TARIFA YA KUSHITUSHA SAINI YA KIFO YASAINIWA TANZANIA NA DUNIA YOTE EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @PasckoPhabian-u6d
    @PasckoPhabian-u6d 6 днів тому +2

    🙏🙏 Aminaaaaa, 😢😢 MUNGU afungue fahamu zetu Africa tujue yatu pasayo kutenda, mapenzi ya Kristo. Tum mwabudu yeye paka Mwisho wa Dunia.🙏🙏🙏

  • @ZuhuraElinest
    @ZuhuraElinest День тому

    Kwakweli Mungu wa mbingu na nchi akuinue zaidi akulinde pia

  • @BAYYINATDMTV
    @BAYYINATDMTV Місяць тому +14

    Mtumishi Cassian ninaomba Mungu Akupe Ufunuo mpya kwa maana kuna mambo unayachanganya sana hasa kuhusu unabii wa siku za mwisho. Ninakuombea Mungu Akupe ufunuo kuhusu unabii wa siku za mwisho.

    • @Johnny-ally
      @Johnny-ally 24 дні тому +1

      Mbona yupo sahihi tu mkuu

    • @NDaKI250
      @NDaKI250 23 дні тому +1

      Mtumishi cassian amechanganya wapi?
      Maandko ndo yanasema

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 23 дні тому

      @@NDaKI250 kwani mnyama wa kwenye kitabu cha Ufunuo 13 ni nani?

    • @fredyelisha2686
      @fredyelisha2686 19 днів тому +1

      Sahihisha tujue wapi kuna mchanganyiko mkuu but neno linasomwa kama lilivyo

    • @gordonomondi7161
      @gordonomondi7161 19 днів тому

      MIMI NAONA USEMALO.

  • @Franklajifaunuel
    @Franklajifaunuel 29 днів тому +4

    Ameen mini naelewa ni jinsi gani ulivyo jisekrifaire kwaaji ya huu ukweli Mungu akubariki sana❤❤

  • @MasilyaMukudi
    @MasilyaMukudi 12 днів тому

    Mungu akubariki Mungu akubariki Mungu akubariki Mungu akubariki Mungu akubariki Mungu akubariki

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 24 дні тому +2

    Mimi ni mwislam mungu atunusuru na Africa yetu kwa upendo

  • @SamweliVenas-g6t
    @SamweliVenas-g6t 2 дні тому

    Amen mtumishi

  • @fredyelisha2686
    @fredyelisha2686 19 днів тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu tukaze mwendo kumtafuta yesu kristo kwa ile kweli kutoka kwa Bwana

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Місяць тому +5

    Kweli mtumishi wa Mungu hakika unasema kweli na hakika Mimi naingia Mbinguni yaani nasubiri UNYAKUO

  • @EdisonSimon-u2c
    @EdisonSimon-u2c 17 днів тому

    Mungu aendelee kukutia nguvu mifupani mwako mtumishi uendelee kuieneza injili.Amina mtumishi

  • @sarahnambuya5818
    @sarahnambuya5818 18 днів тому

    Mungu akusidishieHekima na Neema ya Mungu ikupe saidi ufahamu na siri zake uweze kufundisha saidi Amina🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ANICETHRWEKAZA
    @ANICETHRWEKAZA 23 дні тому +4

    Hongereni Mtumishi Maana na Mimi ANICETH RWEKAZA AMON niko napambana na watu wanaohubiri upumbavu na wanadai kuwa ni wakristo hususani Maaskofu na Wachungaji wengi wa Kikristo ,Hamna Injili wanayohibiri ni Upuuzi Mtupu.

  • @FroraMagiri
    @FroraMagiri 5 днів тому

    Mungu akushiikilie mtumishi nasi mungu atushikilie pia

  • @James-y8f5s
    @James-y8f5s 3 дні тому

    Hallelujah God bless you Ev

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Місяць тому +2

    Kweli baba❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tuamke Africa Yesu Kristo yuaja

  • @KennedyOkinda-k4z
    @KennedyOkinda-k4z Місяць тому +1

    Ni kweli mtumshi wa Mungu wa Kristo tuamke Yesu kristo ndiye na akuna wingine.

  • @florencemutawa3011
    @florencemutawa3011 23 дні тому +1

    Mungu akubariki sana mutumishi wa mungu

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 27 днів тому +1

    Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu🙏

  • @musasilma-k1n
    @musasilma-k1n 7 днів тому

    mtumishi wa mungu niko na shida sina nyota

  • @AlberdKathulamo
    @AlberdKathulamo 19 днів тому +1

    Aksante mtumishi kwa enjili ya wakati. Sasa nilitaka nijue kama wewe ni mu sabato ama wewe nimutu wa jumapili.

