Songa - Umiza Ndonga feat Nikki Mbishi & P the mc

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @OFFICIALMABY
    @OFFICIALMABY Рік тому +4

    Hii ngoma watakuja kusikiliza vizazi vyangu vyote nina historia nayo NAIPENDA SANA 🫡

  • @sonjames6196
    @sonjames6196 6 років тому +41

    upendo mwingi huja pale ulipokufa watakuletea maua wakat huwez hata kuyanusa. SONGA 🎤🎧🎵

  • @ki2maestro24
    @ki2maestro24 8 років тому +16

    wauwaji wanahoji nina roho ngapi/ wakiniua sifi mi' nachojua ninaroho safi.

  • @hilalamour8302
    @hilalamour8302 8 років тому +14

    upendo mwingi huja mtu unapokufa, hukupa maua ..... #songa iko kichwa ni mistari bank..

  • @gideonjulius9782
    @gideonjulius9782 6 років тому +7

    Rap ni mwana sitajuta kuitwa mzazi

  • @Mc_Chabala
    @Mc_Chabala Рік тому

    Mwaka 2090 kizazi hiki hamuwez kujua yaliyo tokea miaka iliyo pita ila mapor yalikuwa meng sana mtu kuwa na I phone 13 au 14 ni tajir najua vitukuu vyangu hamuelew nn namanisha hata hii akaunt ambayo nimetumia kukoment hapa kwa kipindi Cha mwaka 2023 ilikuwa ni kubwa ila pesa ndogo sana. Nilitamani nijue yanayo endelea mwaka huu 2090 lakin sikuona chochote

  • @patrickmgaza9927
    @patrickmgaza9927 6 років тому +7

    mmmmh beat kali mistari mikali yan duuu yan madini hatari

  • @wakienyeji6_836
    @wakienyeji6_836 5 років тому +6

    NIKK MBISH ,SONGA AND P THE MC UR ARE THE BEST HIP HOP RAPPERS

  • @zachariasirigwi1913
    @zachariasirigwi1913 6 років тому +6

    upendo mwingi huja watu wakiona umekufa,,hukupa Maua wakati wanajua huwezi kuyanusa

  • @saidiathumani4677
    @saidiathumani4677 7 років тому +19

    masela akuna kama tamaduni sema nashangaa weusi wanapewa promo mitandaoni

    • @jamesmumba319
      @jamesmumba319 6 років тому +1

      Saidi Athumani hahhahhahhah noumaa Kaka.

    • @najbukassim508
      @najbukassim508 5 років тому +1

      @@jamesmumba319 napenda hip hop kama hivi sana kizazi sana

  • @athumanibella9338
    @athumanibella9338 4 роки тому +2

    Ikowazi hudumisheni hip hop msilete bifu hamtofika mbali Bonge la dude big up songa

  • @erickbwimba2621
    @erickbwimba2621 2 роки тому +4

    Real hip hop✊🏾

  • @JeremiaDimo
    @JeremiaDimo 3 місяці тому

    Daaa songa noma sana

  • @boeihongoa1436
    @boeihongoa1436 4 роки тому +1

    Ndio maana Papa Mafido anasema leteni hela tule tukiwa hai sio mpaka tufe ndio mlete rambirambi.
    💥💥💥 Songa.

  • @youngpoison5379
    @youngpoison5379 5 років тому +4

    Tamaduni ni chuo cha hip hop Duke Tz

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 4 роки тому +1

    Simba mwenye njaa kashavamia Dar es salaam ....noma sana wakush keep on moving forward

  • @FarajaMkumbo-pc3ft
    @FarajaMkumbo-pc3ft Рік тому

    Real hip hop❤❤ noma sana

  • @nassorsuleiman9155
    @nassorsuleiman9155 7 місяців тому

    2024 is still bagging 🎉❤sio mchezooo umiza ndonga baba😅ila songa ana hatarii sanaa 😊❤

  • @emmanuelbrassy4000
    @emmanuelbrassy4000 Рік тому

    Rap ni Mwana sitajuta kuwa mzazi umenena baba

  • @emanuelmgayakushman9503
    @emanuelmgayakushman9503 3 місяці тому

    Ngo kubwa sn uwezo wa juu sn kizazi sn

  • @mosesabwao2673
    @mosesabwao2673 16 днів тому

    naomba hii beat, so good

  • @GodGeorge-vi1em
    @GodGeorge-vi1em Рік тому +1

    Songa umetisha

  • @EzraKatambi-g4b
    @EzraKatambi-g4b 4 місяці тому

    🌹🌹🌹maua yako bro

  • @medameda3920
    @medameda3920 5 років тому +2

    Bro toka tbt sana nakukubali napenda sana vile unaflo toka niaze kumjua songa mwaka 2012 mpaka sasa bro big up sana

