Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
ANAKUJA UPESI | NI KITAMBO (Medley) - KAC, A Live Performance at Kirumba Hymns Festival Season II.
Вставка
- Опубліковано 31 сер 2023
- Unataka Kukata Tamaa? Inuka Tena maana Yu Hai na Anakuja Tena Kitambo Kidogo Twende Naye Nyumbani. Shikilia Imani hadi wakati Huo. Bwana Akubariki Sana.
#INUKATENA2023
Mungu awakumbuke atakapokuja kutuchukua kwenda nyumbani
Amen, Tamanio letu tukutane pamoja nawe pia.
Amina!! Mungu awabariki Mara millioni n'a awaongezeye akili nyingi kwa kazi munayo ifanya kutangaza abari zake kupitiya nyimbo 🙏🙏🙏
Tutamsifu milele hata tutashangaa aaa, Mungu awabariki sana KAC.msichoke Mbinguni tuendako hakuna kazi.
Hakika Bwana wetu Yesu Kristo nakuja
Wapendwa katika Yesu WA Kirumba nabarikiwa Sana na nyimbo za kumsifu Mungu mnazoimba. Mungu aibariki KAZI yenu. From Kitale, Kenya.
Ubarikiwe zaidi ndugu.. karibu tarehe 30 kwa ajili ya season 3
Mubarikiwe sana/butembo DRC
Amina na amina, ni kitambo tu tunakaribia kwenda nyumbani. Japo dhoruba kali zinavuma, hiyo ni ishara tunakaribia nyumbani. Bwana awabariki Kirumba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen.
Amen
Ni kitambo kuivika bahari!
A
Mtunzi wa hii nyimbo kwa kweli alitunga yaan sichoki kusikia,Mungu akubariki sana
Tunapovuka mwaka bila shaka tutiwe moyo kuwa yu hai
Asante sana kwa kunibariki , Mungu aendelee kuwatumia na awashikilie katika uimbaji wenu.
Praise God.
The meaning of music. Aisee mnanibariki sana ❤❤❤
Amina
Дорогие братья братья и сестри Благословений вам с Украини Благодарни за молитви Просим вас молитесь за Украину
Amen, Haleluyah..Puji Tuhan, Tuhan Yesus baik, Ia tetap sama baik kemarin hari ini dan sampai selama-lamanya. Ibarni 13 : 8.
Saya dari Pulau Papua (Papua Barat), Kita kulit Hitam sangat berharga d mata Tuhan.
Ni kitambo ni namba ngapi kwa NZK?
Asanteni kwa wimbo mzuri..
Tunaomba Muuimbe wimbo wa piga panda na ya Makelele pia wimbo wa ""Na tumwabudu huyo mfalme. ""
Barikiwa sana. Piga Panda tafadhali tazama Nyimbo za Season One umeimbwa. Asante
Kirumba amena kwenu Tanzania tuna Ambasada
Nimewapenda bure
Napataje cd za nyimbo hizi. Nipo ulanga Morogoro
Amina! Amina...hakika kuja kwake Yesu imekaribia
❤❤❤🤗🤗🤗🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝🤝
Amen
Nzuri sana
Oohh Mungu wetu twangojea marejeo yako muda wa kuish dunian umeish dalil zatokea tunazozisoma katika maandiko matakatifu ya biblia , kitambo twaenda nyumban 🙏🙏🙏
M-barikiwe sana Mungu awasaidie tukakutane mbinguni waungwana.
Mungu awabark san
Amen and Amen, someone get me contacts of the choir director.
Amen Amen and Ameeeen..Mbarikiwe kwa uimbaji mzuri sana🙏🏼🙏🏼
Amen
Amen nimebarikiwa saaana🙏🙏🙏
❤nami nazipenda sana tena sana MUNGU awabariki
Ameeeeeen, Uimbaji mzuri sana
Amen
Amen amen amen!!!!!!😊
Amina ni kweli hakuna machozi kwenye nchi tamu.Mbarikiwe sana
Amen
Imina🙏🏼ni kitambo twende nyumbani
Amina! Sabato njema wanaKirumba!
