed 3 ni wahabi tuuh kumbe adi mashekh zenu wa kisufi wakubwa wa kutegemewa wameunga mkono Hilo, ninyi mnakimbilia kusema wahabi wahabi Sasa huyo shekh wenu wahabi??

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 3 дні тому

      Tuelewe ubaya wa uwahabi kuputia huyo jaahil?

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 дні тому

      @@abuuammar4924 mbona amekimbis maswali huyo kidawa, anatoa hoja ni nane katika karne 3 bora alizotaja mtume ametuhibitisha tahwed 3 akatolewa imamu abu hanifa katika kuifasili aya katika surati mariamu, yeye alijuwa wahabi ndo wakileta hayo kumbe kunawanazuoni walokuwa karne bora alizotabiri mtume bora karne 3 baada yangu sasa kaletewa mwanazuoni wa karne ya pili huyo na kisha akaletewa na mwanazuoni wenu wa mawlidi kuthibitisha vigawanyo vya tahweed naye kanukuu walotangulia zama hizo hadi mtu wa mawlidi mwenzenu leo shekh kidawa kamkataa, sasa nani anamakosa hapo ikiwa vitabu vya wanazuoni hamtaki mtakufa na ujahli wenu hamtoyajuwa hayo mpk kiama kitakuja mtabaki na upofu wenu kiongozi anasema kusoma vitabu vya wanazuoni ni bidaah unategemea mfuasi wake itakuwaje kama kiongozi wenu ndo hali hiyo si wafuasi si ndo mtihani ikubali hakki hata ikitoka kwa adui yako sasa ninyi maskini sabu mmejengwa na fikra za kuwachukia wahabi bila sababu ya msingi basi utafunga masikio na moyo wako hata kama atakuja na hakki utaikataa sabu ni katika itikadi zenu watu wa bidaah kuikataa hakki kwakuwa mshajengwa wahabi msiwasikiilize na wanajuwa mashekh wenu mkiwasikiza wahabi mtawakimbia kwahiyo mtabaki kuipinga hakki madamu alokuletea ni wahabi ni ilihali moyo wako unakusuta utaikataa haki hivi hivi bila aibu, ndo Allah hawaongozi watu wa aina hiyo yako

  • @husseinomary-dg1wx
    @husseinomary-dg1wx 3 дні тому +6

    Shehe bachu kwa mtu kama mim hata sikusha ngai maana Huna tofauti na abujahal

    • @SaidSaid-bi6ik
      @SaidSaid-bi6ik 3 дні тому

      Kwaiyo Bachu ni kafiri?

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 2 дні тому

      Kk Hussein chunga sana maneno yako kwani huwenda yakaja yakakupeleka sehemu mbaya Allah akulinde wewe na Mimi Amin ..

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 2 дні тому

      ​@@SaidSaid-bi6ik hajasema kafiri 😂😂😂

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 День тому +2

    MUHIM TUSOMENI JAMA

  • @shmohd11
    @shmohd11 День тому

    وتعداد أنواع التوحيد وتقسيمها بحسب مفهوم كلٍّ منها لا محذور فيه شرعاً أو علماً، بل يمكن تقسيم التوحيد بأكثر من هذه الأقسام، فيمكن أن تقول: توحيد الذات، وتوحيد الصفات، وتوحيد الأفعال

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 дні тому +7

    Bachu huyo sheikh siyo size yako ... Mwenye elimu huonekana

    • @HUSSEINALLY-b7f
      @HUSSEINALLY-b7f 3 дні тому

      We ndo zero kabisa

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 дні тому +2

      Bachu Lina misifa halaf haoni haya cjui, yy mwenyew km ana akili kweli huyu angejiulize Ivo vitabu Hadi anaondoka katumia vitabu vingapi?

