B2k - Mi Nawe ( Official Music Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 489

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  4 місяці тому +133

    Hello habari watu wangu wa nguvu nme waletea kazi nyingine hii inaitwa #Minawe like share comment nawapenda sanaa ❤❤❤

    • @starbea7742
      @starbea7742 4 місяці тому +2

      muda wa kaz

    • @flavoostarbeatboy
      @flavoostarbeatboy 4 місяці тому +1

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @eoopeter
      @eoopeter 4 місяці тому +3

      Fun wako no.1 kutoka 🇰🇪. Nimeukubali

    • @Kelikenya
      @Kelikenya 4 місяці тому +2

      Unajua kaka B2k watching from kisumu kenya
      Representing KISUMU TOWN

    • @Asdan_Tz
      @Asdan_Tz 4 місяці тому

      Southern King 💥💥🔥

  • @Tatujuma-b8l
    @Tatujuma-b8l 4 місяці тому +2

    Hii nyimbo unyama ni.mwingi.sn haki ina touch mpk rohoni❤❤🎉🎉

  • @nasibumontana9379
    @nasibumontana9379 4 місяці тому +6

    Mfalme wetu kabisa huyu nyanda za juu kusin mtu wa watu huyu kipaji sana mauwa yako bro🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NkorerimanaAugustin-vg8so
    @NkorerimanaAugustin-vg8so 4 місяці тому +6

    Umeuwa minaw turuke nao wahunieee ❤❤❤

  • @MarcellySumaye-bv5lh
    @MarcellySumaye-bv5lh 4 місяці тому +8

    Ukitaka kujua hii ngoma kali wew unganisha kwenye blootuth

    • @starbea7742
      @starbea7742 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RemyBoyHunter
    @RemyBoyHunter 4 місяці тому +10

    Nikitu Na jina❤️❤️
    Shabiki wako wakweli apa mm
    Nikiwa ZAMBIA 🇿🇲
    Boy from CONGO 🇨🇩

  • @KelvinKhan-u6r
    @KelvinKhan-u6r 4 місяці тому +13

    Kamamnawakubali B2K gonga like hapa tuendeleekufurahi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @kelvineopati2105
    @kelvineopati2105 4 місяці тому +1

    Waaaah. Waaah. ❤ I feel this song. It is soo sweet. I mean all your songs are unbelievable,. I love them. I don't know why you are still 175k subscribers.. I pray for you. Come to KENYA please. ❤❤❤❤

  • @amergolil-pump6
    @amergolil-pump6 4 місяці тому +9

    Sound yako inanipoza sana bro
    Naomba like zangu kwa mashabiki wa b2k

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 4 місяці тому +4

    Goma la kwenda Muziki mzuri wa kuishi milele kwenye ngoma za masikio ya wasikilizaji 🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉

  • @happyvoicetz
    @happyvoicetz 4 місяці тому +8

    Nzuri, tamu sana , tuondoke kaka❤❤❤

    • @starbea7742
      @starbea7742 4 місяці тому +1

      babeeeeee

    • @kingcolloofficial9344
      @kingcolloofficial9344 4 місяці тому +1

      Kosa langu ni kalii from 🇰🇪 loving th job you guys a doin 🔥

    • @starbea7742
      @starbea7742 4 місяці тому

      voiceeee❤❤❤❤❤❤

  • @benyboytz8772
    @benyboytz8772 4 місяці тому +31

    Tuondoke weweeeeee Starbeat boy mk stand up like hapa

  • @SemedoKokonange
    @SemedoKokonange 4 місяці тому +7

    Uuwimbo wa b2k wa mnyama siuone mimi

  • @godliverdonald1122
    @godliverdonald1122 4 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤❤ by diva G Official kazi tamu had raha full unyamq tu

  • @constablekenyaTV
    @constablekenyaTV 4 місяці тому +2

    Eeeh mwana goma kali...wakenya wenzangu njooni mnipe likes tafadhali

  • @ArahanJames-gc8qv
    @ArahanJames-gc8qv 4 місяці тому +2

    Wimbo mzuri 😊

  • @Manu_mnice
    @Manu_mnice 4 місяці тому +1

    @B2KMnyama .Yaani kila muda kila wakati naishi kuwaambia you are the best B2k . goma ndo hili , Kazi Kali 👌🔥🔥. Kaka unatesa , kaka umeweza💯. keep it up Bro. Baaaas 🙌 kama vipi twende Nalo🫶🔥🔥❤️
    Twende Nalo

