Makini sana.. Bwana awabariki ..mmenikumbusha ule wimbo Hallelujah Kuu dkk 20 mlioimba pale kambini Arusha Central ulinibariki sana ..zidini kubarikiwa katika utume huu
😂😂😂😂😂😂😂njiro walijichanganya kumuachia huyu Mwalimu japo huwa tunajifariji eti oh kamaliza kazi aliyotumwa na bwana kaenda kwingine àa wap chuma hicho kimekutana na vyima injili ya yesu inagongwa balabalaaa safi sana walimu woote wa kwaya hiii
Amen Beroya Mission Choir, this is a song for the angels, wonderful singing, keep on doing it for our God, I LOVE IT Mwalimu, the pianist, the smartness, the attention, I lack words From Amazing Grace Church, Siaya, Central Nyanza Conference, Kenya
Mbrikiwe zaidi watching from Norway... niliwa fwata mara ya kwanza mkiimba kwa Hope for Africa. Tangu sikose kufwata nyimbo zenu kila asubui 30min nokienda kazini na jioni ivo ivo
Who else came to watch the new video jana only to find that it was removed? You bless us so much with heavenly singing Beroya Mission Choir. Already looking forward to the next.
Amen amen sifa kwa Mungu Beroya go the goo... Mbona mmetoa wimbo wa Mbingu kashuka?? Please rudisheni huo wimbo mmeuimba vizuri sana... Bwana awatumie kwa utukufu wa jina lake hapa duniani hatimaye milele mbinguni Sir kheri Kipara jitahidi kwenye front line kwaya ya mbinguni uwepo, mimi nikifika huko nitakutafuta
Mwalimu kipara mungu aendelee kukutumia shambani mwake big up jamni alikuwa mwalimu wangu wa choir ya kanisa mafiga morogoro mungu akubariki zaidi tulibarikiwa naye na wimbo wa simba wa yuda.
Amen Beroya. We were together last year at Newlife church for Hope for Africa evangelistic campaign. Your songs blessed us so much. Mungu atukuzwe kwa uimbaji wenu
Makini sana.. Bwana awabariki ..mmenikumbusha ule wimbo Hallelujah Kuu dkk 20 mlioimba pale kambini Arusha Central ulinibariki sana ..zidini kubarikiwa katika utume huu
Amen,Barikiwa sana pia
Amen Mr Manyonyi, Utukufu Kwa Mungu juu.
Mungu azidi kuwatumia kwa kazi yake wimbo mzuri
Daaaa!!! Nimebarikiwa na wimbo huuu
Hooo JESUS TA GRÂCE 🥰🥰🥰
Discipline of the highest order. God deserves the best!!
Sure
Sure
😂😂😂😂😂😂😂njiro walijichanganya kumuachia huyu Mwalimu japo huwa tunajifariji eti oh kamaliza kazi aliyotumwa na bwana kaenda kwingine àa wap chuma hicho kimekutana na vyima injili ya yesu inagongwa balabalaaa safi sana walimu woote wa kwaya hiii
mwalimu gan anawafundisha hawa jamaa mbona wana hatari sana aiseeeeeee😂😂😂😂😂😂ni huyo anayewaimbisha au yule kijana anaye penda kusolo
Mtu wa nyumbani kigoma
@@dastanmakoko521 ni nan sasa huyo mkaka anayeimbisha au yule kijana wa kusolo
@larckybinhaider6050 huyo anaye imbisha anaitwa Her R Kipara
Chumaaaa🎉🎉🎉
🙏 Amen
So amazing
Nzuri sana
Mimi ni Mchungaji Njile. Nawapenda sana kwa uimbaji wenu Beroya. Muendelee hivyo hivyo msibadilike.