  • @novatusrichard9375
    @novatusrichard9375 2 роки тому

    Said ni Mwema ,Ila Mungu Mwema zaidi

  • @jamerude3753
    @jamerude3753 2 роки тому

    Verse ya kwanza umeua mzee baba na umewafunika aasee

  • @salumkseleman1470
    @salumkseleman1470 6 років тому +2

    Wanangu hawa nawakubar sana.......
    Tamaduni ni noumaz jamaa angu

  • @rehemakabojela5109
    @rehemakabojela5109 6 років тому +2

    Nitarefusha mistari na sio kiungo cha mwili, Nabadili nahau mafumbo vitendawili methali pia na semi kwa tungo za kiswahili

  • @dicksonmadembwemadembwe6753

    Umiza ndonga 👊👊👊Wabaya Kazin

  • @pascalmasumbuko3787
    @pascalmasumbuko3787 5 років тому +1

    Saidi ni mwema ila mungu ni mwema zaidi ikifata ninachosema hakika mema utafaidi

  • @jemsimakondo6261
    @jemsimakondo6261 Рік тому

    Nakubali sana mawengeeeee

  • @maridhiamsemo302
    @maridhiamsemo302 5 років тому +2

    Ni kwere baba

  • @swalloonpoint2306
    @swalloonpoint2306 8 років тому +7

    tamaduni mna style fulani hivi amazing never seen before

  • @ThomasKuyokwa-m3d
    @ThomasKuyokwa-m3d Рік тому

    Namkubar mkaka guy nikwer hii ni hip hop

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 років тому +1

    Songa Bana unafikiri saana braza

  • @wakienyeji6_836
    @wakienyeji6_836 5 років тому +2

    brilliant rhymes never happen before in the world more perfect

  • @meditateswiftly4252
    @meditateswiftly4252 4 роки тому +2

    The scorpion sample is fire

  • @tullisangaemanuel2753
    @tullisangaemanuel2753 6 років тому +1

    htaliii saaana wazeya kwasiye wachanaji hawa jmaaaa nyoooko

  • @HussenbjAbdall
    @HussenbjAbdall 11 місяців тому

    Songa umetisha san kaka

  • @CreyMsigwa
    @CreyMsigwa 8 місяців тому

    Kufa sio kazi ila kazi kufufuka juu ya kizazi $0NGA

  • @mtanzaniahalisi6861
    @mtanzaniahalisi6861 8 років тому +2

    songa ni mkali japo nik mbishi unaweza

  • @denisndomba5922
    @denisndomba5922 7 років тому +2

    umetishaa songa

  • @immanuelmoses2819
    @immanuelmoses2819 6 років тому +2

    Said ni mwema ila mungu ni mwema zaid

  • @ahmedfadhil2050
    @ahmedfadhil2050 3 роки тому

    Umiza ndonga👊 uta flow VP mc.....

  • @twamanjatwasini4200
    @twamanjatwasini4200 3 роки тому

    Maisha duni jasili muhuni ndo anaye fika

  • @yvesisimbi7216
    @yvesisimbi7216 Рік тому

    Ma super MC 🔥

  • @fintanchavala2145
    @fintanchavala2145 5 років тому +1

    Saidi ni mwema ila Mungu ni mwema zaidi

  • @japharysety6890
    @japharysety6890 4 роки тому +1

    Rey Tek no Hama

  • @mzairemba6116
    @mzairemba6116 5 місяців тому +1

    2024 🔥🔥

  • @mushiomary7649
    @mushiomary7649 3 роки тому

    Muuni wa fikra

  • @spoilamdudu6391
    @spoilamdudu6391 6 років тому

    simba mwenye njaa kashavamia dar ersalaam salute p the mc

  • @zittotv9972
    @zittotv9972 5 років тому

    Mmmmmmm mnatisha cn wazeee,nitafurahi cn mkifanya ngoma Na Dizasta Vina

  • @alhaji6094
    @alhaji6094 3 роки тому

    Bonge moja la ngoma

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 7 років тому +1

    Mbishi unaflow tamu sanaa

  • @bakarizema7910
    @bakarizema7910 8 років тому +2

    TAMADUNI MUSIK, BEST HIPHOP MCEES, NIKKIMBISHI, SONGA, P THE MC

  • @humphreymwamasage9805
    @humphreymwamasage9805 5 років тому

    kiwa Bom Bronx...utajili husio thaminiwa

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 6 років тому +1

    Songaaaa

  • @barakamichael4621
    @barakamichael4621 7 років тому +1

    nomaaaaaah!!! sana

  • @youngdira1584
    @youngdira1584 4 роки тому

    Nyimbo kali sana..i once see that lyrics about dreadful love on hamisa instagram page

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 7 років тому +1

    Nyc flows on nyc beat!!

