K2ga - Hawataki (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 3 тис.

  • @Victor-ix4ml
    @Victor-ix4ml 4 роки тому +50

    Daaaah jamaaa jiniazzzzz isee nipeni like za K2ga hapa team kibaaa kingsmusicforlife🔥🔥

  • @wanjaramafuru9186
    @wanjaramafuru9186 4 роки тому +102

    Siku zote mtoto aliezaliwa kwenye ufalme, hata yeye pia ni mfalme.
    #Kingsmusicforever
    Kama nawe unamkubali #K2ga
    Acha likes 100+

  • @amrimlundi8400
    @amrimlundi8400 4 роки тому +191

    K2GA, Wewe unaitwa Kareem, uendelee kuwa Kareem kweli, usije ukawafuata wale machoko, walipumbazwa na KISIMI CHA DIVA.
    wazee wote wamepita mle, km ni njia basi hata majani hayawezi kuota mle!..... TEAM KIBA WOTE WAPO KWA AJILI YA KUKUPA SUPPORT ILI UFIKE MBALI MZEE MWENZANGU.
    TEAM GONGENI LIKES HAPO. ZIFIKE 1MIL.

  • @jeccaonline7755
    @jeccaonline7755 4 роки тому +134

    K2g pumbavuuu nyimbo inaisha wakati mi bado natamani kusikiriza utam inaisha Kama ndo inaanza weweeee 😍😍😍😍😍😍 hongera Sana umeuaaaaaaaaaaaa

  • @onlinetv9972
    @onlinetv9972 4 роки тому +27

    oyooooooo kitaaaa kilikua kimenuna sasa nadha watu macho bwiiiii mara masikio eheeee kulikon
    oyaa team kiba tupa like hapa kama jamaaa anabamba kwenu

  • @dannykiba474
    @dannykiba474 4 роки тому +4

    Usiwasikize hao wapuuzi, wanakata matawi na mizizi niya yao ni kuharibu penzi🎶🎶

  • @mimokassim1887
    @mimokassim1887 4 роки тому +42

    All the way from South Africa 🇿🇦 to Tanzania 🇹🇿 just for k2ga Nd king’s music like zenu please

  • @saleheshekiao3657
    @saleheshekiao3657 4 роки тому +171

    Bonge la wimbo .. like nyingi kwa wana dubai

  • @mwanzandaki786
    @mwanzandaki786 4 роки тому +16

    Zimebaki 2.7K views Tuu.. tufikishe 1m kwny hki kichupa tunakwama wapi kings fans? Lets watch this hit again and again

  • @halimasulaimani9085
    @halimasulaimani9085 4 роки тому +473

    Jamani mi sijawahi kupata like kw team KIBA🤴🤴🤴BONGE LA NGOMA SAUTI SASA💃❤❤❤❤

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 4 роки тому +58

    Xaizi anaeamini ni mwendo wa jiwe juu ya jiwe tujuane💣💣💥💥💥

  • @wizkiba2307
    @wizkiba2307 4 роки тому +121

    Kama una amini mchizi wa uk(k2ga)ndio star wa pili baada ya king kiba like na kushare twende sawa kwenye views 1millions by Wizkiba

  • @chidmabawa3278
    @chidmabawa3278 4 роки тому +75

    Hii ngoma Dawa..
    Me kichwa kimepona...Kama unakubal gonga like Apa

  • @Chikkoh
    @Chikkoh 4 роки тому +396

    Naomba like jamani KINGS MUSIC HAPA

  • @adamushabani7524
    @adamushabani7524 4 роки тому +6

    Kings music haijawai feli ipo juu miaka buku jero RESPECT KINGS MUSIC, tunasubili kwa hamu isiyo kifani uzinduzi wa studio ya KINGS MUSIC, jamon like kwa king kiba

  • @ridhiwanmlawa1371
    @ridhiwanmlawa1371 4 роки тому +70

    Valentine imesindikizwa na kijana wetu kutoka kings music K2GA ninoma ufalmeni raha tyu

  • @chrisskibaking3943
    @chrisskibaking3943 4 роки тому +28

    Yaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    Mimi hoiiiiiiiii
    Mziki tumeushika sasa

  • @yunglintz4155
    @yunglintz4155 4 роки тому +109

    Nitafurahi sana nikiona hii ngoma imefikisha 1M 🔥✊🏿🙏🏿

  • @dorahpaulin8012
    @dorahpaulin8012 4 роки тому +37

    K2ga nomaa sana mdogo angu! Mie niko geita now unapigwa mpka magereza na vijijini bush!