Amina pr
Asante pr ubarikiwe sana
Barikiwa sana pastor
Amina,❤
Good song.... Happy to see my best Editha mkacha ... May God bless you all
hakika Mungu anatukuzwa
Blessed Assurance Truly Jesus is coming
Duuu nimejikuta nasikia na mziki mzuri
Haleluya bwana azidi Kuwabariki sana
Nzur
Amen Beroya Mission Choir, this is a song for the angels, wonderful singing, keep on doing it for our God, I LOVE IT
Mwalimu, the pianist, the smartness, the attention, I lack words
From Amazing Grace Church, Siaya, Central Nyanza Conference, Kenya
Be blessed saint
Bwana asifiwe ndugu na Dada! Kristo Akija tutaimba nyimbo tamu pamoja na Malaika watakatifu! Tuonane sote pale.
Aminaa❤
Watching this beautiful choir live from Japan Tokyo. God bless you my dear Brothers and Sisters from Tanzania
Thanks for listening
Come on Beroya.
What an amazing item.
Do waalimu wenye ni hazina kubwa sana kwa kanisa
Amen
Kaz nzuri sawa balikiwa
🔥🔥👏
Muhhh,,I can not say anything,,let the song speaks to our inner mind,,,and Almighty God may bless U
Mungu awabariki mtumike jinzi apendavyo
I live in Germany you are best choir
Ulipotimu wakati,Mungu kawapa wimbo wa ajabu.sauti,ujumbe na vyombo vikakubaliana.Mungu azidi kuwainua kwa utukufu wa jina lake.
Ameeeen
Mbarikiwa san manaimba vizuri mbarikiwa xan na uimbaji wenu
You are dear children of God.
Amen
Mbrikiwe zaidi watching from Norway... niliwa fwata mara ya kwanza mkiimba kwa Hope for Africa. Tangu sikose kufwata nyimbo zenu kila asubui 30min nokienda kazini na jioni ivo ivo
Barikiwa mpendwa
🎉🎉
Who else came to watch the new video jana only to find that it was removed?
You bless us so much with heavenly singing Beroya Mission Choir. Already looking forward to the next.
Be blessed saint
Stay blessed the God servant
Amen may the name of God be glorified 👏
Mbarikiwe sana..
Mbarikiwe sana ndugu zangu wimbo mzuri mno
Praise the Lord. This is realy adventist music.
Amen amen
@@barakamathias8157 very true. Hata muonekano ni wa kuheshimika kweli
Good job my choir,, 🤗🤗🤗 keep it up👏👏👏👏 God bless you abundantly
Mnapatikana wapi jaman ooooooooooooh halleluja nabarikiwa mnooooooo
Katoro Geita
Tupo katoro mkoani Geita
@@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8synakuja kuimba na nyie
Bwana awaongeze zaidi , nyimbo nzuri sana kuwahi kusikia
Mbarikiwe sana bwana azidi kuwalinda nakuwapa kipawa cha uimbaji zaidi hakika mungu atukuzwe huundio uimbaji wa kumtukuza baba
Tubarikiwe sote
Wow amen my choir be blessed
Jamani jamani,mubarikiwe na bwana
Glory be to God
Amen mbarikiwe sana
Bwana awabariki sana wimbo mzuri❤
Amen
Beloya Adventist Mission Mungu awabariki !!!! Hii kazi imekua mbaraka saana kwangu!!!! Mungu awainue zaidi Kazini mwake !!! tuu
Barikiwa mpendwa
Kumbe muziki mtakatifu Bado upo!
Upo beroya mission 😂
@@amosmbogo7175hayaaa barikiwen
Vzur san
Amen! Mr. Cleopa Ladslaus Barikiwa sana kwa kazi ya Mungu. Tufanye kazi ya Bwana tungali tunanguvu
Amina jinalabwana litukuzwe kwawimbo mzuri sanaaa tutashinda kwaimani mbarikiweeeeee.
Amen barikiwa pia
Nawapenda sana Mungu aendelee kuwainua🙏
Wimbo mtamu sana...
Beautiful piece 🎉❤
I wish I could like more than once 😅
Mungu awabariki sana na muendelee hivyio🤗🌺
Amen amen sifa kwa Mungu
Beroya go the goo...
