KUMTEGEMEA MWOKOZI - A Live Performance from Kirumba Hymns Festival S'n II. Feat. Pr. Joshua Mbwambo
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- Kumtegemea Mwokozi kwangu ni Tamu sana. Ndugu yangu "Katika Maisha kuna tumaini katikati ya Matatizo katika KUMTEGEMEA MWOKOZI. "
Mara zote maneno ya wimbo huu yameleta tumaini kubwa katikati ya dhoruba Kali.
Nitakutegemea Bwana daima. Asante Kirumba Choir na Pr. Mbwambo
Acha nikutegemee Yesu wangu.
This song slaps in a very holistic way. Surely Jesus is lord and we should always depend on him in all situations
Ndiye wa kutegemewa na hapana mwingine pasipo yeye. Barikiweni na jumbe na uimbaji mzuri. Na tusogee kwake tukimtegemea yeye daima na hata sasa. Amen
Barikiwa sana Mtumishi
Nnaomba vizzuri Sana watu wa baba nchi gani hiyo nijibbu tafadhali
@@MamaFide Kirumba, Mwanza,Tanzania
Waoooh, kwa kweli Kirumba huyo aliyepata haya maona ya kuwatoa nje ya boksi mkajaliwa kupiga muziki huu, abarikiwe. Na kila mtu anayeshiriki kuuinua muziki huu hapo kanisani abarikiwe mara dufu
Barikiwa
nyimbo zinavyo imbwa nahisi kabisa siko duniani .. MUNGU awavute kwake zaidi
Yesu ndiye bwana wa majeshi.
😢MUNGU Nina kushukuru kwa kila jambo katika maishaaa yangu
Kumtegemea Mwokozi ni tamu kabisa. Yaan katikati ya machungu,Yesu ni Mwamba Imara
Amen
I love this beautiful song,it really touches my heart,it truly reflect to me that the almighty is always around me everything I'do in life.without God nothing is possible,you will find everything hard day by day
Hii imenikubusha wakati nilioata accident this was my song every morning in the hospital I thank every day I sang this song kawa hakika kutegemea mwokozi ni tamu
Amen Jud, be blessed
Kweli bila Mwokozi kwetu ni bure,hivyo tuishi tukimtegemea yeye ktk maisha yetu yote.
Kirumba mimi na familia yangu mnatubariki sanaaaa
Amen mtumishi. Bwana Akubarii zaidi
Nabarikiwa sana na huduma za kanisa leo nikiwa muscat🇴🇲
Amen
Aaaaah🎉🎉🎉🎉 beautiful... Ahadi zake ni kweli
My home church always pleasure
Nafurahi Kwa sababu tunae tegemeo Yesu kristo
Muziki umepangwa na vyombo vimepigwa kwa utulivu na sifa kwa Mungu, Amina sana
Am waiting for this 🎉🎉🎉🎉
Be blessed
I am blessed 🙏🏽
Mungu aendelee kuwatumia kwa kadri apendavyo, nanyi pia awape utayali wa kukubali kutumika shambani, kupitia huu wimbo watu wengi naamini wametiwa nguvu na wanaendelea kutiwa nguvu.
Amen MUNGU azidi kuwatumia
Kweli tumtegemee Mwokozi Kwa kila Jambo,Huu wimbo umenipa matumaini
Ahadi same kweli. Kumtegemea Mwokozi kwangu tamu kabisa❤
Amen niwatie moyo MUNGU WA MBINGUNI AWATIEE NGUVU
Thanks for blessing us with your ministry with love from Uganda
Thank you and God bless you more.
Be blessed our good neighbour
Amen
Tulipolala ni yeye aliyetuamsha....
Amen
Acha kabisa yaani sijui sijui sijui ila "Kumtegemea Mwokozi" kwangu tamu kabisa japo mapito ni mengi ila nina raha moyoni
Namtegemea sana Yesu wangu.
