MAKONDA ashindwa kujizuia asusia MKUTANO jamaa amwaga machozi kudhurumiwa mamilioni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 126

  • @meddyally4416
    @meddyally4416 7 місяців тому +18

    Makonda mungu akulindea maan unatenda kazi iliyotukuka

  • @mwaminimsuya6992
    @mwaminimsuya6992 7 місяців тому +3

    Sasa mkuu kaondoka vp huyu jamaa analipwa lini jamani😢😢 yani mpka makonda kashindwa kuvumilia kaondoka

  • @abdallaabdalla9772
    @abdallaabdalla9772 7 місяців тому +5

    Pole mkuu na majukumu mungu akusimamie

  • @BennihinnyHerman
    @BennihinnyHerman 7 місяців тому +14

    Eti RC Makonda anadhalilisha, hivi kwa majibu ya Mkurugenzi huyo bwana atalipwa haki yake au atakufa kwa pressure tu!!
    Alafu mwanaume anapambania haki za wanyonge mnapiga kelele, Makonda anafanya kazi ngumu sana.

  • @RubenDelefa-eg8mm
    @RubenDelefa-eg8mm 7 місяців тому +5

    Makonda Fanya Kaz baba mungu anakuona na sisi wanyonge tunakuombea

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 7 місяців тому +18

    Hii Dunia Kuna watu wanateswa sana

  • @FredrickKyando
    @FredrickKyando 7 місяців тому +2

    Dah naona unavoteseka mkuu wa mkoa hii nchi hii dah naumia sana.
    Makonda mungu tu akubariki sina cha kusema.

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t 7 місяців тому +5

    Watu wengi wanakufa kwa kusababishiwa na hao wa sirikalini ssa wengine wameona watafikiwa na wao wanaanza kuchonga kwenye midia ili jamaa aondolewe imekula kwao mbona wataanza kutapika walichokula cha watu😂😂😂😂

  • @absalutcharles9119
    @absalutcharles9119 7 місяців тому +3

    daah makonda ndio anatuonyesha ujinga na uzembe ambao uko kwenye utumishi.Huyu jamaa Mungu amlinde sana ni kiongozi wa wananchi

  • @omaryabeid5671
    @omaryabeid5671 7 місяців тому

    MH Makonda napenda utumishi wako sana kwa kweli Mungu akutangulie

  • @JacoboNyolobi-rt6bw
    @JacoboNyolobi-rt6bw 7 місяців тому +7

    Makonda x3 unakazi kubwa baba mbona nchi hii imefikia hali hii😢😢😢

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 7 місяців тому +3

    Ata hivyo ni strong huyu kaka jaman uuuwiiii 😢😢😢😢😢 ndo walivyo watu wa serikali

  • @IbrahimKibwana-wk1rc
    @IbrahimKibwana-wk1rc 7 місяців тому

    Mungu akupe maisha marefu akuepushe na chuki husda pamoja na mambo maovu

  • @matridawilium9945
    @matridawilium9945 7 місяців тому +1

    Makonda fanya kazi mungu wa mbinguni atakulinda nao viongozi wa talgwu mbona keep kikokotoo hamuongei fanya kazi

  • @FarajaLusuka
    @FarajaLusuka 7 місяців тому +2

    Watu wanatakiwa kuwa na hofu ya Mungu jamani Mungu yupo ndiyo maana tunakufa tendeni Haki hata kidogo tu daaa

  • @imrannuhu2784
    @imrannuhu2784 7 місяців тому

    Nimelia sana sana 😢😢😢😢ila mungu yupo bro fanya kazi nakuongezea ulinzi wa mungu baba na maombi nakuombea sana unafanya kazi yamungu na sio serikali tunakuombea sana brother sisi wanyonge wewe ni temeo letu mpaka mwisho wa uongozi wako😢

  • @pancraskazimoto3028
    @pancraskazimoto3028 7 місяців тому

    Nimemsikiliza huyu kaka yangu nimetokwa na machozi walahi😭😭,mwenywezi MUNGU akulinde muheshimiwa mkuu wa mkowa kaka yetu MAKONDA,Msaidie muheahimiwa Rais wetu doctor SAMIA🙌🙏.