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 3 дні тому

      Hayo maandiko yaliyoko kwenye kitabu cha ufunuo wanaoyaona ni wasabato tu!?
      Wanaosali Jumapili hawaoni au ni dhambi wao kuyasoma!?
      Angalia Biblia inasema Nini cyo hbr za J2 na usabato!

  • @EdithNeddy-hs9xv
    @EdithNeddy-hs9xv 16 днів тому

    Mungu azidi kukutumia tujue christo mwokozi wetu

  • @jacklinejackline2539
    @jacklinejackline2539 16 днів тому

    Amen Amen 🙏🙏🙏 be blessed pastor 😇🙏

  • @nobetiamos4116
    @nobetiamos4116 10 днів тому

    Mungu akulinde kama alivyo walinda danieri

  • @meshackzegezege9893
    @meshackzegezege9893 24 дні тому

    Injil ya moto sana hiyo Mungu atusaidie

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara 15 днів тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @petermathayo5433
    @petermathayo5433 Місяць тому

    Wanoongozwa na roho wataelewa lakini wa mwilini hawatakuelewa ,barikiwa sana

  • @KizalouisaYeremia
    @KizalouisaYeremia 15 днів тому

    Ndiyo mtumishi wamungu akubariki

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 Місяць тому +2

    Barikiwa sana mtumishi WA MUNGU 🙏❤mwenye sikio na asikie❤🙏

  • @mudjindjingoy
    @mudjindjingoy Місяць тому +1

    Mungu hakubariki mtumishi

  • @Praizon-y1j
    @Praizon-y1j 28 днів тому

    MUNGU akulide kwa Kila namna uwe mmoja wakuongoza watu wa MUNGU wakati wa mwisho ubarikiwe katika jina la YESU

  • @FranciWami
    @FranciWami Місяць тому

    Aminaa kubwaa naiwe.hivyo mtumish wa kristo.

  • @NaomiPaulo-v6o
    @NaomiPaulo-v6o 19 днів тому

    Amina maan unasema ukweli

  • @KizalouisaYeremia
    @KizalouisaYeremia 15 днів тому

    Mungu akubariki hiyonikweli

  • @josephfrancis8571
    @josephfrancis8571 18 днів тому

    Mithali 8:32 Ufunuo 12:7 Ufunuo 14:12 mtumishi ubarikiwe nafikiri hata mtumishi DM asipokuelewa atakuwa miongoni mwa wanaojiandaa kuwatesa watakatifu wa Mungu bila kujua alama ya mnyama inakwenda kutangazwa rasimi juu ya muhuri wa Mungu aliye hai maana shetani ana hasira sanaaa juu ya amri za Mungu na watu wake Ufunuo 2;10

  • @ShangweDicksontqbs
    @ShangweDicksontqbs 27 днів тому

    Mungu akulinde

  • @neemakuja953
    @neemakuja953 20 днів тому

    Mungu akubaliki mtumishi kwa kwa kujalibu kutufungua kiroho

  • @mirajihassani2952
    @mirajihassani2952 12 днів тому

    Nauliza. je yesu alikuanimtu mweusi

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 Місяць тому +2

    Ni hakika Yesu anakuja ni hakika

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz Місяць тому +1

    Huu ni ujumbe wa kweli ambao utatimia si kitambo na hata sasa wengine wanapitia haya mateso sasa maana wamebadilikiwa hata na familia zao,mm ninachoomba ni MUNGU asaidie wakristo wote maana vita viko tayari lkn najua huo ni mwanzo kiyama kinakuja kweli kweli BWANA YESU tusaidie na akulinde mtumishi wa BWANA akufunike na kukufunika na utukufu wake

  • @JulienneNiyogushima
    @JulienneNiyogushima 27 днів тому

    Mungu tusaidie tusipo ongozwa naw hatuta weza

  • @RaphaelAthanas-i1u
    @RaphaelAthanas-i1u Місяць тому +5

    Nimekuwa wakwanza kuitazama hii video like

  • @MussaBoazi
    @MussaBoazi Місяць тому

    Nimekwerewa sanaaa

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 26 днів тому

    Mtumishi pastor tafathali ache kujitabiria mabaya kwani hiyo ni roho nayo uumbba kitu kwahiyo jitabiria mema kila siku Asante

  • @Agnesisaid
    @Agnesisaid 28 днів тому

    Sema kweli baba

  • @nickoyoo3643
    @nickoyoo3643 11 днів тому

    Amen!!!!!

