I just started hearing you today morning at 5 am and haven't touched a phone on your choir since then..... You are such a blessing Receive love and one more subscriber from Kenya..... Much love Praise God 🙏
Naupenda sana ubeti wa tatu"kazi ikiisha tutampumzika,nchi iliyo na furaha,tutamsifu Bwana tukiimba wimbo na walio tuaga mbele"hebu na tujitaidi ili siku ile Yesu ajapo tuwe tayari kumlaki mawinguni pamoja na wapendwa wetu walio lala mavumbini
Oh could our churches be like this church so quiet, so reverent, there is silence in the temple for the Lord is in His holy temple
Amen
Amen
Amen❤
Amina sana Mungu azidi kuwatumia vyema
Am Lutherans but nabarikiwa na uimbaji sanifu Kama huu
Zaidi Sana ujumbe wenu
Mbarikiwe zaidi
Amen nawapenda Mungu wetu awabariki sana uimbaji mzuri uliotulia 🙏 kazi ya Bwana na iendelee🎤🎤📢
I see My old brother Masika from Ihungo Sek(Ihungorian) anaendelea kuchapa kazi
I love how the people in this church are keen and ready to harvest something for their souls
Mbalikiwe kutkumbusha kuwa mbinguni hatuta zeeka wapendwa
Happy Shabbat day my familly
Oh, Mwenyezi Mungu tusaidie tufike mbinguni ambako hakuna kuzeeka. Mbarikiwe kwa wimbo mzuri.
Amen
I just started hearing you today morning at 5 am and haven't touched a phone on your choir since then.....
You are such a blessing
Receive love and one more subscriber from Kenya.....
Much love
Praise God 🙏
Tuendelee kumtumikia kwa bidii kwakua tuta vikwa tajii tukifika mbinguni.hatuta zeeka ni amina sana.mungu awazidishie vipaji ndugu zangu.kirumba uu vizuri hata nasisi tuna kirumba apa inchini DRC .
Amen Karibu sana
Ndio Nemo li na teambiya kama hatutazeheka ❤Amen 🙏
Ni kweli mbingni atuta zeeka tu Kaze mwendo tufike
Grab your AirPod /earphones , thanks me like yesterday 🇹🇿😍🙏🏿🙏🏿
Amem Jesus muito lindo parabens meus qds irmaos so do Brasil estou amando estas lindas cancons
Huu ndiyo uimbaji bora kabisa,vyombo vinapigwa badala ya kufuatisha CD
Barikiwa
Hata ya kufuatisha pia sivilipigwa pia?
Nashukuru Mungu kwa yale ameniruhisu niyapitie . Yamekuwa makali lakini najua kuna siku yuaja machozi yatafutwa .
Bwana Akutie nguvu Vivian
Nashukuru sana kwa maombi yenu mambo yameanza kulainika. Bado najua yatakuwa Bora kushinda hapa
Kirumbi choir this song is so encouraging.mungu asifiwe sana
This Is the right truck of song's I like it and I love it May God bless Kirumba you have good song's which are blessings and healing
Asanteee Yesu,nahitaji mwisho mwema nikakae nawe paradise
Amen
May the Lord strengthen you people of God. 🎉
Kila ninaposikiliza hizi Nyimbo zinakuwa mpya Kwangu. Ninabarikiwa sanaa... Mungu azidi kuwabariki 🙏
Huu Wimbo unafanya niliee. Inanifariji
Very inspiring music .kirumbi choir i love listening to your songs.very natural.
Heavenly Music here. God bless Kirumba choir. Our churches miss this kind of hymnody!
Amen
….a land where we’ll never grow old. Amen 🙏🏿
Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri sana Na zenye ujumbe nzuri,
Be Blessed precious Servants of the Most High GOD 🙏
Huko hatutatengana😢😢it pains ila MUNGU baba tunashukuru🙏
@kirumbaAdventistChoir naomba muuruhusu huu wimbo kudownloadika basi😂😂😂😂
Balikiweni kabisa
So much blessed
Could many of our churches be like this church, the music not for entertainment but for the glory of God
Amen
mubarikiwe zaidi na ripoti kwaniaba ya rdc Goma
Hakika Mungu awabariki watumishi wa Mungu
Munguwabaliki jamaa wimbohuuu umenivutamooh
Amen, Barikiwa na Karibu
Mungu awabariki wimbo mzurii sanaaa.....nimemuona mama yangu mlezi Doris Nangai....
Hakika mbinguni hakuna kuzeeka. Mungu awabariki watu wa Kirumba.
Amen
Very powerful message " mbinguni hatutazeeka".......