    • @haidar438
      @haidar438 2 дні тому

      ​@@HemedSerious😂😂😂😆😆😆

  • @AbdulJuma-i7e
    @AbdulJuma-i7e 2 дні тому +1

    Shehe dawa wewe ni mwalimu uliye hifadhi Quran uko vizuri

  • @Fahad-ew4fn
    @Fahad-ew4fn 20 годин тому

    Naaa asimauu waswifatiaa

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 3 дні тому +5

    Sheikh kidawa upo vizur maana umetoa hoja ndani kitabu

    • @alybinmana6197
      @alybinmana6197 2 дні тому

      Kitabu gani

    • @daudikombo5957
      @daudikombo5957 День тому

      Baadae kuwakumbusha watu waache kuabudu mizimwi na kuabudu makaburi ndo mapungufu take?

  • @shmohd11
    @shmohd11 День тому

    الموضوع : حكم تقسيم التوحيد ثلاثة أقسام
    رقم الفتوى: 3495
    التاريخ : 29-04-2019
    التصنيف: شبهات في العقيدة
    نوع الفتوى: بحثية
    المفتي : لجنة الإفتاء الأردنة

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 3 дні тому +3

    Harufu ya kuanguka uwahabi naona inasogea taratibu "nimefatilia kenya umeonesha udhaifu shekhe saidi alikuzidi' leo unachukua vitabu vya bidaa kuthibitisha ttauhidi we vipi? Sasa kama unakubali maulidi malumbano yenu yapi ? Muogopeni mungu

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 дні тому +2

    Hii sehem ya kwanza tu kwa mujibu wa qur an inaonesha wazi kuwa hakuna vigawanyo vya tauhid wala nn, hata ukiangalia huo mpangilio wa qur-an. Hayo ni majina ya Allah na siyo kuyaweka majina yke na mahala flani

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 дні тому +1

    Naona mizani haijakaa sawa.Huyu Kidawa bado hajamfikia Huyo anayejadiliana naye na ndio mana haziendani mada.
    Anaishia kupayuka

  • @maase2023
    @maase2023 13 хвилин тому

    Basi kazi ni ubishani hakuna moja la maana

  • @BashrahilAshaary
    @BashrahilAshaary 3 дні тому

    mawahabi wasema makafiri maqureshi waliamini Rabb bila ilah,,
    Mm nnashangaa mtu anapozikwa ,, malaika wanaokuja kumuuliza maiti wanauliza man-Rabbuka au man-Ilahuka,,
    hawa mawahabi hawasomi zikasomeka,, wanasoma juu juu tu,,

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 3 дні тому +1

    Maasha Allaah shekh kidawa uko vzr Allaah akuzidishie wasipo elew bc

  • @abumuhammadmbwana3964
    @abumuhammadmbwana3964 3 дні тому +3

    BACHU ULITAKIWA KUJENGA HOJA KUTHIBITISHA VIGAWANYO VYAKO NA SIO KUANZA NA MASWALI KWANI MDA WA MASWALI HAJAFIKA MBONA HUENDI NA TARATIBU ZA MJADALA KAMA ILIVYOPANGWA

  • @xxl5239
    @xxl5239 3 дні тому +3

    Bachu anajenga hoja kwa maneno ya watu , Kidawa anajenga hoja kwa Kitabu na Sunna.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 3 дні тому

      @@xxl5239 so mkweli chuki zisikufanye usikubali kweli, kubali hakki hata ikitoka kwa adui yako tatizo mshajengwa na hisia wahabi so watu wa kusikizwa hata akija na hakki mtapinga , Sabu ndo sababu ya kukosa ilmu kidawa anakuambia ni nani katika karne 3 Bora alizotaja mtume ametafsili tahweed 3 akapewa imamu Abu hanifa wa karne ya Lili huyu anaelezea tahweed rububiya na tahweed ruhuyiya Sasa kama mnawapinga wanazuoni na wao hawajatunga Bali wamefasili miongoni mwa Aya ya surat mariamu, wamepata kugawa tahwed 3 ni kumpwekesha Allah katika sifa za tahweed ajagawiwa Allah lakini, kwavile mtu akipotea huwezi muongoza, hata siku moja na akiongoka juwa Allah mwenyewe kataka unasema kidawa kajenga hoja kwa quruani na sunnah mbona sikuzote mnakataa na kuruani na sunnah haijataja mawlidi tukiwauliza mmetowa wapi, katika quruani na sunnah hamna? Mnamtaja shekh jafari ndo mtunzi wa mawlid akaandika kitabu nanyi mkakifata lakini kwenye hili mmeona kitabu na sunnah hayo mengine mnakataaga kitabu na sunnah mnakwepa Sabu kuna maslahi yenu binafsi watu wabidah ninyi so waadilifu hata kidogo