  • @fungafungatv448
    @fungafungatv448 4 роки тому +68

    Leo nimekuwa wakwanza weka like hapa tem kiba

  • @kajuthecousin1032
    @kajuthecousin1032 4 роки тому +60

    Team kiba Jaman ndugu ye2... Afike 1 million

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 4 роки тому +35

    Mapenzi shatashata
    Bonge LA ngoma, bonge LA kichupa

  • @twaha1091
    @twaha1091 4 роки тому +395

    Team kiba hatnaga uchoyo na like kabisa.nipen hata 11tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 роки тому +39

    Kama mmegundua Ngoma za Karim 2ga Zinasikilizwa zaidi UA-cam baada ya Kigagula Kutuondolea takataka pale ufalmeni 👑 💪 🔥

  • @dicksonherman1205
    @dicksonherman1205 4 роки тому +63

    Kama unaiona kasi ya 5G ile kiba 2020 twende swawaaa kings music likess

  • @mkijomutv9633
    @mkijomutv9633 4 роки тому +22

    Daaaah aiseee yan hawa kings sasa mtauaaaa hil goma k2ga shoooow, like kwa fujoooo

  • @abdoueloihab2816
    @abdoueloihab2816 4 роки тому +51

    Huyu ndo mwana wam falme ata kuwa mfame kama baba yake. Team kiba nipe likes hapa 😍ye baba

    • @januarymilly9546
      @januarymilly9546 4 роки тому

      Let's continue to view mwanetu afikie 1 million views

  • @thomaskabwali3856
    @thomaskabwali3856 4 роки тому +63

    oyooo gonga like kama unaamin k2ga ndo msanii namba moja ukimtoa kiba

  • @hassansaid9925
    @hassansaid9925 4 роки тому +78

    afu video queen ni high quality Sana huyu,,, hapo ndo utaamini huyu jamaa yupo serious na mziki,,,, Kwan kuna anyebishaaaa!??

    • @hamisimkongo1543
      @hamisimkongo1543 4 роки тому +1

      ni Legend huyu kwenye Video Vixen - Nelly Kamwelu

  • @alejpapsyoh5876
    @alejpapsyoh5876 4 роки тому +5

    Ningekuwa na hela ningefanya cover maana nasonga freshi sana na huu wimbo mashaallah. KEnyan

  • @georgepetermfalme4600
    @georgepetermfalme4600 4 роки тому +71

    Watoto wa king of the world Gonga like zakushato sijawahi kupata 📢📢

  • @ajabukatembo1254
    @ajabukatembo1254 4 роки тому +9

    Hii inafaaa kutumia popote hasa siku kama ya leo .....kings music for life..

  • @saidkibumba1901
    @saidkibumba1901 4 роки тому +12

    Teamkiba wenzangu ngoma mbili za msanii wetu #K2GA kwasasa zimefikisha laki8nakitu,zimepiga hatuwa kubwa tutashindwaje kumalizia mkia mwezi huu tufike 1M,ikiwemo #Omukwano ya #Tommy nayo pia ilituwawe kwenye nafasi nzuri

  • @beautfultanzania2596
    @beautfultanzania2596 4 роки тому +92

    Kings is for Good Music ....💪✊

  • @goshakinmusic6257
    @goshakinmusic6257 4 роки тому +48

    K2ga fundiiiiiiiii ,,,like kama unamkubar jamaaa

  • @sabrahnibuka4387
    @sabrahnibuka4387 4 роки тому +30

    Kwanza nakula kiapo nitaendelea kusaport team Kiba King's music daimaa

    • @dutchbhaya9391
      @dutchbhaya9391 4 роки тому

      King music wrote wanajua

    • @yangascallgoal7764
      @yangascallgoal7764 4 роки тому

      Ngoma kam hii unaweza kuidedicate kwa michepuko yako yooote na.ikaaacept mapenz yako kwao.af haichoshi aseeeeh unaweza ukaiacha ikaplay usik kucha

  • @rinusdaniel489
    @rinusdaniel489 4 роки тому +86

    Melody kaliiii , Kama unakubali gonga like Kama zote

  • @bizzosniper4145
    @bizzosniper4145 4 роки тому +94

    Daah mtoto wa nyoka ni nyoka tuuu haina Ubishi👐👐👐 Ngoma kaliiiii sana menload kaliii safiiii kabisaa