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 7 місяців тому +2

    Kwa watumishi kama hawa alafu baadaye mseme makonda anawazalilisha duh! nchi hii kichwa cha mwenda wazimu

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 7 місяців тому +7

    Alafu mseme Makonda hafai,acha awafokee watumishi waserikali.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 7 місяців тому

      Washeenzi kabisaa

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj 7 місяців тому

      Mpkaaa nimeliaa jomn watt wakee wanatesekaa kisaa manufaa yaa watuu wenginee duuuuh 😢😢😢😢

  • @AlexKichaa
    @AlexKichaa 7 місяців тому

    Nakubari makonda watetee wanyonge wanao zurumiwa haki zao

  • @sayunikihunrwa4949
    @sayunikihunrwa4949 7 місяців тому +2

    Mmmh makonda nasema tenaa endelea tuuu nimengi yamefichwa .

  • @MarwaChacha-hs1tn
    @MarwaChacha-hs1tn 7 місяців тому

    Makonda mungu akubaliki kila uendako

  • @NoelyMiyoo
    @NoelyMiyoo 7 місяців тому

    Hakika makonda huna baya chapa kazi maana wanyonge yan basi tu😢😢😢😢😢😢

  • @ChezamPilla
    @ChezamPilla 7 місяців тому

    Makonda sijawahi kukuelewa ila Kwa sasa Mimi nakukubali sana umetumwa na mungu

  • @JumaKobossa-gb2br
    @JumaKobossa-gb2br 7 місяців тому

    Pole kwa majukumu yako ila pambania haki za wanyonge mungu atakulipa na atakulindsa

  • @NeemaMbuji
    @NeemaMbuji 7 місяців тому

    Eeh Mungu mpe ujasili makonda kwa kibali ulichompa aisaidie tanzania yetu kiukweli inaumiza sana sio kidg duuuuu

  • @luckyregnald2489
    @luckyregnald2489 7 місяців тому +2

    mi naona hap hao walokua wakurugenz miak hiyo wote waletwe kujibu hay mashtak ikibid hat wao vitu vyao vitaifishwe ili alipwe ukiua kwa upanga ufe kwa upanga

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 7 місяців тому

    Tunaomba kwa ajili yako makonda baba, sebha akulinde milele baba

  • @rafoursamiol5244
    @rafoursamiol5244 7 місяців тому +1

    😢😢😢Eeh Mungu Eeh Mungu mbona upo mbali baba

  • @AziziFagia
    @AziziFagia 7 місяців тому

    Makonda makonda makonda Sina lakusema ila Mungu akulinde sana baba

  • @nurugavile3227
    @nurugavile3227 7 місяців тому +1

    Duuuuu Hadi machozi yametoka mambo magumu sana

  • @SadaKasim-y2p
    @SadaKasim-y2p 7 місяців тому

    Chapa kaz baba makondo tuangalie na ss wanyonge

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 7 місяців тому

    Duuu, MKURUGENZI huyo aondoke

  • @barakamnazareti5745
    @barakamnazareti5745 7 місяців тому +1

    Uyu jamaa daah mpaka anatia huruma wampatie hela zake makonda msaidie

  • @theempire4058
    @theempire4058 7 місяців тому +6

    Kuna wapumbavu wanakuja wanamshtaki, pumbavu zao kabisa, makonda piga kazi Mungu alikuleta kwa makusudi makubwa arusha, kwa staili hii hii nchi ina madudu ya kutosha wananchi wanaonewa sana