Amina heri kutengemea Mungu kuliko mwanadamu
Namwamini yesu Yu thamani
Nabarikiwa Sana na uimbaji uliotukuka. Mbarikiwe Sana, mfike mbali.
Amina mtumishi
Powerful
Amen
Mungu awabariki sana sana sana
Amen Amen and Ameeen...❤..
God's love is so awesome..
We thank You God for loving us.
God Bless you my good friend Pr. Joshua Mbwambo
Amizing pwrfoy barikiweni sana kirumba mnafanya jambo jema sana kutubariki
Amen
My home church always a pleasure listening to your wonderful songs 🎵.
Amen Emily
I love this music and the people who sing it
𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒘𝒂𝒃𝒂𝒍𝒊𝒌𝒊𝒊𝒋 𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏 𝒌𝒊𝒍𝒖𝒎𝒃𝒂 ameniii
Gould listen to this all day.
Wooow this is what have been looking for,🙏🙏i love it
Sijui kwa nini nilichelewa kwenye hii dini nimemuona thabiti
Hakika kumtegemea Mwokozi ni raha sana mbarikiwe mno
Amen
Nitamu kumtegrmea mwokozi🎉🎉❤❤
I just love the way he introduces the song.
This song is a blessing, this weekend I have listened to it more than once. May God bless your ministry.
Amen Ngendo, May the Lord bless you more. Keep on sharing.
Amen amen amen amen Mungu apewe utukufu
Amen 🙏
Amen
Amina, Amina, kweli Mungu ni mwaminifu🙏
Amen
Mungu akubariki sana pr mbwambwo
Amina....Amina....
Barikiwa sana mtumishi...
Asanteni sana. Thank you so much for this outstanding confession of trust in Jesus, our God, who is authentic, reliable, precious and unchanging. He indeed is steady in relation to his promises to each one of us.
Naam! Alitufuta machozi Mwokozi wetu!
Amen
🙏🙏amina sana sana nimebariwa
Jamani 😭😭😭 ibaada kama hizi ni nzuri mnoo jamani
Mbona sasa unalia mtumishi!!
Be blessed
Amina mbalikiwe Msonge mbele
Kwa kweli kumtegemea mwokozi ni Raha sana huu wimbo umenigusa xn
Hakika kumtegemea Yesu ni kutamu sana
Alleluiah
Nabarikiwa kwa nyimbo zenu na huimbaji wenu.hakika mnaliinuwa jina la Yesu.tunajivunia mwanza kuwa na ninyi. Niko nyamadoke mtaa wa buswelu.Mungu awabariki sana
Amina. Barikiwa pia na Karibu Kirumba
Very inspirational & uplifting ❤❤
Amina🙏🙏
🙏
Where's this church 😢 i wanna be there someday
Mwanza
Nabarikiwa sana
Nzuri. Sana
Amen
Amen
Mko vizuri Mungu awazidishie
Amen
Amen this song is a blessing to me it reminds me the great things God has done in my life....be blessed Kirumba choir
👌
Kirumba, always on point., be blessed.
Amen
Hakika kumtegemea Mwokozi kwangu tamu kabisa
Amen
Where's this Kirumba SDA church? I must one day visit this church
Amina
Amen
Amina. ❤ my best song!
Amen
Oooh hallelujah 🙏
Amen
Amiina
Amen
Blessed
Amen, be blessed too
Amen Amen Amen
Amina
Your songs are an inspiration. I'm blessed.
Amen brethren.
Amen ❤
Amen
❤❤❤amen kabisaa
Ooh hallelujah be blessed ❤️
My church, my choir
Amen
😊😊😊
Huku ni wapi
Kirumba SDA Church, Mwanza Tanzania. (Kirumba Adventist Choir)
Punguzeni kuongea. Tofautisheni mahubiri kwa kuongea na mahubiri kwa njia ya nyimbo?
Sogeza mbele Sikiliza Wimbo barikiwa. Wengi wamebarikiwa kwa maongezi.
Amina🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen❤❤❤
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen......
Amen
Amen
Amen
Amen