    • @MBAROUKSAADHUSSEIN
      @MBAROUKSAADHUSSEIN 2 дні тому +1

      Haujasikiliza hakuna hoja kwa shekhe kidawa

  • @abdulshakurabdulwahab-s8i
    @abdulshakurabdulwahab-s8i 3 дні тому +1

    Mjadala mzuri sana tatizo mawahabi yakwao wakitakiwa watoe ushahidi wa Hadithi ya Mtume wanazunguusha ya wenzao Bidaa hakuna Hadithi ya Mtume leteni kama kweli.
    Sasa na yeye kamba hiyo hiyo anonyongea wenzake na yeye ananyongewa.

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 3 дні тому +1

    Vitabu viiiingi kazi mbwembwetu"mzee anakugaragaza

  • @JamesMakes-rn6kz
    @JamesMakes-rn6kz 2 дні тому

    Sheh kidaw usihangaike tawhed kw mujb w aya z kuran inaonyesha waz ina tksiimu nawloelez hyo wanachuon wakubwa walokuzidi elimu

  • @KhudhefaaliShaibu
    @KhudhefaaliShaibu 2 дні тому +1

    Bachu na kukubali

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 2 дні тому

    Kiukweli ndugu zangu.waislamu bachu anamapungufu ya kieelmu

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 3 дні тому +5

    جزاك الله خيرا كثيرا الشيخ كداوي حبيبي

    • @SaidSaid-bi6ik
      @SaidSaid-bi6ik 3 дні тому

      Kiarabu hujui andika kiswahili

    • @qaseemayoub6758
      @qaseemayoub6758 3 дні тому

      Haya mrekebishe wewe bingwa wa lugha alitakiwa aandikaje​@@SaidSaid-bi6ik

    • @AmerinhoAmour
      @AmerinhoAmour 3 дні тому

      ​@@SaidSaid-bi6ik😂

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 2 дні тому

      ​@@SaidSaid-bi6ik tuandikie wew kwa usahih tuone

    • @zakariasuleiman4113
      @zakariasuleiman4113 2 дні тому

      Tatizo la kujua husicho kijua Hilo Aya tuandikie wewe kwa usahihi mana najua hapo umepotea tayari​@@SaidSaid-bi6ik

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 3 дні тому +1

    Juha bachu, anataka lazima aje navyo km yy masifa

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 3 дні тому +1

    Tarumbeta la mawahabi

  • @jumafaki2891
    @jumafaki2891 3 дні тому +2

    as,alaykum baaraka llah mashekh m,mungu awajaalieni Kila la heri tunapata manufaa makubwa kupitia elimu zenu

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 3 дні тому +2

    Huuyu bachu anatafuta kuingia zanzibar baada ya kumtuksna mtume swalalahu alayhi wasallam.

  • @shmohd11
    @shmohd11 День тому

    Sheikh Muhammad Bachu, hawa hawana hujjah.
    Waangakie na Manhaj Ilmiyyi ya Al Azhar Qismu Tthaalithu, vigawanyo vitatu vya Tawhiid wanafundishwa wanafunzi wa Madrasa huko Misri

  • @ShabaniNdonde-l1j
    @ShabaniNdonde-l1j 3 дні тому

    Jamaaa amahelimu anataka bisha mamboyadin

  • @husseinhassan-st8hd
    @husseinhassan-st8hd 3 дні тому

    Ndio kazi yake Allah(Tawheed Rububiyah) 5:10

  • @HamisOman-s8h
    @HamisOman-s8h 3 дні тому +4

    Shekhe wakisufi hua wana utulivu sana hawana mihemko sijui kwanini mashekhe wetu wa salafi wana mihemko

