Wakazi, One, Zaiid, Nikki Mbishi, Songa, P The MC, Stereo - Amka Mtanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 226

  • @atenionesmo_A10
    @atenionesmo_A10 4 місяці тому +9

    song za singa singa zimenileta huku 2024 walete🎉🎉

  • @angelinamponda6330
    @angelinamponda6330 9 років тому +33

    kwa kawaida tamaduni huwa hawakosei bt hiii ngoma ya kitamboooo sna imechelewa wap

  • @johnnakamura6655
    @johnnakamura6655 5 років тому +33

    Mateacher wa rap unayebisha we mchawi✔✔✔🙌🙌🙌

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Рік тому +3

    2023🔥🔥🔥

  • @sulemaniakiri
    @sulemaniakiri 6 років тому +33

    Tanzanian hiphop gets to me all the time, am jaming this in my sportscar and kila mtu ako--- duh.... anani hawa? Love from Kenya

    • @linanana4976
      @linanana4976 4 роки тому

      Jamming on my bicycle. Love from UK

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 9 років тому +51

    TAMADUNI MUZIK timu ya taifa ya RAP

  • @ramadhannassor8288
    @ramadhannassor8288 4 місяці тому +4

    Stereo amefunika humu

  • @micochazchaz6342
    @micochazchaz6342 6 років тому +5

    Bia na kitimoto nyumban ukoko na chai ukishakuwa mkubwa tambua kuwa utoto haufai nawaelewa sana tamaduni mstuangushe Tanzania

  • @frankmbena8416
    @frankmbena8416 8 років тому +16

    hiphop yenu ni zaidi ya tanzania syllabus, keep it up guys

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 5 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @erickkipao7014
    @erickkipao7014 5 місяців тому +2

    maisha siyo kamari ila mali maarifa🔥🔥zaiid

  • @4everngalax
    @4everngalax 9 років тому +3

    mecky kaloka hongera kwa video nzuri. tamadun muZik hamjawahi niangusha kiushairi.

  • @Godlovemmanuel
    @Godlovemmanuel 9 років тому +10

    🔥🔥 🙌 🙌 Video Nzuri #Ujumbe Mzuri Tishaaa Tenaa Sanaa Mazingira Ya Video 🎥🎥🎬

  • @farajinandonde4701
    @farajinandonde4701 6 років тому +6

    Perfect mazee...Mawazo yamefikishea vema, rhymes zmecmama
    UHALISIA

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 років тому +7

    Hip hop 4 life mliua hii ngoma nyie jamaaa tamaduni music live forever

  • @yonasumbi7567
    @yonasumbi7567 4 місяці тому +2

    2024 still with masterpiece

  • @peterchepe5256
    @peterchepe5256 6 років тому +2

    Fanya mke na watoto wafurahi sio unamwanga Mbegu kila chocho na popo wanakudai nimeielewa hii punch

  • @abuumansoural-amrik6317
    @abuumansoural-amrik6317 4 роки тому +1

    Ngoma ilitoka 2015 mwaka wa uchaguzi na ujumbe mwingi umo ndani umeongelea ishu za viongozi,maadili ya uongozi,uzalendo,matatizo mbali mbali yanayowakumba watanzania n.k.Kikubwa ni ile joto ya uchaguzi 2015 ndo imepelekea kutolewa ngoma yenye maudhui hii ila hadi mwaka huu wa uchaguzi tena 2020 mambo ni yale yale,nadhani hii ngoma sasa ingepromotiwa tena

  • @jacksonsaid783
    @jacksonsaid783 9 років тому +3

    tsha sanaa Tamaduni muzik

  • @djmsambamose2665
    @djmsambamose2665 Рік тому +2

    Good focus music I like kutema misitari

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +2

    Ngoma kalii Sanaa 👊👊 👊

  • @onchagwadavis6446
    @onchagwadavis6446 6 років тому +5

    Real African hiphop thumbs up !!