  • @bakalybakalymambo6443
    @bakalybakalymambo6443 6 років тому

    dahhh love xana tamadun the bext ever

  • @joeljoseph785
    @joeljoseph785 4 роки тому

    #Fireee

  • @justinesanga8809
    @justinesanga8809 4 роки тому

    Mmmmmmmh this track it bust my earphone....

  • @BarakaAlly-kn5se
    @BarakaAlly-kn5se Рік тому

    Baba Malcom Nikki mbishi

  • @movahussein1532
    @movahussein1532 7 років тому +1

    Mnajua xana

  • @tasilogreyson3221
    @tasilogreyson3221 6 років тому

    kama akili ni nywele salun zingekulipa maisha duni jasiri wa kubun ndo anaefika

  • @juliusmwakyambo6299
    @juliusmwakyambo6299 6 років тому

    siyo unakurupuka na fasihi.simba mwenye njaa kavamia dareslaam

  • @saleh9997
    @saleh9997 2 роки тому

    Nyimbo nzuri sana 2016-2022

  • @godfreijoachim1754
    @godfreijoachim1754 6 років тому

    Nitarefuxha mixtari na xio kiongo cha mwili

  • @greysonsindini5489
    @greysonsindini5489 4 роки тому +1

    Niki anaenda na biti ila haeleweki kitu anachoimba

    • @ham_ambuka
      @ham_ambuka Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @andrew-kitwanambogger8242
    @andrew-kitwanambogger8242 6 років тому +1

    wauwaji wanahoji nina roho ngapi??? wakiniuwa sifi MI NACHOJUA NINA ROHO SAFI...

  • @solo9396
    @solo9396 6 років тому

    nOmA Sana💥💥💥

  • @silentmaxbln7227
    @silentmaxbln7227 8 років тому +1

    TAMADUNI MUSIK NICE WORK MA NIGGA

  • @fahmsaidi1010
    @fahmsaidi1010 5 років тому

    Mistar inayoishi

  • @petrolrafael3924
    @petrolrafael3924 Рік тому

    Vip

  • @bobgichiri9585
    @bobgichiri9585 2 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vivancembano1549
    @vivancembano1549 7 років тому +1

    mnatisha tamaduni

  • @jacksonjoachim7238
    @jacksonjoachim7238 7 років тому +1

    BONGE 1 LA JOINT.

    • @chafu-0298
      @chafu-0298 3 роки тому

      Nalivutia ganiaa apaaaa🤣🤣

  • @amoskyegeko8446
    @amoskyegeko8446 6 років тому +2

    Much respect

  • @raheemjuma4901
    @raheemjuma4901 7 років тому +2

    Real dude

  • @kangelejanvier2951
    @kangelejanvier2951 4 роки тому

    my favorite

  • @silentmaxbln7227
    @silentmaxbln7227 8 років тому +1

    Alles Gute

  • @GracePhilipo-x4f
    @GracePhilipo-x4f 10 місяців тому

  • @elienezajoeli6383
    @elienezajoeli6383 6 років тому

    Tamadumi muziki

  • @roseney5779
    @roseney5779 3 роки тому

    💥💥💥

  • @kefasonmahenga2917
    @kefasonmahenga2917 4 роки тому

    Songa

    • @gerrarddanken5168
      @gerrarddanken5168 4 роки тому

      Kama akili ni nywele saloon zingekulipa maisha duni jasili wa kubun nd anae fika mamaamina madin hayo......+Dragon the business Man

    • @gerrarddanken5168
      @gerrarddanken5168 4 роки тому

      P the mc mkali xn maan mistar migunu huwez shika lais Ka hao wengn

  • @LuckyOkumu
    @LuckyOkumu 7 років тому

    #realhiphop

  • @yesfeisal
    @yesfeisal 4 роки тому

    2020

  • @raheemjuma4901
    @raheemjuma4901 7 років тому +1

    Rill shit

  • @rizyrogastian6639
    @rizyrogastian6639 8 років тому +2

    nikk mbish

  • @kush_kidy97
    @kush_kidy97 4 роки тому +1

    Said ni mwema ila mungu ni mwema zaid

  • @ramadhaniali1102
    @ramadhaniali1102 6 років тому +1

    Songaaaaaaa

  • @godfreijoachim1754
    @godfreijoachim1754 6 років тому

    Nitarefuxha mixtari na xio kiongo cha mwili

  • @bakarizema7910
    @bakarizema7910 8 років тому +5

    TAMADUNI MUSIK, BEST HIPHOP MCEES, NIKKIMBISHI, SONGA, P THE MC

  • @chengulatz3069
    @chengulatz3069 4 роки тому

    Songaaa