  • @QassmuManaaph
    @QassmuManaaph 3 дні тому +2

    Huyu Bachu naona kabisa kachanganyikiwa kaja na Mavitabu yake anatolewa aya anachanganyikiwa

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 3 дні тому +3

    ETI TAWHID RUBUBIYA ULUHIYA NA ASMAU WA SWIFATU SASA MIM NAULIZA HIVI RABU SIO KATIKA MAJINA YA MUNGU NA ILAHU SIO KATIKA MAJINA YA MUNGU

    • @AbdallaJabal-jj1sm
      @AbdallaJabal-jj1sm 3 дні тому

      Hii ni fikra za ki kristo , Allah amekataa kabisa kabisa fikra za kugawa Tauhid , NA WALA USISEME THALATHA ( KATAA ,,,,,,KATAA,,,,,,,KATAA,,,,,,KATAA,,,,,,,KATAA ),,,,,,Hakika mola ni ( MMOJA TUU ),,,,,,, ALLAH AMEKATAA KABISA HII FIKRA ZA UTATU,,,,,,,,( KUL,,,,, HUWAALLAHU,,,,,,,,,, AHAD,,,,,,,, ALLAHU,,,,,,,,,, SSWAMAD,,,,,,LAMYALID ,,,,,WALAM,,,,,,YUULAD,,,,,,,,WALAM,,,,,,,YAKUNLLAHHUU,,,,,,,,,KUFWAN,,,,,,,AHAD, ) Sasa babaisha zote hizi ni nikutafuta wamaisha, KWA NDUGU ZETU WA KRISTO NDIO KUNA UTATU,,,,,,,, NDIO ALLAH AKA KATAA HII FIKRA YA UTATU ,

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 2 дні тому

      ​@@AbdallaJabal-jj1sm
      Wewe Bado sana elimu yako

    • @kassimbitogwa6992
      @kassimbitogwa6992 2 дні тому

      Huna akili kabisa ww

    • @AbdallaJabal-jj1sm
      @AbdallaJabal-jj1sm 2 дні тому

      @@Saidimkwizu ,,,,,,,Sawa mkuu wewe nielimishe 😅😅😅,,,,,,,Mungu baba na Mungu mwana na roho mtakatifu, ,,,na ALLAH ANASEMA ( MUSISEME VITATU) KATAA,,, KABISA,,,,,,,, HAKIKA MOLA WENU NI ( MMOJA UU ),,,,,, InshaaAllah Allah Atuongoze,🤲🤲🤲🤲

    • @MudathirOmar-hh5ow
      @MudathirOmar-hh5ow 2 години тому

      Allah hakuigawanya wala Mtume.......

  • @tumainizaidu7095
    @tumainizaidu7095 3 дні тому

    alhamdulillah

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 дні тому +3

    Kuna watu wanatamka matusi hapa kama kwamba hawajui kutukana Muislamu ni ufaski...?

  • @mzalendohasa
    @mzalendohasa 2 дні тому +1

    Yani bachu leo unathibitisha tahudi kwa kutumia kitabu cha maulidi Dur

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 3 дні тому

    Upepoooooo anamuogopa bachu

  • @aliabdulla5602
    @aliabdulla5602 3 дні тому +4

    Baada ya kuwafikishia dawa waliokuwa hata hawajui nani ni Allah munakaa munapoteza mda wakati mdahuo mwengeutumia kufikisha ujumbe huo

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 3 дні тому

      Ndo tushajua kumbe mawahabi ni wazushi na tawheed yao ya kubambika

    • @alihassan3648
      @alihassan3648 3 дні тому

      Shehe hii ndio midahalo inayo taking sio ya simba na yanga

    • @HilaryMwilo-r2c
      @HilaryMwilo-r2c 3 дні тому

      Sasa huyo atakae ingia katika uislamu atafuata wapi palipo sahihi badala ya kuongoka ndio atapotea zaidi ndioman nilazima mashekhe waekane sawa ili sisi tunaokuja kufuata tufuate kilicho sahihi na chenye ushahidi ndioman hii midaharo ni muhimu Sana