  • @ddmtv3603
    @ddmtv3603 3 роки тому +2

    Wallah so NYc song nimegundua Kings music hamna Mambo meng hamtumii nguv nying na mmebalikiwa talent aisee I really love this song wallah ,,

  • @hassaninkoja284
    @hassaninkoja284 4 роки тому +129

    K2ga wewe ni mtoto Mdogo sasa mbona umefanya balaaa zito hili da Valentin yangu itanyooka 👍👇

  • @loserianchristopher3296
    @loserianchristopher3296 4 роки тому +18

    Hawataki asee nitamuimbia huyu demu wang mpya mpk Ashangae hizi mistari nimetoa wap mchizi wa UK. Nakukubali sana

  • @omayaedward1590
    @omayaedward1590 4 роки тому +7

    🔥🔥🔥hunawahi kosea bishow Wang like kam we teamkiba

  • @zanurathhans6409
    @zanurathhans6409 4 роки тому +18

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥gonga like kama uko youtube

  • @barakaeliya999
    @barakaeliya999 3 роки тому +1

    Kata ya wasani ote ambao.wamejariwa vipaji vya mziki na kupanga mistari freshi Ki2g Mungu kakupenderea daah sokwamba nashabikia ila ukwel ndo huo

  • @munirahassan2220
    @munirahassan2220 4 роки тому +44

    Jamani nimekuwa wa mwisho leo 😩kama nawewe umerudi hii ngoma 2020gonga like twende Sawa #k_2ga 😍😍😍😍

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 4 роки тому +76

    kings Kings Kings Kings Kings
    ✌my val song 🌹🌹🌺

  • @k24kipogo40
    @k24kipogo40 4 роки тому +30

    wameniremove kweny group la k2ga ila siach kuview coz am k2ga funs for really king kiba dam

  • @nathanjaphet873
    @nathanjaphet873 4 роки тому +21

    Uuuwi dogo anakuja juu kuliko hata King mwenyewe K2ga ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 роки тому +43

    Melody Zimeenda Shule🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @johnsemdoe3450
    @johnsemdoe3450 4 роки тому +1

    Kuondoka wale mabwege wawili sijutii,ninge jutia kuondoka kwa k2ga,Tim kiba nipeni lakezangu

  • @msafilsaleheukvzr2626
    @msafilsaleheukvzr2626 4 роки тому +145

    Hawataki nimeirudia mara mia yani jaman kings music tujuane kwenye like hapa

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 4 роки тому +9

    Ngoma Kali Sana , K2ga huu ndio aina ya mziki unaotakiwa kufanya zile zouk achana nazo

    • @KhaleedBalala
      @KhaleedBalala 4 роки тому

      Kelvin Emerson Steven Yes Umeongea Kikubwa Sana Mzee Anatakiwa Aimbe rnb

  • @hamzamatanza8160
    @hamzamatanza8160 4 роки тому +2

    Ngoma kalii sijawai fikiria iii kitu umetisha...good mu

  • @priscaanthony1067
    @priscaanthony1067 4 роки тому +15

    Weeeeeeeee mchizi wa uk🤗🤗🤗

  • @sniperman5721
    @sniperman5721 4 роки тому +13

    Hawataki valentine niwenaye
    Fanya kulike kama umeielewa hiyo ngoma @k2ga saluti bro upo vizuri

  • @paulmichael4394
    @paulmichael4394 4 роки тому +2

    Ngoma Kali sana kulizote nizo wahi kusikia hii namba 1

  • @lalyshekue6908
    @lalyshekue6908 4 роки тому +14

    K2ga King's music worldwide
    Gonga like twende sawa

  • @nadhifumohamedi3576
    @nadhifumohamedi3576 4 роки тому +31

    ❤❤❤❤❤❤ kwanza upo peke yako wa mimi

  • @mutalemwaegid9620
    @mutalemwaegid9620 4 роки тому +10

    15 to go k2ga kama k2ga leo tunakuzawadia 1m..☝🎶🎧🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥🎻🎼

  • @mudhihirmpinga6324
    @mudhihirmpinga6324 4 роки тому +34

    Vzr saaana TEAM langu la nguvu mchizi wa UK
    Love me for song you

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 роки тому +15

    Hatari Sana hiki kichupa piga kaziiiiii Brother 🙏 🙏🙏 🙏

  • @mwambajr7679
    @mwambajr7679 3 роки тому +1

    Kumbe hii ngoma ni yako k2ga daah nimepata tabu kuipata sikujua ameimba nan naiskia tu me nildhani inaitwa hawapendi kumbe hawataki kali sana,,,

  • @husseinally7822
    @husseinally7822 4 роки тому +35

    hawataki its all i can say....Team Kings Music tujuane tu.

