Just imagine how beautiful this song is,and the way the voice of these ladies and gentlemen are soothing,our God must be very happy. I can't imagine how the song,Musa na Mwana kondoo will be,when Jesus will come and take us up there,we will sing it and sing,I just pray and hope that I will be among those who will sing the song with Jesus,the Angels and other saints!
Amina na Amina hakika Imani ni ushindi! MUNGU awabariki sana kwa uimbaji mzuri na sauti za tamu za kumuabudu MUNGU wetu! Mmeibariki sana siku yangu na MUNGU azidi kuinua vipawa vyenu kwa ajili ya utukufu wake. Love from Furaha choir Lutheran Church Swahili service-LONDON
The melody is gentle. My dear Ntaman, your voice and enriched tone is soothing with smooth calling. My brother Osee projected deep and wisely. The song serves me often, Excellent piece.
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe sana na YESU. Pia mjitahidi kuvaa vizuri kwa baadhi ya wanawake ikiwemo namna ya kuziweka nywele vichwani kwa namna inayo mpendeza YESU.
Wimbo Namba 1 kati ya Nyimbo za Kristo ninazozipenda, unafariji moyo wangu sana, unanipa nguvu kuanza upya kila ninapowaza kukata tamaa au niangukapo
Kirumba Adventist Choir, may JESUS blessings be with you forever. Amen and Hallelujah, Glory To JESUS.
Nabarikiwa Sana na nyimbo zenu, MUNGU awainue zaidi kwa ajili ya utukufu wa jina lake, ❤️
Watching from Blantyre , Malawi
Enjoying the songs
Giving us hope in the hopeless times
May God bless you!
Nguvu za Roho mtakatifu zmejaa katki wimbo huu
Groly to God
Woow my lovely daughter *Esther* has a sweet voice. Wonderful performance. I love that. From Ghana.
Be blessed dad
Will always love this choir , God bless you guys , right from 🇰🇪 I say Amen!
Imani ni ushindi ninamba ipi katika nyimbo za kristo
Amen!
Ooh hallelujah
Must love this choir. Nyimbo hizi zinaguza roho kwa kweli. SDA Kirumba, best
Much love,
Just imagine how beautiful this song is,and the way the voice of these ladies and gentlemen are soothing,our God must be very happy. I can't imagine how the song,Musa na Mwana kondoo will be,when Jesus will come and take us up there,we will sing it and sing,I just pray and hope that I will be among those who will sing the song with Jesus,the Angels and other saints!
Wicked... Watching it from East Timor. Jesus Love us all!.
Love Them
We from The Indonesian Christian Church
Am consoled ,encouraged,and back to Christ. I play again and again.Gudos, The BEST among the REST. I love this harmony. MOMBASA Kenya
Kwakweri Mnaimba Vizuri Mungu Awape Mibaraka
Amen
Watching from Tanga Tanzania,,I will visit you one day,,may God be with you,,
Amina na Amina hakika Imani ni ushindi! MUNGU awabariki sana kwa uimbaji mzuri na sauti za tamu za kumuabudu MUNGU wetu!
Mmeibariki sana siku yangu na MUNGU azidi kuinua vipawa vyenu kwa ajili ya utukufu wake.
Love from Furaha choir
Lutheran Church
Swahili service-LONDON
Bwana na awainue zaidi wapendwa ktk kazi nzuri
Amen, barikiwa zaidi mpendwa
Barikiwa mwalimu osée. Isaac muteri nakusalimu
Mungu awape uwai mwendelehe kumuimbia nawapenda wana kilumba kina wenu niko pamoja na nyinyi mungu awabaliki
Amen, ubarikiwe zaidi na endelea kuwa nasi.
Amen. May we always have the faith to praise the Lord. Once again Amen, Amen
Amen
This song should have more tha a million vews
Touching my heart... Best of the best
Amina!! Mnapendeza, wimbo mtamu pia.
I really love this song its always inspire me so much
Mungu mukubwa sana
The melody is gentle. My dear Ntaman, your voice and enriched tone is soothing with smooth calling. My brother Osee projected deep and wisely. The song serves me often, Excellent piece.