  • @ZakariaAlly-vq2rd
    @ZakariaAlly-vq2rd 3 дні тому +1

    Ndugu yangu bachu ilimu so vitabu tuu ilimu nikutafuta mashekhe ukasomeshwa bado mdogo hujajua tuu nafasi yako

  • @sikandarsuleimanTV
    @sikandarsuleimanTV 2 дні тому

    Yaani huyu mtoto wa Bachoo, sijui atakua lini maana hana hata aibu Wala adabu, yaani badala ya kuleta hoja anauliza na anakiuka hata makubaliano ya kikao hicho na pia anaingiza ujanja wa vitabu vya Maulidi ambavyo sio mahala pake , na analazimisha anayotaka yeye na sio uhalisia ulivyo, mtoto wa Bachoo kumbe bado anahitaji kusoma maana naona bado hajafika kwenye Ualimu,

  • @mbwnanyuki-gg1ot
    @mbwnanyuki-gg1ot 3 дні тому

    Yan Ndugu yangu Upenda kukurupuka
    Mzee wetu Kutokana alivyo ibeba nafas yake sidhn kama unaweza kuvifaa

  • @alisalum8908
    @alisalum8908 3 дні тому +2

    Itakapo gomboka Masjd Aqsa huo utakua ndio mwisho wa Mawahabi watalijua hili wenye ufahamu wa ndani

  • @AbdulJuma-i7e
    @AbdulJuma-i7e 2 дні тому +1

    Bachu utajaza vitabu mwenzio viko kichwani dawa ni msom huyo

  • @MohamediNgoge
    @MohamediNgoge 3 дні тому

    Yaan waislamu wa Tanzania 🇹🇿 baada ya kujadili, masuala ya kijamii kama
    Jamii ya kiislamu ina tatizo kubwa la vituo vya afya , hospital, vituo vya elimu shule ya msingi na vyuo lakini bado tunashindana mambo yasio na msingi wala faida kwa jamii

    • @mohdkombo3397
      @mohdkombo3397 3 дні тому

      Vituo vya afya?
      Ishu ni kutawaliwa na uislamu kwanza hivyo vitakuja baadae kwani tukiwa navyo chini ya ukafiri bado vitaendeshwa kwa misingi ya ukafiri kwani wao ndio wenye mpini.
      Mtume s.a.w alifanyakazi ya kuangusha ukafiri na kusimamisha serekali ya kislamu kwanza ndio mengine yakafata
      Hizb ut tahrir ndio harakati pekee inayopita manjia ya Mtume s.a.w kutejesha hadhi ya uislamu na kuondoa dhulma ktk ulimwengu
      Karibu
      Naam

    • @maishambaruku1301
      @maishambaruku1301 2 дні тому

      Kaka unasema haya mambo hayana msingi?!! Nawakati watu wanakufuru kupitia mambo haya, haya yanatakiwa kuwekwa sawa, bidaa zimejaa alafu unasema eti waisilam hawana hospital!!

  • @hafidhsaid2562
    @hafidhsaid2562 День тому

    Mtihani! Waislamu tumefikia kuitana "Jahili".

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 День тому

    Hii mada Bachu ilishinda masheikh wakubwa ww huezi

  • @rushu1232
    @rushu1232 3 дні тому +6

    Nakupongeza sana sheikh Kidawa umezungumza kwa ufasaha sana bila ya mijitabu wala laptop hayo majitabu ni bwebwe tu.

    • @muhamadikombo4976
      @muhamadikombo4976 3 дні тому

      Kijana unaakili au

    • @rushu1232
      @rushu1232 3 дні тому

      @@muhamadikombo4976 wewe waonaje mbona hakujibu straight answer akatoa hadithi hata dhaif kuwa Mtume aligawa tawheed nasisi hatupingi waliogawanya ni kwa sababu yakuilimisha lakini ni bidaa hasn.