Be patient, Christian soldier. Yet a little while, and he that shall come, will come. The night of weary waiting, and watching, and mourning is nearly over. The reward will soon be given; the eternal day will dawn. There is no time to sleep now,-no time to indulge in useless regrets. He who ventures to slumber now will miss precious opportunities of doing good. We are granted the blessed privilege of gathering sheaves in the great harvest; and every soul saved will be an additional star in the crown of Jesus, our adorable Redeemer. Who is eager to lay off the armor, when by pushing the battle a little longer he will achieve new victories and gather new trophies for eternity? {RH October 25, 1881, par. 11}
Amen
amen
Ooh Hallelujah, come Lord Jesus!
Mnanibariki sana
Mbarikiwe nanyi pia
Ni kitambo tu twakaribia.,..,.,.ni kitambo twende nyumbani na ahadi hii ya milele ni hakika. Halelujah..Amina.
sure Jesus is coming.
and where I shall be, you shall be there also.
Among very few Africans ...... wengi tunaharibu aina hii ya uimbaji lakini nyie nawasikiliza nikijihisi kama niko ulaya ..... only you keep it up ... mnajua hakika Mungu azidi kuwatumia
Barikiwa na Karibu sana
Aaaaaamem!!! Deus ouve tais louvores. Muito bom.
De Brasil
Hakika nafarijika na nafurahi Sana kuskiliza nyimbo zenu🙏🙏🙏🙏🙏🙏be blessed
Amen
🙏
Amina...mbarikiwe sana kwa uimbaji mzuri🙏
Mbarikiwe sana KAC. Hakika ni kitambo tu twende nyumbani. Furaha gani iliyoje kwenda nyumbani. Nyumbani kwetu ni pazuri mno, natamani sana kuwepo nyumbani kwetu baada ya kuivuka bahari iliyojaa upepo mkali, mawimbi na fujo nyingi za baharini. Mungu atusaidie sote, tukutane nyumbani maana ni kitambo tu.💕💞💞💕
Amen
Every time i listen to this song i feel like its my first time. Am blessed thank you
Nimebarikiwa sana kwa huduma wenu kupitia huu wimbo❤❤❤
Majina yangu ni Robinson obwoge kutoka Kenya nabarikiwa zaidi kwa nyimbo zenu naamini siku Moja tutaonana uso kwa uso
Karibu sana Mr. Robinson. Tarehe 30 tuna season 3
Hallelujah, glory to God, can we all meet in heaven to sing the song of Moses and the Lamb!
Asante kwa kutubariki kwa nyimbo zenu tamu I am so uplifted and encouraged by your beautiful songs following from Vancouver canada
Amen, Be blessed
Hallelujah Amen ❤❤❤🎉🎉🎉
Haleluya
Amen..Maisha yetu yamejaa huzuni sana kwani ni Kitambo twende nyumbani..
Amen
The experience is totally on a different level. The transpose is amazing. Praise God
Amina. Great song this is.
❤❤❤❤❤
Ameen… MBARIKIWE sana
Amen
AMINA AMINA na AMINA ni kitambo twende nyumbani.
Namwomba Sana Mungu niwe mmoja wao hao watakaopata Neema ya kuingia
Amen, barikiwa Joshua
Ukweli natamani Sana Yesu Aje
Dunia Inachosha Sana
Na Aje Bwana Wetu.
Amen Amen
Wonderful song soloists nailed
Amen
Inuka tenaaaaa... Maana anakuja
Amen
🙏🙏🙏
Hakika Yesu anakuja
Amen
Amen.
Such a blessing,let’s get involved,He’s coming soon
Amen
AMEN..this is so nice..❤🙏
Anakuja upesi! Good song
Amen
Nabariwa sana
Yuaja yuaja # in a little while.
🙏😊
Amen
Yuaja Yesu atarudi tena❤
Amen
Aleluiyah aleluiyah Amina tutamsifu aliyetukomboa
Amen
Good singing!
Amen
woow
Aminaa
Amen
Nikitambo twende nyumban
Amen
Amen amen watching from Kenya
Be blessed and keep following
Mungu atukuzwe sana in
Amen
Hii trial pale mwisho nilitaman waendelee
Amen
Indeed he cometh🎉🎉
Amen
Wondering ❤❤
Amen
Wow!what a wonderful song is this
Amen
Amen❤🙏
Amen
Amina
Amen
Amen
Bwana atukuzwe
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen