UTATA WA UNABII WA SHEIKH HAMZA ISSA (NABII ILIYASA-ELIYA) KIBIBLIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 797

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 2 роки тому +1

    Mankemwa uko vizuri kwa maswali yenye elimu.ubarikiwe.

  • @keipheruz1447
    @keipheruz1447 5 років тому +3

    hamza uko juu sana una kitu moyoni mungu akubariki

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      Kei Pheruz ahsante kwa maoni yako kwamba Hamza yuko juu. Je, yuko juu kwa sababu anapingana na Biblia?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 роки тому

      @@BAYYINATDMTV 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @yujinco.limited95
    @yujinco.limited95 2 роки тому +1

    Hamza is quite an important personalities in theological world. He has a brain and understanding. I salute him.

  • @MWAMALUMBILI
    @MWAMALUMBILI 3 роки тому +2

    Huu ni mjadala wenye manufaa sana. Asanteni sana.

  • @husseinmbega4227
    @husseinmbega4227 2 роки тому +1

    hongereni mnaeleweka

  • @jfineisaac6219
    @jfineisaac6219 5 років тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu hata sisi tulitoka huko lakini sasa tuko kwa YESU kristo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      Jfine Isaac ubarikiwe kwa kuchagua njia ya uhakika

  • @davcemanga753
    @davcemanga753 4 роки тому +1

    Nachokijua apo mungu wetu ni mmja Hamza anataka kuondoa ule ubaguzi mnaouleta waislam na wakrusto huenda mungu amekusudia hayo ss wote niwababa mmja tunavuta pumz ya baba mmja ila Hamza kashawaikusema yesu ndie mkuuu wa ulimwengu ila tu anawaogopa waislam wenzie

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 роки тому

    Yesu akukufa wara akukufuriwa amemuririya mungu amuokowe nakifo natarudi duniyani kuwakana kama yeye siyo mungu na itafika muda wake atakufa

  • @shabanimbui6064
    @shabanimbui6064 6 років тому +4

    3. Ali `Imran (The Family of 'Imran)
    Ayah No. : 85
    وَمَن يَبۡتَغِ غَيۡرَ ٱلۡإِسۡلَـٰمِ دِينًا فَلَن يُقۡبَلَ مِنۡهُ وَهُوَ فِى ٱلۡأَخِرَةِ مِنَ ٱلۡخَـٰسِرِينَ ۝
    85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

  • @ayubu390
    @ayubu390 Рік тому

    Mwailimu anajaribu kuakusanya waislamu na wakristo kurudi kwenye nyumba moja

  • @deodatusmagagura519
    @deodatusmagagura519 4 роки тому

    Nampenda shekhe Amza kwakumbali YESU Kristo kuwa ni njia pekee ya kuuona ufalme wa Mungu

    • @halimasaidy6087
      @halimasaidy6087 3 роки тому

      We hujui kuwa yesu ni mnyenyekevu ndio maana

  • @clausmalembeka5948
    @clausmalembeka5948 5 років тому +3

    Wapenzi,msiiamini kila roho,bali zijaribuni hizo roho,kwamba zimetokana na Mungu kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 1Yohana4:1

  • @rashidyahya99
    @rashidyahya99 4 роки тому +1

    Ujajipanga vzr Hamza! Lengo lako haliwezi kutimia, kweny uislam unaotaka kupotosha haupo wala kwa wakristo, jipange apo inaonekana unaburuzwa! af tena eti nabii

  • @magrethshao9588
    @magrethshao9588 6 років тому +1

    shehe Yesu kristo anakupenda sanaaa mtafute yeye mengine yote mtazidishiwa

  • @joelpeter1815
    @joelpeter1815 6 років тому +3

    Yesu atakuja Mara ya pili mwana wa Mungu kuwanyakua walio wake kwenda nao mbinguni kuishi huko miaka 1000 akiwaacha duniani katika dhiki kuu walio muonea haya kuitangaza injili yake na kuokoka katika kipindi hiki Watu wataokolewa kwa upanga hasa endapo watamkiri yesu, Kisha walio mkataa moja kwa moja yesu kristo atakuja waangamiza kwa jehanum ya milele na milele

    • @fatumaabdallah3940
      @fatumaabdallah3940 6 років тому

      Joel Peter Chengula mambo vipi mzm,ebu soma apo.(MATHAYO.6-9,10)UFALME wa Mungu na uje,na mapenzi yake yatendeke..bado ufalme aujaja na utakapo kuja utatawala dunia na apo dunia itakuwa PARADISO. Soma hii.plz.ZABURI.37-29..METHALI. 2-21,22).UFUNUO. 21-3,4).ZABURI.37,10,11)ILA TAMBUA KUWA WATAKAO ENDA KUTAWALA NA YESU MBINGUNI NA DUNIANI NI WALE WALIOCHAGULIA 144,000.(UFUNUO:14-1-5..KUTIA NDANI MITUME WAKE.ILA SISI WENGNE AMBAO NI WAMINIFU TUTAIMILIKI DUNIA. KAMA AYO MANDIKO APO JUU,YAPO MENGI SANA MANDIKO ILA SOMA SANA BIBLIA. KWANI ILO NDO KUSUDI LA MUNGU KUUMBA DUNIA. ISAYA.45-18)MATHAYO.5-5)

  • @lamechologi8319
    @lamechologi8319 3 роки тому +1

    Mbona nabii ako very clear...

  • @jorammarushwa1533
    @jorammarushwa1533 6 років тому +1

    Mungu awabaliki sana watumishi was Mungu Daniel mwankemwa na sheikh hamza issa kubwa zaid no sheikh hamza kumjua yesu kristo nakumkili apo abalikiwe pia katika jina la Yesu aameeen

  • @weabdulabass7931
    @weabdulabass7931 5 років тому +2

    Yesu sio mungu ni nabii wanao muita mungu nimajuha

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 6 років тому +2

    Mdahalo mzuri sana,mmeshindana kwa hoja,fanyeni mdahalo mwingine

  • @allyking324
    @allyking324 6 років тому +5

    Mungu akunusuru hamza wewe si nabii mungu atakuhukum

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683
    @makaramayatibamrmichaelkih3683 6 років тому +3

    Hongera kwa Maelezo mazuri hamza issa

    • @khairulabdi8231
      @khairulabdi8231 5 років тому

      Pumba Tu Hamna Muislaam hapo halafu Wote Mmelaaniwa

  • @clausmalembeka5948
    @clausmalembeka5948 5 років тому +2

    mwinjilist Daniel uko vizuri

  • @clausmalembeka5948
    @clausmalembeka5948 5 років тому +2

    kazi nzuri bwana Daniel

  • @piuskonzo739
    @piuskonzo739 4 роки тому +2

    Daniel hongera mzee baba, unajua natamani kuwa kama wewe

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 5 років тому

    Aliye leta ukristo na uislam ni mwenyezi mungu lazima hilo mkubali

  • @salumajuma7233
    @salumajuma7233 4 роки тому

    Uwongozo Mkuu hutoka kwamungu atamtuma roomtakatifu kwaufunuo zaid ila kwaakiliyako bnfs utaishia padogo Sana. ONGERA KWAKUONGEZA IMANI ZAID
    amtafutae mungu kwadhat hatoachwa

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 6 років тому

    Uislam na Ukristo ni vitu viwili tofauti kwakua kinachokubarika katika ukristo uislam unapinga....
    Yesu Mungu.
    Uislam unasema Yesu sio Mungu.
    Yesu mwana wa Mungu..
    Uislam unasema Yesu sio mwana wa Mungu..
    Yesu alikufa .
    Uislam unasema Yesu hakufa ....
    Ivyo hatuwezi kua sawa mpaka kiyama

  • @MbogoSouljah
    @MbogoSouljah Рік тому

    Daniel kuwa mpole kama Yesu Kristo, huyu Hamza ni mkristo ❤

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 років тому

    Ma sha Allah Sheikh Hamza. Bado hujapotea ilimradi bado uko na shahada. ma sha Allah.. na In sha Allah. Allah Atakupa ufunuo ufuate njia ya haki.

  • @joshuanyamweru8410
    @joshuanyamweru8410 2 роки тому

    Hongelen

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 6 років тому +3

    Ahaa, mwalimu hauko straight ktk kuuliza Maswali, unatoa maelezo mengi mno halafu unarudia sana sana

    • @taitusbangu8909
      @taitusbangu8909 4 роки тому

      Muuliza maswali anaboa mpaka anaonesha kusudi LA kutokujua

    • @taitusbangu8909
      @taitusbangu8909 4 роки тому

      Muuliza maswali anaboa mpaka anaonesha kusudi LA kutokujua

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683
    @makaramayatibamrmichaelkih3683 6 років тому +3

    Hongera sana Hamza

  • @godwinmbwambo3316
    @godwinmbwambo3316 2 роки тому

    Hàmza hajasema yeye ni Mkristo. Yeye ni Muislamu anayemwamini Yesu!

  • @Moteswa
    @Moteswa 6 років тому

    Mwinjilisti Danny nimebarikiwa na mazungumzo yenu. Nmekuwa namfuatilia sana Ustaadhi Hamza na mimi pia nilikuwa na Maswali mengi kama yako. Umefanya vizuri kumuuliza. Nadhani mngeongeza na topic nyingine nahisi atafunguka.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  6 років тому

      Amen Aman Boma

    • @Moteswa
      @Moteswa 6 років тому

      Nimefarijika pia kujua kuna wapendwa Mungu amewapa ufahamu wa Hali juu wa Dini zinginge. Chochea Hiyo karama uliyonayo si kila mtu anaweza kuifanya kwenye mwili wa Kristo. Be blessed.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  6 років тому

      Amen

    • @morrisevaristerbatulaine1933
      @morrisevaristerbatulaine1933 Рік тому +1

      @@BAYYINATDMTV Muulize swali hivi kwamba ,kama Biblia imekwisha taja hayo yote,je hiyo Quran inatoka wapi? Na Kwa Nini inataja au inazungumzia habari ambazo tayari Biblia imezungumzia ?

    • @morrisevaristerbatulaine1933
      @morrisevaristerbatulaine1933 Рік тому

      @@BAYYINATDMTVLakini pia Yesu ni Nabii Wa kwaza nawa mwisho,inakuaje Mtume Muhammad awe Wa mwisho na kwanza

  • @noelkalaza4460
    @noelkalaza4460 6 років тому +2

    Safi sana mtumishi Daniel, mngu akuzidishie maisha marefu.