    • @omarshaban4735
      @omarshaban4735 3 дні тому +1

      Sheikh kidawa anatoa mawaidha sisi tunataka kujua vitabu vinasema nn na nani kasema

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 дні тому

      Anapenda kuwaweka watu attention na mitabu yake alafu utamsikia anajinasib ''mm vitabu ninavyo Ving apa''

    • @jumaruhizoh9669
      @jumaruhizoh9669 2 дні тому +2

      Havi mnataka vitabu gani zaidi ya quran na amebainisha vizuri Zaid

  • @abdulfatahumarsaideazamo2654
    @abdulfatahumarsaideazamo2654 4 години тому

    Mimi napenda Sana Elimu ya sheikh Bachu, lakini huyu sheikh wa twarika amesema ukweli. Kamba hakuna hadith ya mtume wala mas'haba wala tabiina basi hakuna iki kitu.

  • @alybinmana6197
    @alybinmana6197 2 дні тому

    Sasa mbna sheikh kidaw anakwenda tofauti na mada husika

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 2 дні тому

    BAACHOOOOO UMEYAKANYAGAAAAAAA NIBORA UNGALIKA NYUMBANI USHAWADHALILISHA WENZAKO

    • @NdiyembukeJr
      @NdiyembukeJr День тому

      Kwa hio hizo aya Zinazoonyesha kugawanyika tauheed Je Mtume hakuziona na maswahaba hawakuziona hizo aya?

    • @Mbarkakombo
      @Mbarkakombo День тому

      @NdiyembukeJr safi

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 3 дні тому +2

    Alaa kumbe bachu anajifanya kuyapinga maulidi lakini hojazake anatowakatikavitabu vya maulidi au kachanganyikiwa?

    • @HarithIdrissa
      @HarithIdrissa 2 дні тому

      Ata nami nashangaa, keshachanganikiwa huyu mja,Alla amuongowe tu

  • @allybobsaith
    @allybobsaith 2 дні тому +1

    kila mdahalo bachu kashindwa mbona nyie masufu na matwarika mnakua kama watu empty kichwani acheni upumbavu na ujinga ubidaa na uzushi unawasumbua

  • @khalifamohd5992
    @khalifamohd5992 3 дні тому +4

    Huyu shekh kidawa naona kashakuwa anatoa mawaidha sasa baada kujibu hoja😂

    • @feizalmas
      @feizalmas 3 дні тому

      Acha ushabiki na mapenzi ya kijinga wa kijinga

  • @JumaMwamba-t9z
    @JumaMwamba-t9z 2 дні тому

    Neno tawhid halijatokea katika qu,ran Wala hadithi za mtume swallalahu alyhi

    • @AbuuFawzaani
      @AbuuFawzaani День тому

      unachosema umekifanyia utafiti

    • @JumaMwamba-t9z
      @JumaMwamba-t9z День тому

      @@AbuuFawzaani bila shaka

    • @JumaMwamba-t9z
      @JumaMwamba-t9z День тому

      Nikwamba wakati WA mtume sallallahu alyhi wasallam alipompeleka mu,adh ibn jabal kuwa gavana WA Yemen katika mwaka WA 9AH alimwambia wewe unakwenda kufanyakazi pamoja na wakristo na mayahudi

    • @JumaMwamba-t9z
      @JumaMwamba-t9z День тому

      (ahlul kitab)hivyo jambo la mwanzo ambalo utapaswa kuwalingania ni kumpwekesha mwenyezi mungu (yuwahhidu llaah) imesimuliwa na ibn Abbas na kutolewa na imam bukhar

    • @JumaMwamba-t9z
      @JumaMwamba-t9z День тому

      Nitafute ninamengi nitakuambia kuhusu tawhid

  • @JamesMakes-rn6kz
    @JamesMakes-rn6kz 2 дні тому

    Acheni ujinga wema walotangulia hawakua n mijadal y kipuuz kila mtu n afuate alivofaham kwmjb w aya n hadith