  • @Nashondaniel
    @Nashondaniel 7 місяців тому

    Watu wanadhambi Jamani. Eyesu hao watu wape mafunzo. WANAO dhurumu JASHO za watu

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 7 місяців тому +3

    Mie baba yangu mpka amefilisika bs ya hao wanaojiita serikali wazabuni wanateseka ,wanadhurumiwa wananyanyaswa baba amedai pesa za tangu enzi za serikali ya awamu ya 4 , wanalipana wao wanaingiza tenda zao wanalipa ila wale wa haki hawawalipi ,wakiwalipa wanalipa senti , alafu wanakopa 💯 wanalipa asilimia moja

    • @emanuelmhoja2411
      @emanuelmhoja2411 7 місяців тому +1

      Pole sana nayashuhudia huku niliko wengi wamekimbia dhabuni hizi yaani kukupa dhabuni lazima utoe.pesa na kulipwa lazima tena uwape pesa mahanith hawa

  • @janegodwin3107
    @janegodwin3107 7 місяців тому

    Serikali tutapoteza watu makini kama Mr. Julius,Apewe haki yake jamani so sad.

  • @ofreyking5975
    @ofreyking5975 7 місяців тому

    Huyu ndio kiongoz sasa sio wale walala oficn tu

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 7 місяців тому

    Huku Dunian Kuna watu wanateseka achaa tu Makonda Mungu akutunxee

  • @minaabuu5250
    @minaabuu5250 7 місяців тому

    Hapna asee swala nizito mkuu wamkoa asee nilikuwa simpend makonda ila kwasasa nampenda mpka kucha duh ...hyu baba mpaka nimelia wallah

  • @zakayomwamlima6796
    @zakayomwamlima6796 7 місяців тому

    Wewe utatufuta machozi wa tz siku moja ingawa nina wasiwasi kama uhai wako watauacha uendeleeee

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 7 місяців тому +1

    😮kumbe watu wanafanyiwa
    mambo mabaya ivi😢maskinii

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 місяців тому

      Ni mengi sana ni Kwa vile hayawekwi hadharani.

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 7 місяців тому

    Huyo Mkurugenzi wa Monduli hafai

  • @HammyJuma
    @HammyJuma 7 місяців тому

    Makonda ndyo kiongozi wakweli

  • @KenedyMbuya
    @KenedyMbuya 6 місяців тому

    Binafs nimetokwa na machozii makonda makuombeea munguu akulinde akuepushe na mabaya yote ila nakuombea mungu utakuja kuwa Nelson mandela ahae hata kama hukai gerezani

  • @MamaSeka-rn3dw
    @MamaSeka-rn3dw 7 місяців тому

    daaaaaa aiseee mbona tunaumizana jamani

  • @FredrickKyando
    @FredrickKyando 7 місяців тому +1

    Nashindwa sijui niandike nini mimi cjui nikupongezeje mh.. mungu akulinde one da nitakupigia kula ya kuwa rais mungu anipe uzima.❤

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 7 місяців тому

    Kwa Nini watu Wana Roho mbaya na mioyo ya kuwaumiza wengine? RC MAKONDA, MUNGU akubariki na kukurinda

  • @LuciaJohn-rz6fy
    @LuciaJohn-rz6fy 7 місяців тому

    Napenda sikumoja uje kua rais wanchiiiii baba anguuu

  • @daudimwalongo5803
    @daudimwalongo5803 7 місяців тому +3

    Wakandarasi wa nchini ona wanavyoteseka

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 7 місяців тому

    Makonda , chapa kazi

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 7 місяців тому +5

    Monduli Ina madeni mengi sana , why?