  • @rashidkipa2247
    @rashidkipa2247 6 років тому +2

    Hamza muogope mungu kwa thamani ndogo ya dunia kwa hasara kubwa utakayo ipata ahra

  • @martinbajora2198
    @martinbajora2198 3 роки тому

    Mkate Yesu aliowaachia mitume ambao waliuawa. Mapokeo papa hakupewa mamlaka ya mitume, kwa hiyo jambo hilo ni feki Yesu mpaka leo anatuma watumishi wake ambao kwa ajili ya hayo mapokeo watu wengi wanawakataa akiwemo na Iliyaasi

  • @chaggamedia8567
    @chaggamedia8567 5 років тому

    We hamza siyo muislam

  • @pjm1972
    @pjm1972 5 років тому +2

    Waislamu wengi siku hizi wamegundua kwamba "Muhammad kasema Isaa ambaye ni Yesu Kristo ni Yeye Mwokozi wa Ulimwengu aliekufa na kufufuka", sasa wanashindwa kumfuata sawasawa na kuachana na uislamu. Hii ni hali ya kuchanganikiwa. Inaonekana kumbe Muhammad amewaomba watu kumfuata Yesu Kristo kama Neno la Mungu na Neno la Mungu. Waislamu shikeni uamzi, achana na kujichanganya, acheni mambo yote mfuateni Yesu Kristo pekee yake

    • @ilyaaswambi1622
      @ilyaaswambi1622 2 роки тому

      Ufaham wako ni mdogo, wote hao ni mitume, yesu alimtabiria Mohammad kuja, tatizo lenu mkumtukuza mtu kuwa mungu, sote njia yetu moja

  • @mwalimumhunzi6694
    @mwalimumhunzi6694 6 років тому

    KWeli anaonekana kama Muislamu but ametawaliwa na maradhi ya Unafiki ambayo ni maradhi hatari saana. ALLAH atulinde na Unafiki .

  • @labankalumiye4117
    @labankalumiye4117 2 роки тому

    Wafuasi wa kiristo wanaakili sana

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 6 років тому

    Waislamu wanamuabudu mpinga Kristo bila kujijua, tubuni na mumfwate ili mpate kuokolewa maana bila kumkiri Yesu kristo kua bwana na mwokozi wako, wewe hauna uzima,
    Na kama unaendelea na chapa ya mnyama ya kutangaza HAKUNA MUNGU ILA ALLAH we endelea mwisho wako MOTONI

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 5 років тому +1

    Big Up Daniel

  • @marcbanyankirubusa135
    @marcbanyankirubusa135 3 роки тому +4

    Mwakemwa, tafadali muulize swali hii, kama alisema bibliya na koroani ni kitu kimoja,kwa mfano Yesu wali muuliza kuna Muke aliolewa na wanaume Saba je wakati wa ufufuko atakuwa wanani? Yesu akajibu katika ufufuko haatakuwa kuolewa na kuoa, tutakuwa kama Malaika ,lakini katika kitabu kinatwa laha za peponi muhamadi kasema waislamu wataowa wake sabini nambili tena Muke mumoja atamuoa myaka nane,tena kwasabu Siku moja kwa mwenyezi Mungu nikama mwaka ,ukiesabia myaka wataowa ni myaka kama malioni na mamalioni, , ukiwa unahakili wislamu niushetani tupu.hakuna kitu kizuli ndani ya wislamu Na huu anajiita nabii eliyasa ni muongo anataka kuwapoteza Watu Wengi ni mufumo washetani kuwapotosha Watu.

  • @ruthmuthoni5243
    @ruthmuthoni5243 6 років тому +3

    jamani huyu ameona mwangaza Mungu hana upedeleo waislam wengi wameanza kufunguliwa yesu anawatafuta kodoo waliopote yesu anapenda wote

  • @sumaiyaibrahim429
    @sumaiyaibrahim429 6 років тому +7

    Hakika quran imeremshwa kamili haijapungua hata herufi moja na quran ni maneno ya Mwenyezi mungu aliomwambia mtume muhammad s.a.w

  • @thepowerofchristministry1918
    @thepowerofchristministry1918 4 роки тому +1

    Yesu alisema ishara hizi zitafuatana na hao waaminio,watatoa pepo,wataponya wagonjwa

  • @abunibigira8447
    @abunibigira8447 5 років тому

    Hivi kweli Hamza kama uko muislam wa ukweli huwezi kupoteza watu na kuilimisha watu hali ya kuwa huna ilimu ya dini. Na kama utazidi kupoteza watu siku unazo bakiza za kuishi sio nyingi duniani. Utakwenda ukutane na Allah ili ukajibu maswali yote . Rejeya kwa Allah na utubiye madhambi yako na kama weye ni mkristo basi soma vizuri dini ya kiislam ili uwe muislam mzuri na Allah atakusamehe in sha Allah.

  • @molegend2672
    @molegend2672 6 років тому +1

    this is the business munapotosha dini zote atuwaelewi

  • @mahmoodnassir8937
    @mahmoodnassir8937 6 років тому +3

    inna lillah wainna ilayih raajghun haya yote yashazungumzwa katika qur -ani (itakapofika zama za mwisho (akhiir zaman) watajitokeza watu kudai utume Bali hayo yalishaelezwa ndani ya qur -ani kua Nabii Muhammad ndio mtume wa mwisho .naomba waislam Tue makini na watu kama hawa

    • @myself4128
      @myself4128 6 років тому

      Kama mohammad ni nabii wa mwisho au mtume wa mwisho sasa Yesu kwa nini atakuja tena duniani??? Na akirudi atakuwa ni nabii au Mcheza mpira sababu waislamu mmeongopewa sana!!!muhammad hakuwa nabii sababu nabii wa Mungu asingekufa kwa sumu au kurogwa

    • @yassirmohamed7478
      @yassirmohamed7478 4 роки тому

      Inna lillahi wainn ilaihi raajiun bonge la kafri hili nalo dah hyu si muislam anatfta kula tu yey pamoja n njaaa zake ila Allah atmuhukmu

    • @jacklinennko8517
      @jacklinennko8517 4 роки тому

      Pasta hutulii ??? Mbona ye anakupa muda wa kukusikiliza

    • @jacklinennko8517
      @jacklinennko8517 4 роки тому

      Umepanic Danieli

    • @jacklinennko8517
      @jacklinennko8517 4 роки тому

      Tulia

  • @allyjuma8925
    @allyjuma8925 4 роки тому

    Mmoja anasema YESU ni MUNGU ni hatari kubwa, na mwingine anasema yeye ni NABII ni baraha kubwa sana kwahiyo wote hao HAWAJUI KITI

  • @legrandmsangi9789
    @legrandmsangi9789 5 років тому

    Nyote mmepotoka.. Mtumishi unasema bibilia ni kitabu kilichoanz kabla ya quran kushushw. Mungu haijui bible,, msimsingizie,, yy aliteremsha taurat, zabur na injili na quran. Bible ni kitabu kinachopingan sana hakiwez kuw cha Mungu. Hamza mpuuzi tuu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      Le Grand hapo ndiyo mwisho wako wa kuhoji?

    • @legrandmsangi9789
      @legrandmsangi9789 5 років тому

      @@BAYYINATDMTV mchungaji unatak tuhojiane?? Kuhusu hizi dini mbili au kuhusu vitabu viwili??

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      @@legrandmsangi9789 kama utakuwa tayari tuhojiane wewe sema iwe lini na wapi lakini kwa sharti kwamba ni lazima mahojiano hayo yarekodiwe video. Uko tayari?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      @@legrandmsangi9789 kuhusu hoja yako iwe ya kitabu au dini. Je, uko tayari?

    • @legrandmsangi9789
      @legrandmsangi9789 5 років тому

      Mtumishi ww naamin unaongoza kundi kubw la waumin na lengo ni kuwawek ktk mstar au kuwadumisha ktk mstar. Kuna vitu umevizungumzia ktk quran 1. Umesema suratul ahzaab ilikuw na aya kadhaa lkn zikapunguzw,,
      2. Kuna sura ilikuwepo lkn ss hvi havipo. Mm natak nikuelimishe hpa kw sabab ww qurab huijui na Mwenyez Mungu ktk quran anasema kupitia surat banii israel aya nambr 36.. Inasema mtu asijitie uhodari kw kitu chochote asichokuw na ujuzi nacho. Naamin kw imani yko huamin quran sasa sis tunao imani na kuyaamin yaliyomo tunakuony. Quran haina ukakasi kam ulivyosema ww. 2:2 hakika hiki ni kitabu kisichokuw na shaka ndani yke na ni muongozo kw wamchao Mwenyez Mungu.
      6:92 quran mwenyez Mungu anasema hiki ni kitabu kilichobarikiw chenye kuhakikisha yaliyotangulia. Mwenyez Mungu ktk quran anasema dhalimu mkubwa ni yule anaemzulia yy uongo. Kw hvo usimzulie uongo kupitia kitabu chake. Alishasema atawapa ishara juu ya dini yke na kitabu chake lkn bdo watu watapinga. Na ishara hzo uzur hta tanzania zimetokea... Mm nimeshuhudia watoto wdgo kabsa wanne ktk umri wa miak minne tu anaijua quran yote kichwan kw uwezo wa Mungu. Lkn hutokuta Mungu atoe uwezo kw mtto mdg aishike bibilia yote. Na hii ni waz si kitabu chake. Umeitakasa bibilia kuw iko safe wakat watu tunaisoma na tunaona maandiko mengi tu yakipingana pingana. Ukakasi unakuj hpa na kuhoji je neno la Mungu linawez kupingana au kuw na makosa?? Ww fanya yale unayoposa kufany kam kiongozi. Hamza issa na yy ni dhalimu tu kw sababu tunazijua habar zake na aliemtuma. Hivo tafakar kam kiongozi kabla ya kutoa ujumve kuhusu jambo fulani na uhakikishe una hakika nalo sio kusema tu kw lengo la kudhihaki imani fulani. Unakosea. Jirekebishe

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 років тому +1

    Waislam njoeni kwa yesu uko mliko acheni kuabudu majini jamani waislam uko mliko mmepotea sana ayo majini mnayo yaabudu yanawapokeza bule

    • @adamukibuba3305
      @adamukibuba3305 5 років тому

      Roida tadey Roida tadey ww uje kweny uwislam ach kuabud masanamu

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 років тому

      @@adamukibuba3305 una jipya wewe nyooooo 😏😏😏😏😏😏

    • @adamukibuba3305
      @adamukibuba3305 5 років тому

      Roida tadey Roida tadey yan nyy😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 munachekexh xan hay mchukuen uy mnafiki

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 років тому

      @@adamukibuba3305 Kafiri babako na mamako nyinyi waabudu majini mtapata tabu sana

    • @weabdulabass7931
      @weabdulabass7931 5 років тому

      @@roidatadey8656 hamna dini nyinyi nimakafiri tu huyo yesu Mimi namtaka anidhuru mm km anao uwezo hana chiochote nyinyi munaabudu masanamu makafiri nyie

  • @mohamedmsangi6939
    @mohamedmsangi6939 6 років тому +1

    mtumishi naomba ufanye nae tena mdahalo mwngne

  • @kevinmgawe4681
    @kevinmgawe4681 6 років тому +1

    ubarikiwe mtumishi daniel

  • @neemambisse7041
    @neemambisse7041 6 років тому

    Wew pastor ungetulia tu kwanza umuache Mungu afanye kazi yake.....usichanganye mambo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  6 років тому

      Neema sijakuelewa una maanisha nini kwamba nimuache Mungu afanye kazi yake. Fafanua ili nikujibu

  • @kassimmgwami
    @kassimmgwami 4 роки тому

    Yesu hakua na dini inayoitwa ukristo.

  • @RajabKAMIS
    @RajabKAMIS 6 років тому

    Watu tuwe tukikubali kujadili tunayoyaamini pamoja na wengine wasioamini kama tunavo. Imani nzuri na ya dhati inajieleza yenyewe kwa ufahamu. Hapana kwa ushabiki tu.
    Nimependa hawa watu wawili kukaa pamoja na kujadili imani zao

  • @musajacob3362
    @musajacob3362 4 роки тому +1

    Dan kwan huyo akiwa muislam na anasema habari inakuhusu Nini,,,,,,au umetumwa siumwache aendelee

  • @seifsaid8720
    @seifsaid8720 5 років тому

    Yesu sio mungu wala mwana wa mungu

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      seif said YESU NI MUNGU KWA WANAOMJUA MUNGU

    • @kassimmgwami
      @kassimmgwami 4 роки тому

      Si kila Mkristo anayeamini kuwa Yesu ni Mungu, hiyo ni imani ya dhehebu lako tu, wewe Hamza unapoteza muda tu, huyo jamaa hajui kitu.

  • @mamagift195
    @mamagift195 5 років тому

    Y
    Jamani Hakuna uhusuano wowote kati ya mwislamu na mkristo acheni mabishano Yesu ndie mwanzo na mwisho hapo Hakuna kipingamizi

  • @martinmsacky2069
    @martinmsacky2069 5 років тому +1

    Yesu hawezi kuwa Issa na hakuna huusiano wowote waislam wanalazimisha kuwafananisha kwa kumpa nafasi Issa Ila ukweli ni kwamba ata Mungu wa wakristo na waislam pia hawafanani .. Biblia nikitabu kilichokamilika ( kitakatifu)

  • @joelpeter1815
    @joelpeter1815 6 років тому +1

    Nabii Eliya hakuoa bana wewe Hamza umeoa. Vile vile yesu mwana wa Mungu hakuoa, Mungu pia hajawahi uoa.

  • @alicexuma1143
    @alicexuma1143 2 роки тому

    Wanao sema Yesu sio Mungu kuna siku watamkuta

  • @ghanimahilal7275
    @ghanimahilal7275 2 роки тому

    Duh hapa mmeniacha hoi malaika jibril ndio roho mtakatifu na ndio huchukua ujumbe kutoka Allah kuwapelekea wajumbe wake yaani mitume iliopo naile iliopita! Huyo ndio roho mtakatifu!

  • @tznewsblog13
    @tznewsblog13 5 років тому +1

    Sakrament hawezi kukupeleka mbinguni wewe Imani yako tu

  • @hadijafelis2626
    @hadijafelis2626 6 років тому +1

    wewe mchungaji mwenye top authority ni mungu pekee, yesu mwenyewe alishasema sio yeye wala malaika aijuae siku ya mwisho isipokua baba wa mbinguni . usituletee ushirikina hapa alaaaa

    • @ramadhanmussa6318
      @ramadhanmussa6318 5 років тому

      Hamza ni mkristo anajifanya anajua siku ya mwisho

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Hadija Felis Mungu amempa YESU hukumu ulimwengu siku ya mwisho

  • @farajaally8681
    @farajaally8681 6 років тому

    Leo hii nimekukamilishien dini yenu,na nimekutimizieni neema zangu,na nimeridhia Uislamu kuwa dini yenu.Hapana nabii baada yangu mm. (mtume Muhammad alizungumza maneno haya ktk Hijjatul wadaagh. Je unayajua haya,na kama unayajua kwa nini wafanya hivo.USITAFUTE UKUBWA KTK ARZI. WAISLAMU... Tumekuelekeza sana bado hutuelewi.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      uislam ni dini ya tahira Muhammad