    • @saumsaid1966
      @saumsaid1966 2 дні тому

      naungana na wewe hii mijadala sidhani kama itatupeleka pazuri

  • @SuleimanAme-f1h
    @SuleimanAme-f1h 3 дні тому +9

    Asalamu alykum tunahitaji sehmu ya pili ili tujue majibu ya shekh Muhammed Bachu. Mimi naangalia hoja hoja pmja na ushahidi wake . Sifuati mihemko au matamanio yangu

  • @mngwaliis-haka5348
    @mngwaliis-haka5348 2 дні тому

    Matangazo kwenye mitandaoo hayakufanyika

  • @shekhsamiudinonlinetv8272
    @shekhsamiudinonlinetv8272 2 дні тому +2

    Dah shekh wangu kama bachu hatoelewa bas mwacheni asubiri kufa tu

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 2 дні тому

    Huyu jamaa nikivuruge kweli hakuna anacho juaa

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 3 дні тому

    Hivi mashekhe zetu Mimi Sina elimu nataka kujua kielim maswahaba waliweka hiyo midaharo

  • @MudathirOmar-hh5ow
    @MudathirOmar-hh5ow Годину тому

    Bachu kakubali kigawanyo cha tawhiid 3 nibidaa 😂😂😂😂 takibiiir, sasa twamuomba atagaze kuwa ni bidaa😅😅😅😂😂

  • @xxl5239
    @xxl5239 3 дні тому +2

    Bachu umeambiwa Mtume hakusema, wewe unakataa na kutoa hoja kwamba Alhabshi kasema kuwa Mtume kafanya kadhaa wa kadhaa. Je hii ni kauli ya Mtume au ya Alhabshi???

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 3 дні тому +1

    56:20 kwahiyo kumbe bidaa ni ile ambayo hakuifanya mtume wala maswahaba wala taabiuna wala waliowafatia? Kumbe kwenye maulid mnakazaga tu vichwa

    • @JoriJori-es2re
      @JoriJori-es2re День тому

      Tunataka mkijua hili tuwapeleke maulidin mazima

  • @mwalimjuma3031
    @mwalimjuma3031 3 дні тому +1

    Bachu na wenzake wakapige magoti kwa wanazuoni wasomeshwe masshekh wao ni akina nani?

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 2 дні тому

    Hua simkubali huyu Bachu Bachu Hizbi anapopingana na Masalafy. Lakini nafurahi mno anapowapondoa MASUFI na kuatoa takata za Uchafu Katik akili Zao.

    • @psychologist799
      @psychologist799 2 дні тому

      Haifurahiwi raddi ya mtu wa bidaa juu ya mtu wa bidaa.

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 2 дні тому

    BACHU ANACHOFAIL KWENYE DEBATE
    ANATOA MASWALI mengi anataka mwenzake
    Aangaike kujibu maswali yake tu
    Wakati kashapigwa vigongo vya HOJA anatumia uo ujanja kukimbia HOJA

  • @FakiSuleiman-hj1zv
    @FakiSuleiman-hj1zv 3 дні тому +1

    Hamadi kujipanga kimijadala heeee

  • @abuufayaadh8270
    @abuufayaadh8270 3 дні тому +1

    Haji acha Uongo usiwalishe watu matango pori , acha watu wasikilize kisha wahukumu wenyewe nani anahoja za sawa na nani mbabaishaji

  • @JitihadaRashidi
    @JitihadaRashidi 2 дні тому

    SAUTI MBONA KWANGU HAIPO

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 3 дні тому +4

    Nimeelewa huyu jamaa elimu yake ni ya kunukuu vitabu tu sio elimu ya uelewa

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 3 дні тому +1

    تحقق صدقه
    Mada sio nini maana ya tawheed mjadala ni nani kazigawa na kuzipa majina????