  • @hurumajosephat6333
    @hurumajosephat6333 7 місяців тому

    Halmashauri nyingi zinakabiliwa na maden na mapato yao ni kidogo kuna haja serikal kuu kuwasapot kwa ruzuku ili iwakwamua kwan halmashaur nying zimefel

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @JohnAmos-po8br
    @JohnAmos-po8br 7 місяців тому

    Mheshiwa makonda msaidie huyo jamaa

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 7 місяців тому

    Mkurugenzi ni mjinga sana

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 7 місяців тому

    Sasa hapo utasikia vile vikundi RC anadhalilisha watu. Jamani

  • @st.alvincollege6184
    @st.alvincollege6184 7 місяців тому +2

    Halafu kajinga kamoja eti kanamshtaki Makonda, kuku wakubwa nyie...
    Makonda piga Kazi kaka yangu,, saidia watu wanajitoa kwaajili ya nchi lakini majitu ni majizi sana

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 7 місяців тому

      Bora kuku tunakula nyamba kambwa kabisa

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 7 місяців тому +1

    Makonda hapa,amedhibiti ulimi.kwa sababu.ya haki za.binadamu.

  • @braggadachu1723
    @braggadachu1723 7 місяців тому

    Duh nilikuwa ninasema nina matatizo kumbe kuna Watu Wana matatizo hivi

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 7 місяців тому +1

    halafu makonda akiwazingua mnasema anazalilisha watu kwa namna hii acha watukanwe shenzi kabisa

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 7 місяців тому

    Aisee

  • @mr.sundayjames4054
    @mr.sundayjames4054 7 місяців тому

    😢😢Aiseee

  • @AishaHassan-i6j6b
    @AishaHassan-i6j6b 7 місяців тому

    Daah Mungu wangu

  • @WilliamMboya-v4f
    @WilliamMboya-v4f 2 місяці тому

    Daaah😢

  • @Eliaelibarik
    @Eliaelibarik 7 місяців тому

    Aseee inauma sanaaaa

  • @mkadammkadam
    @mkadammkadam 7 місяців тому

    Dah!!! Kwa nini tunaumizana namna hii?

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 6 місяців тому

    Makonda wakamue wanapeana tu kazi hawajasomea

  • @afsaisaya9450
    @afsaisaya9450 7 місяців тому

    Hiyo kali mbona madeni yote hayo

  • @FadhilNtoga
    @FadhilNtoga 7 місяців тому +1

    Simba la masimba dangote anatamani kujinyonga😢😢😢😢

  • @AminaRamadhan-mg9lj
    @AminaRamadhan-mg9lj 7 місяців тому

    Mpkaa nmeliaaa jaman duuuuh 😢😢😢😢😢😢😢

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 7 місяців тому

    Jamani jamani na km hela ilishatoka kutoka viongozi wakala huyu halipwi

  • @EmmanuelAlberto-f3g
    @EmmanuelAlberto-f3g 5 місяців тому

    Huyu.amakonda.anatakiwa.awe.rais.2025.iri.tanzania.inyoke.mana.ccm.haitaki.mtenda.mema.makonda.anafaa.huyo.hata.kama.mgempa.mikoa.yote.anaweza.ukifikiria.ebu.angaria.kwa.wakuu.wamikoa.yote.makonda.ndiye.rais.wao

  • @JosephKifisha-ml7ju
    @JosephKifisha-ml7ju 7 місяців тому +1

    Baba makonda umetukumbusha kwa baba yetu magufuli yaan kama Bado anaendelea kuishi jmn na mh makonda ukiwa raisi bas mim nitakahimu hiki kiti ili tuwanyooshe ,halafu uwe unatembea na fimbo yaaan bakora nyingi piga wajinga hao