  • @Steven-y8h5g
    @Steven-y8h5g Місяць тому +2

    Na hiyo siku wanayoitaka ni jumapili ndo sababu wanapambana sana waisimamishe kinyume Cha sabato jumamosi

  • @JulienneNiyogushima
    @JulienneNiyogushima 27 днів тому

    Mimi nimwenye dhambi mungu nisamehe ili katika siku ya unyakuo nami ninyakuliwe

  • @JANEBGOYA
    @JANEBGOYA Місяць тому +1

    Haitawezekana

  • @lasdallas4508
    @lasdallas4508 Місяць тому

    Ukweli kabisa mtumishi

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому +2

    Sababu maombi ya mungu aiitaji malipo maombi ya mungu ni bure lakin kwasababu wao wanatumia njia ya giza lazima waitishe pesa tena wanakuambia kila maombi na kiwango cha pesa jamani binadamu wa sasa basi ila mungu anawacheki tu kwa macho yote yake akiwaangslia watafika wapi

    • @jacklinedeus6068
      @jacklinedeus6068 Місяць тому

      Yani imekua vurugu sana.Mungu atawalipa sawasawa na tamaa zao😢

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 29 днів тому

      ​@@jacklinedeus6068mi nibaki tu kimuomba mungu ambaye haonekani machoni,,lakin Hawa watu mmmmmm

    • @fednanndmwazala4092
      @fednanndmwazala4092 19 днів тому

      Mwenyezi mungu alimuleta mwanae kama dhabihu sadaka ama madhahu yakukoa watu wake kwa ulimwengu wa Giza,wa ibilisi so Mimi na wewe tuendapo kumwamini yeye alikuja kutuokoa yaani yesu alitumika kama sadaka ya kuokoa wakristo tuko mbali kwa elimu ya kiungu ufuhamu tunao niwaulimwengu huu bado wakimiungu yafaa tuzame sana katika ulimwengu wa wa juu abao ni waki kiroho

  • @EuniceShane
    @EuniceShane Місяць тому

    Amen amen

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 3 дні тому

    Ndio mama kaenda Hollywood

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    Siunasikua uyo anavyo sema kwamba ushoga ni halali sasa kwann tusichukue mufano kwa uyo kua wao sio watumishi wa mungu manabii wote ni watumishi wa shetani

  • @janenelsonmwashitete5488
    @janenelsonmwashitete5488 Місяць тому

    Amina

  • @LabanSimwinga-o7p
    @LabanSimwinga-o7p 29 днів тому

    Mtumishi wakasoaji niwengi nawenye dhihaka niwengi ila songa mbele kila mtu amefunuliwa kulingana na roho alivyo jaliwa!

  • @gracemahundi260
    @gracemahundi260 28 днів тому

    We chizi kuna mji unatengezwa Saudi Neon

  • @GichoNyachore
    @GichoNyachore Місяць тому +1

    Halafu huyu mchungaji aliwahi kutwambia Makonda anaumwa cjui amepewa sumu mwisho Makonda kaonekana na hakusema chochote

  • @florencemutawa3011
    @florencemutawa3011 23 дні тому

    ❤❤

  • @BonifasimanyenyePasikaliLusana
    @BonifasimanyenyePasikaliLusana 21 день тому

    make mtumishi sikuelewi unamana nga hasa

  • @harunajellad6771
    @harunajellad6771 17 днів тому

    Unawapotosha watu, hujui chochote kuhusu sanamu ya mnyama wala pembe mbili

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 3 дні тому

    Jamaa nimemsikiliza anaongea ukweli .hapa inabidi kuddeal na vitabu tu na kufanya ibada kwa mtu mmoja mmoja .ukisema unafata mkumbo unapotea .