  • @mzalendohasa
    @mzalendohasa 2 дні тому

    Huyu kidawa ni msomi bacho mdogo wangu huyu kakuacha mbali

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 3 дні тому +1

    Watakubali tu kama bidaa ipo nzuri na mbaya

  • @saidabdurahman7936
    @saidabdurahman7936 3 дні тому

    Masufi wanacoment kwa ushabiki tu 😅

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 дні тому

      Sheikh ameomba dalili kwenye Quraan au HADITH kuwa TAWHEED zimegawanyika kwenye sehemu tatu ?
      Skiliza 59:42
      ACHA MUHEMKO SHEIKH

    • @IbrahimKassim-i8h
      @IbrahimKassim-i8h 8 годин тому

      Ndy mauld hyfai

  • @AbdulBakari-i4u
    @AbdulBakari-i4u 2 дні тому

    Sasa dini ipo kishabiki kama mpiraaa angalia hata kichwa cha habar inalinlah hakika huu ni mwisho

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 2 дні тому

    Taqsiim Tawhid ipo Pande zote mbili ila Masuf wao wanaona ni kama jambo la Ahli sunnat waljamaa.Ambao wao wamewatuhum Kwa kuwaita Mawahabi.

  • @nasymchuzi8667
    @nasymchuzi8667 2 дні тому

    Bachu anakataa kitu ambacho kiko wazi kama kugawanya angegawanya mtume mwenyewe kama mnavyosema

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 дні тому

    Wapi kashindwa ? Hemu tuambie bidaah wewe wapi hapo kashindwa
    Ma bidaah mnaka kazi kubwa sanaa ya kuelimishwa mpo mbali sanaaa na tawhid

  • @AbdulJuma-i7e
    @AbdulJuma-i7e 2 дні тому

    Jamani vip bachu unakuubali vitabu vya maulid unatoa hoja wap

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx 16 годин тому

    Sheikh hajj upepe naona bachu anakutafuta mimi sina shaka na wewe kijana wetu najua hatachukua dakika kumi kwako utakua ushamramba chini.sbb huyu kijana elimu yake ni ya majivuno na elmu yako sheikh hajj ni barraka za wanachuoni wako twaisubiri sana huo munakasha umkaushie ukutani.😅

  • @alawisaid280
    @alawisaid280 3 дні тому +1

    khekh kidawa anakwepa nukta za msingi sijaona point yake

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 дні тому

      Ww Mzee akili zko zipo sawa lkn?

  • @Machapatize
    @Machapatize 3 дні тому

    KIDAWA KASABAANGUKA DAKIKA ZA MAPEMA SANA ...

  • @OthmanMasilamba
    @OthmanMasilamba 2 дні тому

    Vitabu vingi kumbe vingine huvusomi sasa vya nn kuja hapo

  • @simaishukuru
    @simaishukuru 3 дні тому

    Huyu mtoto wa bachu asaa anauzonga!!

  • @KhatibuKilumba
    @KhatibuKilumba 2 дні тому

    Huyo mwenyekiti anaongea sana na anauchukua Muda mwingi

  • @NiyibiziIsaWangyu
    @NiyibiziIsaWangyu 2 дні тому +1

    Hata kuongea tu utakuta kijana BACHU Ni mkweli kupitia minakasha kama hiyi ilinipa kumpenda Kwa ajili ya ALLAH. Ongera BACHU akupe Allah hifadhi kamili

  • @abdoumadiousseni4835
    @abdoumadiousseni4835 3 дні тому +2

    Nipe aya yoyote inayo inayosema ngudzo za swala

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 дні тому +1

      Lkn msimamo umekupigeni wenyewe Kwa umwehu wenu😂😂 siku zote mnabweka Kwa mambo msioyapenda lkn mnayoyapenda ata yakiwa bidaa' ni sawa

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 3 дні тому +1

      Utoe ww Ili uthibitishe kuhusu tauhid ndio mada ya leo

    • @AbuuMbarouk
      @AbuuMbarouk 3 дні тому

      ​@@HemedSerious27:58

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 дні тому +1

      Hio sio mada ya leo

    • @fahmiiidrisa5110
      @fahmiiidrisa5110 2 дні тому

      ​@hilalkhalfan1452😂😂😂

  • @adinanisaidi777
    @adinanisaidi777 3 дні тому +1

    Maulidi umeyakubali leo?