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому +1

      Goldman Sun, uisilam ndio dini ya haq

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому +1

      Goldman Sun, dini ya utaahira ni kuabudu anayekunya.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      nani tahira kati ya Mimi na Muhammad, alimuingilia kimwil shangaz yak kaburini,akawaambia muwafanye wake zenu siku ndani ya siku tano wakiwa wafu,mzifanye maiti,pili alioa mtoto wa miaka 6(Aisha)yeye akiwa 58,akambaka akiwa 8,mpka Aisha kashindwa kuzaa maisha yak yote cz akiharibiwa kizazi,alijishishia aya aweze kumuoa mke wa mtoto wake zeyd ,aliwafira na kuwabska watumwa wak wa kike kwa kujishushia aya inayomruhusu kufanya huo uchafu,muuaji,muongo (taqiya)hajui litakalompata siku ya mwisho,alirogwa ,biblia inasems kwenye torat(hakuns uchaw juu ya watumish wa Mungu ,)amewaahid mbinguni mtskuta wanawak 40 wenye mixigo (mizigo coz mkawafire )na mtspewa nguvu za kulsla ma wanawak 100 siku moja,mtakula na kulewa bila breki,bado waislam dunia mzima mmemgeuza Mungu,mnamtumia salam kila ibada yenu as if ana sifa ya Mungu kusikia watu wote duniani wakat mmoja,alimnyonya ulimi mtoto kijana wa kiume,Yesu ni neno lake Mungu ,ndiye kwa yeye viliumbwa vyote mpka ww,kuvaa mwil wa binadamu na kujishusha siyo tu kwenda chooni,bali mauti ys aibu ili sisi tupate heshima kwa Mungu kwangu ni furaha ,kwako kejel,coz huyo mwenye hizo sifa hspo juu ndio Muhammad, wewe utakuwaje ?pole ,alah alilia mpka macho yakawa mekunduu,na mguu wake utakanya jehanum ,unafikir hanyi hyo kama analia ,Quran is a book of comedy, usikurupuke

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому

      Goldman Sun, huo wote unaouzungumza ni uongo na huna idea nao na hutaki kutafuta walim kwenda kusoma. Na hilo ndilo tatizo lako.
      Taahira ni ww unaeabudu mtu km ww anafanya kila unalofanya. Ati kwa kua tu kafufua ndio mungu. Basi na musa amepasua bahari na nan kati yetu anaeza hata huyo yesu hakupasua bahari. Na yy tumuite mungu? Amka kila mtume alitenda kwa ueza wa Mungu yale watu wake waliomtaka kufanya ili waweze kumuamini.

  • @ahmadajamal7524
    @ahmadajamal7524 6 років тому +1

    Uyoo nabii mswahili

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 5 років тому +5

    Kila mtu atapiga magoti siku ya kiama na kila ulimi utakila Yesu ni bwana. Kwa Yesu nj raha

    • @jeanmjimmy
      @jeanmjimmy 4 роки тому

      Kweli kabisa. Ndugu Mungu akubariki.

  • @SAM_163
    @SAM_163 6 років тому

    MI NIMEWAELEWA SANA HAWA WATU.DANIEL NA HAMZA WANAUWEZO MKUBWA SANA WA KUJAJI MAMBO.MI NAWAPENDA WOTE NA NAAMINI SIKU MOJA WATAKUWA UPANDE MMOJA.JESU AWABARIKI SANA.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому

      Simon Mgunya, kwa sababu ww ni pofu na ziwi na ndio mana ukasema umewaelewa. Upo kwenye ubishani tuu. Inamaana huko kwenye huo ukafiri wenu mnaamini kwamba kuna manabii watakuja mpaka sasa? Au just umeelewa kiubishani tu? Kaka fumbua macho na masikio yako na utumie akili yako kwa kutafakkar. Sio kila lisemwalo ww umeelewa ni ujinga huo. Pambanua mambo!!!

    • @SAM_163
      @SAM_163 6 років тому

      Your a winner Love Mummy,, tufanye yamekwisha na MUNGU AKUBARIKI!!!!!!

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 років тому

      Simon Mgunya, hakuna anayetaka ushindi hapa hatupo mashindanoni. Tupo ktk kuelekezana yaliyo ya haq na kukatazana ya batwil, hlo ndio lengo kuu

  • @magrethshao9588
    @magrethshao9588 6 років тому

    Yesu Kristo anatupenda na yeye ndiye njia na kwel na uzima mtu haendi kwa baba ila kwanjia ya mwana wake Yesu kristo.Ukristo ni mojawapo ya vigezo kuingia mbinguni

    • @roidatadey8656
      @roidatadey8656 5 років тому

      Ameni

    • @mamagift195
      @mamagift195 5 років тому

      Yesu alisema katika yohana 14:30 nasasa nimewaambia kabla halijatokea kusudi litakapotokea mpate kuamini mm sitasema nanyi maneno mengi tena, kwamaana yuaja mkuu wa ulimwengu huu wala hana kitu wangu

    • @mamagift195
      @mamagift195 5 років тому

      Waislamu nanashaka sana na hiyo imani yenu

    • @mamagift195
      @mamagift195 5 років тому

      Mmesikia waislam kweli kazi mnayo

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 6 років тому

    IPO cku tutamwelewa tu YESU Kristo.

  • @chandekapelewele3277
    @chandekapelewele3277 4 роки тому

    Hatawwpia huelew, Paulo hakua myahudi bali ni mrumi.

  • @makaramayatibamrmichaelkih3683
    @makaramayatibamrmichaelkih3683 6 років тому

    Hapo hujamuelewa hamza issa

  • @sumaiyaibrahim429
    @sumaiyaibrahim429 6 років тому +14

    Yesu sio mungu Bali ni Nabii

    • @magrethshao9588
      @magrethshao9588 6 років тому +2

      Yesu ni Mungu tena ni njia pekee ya kwenda mbinguni.Yesu kristo anakupenda .