Much Blessings brother. Karibu
Kweli Mungu wangu nizaidie no we msindi
Amen
barikiwa sana watumishi wa bwana
mbarikiwe sana
❤😊
🎉
Nabarikiwa Sana nyimbo za note
Safi sana, nimependa hiyo ya kutaja majina.
Amen
Faith is the victory that overcomes the world
Amen
I love what im listening 🎶 ❤️.
This is Kirumba I know....kwakweli Sauti zenu zina msifu Mungu.
Amen, Endelea kubarikiwa mpendwa.
Share zaidi bila kusahau Kusubscribe kwa video zaidi
Imanii Ni ushindiii
Nabarikiwa na huduma yenu ... Mungu azidi kuwainua
Amen mtumishi, Karibu sana
Amen.Mungu azidi kuwabariki mzidi kuwa baraka zaidi
Amen Nyangeta. Karibu sana na endelea kufuatilia, pia usisahau kusubscribe.
Mbarikiwe sana my lovely choir Kirumba.
Amen, Barikiwa pia Janeth
Imani ni ushindi 🙏🏿 mbarikiwe
Amen
Kazi tamamu
Yes, peace be still in everything in Jesus name, amen
Amen Schola
Imani ni ushindi!
Barikiweni sana. Nawapenda sana wana kirumba
Amen, Tunakupenda pia, Endelea kubarikiwa
Amen ❤❤
MUNGU ni mwema tusonge mbele
Amen
Amen, May Gods name be glorified ,the medley is uplifting
I really love the music from this church..its alive🙏
Amen brethren, Keep on visiting and you will be blessed.
Amen, I had not known this choir. Great message and well blended voices. God bless you.
Be blessed, keep on sharing for many to have this blessing.
Amina
Alleluiah
Munga Awabariki, mtumikieni bwana🙌
Amen
Amina. Mungu awabariki sana.
Amen, Ubarikiwe pia na Karibu sana
Bariwakiwa xan
Amen.
ameeen Mungu awabarika kwa njema mungu atukuzwe
Amen, ubarikiwe pia.
Wapenzi wa bwana you have brighten my day ,be blessed.
Amen mtumishi.
That's good and blessings song I listen it frequently
Amen, endelea kubarikiwa.
Nimebarikiwa sana, sweet song
Amen, endelea kutufatilia kwa kisibscribe for more music
Be blessed all asanteni kwa wimbo makini wa Yesu Mwokozi wa hakika
Amen Elder, Barikiwa
❤❤
Amen,
Halellujah, Powerful, Harmonic, professional music. That was a wonderful piece of performance. Mbarikiwe na BWANA
Amina mtumishi, Ubarikiwe pia.
Amen
Hallelujah Ameeen
Amen praise the lord amen ❤
Safi sana 👌
Amen
Jamani, mbona sikugundua hii channel mapema. Mfanye kushare links, iwafikie wengi. Nyimbo nzuri mnooo
Amen, endelea kubarikiwa sana
Nice,nice song.Amen
Be blessed. Amen
Let us praise our Lord God, nice song
Amen Bery
Inabariki sana!!!
Amen Jailo, barikiwa zaidi.
To God be the glory 🙌🙌🙌🙌🙌
Amen
Amen be blessed
Thank you brethren. Be blessed pia.
AMEIN
This is great guys. Muachane na jayo madrums tu.
Endelea kubarikiwa, karibu kwa msaada zaidi.
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe sana na YESU. Pia mjitahidi kuvaa vizuri kwa baadhi ya wanawake ikiwemo namna ya kuziweka nywele vichwani kwa namna inayo mpendeza YESU.
Hadi raha
Amen
Brilliant KAC, you have taken this to another level. God Bless you all
Hamtapungukiwa kitu, mkitupilia mbali hizo drums
Tunakukaribisha kwa msaada zaidi.
Na hawatapungukiwa kitu wakiendelea na aina hiyo ya muziki.... +Drums
Wasabato wengi wakiona Ngoma hukwazika. Bila kujua mapigo ya Ngoma hata kwenye kinanda yamo na tunayatumia Kila siku
Amen
Amina
Amina