  • @becadoksultan8144
    @becadoksultan8144 4 місяці тому +4

    Kinyamwezi kaka, napenda mitindo zako

  • @starbea7742
    @starbea7742 4 місяці тому +4

    nawapendaaaa sanaaa

  • @MariamuMsigala
    @MariamuMsigala 27 днів тому

    ❤huna byaq b2k napenda sana nyimbo zako mi nahisi nishabiki namba Moja wengine wafuate nyuma msanii wetu wanyanda za huu kusin huna bay

  • @ELISHAAGESO
    @ELISHAAGESO 4 місяці тому +3

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤Ati mama mkuwe kanizalia noma

  • @MikidadiRamadhani-p7l
    @MikidadiRamadhani-p7l 4 місяці тому +1

    Upendo wko kwetu kama pua na kama kamasi ila sisi tunakukubali kuliko kawaida yani kama jicho na kiini chake unajua toka unaanza kurekodi sebleni 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿ipo watesema nilichosema japo hatuoni ugumu unaoupta kwenyeee game ila ngoma zinafika kitaa na znapigwa mbayaaaaaaaaaaaaaa

  • @AllyMusic_tz
    @AllyMusic_tz 3 дні тому

    B2k nakukubali kinoma noma kaka unajua ningeomba kalabo nawaw

  • @zuenahassan8882
    @zuenahassan8882 3 місяці тому

    Dogo nakukubali ujachemsha hata song moja..saluut bro i give you big support from254

  • @SundayGeorge-n1e
    @SundayGeorge-n1e 4 місяці тому +1

    Smart endelea nakuombea mziiki wako usikike pande zote za dunia

  • @Alfafute-fp2ez
    @Alfafute-fp2ez 3 місяці тому +2

    Mkb makambako oya tumsapoti b2k😢😢😂❤❤❤❤

  • @Gentanyisenior254
    @Gentanyisenior254 4 місяці тому +2

    Mchunge sana huyu jamaa,,,,upcoming mnyama kenya

  • @CheedPeter
    @CheedPeter 4 місяці тому +2

    Kaka me ninachojua unajua❤🔥

  • @laxmajor
    @laxmajor 4 місяці тому +2

    Mnyam 😍

  • @YoungVoice-bv2uz
    @YoungVoice-bv2uz 4 місяці тому +2

    Ah junior ameua weeh hlo kazi ya level ta zombie

  • @kelvinmatenus4360
    @kelvinmatenus4360 4 місяці тому +1

    walio srma nabii hakubaliki kwao waongo TU kaka umekubalika

  • @antoniokauele3141
    @antoniokauele3141 4 місяці тому +3

    Asant sana!

  • @BronzeMusic-yc8do
    @BronzeMusic-yc8do 4 місяці тому +2

    Simba mtoto bonge kalii saana

  • @YustinaMartin
    @YustinaMartin 4 місяці тому +1

    Unyama kanyimbo kazr ila skua najua unaitwate🔥🔥🔥

  • @flavoostarbeatboy
    @flavoostarbeatboy 4 місяці тому +15

    Mziki mzuri

  • @VictoriaSanke
    @VictoriaSanke 2 місяці тому

    Naupenda huu wimbo yaani umejua kuimba umejua tena❤❤❤

  • @richigaengailo292
    @richigaengailo292 4 місяці тому +2

    Ngoma Kali sana 🎉❤

  • @m-vitalnumbi
    @m-vitalnumbi 4 місяці тому +1

    Nafata toka Congo hii kali 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @YasseenArafat
    @YasseenArafat 4 місяці тому +4

    Pini la kufunga na kufungulia mwaka🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️

  • @VjJONNIE_254
    @VjJONNIE_254 4 місяці тому +2

    Mziki tamu sana 🔥🔥

  • @AgapeMlumbe-y2r
    @AgapeMlumbe-y2r 4 місяці тому +1

    Jmn b2k wajua iii nyimbo nzurii sanaaa😘,,,mbk nimesikiza ml tatu tatu yhn 😍😍 much love mwanguuu🌹🌹