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 6 років тому +2

      Ujui kitu ww yesu ni mungu bila yy ufiki mbinguni mungu anajifanya kw vyovyote vile ata musa alisikia sauti ya mungu kutoka kwa mti yesu sio binadamu ni roho takatifu ndio maana mama ake bikira

    • @sumaiyaibrahim429
      @sumaiyaibrahim429 6 років тому +3

      @@financialloan9818 pole yaani wewe ndo bure Kabisa

    • @abdulrahmanmussalonka4935
      @abdulrahmanmussalonka4935 6 років тому +2

      Financial Loan ni kweli kabisa kaka, mungu huyu ana mama, na alitahiliwa lakini pia alikula chakula haitoshi pia alienda chooni akanya, pia ni katika uzao wa adam (ni nwana wa adam) hapa tunaenda sawa.

    • @rubbenjohn6490
      @rubbenjohn6490 5 років тому

      We hata hujui k2 2lia tu

  • @maulidkhalfan7531
    @maulidkhalfan7531 6 років тому

    utapata tabu sana mana uslam haimfati mtufulani bali uislm jnafata muongozo wa kur.an ilio pokelewa na mtume muhammadi kutoka kwa mungu WW MCHUNGAJI HAMZA UTAWAPATA WAKRISTO WANAO MFUATA MUONGOZO WAMTU ILA SIKWAISLAM WANAO FUATA MUONGOZO WAKITABU
    utapata tabu xana mgodoangu ktk elim

    • @adillimassoi2909
      @adillimassoi2909 6 років тому

      Maulid Khalfan kupokea kuran tena ilishushweje na nani kaandika

  • @husseinmbega4227
    @husseinmbega4227 2 роки тому

    nabii eliya umekubalika na wengi mpaka waarabu wamekubali unatisha

  • @valavalafilo507
    @valavalafilo507 6 років тому +1

    sheikh hamza am a christian but i used to like you but now with your habit saying you are prophet elijah! you are truly not normal! you have taken pride way far and you have let the devil deceive you! first go get baptised! repent or change your deed! if you are muslim go back to islam!

    • @ashrafvorogwe8434
      @ashrafvorogwe8434 6 років тому

      achana nae mkvv huyo kichaaaa yuko katika m maslahi zaidi.

    • @ashrafvorogwe8434
      @ashrafvorogwe8434 6 років тому

      kichaa huyo hana akili waongea na kiziwi.

    • @ezekielkabeya831
      @ezekielkabeya831 6 років тому

      AMANI IWE KWENU. NASHUKURU MUNGU KWA JINSI ANAVYOJIHUSISHA NA KILA MTU. NASHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MWALIMU HAMZA, MAANA ANAMPENDA SANA MUNGU WA KWELI NA ANAPENDA WOTE TUMFAHAMU MUNGU WA KWELI. MSIMAMO WAKE HUO ULINIPELEKEA KUCHUNGUZA MAANDIKO YA KORANI NA YA BIBLIA ILI KUPATA JIBU LA MAANDIKO YENYEWE. JIBU LIPO. KITABU KINATAYARISHWA . NIMEKUTA ISA ZAIDI YA MMOJA WAKATI YESU NI MMOJA TU TANGU KITABU CHA MWANZO HADI KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA. SITAKUWA NA MENGI ILA MAANDIKO YENYEWE NDIYO YANAYOONGEA. NILIVYOKUWA NAFIKIRIA MSIMAMO WA MWALIMU HAMZA, NILIONA HAYUPO KWENYE UKRISTO WALA KWENYE UISLAMU. KWA HIYO, NAMKARIBISHA KWENYE UKRISTO, KWA KUIAMINI TU BIBLIA. NDIPO ATAANZISHA MADHEHEBU YA KIISLAMU YALIYOSLIMU KWA YESU WA BIBLIA. NDIVYO INAVYOELEKEZA KORANI TUKUFU, AZ ZUKHRUF 43:61-63

    • @khamissalum9285
      @khamissalum9285 5 років тому

      Uyu.hamza.nikafiri.laanatullhah

  • @dennismataula293
    @dennismataula293 6 років тому +3

    Nimefurahi xana ,kumkuta Daniel na shekh hamza ,

  • @thomasnzioka5601
    @thomasnzioka5601 4 роки тому

    Mnao mpiga Hamza nataka mjue ivi , Elijah (Yohana) alikuja wakamfanyia walivyotaka,pia masihi yesu akaja wakamkataa naye pia.hamna tofauti na hao mafarisayo na wakuu wa sheria

  • @allythabit7723
    @allythabit7723 6 років тому

    Mnatumalizia mb zetu nyinyi mambumbu wawili mmekosa kazi

  • @minaziparasu8748
    @minaziparasu8748 6 років тому

    Huyo hanauwadhifa waushekh ktk uislamu.ilahajielewii .mchukueni namumbatize.hatunaumuhimu nae kwakuchanganya kwake nadinimseto.

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 роки тому

    Hanza linganisha tabiya ya kisasa Ya ukristo na ueslamu ipi dini nzuri. Je, nihiyo ya al-Qaida, al-Shabab, boko haram, Mohammed, ama dini ya amani ya aliyekufiya.