  • @ChezamPilla
    @ChezamPilla 7 місяців тому

    Makonda hutadumu ww ni mti wenye matunda unapiga mawe

  • @SimioniKimath
    @SimioniKimath 7 місяців тому

    Da inatia uchungu sana

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu 7 місяців тому

    Hahaha Makonda kashaanza kuzeeka

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 7 місяців тому

    Maombi Hali nzito Tusamehe Bwana

  • @gasperandrew3719
    @gasperandrew3719 7 місяців тому

    Duh! Hata cha kusema nimekosa

  • @sayunikihunrwa4949
    @sayunikihunrwa4949 7 місяців тому

    Makonda fanya tuu kazi kwakweli watu wananyanyaswa

  • @HamidaSalimu-if4rs
    @HamidaSalimu-if4rs 7 місяців тому

    Kweli inauma jamani msaidie

  • @oswaldliberatus207
    @oswaldliberatus207 7 місяців тому

    Nini hatima ya huyu
    😢😢
    Au kuna muendelezo ya video

  • @joshuamamuya1339
    @joshuamamuya1339 7 місяців тому

    Pole sana

  • @atuganileswedy4830
    @atuganileswedy4830 7 місяців тому +2

    Mpaka machozi yamenitoka

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 7 місяців тому

    Kwenye nyumba za ibada hawakosi

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 7 місяців тому

    Hao ndio watumishi unaoambiwa unWadhalilisha

  • @EdnaMuro-tx8os
    @EdnaMuro-tx8os 7 місяців тому

    Sasa mbona kamwacha hewan mzabun jmn

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 7 місяців тому

    Watu waliokuwa wanaidai serikali na kufilisika ni wengi, na serikali ilishaanza kuyalipa. Tatizo la madeni linajulikana. Ingekuwa vyema kwa mkuu wa mkoa kusaidia yalipwe. Huyu mfanyakazi yawezekana aliyakuta na labda yalitokana na haohao wanasiasa kulazimisha miradi ikamilike. Kuna wengi wenye matatizo kama hayo ,ni kazi ya mkuu wa mkoa kusaidia kupata fedha za kulipa.

  • @EliaHiluka-uz3ty
    @EliaHiluka-uz3ty 7 місяців тому

    Hii ndiyo Tanzania iliyojaa kila aina ya dhuluma

  • @YasiniMohammediBanza
    @YasiniMohammediBanza 7 місяців тому

    Mmemuona mheshimiwa Diwan hapo mbele

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 7 місяців тому

    Tatizo hilo lipo nchi nzima sielewi huyo mchengelwa anafanya kazi gani pale anamaliza mafuta ya serikali kuzurura tu

  • @OBEDYSINGAILE
    @OBEDYSINGAILE 7 місяців тому

    Sina cha kusema machozi tu yananitoka

  • @raymondmunis3553
    @raymondmunis3553 7 місяців тому

    Sio peke yako mkuu kuna mzabuni anadai shule zaidi ya milioni 200 ndio tabia zao sasa hivi.Halmashauri sasa hivi kunaupigaji

  • @minaabuu5250
    @minaabuu5250 7 місяців тому

    Hadi nimelia

  • @sharifalengima5605
    @sharifalengima5605 7 місяців тому

    Kila nikifatilia ziara za Mh. Mkuu wa Mkoa nazidi kujitia uadilifu lakini nawaza namna ya kulea wanangu kuwa waadilifu.
    Watu wengi wataitupia serikali matope lakini ikimbukwe majukum ya kazi hutotewa kwa kugawanywa changamoto inakuja kwa aliyepewa majukum kwenye team ametenda vipi na anatokea wapi jibu ni kuwa watendaji makazini ndio familia zetu sasa kila familia ijitafakari katika malezi ili kuijenga Tanzania

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 7 місяців тому

      Watu wa Chini halmashauri NI wasumbufu sana

  • @sayunikihunrwa4949
    @sayunikihunrwa4949 7 місяців тому

    Ee Mungu wangu

  • @TheAndulile
    @TheAndulile 7 місяців тому

    System failure, tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie . Tunapaswa kutubu haswaa na kuhakikisha kwamba tunafanya mabadiriko makubwa

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 7 місяців тому

    Hadi machozi yamenitoka.

  • @MariamBWIRE-k1i
    @MariamBWIRE-k1i 7 місяців тому

    Makonda kaamua kupita kwenye nyayo za hayati magufuli