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 років тому +3

    *One the incredible umetisha Sana*

  • @HalfanmundoMundo
    @HalfanmundoMundo 5 місяців тому +3

    Ukonga ma hood, Shasho,Nikki mbish,stereo relin kuna G 5

  • @luciussanga2493
    @luciussanga2493 9 років тому +6

    Ngoma nzuri AMKA MTANZANIA mda ndo huuu

  • @chagaboy6837
    @chagaboy6837 4 роки тому +1

    Nakubali sana hip hop aseee na waoooo pia

  • @mosesabwao2673
    @mosesabwao2673 8 років тому +10

    BIG UP TO THE DIRECTOR OF THIS VIDEO..ITS CLEAR.....

  • @josephmarigi6374
    @josephmarigi6374 Рік тому +1

    One incredible
    Is More than 🔥🔥🔥🔥🔥
    My favorite Rapper in Tz ...from Kenya 👍

  • @BanjoBeattz
    @BanjoBeattz Місяць тому

    Songa singida moja 👊

  • @eliasymwanossa1252
    @eliasymwanossa1252 9 років тому

    HAWA NDY WASANII WANAELIMISHA WATANZANIA KWAMBA TUSIFANYE MAKOSA

  • @gervaskamela9576
    @gervaskamela9576 4 роки тому

    Nikiki kaua,
    Tatzo hipohop hata kama utashikiwa na roho ukarap kwa lugha bado viewers ni kiduchuila ngoma kali sana

  • @josh4793
    @josh4793 8 років тому +7

    ooooooi, much love and respect from chuga kwenu tamaduni muziki, big up sana mazee. Umoja ni nguvu

  • @rajabseif2301
    @rajabseif2301 9 років тому +4

    Hivi ndo vitu ambavyo tunataka sasa tutaenda sawa
    One the incredible na Nikki Mbishi wamekimbiza mbayaaaaa by the way mzigo dhima , umeendana na location
    Tunasubiri video nyengine bado tuna kiu mana mlitutenga mda mrefu
    i appreciate y'all tamaduni music for ever

  • @hamboverse
    @hamboverse 4 роки тому +2

    Bifu la wana limenirudisha apa

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 3 роки тому

    Soga za mzawa one the incredible naona afro umelitrim.....AMKA TANZANIA

  • @29WavesTV
    @29WavesTV 2 місяці тому +2

    MPAKA KESHO HIVI VICHWA VITABAKI KUWA SPECIAL!

  • @scariothagreat
    @scariothagreat 4 роки тому +15

    nani yuko hapa baada ya wakazi kuingilia bifu lwa mawenge na mbishi😁

  • @snakm9329
    @snakm9329 7 років тому +3

    Asante sana - respect from switzerland!!!!!

  • @nobertalex7476
    @nobertalex7476 Рік тому

    oyaaaaaa nikki mbishi aliteleza sana humu duhhhhhhhh!!!!!

  • @wachugypsumtz2061
    @wachugypsumtz2061 5 років тому +1

    Vichwa vya hiphop Tanzania..

  • @ermixgraphics360
    @ermixgraphics360 4 роки тому +4

    Real MC's in Tanzania... Damn!!!

  • @onchagwadavis6446
    @onchagwadavis6446 5 років тому +2

    Mad love biggy and Pac represented. Real hiphop #

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 роки тому

    Ngoma Kari hao ndiyo walimu wa hip hop anaebisha mchawiiiiiiiiiii

  • @micochazchaz6342
    @micochazchaz6342 6 років тому +1

    One the incredible MTU mbay nawaelewa sana sana

  • @kadach5238
    @kadach5238 4 роки тому

    Safi sana kikosi kazi Ngoma Kali sana

  • @mbagatvonline3121
    @mbagatvonline3121 4 роки тому

    Sio tuwe na umoja baada ya kufa good bro stereo

  • @stephanokwezi1029
    @stephanokwezi1029 5 років тому +1

    Daaah bonge la Hiphop vina vikali,ujumbe mzr
    Nice crew

  • @mudyzo7351
    @mudyzo7351 7 років тому

    mmetisha sana #hakuna kama #tamaduni big up #songa #zaiid #nikk mbishi #p kama shown #one wa miujiza #wakazi #stereo nawaelewa mbaya mbaya