  • @yohanamwakanyelenge3786
    @yohanamwakanyelenge3786 4 дні тому

    Rudi kassiano bado ujumbe unao hauko mbali na Neno

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 28 днів тому

    Ushoga ulikatazwaa ililididimishwa wakti wa nabii lut …wamesahau mwenyezimngu yuwa waona halali walaa hasinzii…

  • @JuliethJonasy-r6q
    @JuliethJonasy-r6q Місяць тому

    Mimi niliwambia huyu ni msabato alie andaliwa na mungu naona clipu mtandaoni watu wakasema huyu ni msabato nasio mpentecoste yaaan ni kama Petro alivoambiwa hata kutembea kwake ni mwanafunz wa yes

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 11 днів тому

    Hivi ndugu zangu hao wazungu hicho kitabu unachokihubiria wamekuletewa wewe upate ufahamu leo unawaponda hakuna mwisho wa dunia

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    Ni watapeli tupu na isitosho wanatumia ushetani tupu lakini watashindwa kwani mungu yeye anawacheki tu na kutulia watakuja kupata pigo kali

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 16 днів тому

    we mtumishi unagongwa manabii wa uwongo wapo wengi sana kama nyie

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    Sio kutuogopesha ndugu yangu ni kwamba hao wajinga wanae jiita wanabii wote wanatumia njia za giza akuna anae tumia njia ya mungu ata moja na ndio maan watu wengi wanamwagika kwao wanafuto wa giza na iko na nguvu kweli

  • @GichoNyachore
    @GichoNyachore Місяць тому

    Kwa hiyo yalishapita hayana maana kuyarudia

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 Місяць тому

    Shetani

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu 17 днів тому

    Bwege mtozeni

  • @SimonPonera
    @SimonPonera 29 днів тому

    Lakini mnyama wa kwanza ni papa na ufalme wake na wapili marekani na pembe mbili ni uhuru wa bible kuanzia marekan

  • @GichoNyachore
    @GichoNyachore Місяць тому +1

    Watanzania tunaibiwa sana na watu wa aina hii yaani akijua kuongea kwa sauti kubwa na kusoma Bible mntuma era

  • @EliusMugisha
    @EliusMugisha Місяць тому +1

    Ndio mengi tunayasikia Nan tufanye watumish mbn Kila injil mnatuogopesha nn tufanye tukae wap ili tukae kitakatif

    • @mtesigwalulale5867
      @mtesigwalulale5867 Місяць тому

      Madhehebu siyo mpango wa Mungu mpendwa,na hii roho ya MPINGA KRISTO au nabii wa UONGO inatenda kazi mpaka leo kupitia makanisa au madhehebu."bibilia inasema aaminie ataokolewa "kumwamini Bwana Yesu Kristo siyo kuahika sabatho au kanuni au MAPOKEO .

    • @mtesigwalulale5867
      @mtesigwalulale5867 Місяць тому

      Watu wanazani kuwa makanisa ni mahala salama lakini siyo mahala salama Tangu mwanzo , maana Yesu Kristo hajawahi na hakuwahi kuunda dhehebu .....ukisoma ufunuo wa yohana 1,2,3:14 inaonyesha Kuna roho FULANI iliinuka kanisani na haikuwa roho ya Mungu na roho MTAKATIFU akailalamikia hiyo roho na akawasifu WANAFUNZI au wakristo kwamba anawapenda sababu wanaichukia hiyo roho na hiyo roho iliitwa roho ya unikolai ,Hilo Neno ni Neno la kiyunani likimaanisha kuwashinda washirika ,hapa ndipo roho ya MPINGA KRISTO ilijipenyeza kanisani kupitia mfalme kostantini wa Rumi , YAANI upagani uliingia kanisani ,waliunganisha SERIKALI na kanisa wakatunga sheria za kuwatawala waumini kwa mabavu na wakatoriki au Rumi ya kidini iliua wakristo WOTE waliokuwa wanaenda kinyume Cha kanuni, kanisa KATORIKI au Rumi katika sura ya kidini walikuwa wanapewa mamalaka na kuungwa mkono na SERIKALI .
      Na warumi wakaingiza ibada za sanamu za warumi mfano Mungu. JUA ,Mungu MWEZI na Mungu jupita hizi ni Mungu za warumi wakazipaka jina la baba mwana na roho Mt,,utatu ni FUNDISHO LA kuzimu na wamelipenyeza ili ulimwengu uabudu Miungu ya kirumi na wamebarikiwa.

    • @davidkengambi491
      @davidkengambi491 Місяць тому +1

      Nimesoma hii ...nimecheka sana...asee...ni kukaa tu Kwa Yesu...ila haitakiwi kuogopa...
      Maana kuogopa ni dhambi

    • @erneusponera5356
      @erneusponera5356 29 днів тому

      Kiongozi injili inambo makuu matatu 1}kuonya {2}kukalipia {3}kufariji sasa injili inatutaka kumfuata yesu

    • @JaneKyusa-xy9xz
      @JaneKyusa-xy9xz 29 днів тому

      Yesu alimwambia yule mwannamke kisimani alisema siku zaja watu watamwabudu Mungu ktk roho na kweli, kweli Nini ni neno la Mungu

  • @SurprisedGlassRose-it1fw
    @SurprisedGlassRose-it1fw 28 днів тому

    Cassian, mbona Kila mara unabeba kitambaa chekundu, unagamyia nini???, kama wewe uu sehemu ya MUNGUbonaa???