Safi sana kirumba wimbo mzuri kweli mnamtukuza mungu ktk rohoo na kweliii
Amen
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa barikiwa sana waimbaji
Amen
Wimbo mtamu..naomba Nota zake
Amen
amen
Hakika hatutazeeka
Jamani kazi nzuri mbarikiwe
Amina
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri msonge mbele, resolution, harmony iko safi sana
Amen
Kwakweri kumtumikia mungu kunafaida
Mungu wa mbinguni awabariki sanaa
Nami natamani kufika huko.Amen Kirumba
Amen Mganga
Wimbo mzuri Sana mbarikiwe watu wa MUNGU.
Sure never grow old
Nimebarikiwa sana hakika uko hakuna kuzeeka may lord really blessing you
Amen
Mbinguni hatutazeeka
Nikebarikiwa na wimbo..solorist umenibariki na waimbji kwa ujumla
Amina,
Jamani musiache huu uimbaji ndo uimbaji wa msabato
amina
kirumba menibarik sana
Fanya mpango ili we download the song please.
Barikiweni sana, Mbinguni hatutazeeka.
Mungu awabaliki sana
Wimbo mzuri barikwa sana Amen
Amen 🙏 ubarikiwe Sana kwawimbo mzuri
My song 🥰🥰 MUNGU awabariki sana
Amen, barikiwa pia.
Safi sana. Well arranged and articulated. On point 👌💯 hongereni sana sana mmenibariki!
Amina
Amen Amen Ameeeen
Mbarikiwe Kwa wimbo mtamu Sana! Nimeutamani tangu zamani! mmeuimba vizuri sana
Barikiwa sana
It's will nice to be there 😉
We will never grow old hakika, barikiweni Sana Kirumba SDA. Mmeimba kwa hisia Sana huu wimbo
Ubarikiwe pia. Tujitahidi tuwepo wote.
Mzuri sana
❤ A powerful piece Children of God
Naupenda sana ubeti wa tatu"kazi ikiisha tutampumzika,nchi iliyo na furaha,tutamsifu Bwana tukiimba wimbo na walio tuaga mbele"hebu na tujitaidi ili siku ile Yesu ajapo tuwe tayari kumlaki mawinguni pamoja na wapendwa wetu walio lala mavumbini
Amina mtumishi. Bwana Atusaidie na Atutie nguvu.
Ni wimbo namba ngapi kwa kitabu
Barikiweni sana wapendwa
Amen
Nabarikiwa na nyimbo zenu!!
Nyie watu mbarikiwe sana kwa huduma hii nzuri. BWANA MUNGU asifiwe
Amen 🙏 longing for that day. Barikiweni.
Amen
Wimbo ni nzuri unatubariki
Amen, endelea kubarikiwa
Amina! MUNGU atukuzwe Kwa NYIMBO!!!
Alleluia
Safi sana KAC, mnafanya ibada kuwa na maana. Mfike mbali.
Amen
Hongereni sana Kwa uimbaji mzur hakika mmenibariki
Halleluiah
Kweli hatutazeeka
Nanyenyekezwa kusema kuwa mubarikiwe.
Barikiwa zaidi mtumishi. Karibu
mnarikiwe sana kirumba
Amen
Good song real there is no to be the old man, never
Amen
I wish to be there. May our Lord really bless you.
Amen
Great song of inspiration
Mbarikiwe Sana kirumba
Amen, Ubarikiwe pia Mtumishi wa Mungu.
Hongereni sana watoto wa Yesu kwa uzima wa bure
NEVER GROW OLD be blessed
Am blessed with the song.
Ooh how I love this song..God bless you all
Barikiwa
Amina
ameeen baraka tele
Barikiwa
kindly allow download please
Amina! Barikiweni sana kwaya ya Kirumba
Amina
Martin habari
Martin habari
Tunaomba mkumbali wimbo huu kudownload please thank you.
God bless you all kirumba for your wonderful performance
Amen
Wimbo mzuri sana, ila punguzeni mavipodozi vichwani mwenu
Khaa wapake nini jamani
Kweli! Vichwa hivyo vitavikwa taji na hutaona Tena unachokiona ... Amen!
Kama baada ya mziki bado umeona vipodozi...utakuwa unatatizo kubwa
Watu wananatural hair umekazana kusema vipodoz ulitaka wanyoe wapi bible unasema mwanamke anyoe punguza makasiriko na umruhusu roho mtakatifu alutawalee uache kujugde watu we pia sio mtakatifu.
Be blessed
Amen
Usafi wa moyo unahitajika ili mbingu tuione mbarikiwe kwa wimbo mzuri.
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
I am blessed God bless you ❤and your ministry
Amen Msechu, Praise be to Him.
Wimbo mzuri wenye matumaini
Love song♥️
Sawa kabx
God blessing us.🙏