  • @dicksonjustinian6428
    @dicksonjustinian6428 9 років тому +2

    mzigo umekaa poa peace kwa tamadun muzik kazi nzuri na video iko poa sana

  • @antusaadelard751
    @antusaadelard751 6 років тому

    Wana mmeuwa sanaaaa P THE MC, ONE a k a MOCO hatari sana mwana stereo pemben mtu mzima HUNJUU ovaaaaaaaaaaaa

  • @khamisbabuba1424
    @khamisbabuba1424 9 років тому +1

    nikki mbishi / hatalii sanaa weka mbali na watto ....

  • @abdallahabdillah8477
    @abdallahabdillah8477 6 років тому

    aaaaaah aaaaaah aise i wish ninge wajua hawa wana mapemaaa. washkaji upeo wanu wakuchanganua mambo ni next level baba

  • @trisstyga8856
    @trisstyga8856 5 років тому

    Nawapeeeeeenda mpaka nachanganyikiwa

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 4 роки тому +2

    Feel like dj primo on the time table on this

  • @lastlingson2322
    @lastlingson2322 7 років тому

    Consciousness ....walegeza sauti na kulamba midomo wapelekeni U.A.E.

  • @kajanja2558
    @kajanja2558 9 років тому

    KAZI NZURIIII ASEEEE TAMADUNIIIII KWA NASFI YA DWASI

  • @elbawazeky7113
    @elbawazeky7113 4 роки тому

    Mara moko haelewani na p the mc, dah stereo kama uliona mbali vile

  • @clemenceolivery9427
    @clemenceolivery9427 8 років тому

    watanzania washindwe wenyewe,,,,km ni somo limeeleweka

  • @qayssalykisra1516
    @qayssalykisra1516 7 років тому +3

    Jamani tunaomba msiloangushe taifa letu kimziki wa hip hop tunawategemea sana naomba msiwe natamaa mkaja mkabanapua

  • @ismaelayoub5196
    @ismaelayoub5196 6 років тому

    oyoooooh Wazee wa HIP HOP PGA kelelele! kma ww ni mdau wa HIP HOP Dadek!!Niite SUMA A.K.A BABU SUMA!!

  • @dreamerboy4956
    @dreamerboy4956 8 років тому +10

    Ooh shit! This beat is #dope

  • @jumaaseugendo8239
    @jumaaseugendo8239 9 років тому +1

    Mnatisha xaana wauni wangu!! HIPO POP kweli ha2iangushi wanatamaduni ama nn ivyooo yaaniii Am outch!!!

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 4 роки тому

    P mawenge na Nikki mbishi "burry the hatchet''
    Naic mrudie hii ngoma, mnaweza kuondoa tofauti #_sawa_baba_Marko?!

  • @nixnovember
    @nixnovember 9 років тому +3

    video kali sana...hongera kwa director!
    #amkaMtanzania

  • @andrewmndeme1846
    @andrewmndeme1846 5 років тому +4

    Damn 2019 stl popping wazee salute

  • @alexemile1620
    @alexemile1620 2 роки тому +2

    Safisana

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 років тому +3

    This boys sound like they were creating an awareness.Theres something educational here

  • @meddyally4416
    @meddyally4416 5 років тому

    Dah!! Ngoma imejaa vichwa tupu, big up tumelewa michano

  • @raymondbashaka5948
    @raymondbashaka5948 6 років тому

    Hii ndio hip hop sasa, big up sana wana

  • @mwalungesso1234
    @mwalungesso1234 5 років тому +13

    2019 nan yupo APA mazee

  • @emmanuelabel2265
    @emmanuelabel2265 9 років тому +1

    na hii ndo kariba ya nymbo za kuskiliza ! nice work wambiro!