  • @nahishakiyesaid51
    @nahishakiyesaid51 2 роки тому

    Huyo “nabii” ni rofa sana yuko anajifunza kwa pastor halafu anaji ita nabii

  • @saidmzee2554
    @saidmzee2554 2 роки тому

    Hawa wote makafiri wanaendeleza ujinga

  • @denisbasyagile8381
    @denisbasyagile8381 5 років тому

    Mwalim Daniel upo vizuri, ila jitahidi kuwa na subira.jipe nafasi ya kusikiliza mwenzio pia ili awe anamaliza hoja zake.vinginevyo mtiririko unakosekana na kuonekana kama malumbano wakati sio lengo la somo lenu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  5 років тому

      Saws Denis lengo lilikuwa kulinda ili tusitoke nje ya mada

  • @piuskonzo739
    @piuskonzo739 4 роки тому +2

    Teh,teh,teh nikikuckiliza we hamza cna mbavu maana uelewek yaan ni kivuruge, mgeukie yesu kristo maana yeye ni yote katika

  • @twaharico7932
    @twaharico7932 6 років тому

    ondoeni usenge wenu hapo mnamchezea mungu shenzi kabisa laaanatullah...both of u.

    • @jeanmjimmy
      @jeanmjimmy 4 роки тому

      Njaa itakuuwa fanya kazi upate pesa wewe.

  • @thechallangeboystheawadh5195
    @thechallangeboystheawadh5195 6 років тому +6

    Dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

    • @fantsonmpango7742
      @fantsonmpango7742 6 років тому

      The Challenge Boys The Awadhs ,lakini si dini ya kweli. Kuna tafauti ya haki na kweli. Din maana yake ni ni njia na Yesu anasema Mimi ndimi njia ya kweli na uzima hivyo Dini ya kweli ni Kirsto

    • @cupcakesanddounuts6555
      @cupcakesanddounuts6555 6 років тому +1

      The Challenge Boys The Awadhs Jesus came before Muhammad he brought the truth hundreds years before Islam.

    • @stevintitusmkoreaasijaribu6918
      @stevintitusmkoreaasijaribu6918 6 років тому +1

      The Challenge Boys The Awadhs wafuga majini nyie waujua uislamu ww mpumbavu ww

    • @stevintitusmkoreaasijaribu6918
      @stevintitusmkoreaasijaribu6918 6 років тому +1

      The Challenge Boys The Awadhs mchungaj nimsenge nifala

    • @timlex4979
      @timlex4979 6 років тому +1

      The Challenge Boys The Awadhs dini ni yesu

  • @kassimmgwami
    @kassimmgwami 4 роки тому +1

    Wewe Mwankemwa hujui hata biblia, kwani kwenye biblia kuna sehemu Yesu anasema yeye alikua na dini inayoitwa ukristo?

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 6 років тому +2

    Nabii hamza nimekuelewa yesu ndie njia ya kweli upo sahihi

  • @mbularose1525
    @mbularose1525 6 років тому

    Sheikh YESU alisema heri uwe moto au barindi.Wewe huweleweki u moto wala barindi.kama ni uislamu kaa huko,kama ni ukristo enda huko.usiwe fisi utakatika miguu mwishowe

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому

    Huna uislam hamza hapo usha sema nabii Muhammad ndie nabii wamwisho sasa unabii umeupatawapi?

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 6 років тому +7

    Huyu mchungaji lengo lake kubwa ni Hamza awe mkristo

    • @rubbenjohn6490
      @rubbenjohn6490 5 років тому

      Kwa. Hafai

    • @frankanold9803
      @frankanold9803 5 років тому

      @@rubbenjohn6490 wewe ndo umezubaa kweli,mbona Hamza Ni mkristo kabla hata hajakutana na huyo mchungaji

    • @jeanmjimmy
      @jeanmjimmy 4 роки тому

      Tunapenda kuona Isa awe mkristo ili roho yake isiukumiwe. Na were pia upate kuokoka.

  • @Mhubiri_kijana
    @Mhubiri_kijana 6 років тому +1

    Mwankemwa....wewe kiboko sana mwalim

  • @jeremiahandrew1849
    @jeremiahandrew1849 6 років тому +1

    Ukweli mkristo wa kweli habishanii dini ndo maana tunasema ukiongozwa na roho haupo chini ya sheria tena,huyu daniel bado ni mwanadini haongozwi na roho

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  6 років тому

      Jeremiah Andrew wewe unayeongozwa na roho unakubali Muhammad mtume wa Waislamu ana mamlaka mbinguni na duniani Kama Yesu? Nijibu.

  • @khamicsaidichuga1761
    @khamicsaidichuga1761 3 роки тому

    Makafiri wawili mlikutana hakuna mnalo lijua huwezi kuokoka ukiwa hai mbwa nyinyi

  • @timlex4979
    @timlex4979 6 років тому +3

    Kama rejea wataitaka katika kitabu cha kwanza Basi wakubali vyote watakavyo vikuta kwenye kitabu cha kwanza kwasababu ndiyo wanatakiwa kuyajua

  • @farajaally8681
    @farajaally8681 6 років тому

    Ustadh hamza.rudi darasan kasome USIKURUPUKE TU... Kama unatoka usingizini vile