  • @mjsteelboy
    @mjsteelboy 4 місяці тому

    My mentor 🎉🎉🎉🎉🎉🎉💪

  • @SultaniYange-rn1fk
    @SultaniYange-rn1fk 4 місяці тому +1

    Umetubeba kaka ...kazi nzuri mno

  • @vesmile9522
    @vesmile9522 4 місяці тому +1

    hayaaa sasa tumeingia trendiiiiii

  • @DansonRandu
    @DansonRandu 4 місяці тому +1

    super talented king, aky bro nakufagilia sana, yani kila hit unauwa mkaka. Big up man

  • @MichaelAdyan-d4o
    @MichaelAdyan-d4o Місяць тому

    Unajuwa sana, bonge la nyimbo,

  • @LaurentAndrea-h3d
    @LaurentAndrea-h3d 3 місяці тому +1

    Hiiiii ngoma imenikosha sana

  • @abeidnego1150
    @abeidnego1150 4 місяці тому +1

    Hapo umetisha one ❤ from mombasa kenya

  • @marcansayo7110
    @marcansayo7110 4 місяці тому +3

    ILA B2K DAAAAAH 😢 UNAJUA NA UNAJUA TENA 🔥🔥🔥🔥🔥🎶🎵..

  • @RashidMakumba
    @RashidMakumba 4 місяці тому +1

    B2k anapambania Sana mziki wake aisee saf sana

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 4 місяці тому +2

    Wa nyumbani ❤ 1:17

  • @BRANDMNYAQ
    @BRANDMNYAQ 4 місяці тому +1

    Kazi iko poa

  • @sumastinotz5078
    @sumastinotz5078 4 місяці тому +1

    Twende tuipeleke Trending mapema sanaaa.. 💥🎖️🎖️

  • @tariqPaul-v9o
    @tariqPaul-v9o 4 місяці тому +3

    Oyaaaa.... 🎉🎉🎉🎉

  • @ramakadenge-m3k
    @ramakadenge-m3k 4 місяці тому

    Mwamba anaachia Mawe tu big up!

  • @brianchanzu1498
    @brianchanzu1498 4 місяці тому +1

    Napenda kuwa nawe❤❤ mziki mzuri

  • @JasonBalela-y4c
    @JasonBalela-y4c 3 місяці тому

    nakubali sana b2k

  • @hamzaNyasi-vw2de
    @hamzaNyasi-vw2de 4 місяці тому +1

    Kwenye star boy wa makambako

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 4 місяці тому +1

    Hit song ujawah kufelii

  • @shabanmwakyoma1379
    @shabanmwakyoma1379 3 місяці тому +1

    Mnyama ❤

  • @Pshine255
    @Pshine255 4 місяці тому +2

    Maishairi na beat vimepita muda ndo maana nyimbo aijatembea kinamba wewe ni kaka yangu siwezi kukupaka poda❤❤❤ Unajua lakini tafta nyimbo za kwenda kimataifa Acha kuimba nyimbo zetu

    • @vesmile9522
      @vesmile9522 4 місяці тому

      na iko trend au we huon na hii ni siku ya ngap na viuws ni wangapi weka x yenu we dem wako uone kama itafikisha hao viuws

  • @raymusicjailosi-wg7yp
    @raymusicjailosi-wg7yp 4 місяці тому +4

    muwakilish wetuuu mtu wamana kabc

  • @Darlivetv1
    @Darlivetv1 4 місяці тому

    Fundi wa mistari🎉🎉🎉🎉🎉 Sema ndio hivyo tyu ❤❤❤❤❤❤ Hapo2

  • @AngelJustine-h7w
    @AngelJustine-h7w 3 місяці тому

    Daaaaaa ivii broo nataka tutoe rimix ya hiyo ngoma

  • @Hawafaridi
    @Hawafaridi 3 місяці тому

    Unajua kaka nakukubali mnoo Mungu akuongoze zaid

  • @BlackDjack-b1i
    @BlackDjack-b1i 3 місяці тому

    Nakupenda b2k

  • @RoidaKamaghe
    @RoidaKamaghe 4 місяці тому

    Umeua

  • @officialnavynizetz3858
    @officialnavynizetz3858 4 місяці тому +1

    Kaka unaimba sanaaa nakuona mbali sana

  • @Beka.boy.Tanzania
    @Beka.boy.Tanzania 4 місяці тому +3

    broo unajua tena sana koz unaimba merody kali sana nasubili tena corabo yako na vanilla au kiba