  • @nwntz
    @nwntz 9 років тому

    NIMEIPENDA..GUD NAONA MNARUDI KWENYE MAP..........SISTA DU KADATA NA MZUNGU KICHAA!!!

  • @sudeysmfaume5800
    @sudeysmfaume5800 6 років тому

    Stereo & Nick mbishi wameua balaa....

  • @hamzamichael4614
    @hamzamichael4614 8 років тому +1

    Tisha sanaa hii ngoma iko poa aseeee

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 6 років тому

    Nampenda sana oneee.....

  • @ndimbozomboko9373
    @ndimbozomboko9373 6 років тому +17

    Kwa mara ya kwanza nona Nikki mbishi kamfumika one ila nimekosa flow za Nash hapo

  • @alexmkumbo4831
    @alexmkumbo4831 9 років тому +1

    Yeah nikubali style zao wamerap vizr video kali Hip Hop live to day

  • @mwajombe6601
    @mwajombe6601 2 роки тому

    All killed it

  • @stevememax2053
    @stevememax2053 2 роки тому

    Mwanangu hii kali

  • @modestsanga1495
    @modestsanga1495 6 років тому

    Oyooooooooooooooooo wimbo wa taifaaaa

  • @k-lama2120
    @k-lama2120 4 роки тому +1

    The best dope rap conscious flows...tamaduni to the word

  • @Rillkalmcz
    @Rillkalmcz 5 років тому +1

    Tamaduni Muzik 🔥 🔥

  • @yassir2632
    @yassir2632 4 роки тому

    Nani mwengine amekubali Songa

  • @pendomsaky1299
    @pendomsaky1299 9 років тому +1

    Wakazi spit 16 bars

  • @jrdane912
    @jrdane912 9 років тому +5

    They go hard as hell lol

  • @georgedonald5363
    @georgedonald5363 9 років тому

    kazi nzuri sana brother Mecky. Big up.

  • @mamalange2277
    @mamalange2277 9 років тому +1

    Uno killed it!!!!

  • @misshiphopyesaya940
    @misshiphopyesaya940 6 років тому

    Nyimbo kali nawakubali wote

  • @mathiasgau9493
    @mathiasgau9493 3 роки тому

    P the mcee✊🏼

  • @januarymasao9331
    @januarymasao9331 6 років тому

    Nimeikubal wazee timam sana iligoma

  • @hashhash8998
    @hashhash8998 3 роки тому

    Iia love you!

  • @abdullahhamed2197
    @abdullahhamed2197 4 роки тому

    S o n g a naitwa SONGA 🔑

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 6 років тому

    Nawaelewa sana hawa watu

  • @micochazchaz6342
    @micochazchaz6342 6 років тому +2

    Tamadun music noma bila hiyo hapa tz hakun hip hop

  • @maulidymkanilaamri4861
    @maulidymkanilaamri4861 5 років тому

    Mafundi watupu nakubari sana tamadun

  • @hamisally7523
    @hamisally7523 7 років тому

    hip hop 4life big up mazee

  • @arafatinfo1681
    @arafatinfo1681 4 роки тому +1

    Nani karudi tena 2020 tujuane

  • @alexmwambona2658
    @alexmwambona2658 3 роки тому

    Always these ppl perform the wonderful

  • @castowamitoso5125
    @castowamitoso5125 8 років тому

    ase mmetishaa kinoma

  • @bushzerahamusic4762
    @bushzerahamusic4762 2 роки тому

    Naminia wana

  • @kalokosila7057
    @kalokosila7057 9 років тому +1

    this was the shiiit....
    morii sanaa jamaa
    keep making thr real hiphop alive asee
    sema badilisheni mdundo kidogoo