Mbona mmetoa wimbo wa Mbingu kashuka?? Please rudisheni huo wimbo mmeuimba vizuri sana...
Bwana awatumie kwa utukufu wa jina lake hapa duniani hatimaye milele mbinguni
Sir kheri Kipara jitahidi kwenye front line kwaya ya mbinguni uwepo, mimi nikifika huko nitakutafuta
Wonderful
Thank you
Napenda kuwaona ❤
Wana na Binti za mungu
🙏🧡
Amen Amen, nimebarikiwa.
Amina Sifa kwa Bwana
My favorite choir since hope for Africa at Nairobi Kenya 🙏 good Adventist music to listen
BEROYA MISSION NI LIDUDE LIKUBWAA💥
Amen barikiwa
😂yaan ni Lidubwana Ndugu yangu hatari sana
@@Hasnspop hii ni mbele mbele yao mzee🔥🔥
Mbarikiwe Beroya!
Mwamba ten huyo,,,,,,,,,,,halely Bwana
Amen and Amen.
Great music praise God alleluia
Ameeennnn
ujumbe makini kwa watu makini. BWANA awabariki sana
Aminaaaaa jamanii kweli mziki unaenda mbali hongereni waimbaji na walimu kweli mmeenda shule Jina la Bwana lihimidiwe
Amen
Mwalimu kipara mungu aendelee kukutumia shambani mwake big up jamni alikuwa mwalimu wangu wa choir ya kanisa mafiga morogoro mungu akubariki zaidi tulibarikiwa naye na wimbo wa simba wa yuda.
Amina sana songeni mbele huu ndio uimbaji wa kanisa la waadventista wasabato
Hakika Beroya mnatubariki sana kwa nyimbo zenu nzuri, mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi
🔥🔥🔥🔥🔥Good job beroya..Ni kwa Imani tutashinda..am truly blessed 🙏🙏🙌🙌
Amen Beroya.
We were together last year at Newlife church for Hope for Africa evangelistic campaign.
Your songs blessed us so much.
Mungu atukuzwe kwa uimbaji wenu
Amen may God bless you saint that still hold the meaning of music in the adventism.
Belle harmonie, bravo, gloire à Dieu 🌺
Nimebarikiwa sana na wimbo went Mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu.
Amina
Amen❤❤
Thanks! God bless you!
Same to you!
Uimbaji ni mzuri wenye baraka kwa yeyote amtafutaye bwana kwa bidii
Barikiwa pia mpendwa
Amina. Nimependa organisation and ujumbe.
Barikiwa sana
The choir has been doing nice pieces ,may God continue blessing all of you,,,can someone connect me with the trainer of the choir kindly?
Amina
Amen barikiwa sana na wimbo
Katoro - Geita
Very melodious voices ,well balanced ❤
Toka DRC tunafuata nyimbo za injili, Mungu awabariki wana kwaya
Amina sana
My son is 1.5 years but the was he love your music we shall visit Tanzania and to be specific your church
❤
Glory to God
Shalom shalom 💗💕🙏
Mbarikiwe sanaaaa 🙏
🙏
Happy to see you!!
Thank you!!
Amen welcome Kenya Nairobi again
Kwan wako nairob hawa
Kwan wako nairob hawa
Kwan wako nairob hawa
@@HasnspopWapo katoro- Geita
Hakika MUNGU ashukuriwe na awabariki Sana wimbo mzuri Sana kweli nime barikiwa Sana .
Amina
That is so amaizing ,hata sijanmini kama ni Tanzania hii hii tena kanda ya ziwa jamani kumbe tunaweza Wasabato tunawezaa tusiktishwe tamaaa
heeeeeee weeee hii kwaya kwan ya kanda ya ziwa au ya dar😂😂😂😂😂
Kanda ya Ziwa Katoro Geita ndipo inapopatikana
Good job The Beroya Mission Choir, may God keep uplifting you to higher grounds 🙏
Thank you so much
🙂🙏
🔥
Mbarikiwe sana
🙏