  • @mrishomabruk2002
    @mrishomabruk2002 4 місяці тому +1

    Safi Tajiri yangu

  • @ClementMasunga
    @ClementMasunga 4 місяці тому +4

    B2k mnyama 🎉🎉

  • @chiefmin1234
    @chiefmin1234 3 місяці тому

    kazi nzuri b2k

  • @JenifaNassoro
    @JenifaNassoro 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤ nakupenda sana huu wimbo🙏🙏🙏🙏

  • @PatrickWolfo-iy2rr
    @PatrickWolfo-iy2rr 4 місяці тому +1

    nyimbo kali sana

  • @OmbagoBwoyofficial-jm9es
    @OmbagoBwoyofficial-jm9es 4 місяці тому +2

    Ombago bwoy Yuko hapa kwa ajili ya my music mentor

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 4 місяці тому +1

    Wawoooo big up bro we ye roho korosho na kwanini wayakuponda kukurudisha moyo endelea kupambana mimi shabiki yako saana

  • @Kelikenya
    @Kelikenya 4 місяці тому +1

    Kelikenya kaiona muda huu mapemaaaaaaaa unyama sana

  • @omidopatrick9029
    @omidopatrick9029 4 місяці тому

    nilijua tu huwezi niangusha bigup254 unajua

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 4 місяці тому +1

    Jamani umeua sana mkuu

  • @bnbalance_tz4534
    @bnbalance_tz4534 4 місяці тому

    Njombe icon ..........❤❤❤❤

  • @EthanTz01
    @EthanTz01 4 місяці тому +1

    Kwa ngoma hii naanza kuamin njombe Kuna vipaji aisee

  • @MettyBeeTV
    @MettyBeeTV 4 місяці тому

    Moto kama pasi🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @erickgibson951
    @erickgibson951 4 місяці тому +2

    Mnyamaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DaudMwinyi
    @DaudMwinyi 3 місяці тому

    Mungu akupe maisha marefu

  • @MfaumeRoger
    @MfaumeRoger 4 місяці тому +1

    Ngoma kali sanaa🎉🎉🎉

  • @ngonde255
    @ngonde255 4 місяці тому +1

    Noma xana kaka nyimbo Kali sana asee!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @kilambo1
    @kilambo1 4 місяці тому +1

    Mm naimba jaman naombeni support yenu

  • @jeromeseveryn7902
    @jeromeseveryn7902 4 місяці тому +3

    One love wa kunyumba song kalii sanaa one lovee

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 4 місяці тому +5

    Aaah seme leo sijachelewa safali tangu ilikua ndefu sana tangu toka tz 🇹🇿 mpka nimefika Kenya 🇰🇪 sawa nipe like zangu mi nawe b2kmnyama

  • @costantinosamson790
    @costantinosamson790 4 місяці тому +1

    Hongera sana kwa nyimbo kali, video nzuri pia. Big up

  • @barakamarwa1915
    @barakamarwa1915 4 місяці тому

    Bonge Nyimbo safi saana B2k

  • @ThadeiCliff
    @ThadeiCliff 4 місяці тому +1

    Mwanangu wa kunyumba mziki mzuri

  • @DevidGaspa
    @DevidGaspa 4 місяці тому +1

    Anakuwa sana uyu

  • @NickDizzo
    @NickDizzo 4 місяці тому +1

    Iko poah xan kakh endelea kukaza

  • @vikysandboyofficiel
    @vikysandboyofficiel 3 місяці тому

    naitaji sapoti yako Congo m'y boss

  • @vesmile9522
    @vesmile9522 4 місяці тому +1

    na watasemaaa

  • @NelsonMwakaniemba-i4w
    @NelsonMwakaniemba-i4w 4 місяці тому

    ❤❤❤ngoma ya kwenda

  • @Toxycian
    @Toxycian 4 місяці тому +3

    From kenya 😊 waiting ❤

  • @menasmusic9863
    @menasmusic9863 4 місяці тому +1

    kunausayansi umetumika sana so ni fire

  • @boazmwaitenya5503
    @boazmwaitenya5503 4 місяці тому

    Ni ya unyamaaaa