  • @OndiekiMellen
    @OndiekiMellen 18 днів тому

    Mutumishi,masoga,Nini?,kama Adam nisogatutakubari,,why God aliona,Adam amehishi,peke,yake,akamutumia,mke,why not ,God to give Adam mume,na mume,,,we don't need wasoga,,Dunia,imeisha,too.,l in USA

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 18 днів тому

    Mpuuzi Tu wewe...

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Місяць тому

    Toka uko iyo sadaka unapeleka wapi au una akaunti ya mungu

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 25 днів тому

    Tusikilizetu Wote ni uongo tu Tuji ulize kipo kiumbe ambacho Hakija umbwa?na Mwumbaji Mwenyewe na kwa kusudi lake Mwenyewe?Jee?Tuseme nini Mwumbaji Hakijui Alicho kiumba? Tuwe Wangalifu Tusidanganyike

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n Місяць тому +1

    Utaumia kifua ww jamaa vuta pumz

  • @GichoNyachore
    @GichoNyachore Місяць тому

    Sasa si useme yanayojiri yerusalem unarudiarudia tu maneno yale yale kwa maana yake yalishapita

    • @SimonPonera
      @SimonPonera 29 днів тому

      Yaripita wapi acha kujipiga ganza

  • @ChingaPambakalii
    @ChingaPambakalii 27 днів тому

    Wew unachuki na din za watu tatizo mnashindwa kufundisha neno mnapambana na roma

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 Місяць тому

    Sina shaka kabisa na mahubiri yako, unaihubiri kweli bila kuighoshi. Lkn leo cjui niseme nipo kinyume na wewe au niseme sijakuelewa kwa habari ya unyakuo!?, maana unasema vyuoni wamedanganywa kuwa kuna unyakuo wakati hakuna jambo kama hilo!, apo mm sikuelewi kabisa. Maana kama unyakuo hakuna tumaini letu ni nini!?, kama kanisa halitaondolewa kwenye kipindi hiki cha utawala wa mnyama wokovu una maana gani!?,

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa Місяць тому +1

      Watakatifu lazima wapitie kwenye kipindi Cha dhiki kuu lakin watalindwa na MUNGU nakuwa salama, habar wanayofundisha vyuon et kanisa litanyakuliwa ndipo dhiki ianze siyo ya kweli

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 29 днів тому

      Wahubiri wamekuwa wengi,, na hii imekuwa ni kazi tu kama kazi zingne

    • @SimonPonera
      @SimonPonera 29 днів тому

      Hakuna unyakuo bila kupitia hapo mnasomewa kinyume

    • @LabanSimwinga-o7p
      @LabanSimwinga-o7p 29 днів тому

      Acheni kukosoa mbona nyinyi mnao jua hamsemi !!!

    • @IrakozeSandrine-y5m
      @IrakozeSandrine-y5m 17 днів тому

      ​@@IskariMasawa nikweli achaubishi izitabu tunapata wa kristo nindogo tu jj lazima hayo yawepo ila mateso halisia ya wa kristo nimpaka kanisa linyakuliwe antikristo nto atakuwa hazarani usibishe

  • @GijariSimon
    @GijariSimon 11 днів тому

    Acha uwongo sisi ndo tunaenda hatuwezi kumsubiri yesu wajinga kweli

  • @leonardoamadori9180
    @leonardoamadori9180 19 днів тому

    Acha kusema upuuzi...usidanganye wajinga. Ni dhambi. Kama unatsfuta riziki usizitafute kt kuhubiri upuuzi.

    • @EdisonSimon-u2c
      @EdisonSimon-u2c 17 днів тому

      Wewe ndo umejiandaa kuwatesa wateule wa Mungu na kuombea Mungu akubaliki uijukweli ameen

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 18 днів тому

    Wajinga ndio watanisikia na kukuzingatia Fala kama wewe

    • @EdisonSimon-u2c
      @EdisonSimon-u2c 17 днів тому

      Wewe ndo umejiandaa kuwatesa wateule wa Mungu na kuombea Mungu akubaliki uijukweli ameen

  • @adenmdeya
    @adenmdeya 13 днів тому

    ❤❤❤❤