  • @willymtnmsafi8875
    @willymtnmsafi8875 4 роки тому +55

    Kiswahili kama imekua,international, let's kings

  • @yusuphabdallah285
    @yusuphabdallah285 4 роки тому +49

    Aiseeee ki2ga atawakimbiza sana hii ngoma ni zaid ya noma

  • @josephvalentino5441
    @josephvalentino5441 4 роки тому +45

    watoto wa kiba hawa hatr sana gonga like yako kama ww ni shabiki wa k2ga

  • @rashidymuzna1501
    @rashidymuzna1501 4 роки тому +22

    Kama umelielewa kama mm gonga like mana zooootteeee🔥🔥🔥🔥

  • @Chida
    @Chida 4 роки тому +34

    Kaza buti 2ga tuko pamoja sanaaaa ATUZIMI DATA CUZ IT'S SO hadi 1M ifike

  • @johnjackson5660
    @johnjackson5660 4 роки тому +23

    Up coming 👑 king
    Love nying kwako k2ga

  • @witnessmhamilawa2274
    @witnessmhamilawa2274 4 роки тому +11

    Waooooooo nimekuwa wa kwanza Leo.......like kama zote kwa k2ga

  • @ronshezron8269
    @ronshezron8269 4 роки тому +2

    Woyooooo nimekubali sana kuona ukiwa kings music safi afu bro nami nakpaji nisaportin jaman napenda niwe pamja na nyinyi kings music yebaba

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 роки тому +7

    Hiii hatakama huelewi kiswahili utaipenda kwa uimbaji huu😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥...music is the universal language.....💪💪

  • @husseinally7822
    @husseinally7822 4 роки тому +31

    Dedication kwa wote wanaopigwa vita kwenye Mapenzi Yao.asante K2ga umetugusa sana.....

  • @amiamahamud6960
    @amiamahamud6960 4 роки тому +3

    Bado kdg tupike million jaman twende sawa

  • @ahmedjobs6453
    @ahmedjobs6453 4 роки тому +19

    K2ga nakubali sana king music washa🔥🔥🔥

  • @chrisskibaking3943
    @chrisskibaking3943 4 роки тому +57

    Kama kuna U JUX flani hiviiiiiiii au nasikia Mimi tu?
    Twendeeeeeee Kings music hamjawahi kuniangusha

  • @maimusic6876
    @maimusic6876 4 роки тому +1

    Kaka watembezee mpaka wachafu waone moto Hakuna zaidi ya kings music alikiba king

  • @saidimuhammadi2001
    @saidimuhammadi2001 4 роки тому +26

    Bonge la ngoma umeuaaaa mzee
    Nacho furah unapit alimopit baba ako

  • @ajabukatembo1254
    @ajabukatembo1254 4 роки тому +80

    Ukitaka kujua balaaa la huu wimbo weka kwenye mkito mkubwa utajaza watu mlango..

  • @officialmwabambatv1350
    @officialmwabambatv1350 3 роки тому +2

    Dah sichoki kusikiliza nyimbo tamu kinoma💪

  • @divadaqueen6558
    @divadaqueen6558 4 роки тому +8

    Hii ngoma nilikuwa nayisubilia kwaham kubwa nzulisanaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️❤️♥️❤️

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 роки тому +21

    Yani kama umeiskiza zaidi ya mara tano tujuane apo chini🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 4 роки тому +2

    Utakuja kuwa muimbaji mzuri sana mana unaimba kwa sauti ya juu sana super

  • @fungafungatv448
    @fungafungatv448 4 роки тому +21

    Hii verse ya pili Ni 🔥 🔥🔥 🔥💪 💪💥👑 👑

  • @musakhamis6906
    @musakhamis6906 4 роки тому +20

    Hilivyoo anza unaweza sema ovyooo we jamaaa unajua sana ila apo ulipokuwa sasa

  • @bahatikatina8854
    @bahatikatina8854 4 роки тому +1

    Unasitahili kuwa kwenye KING MUSIC G
    Yan umeimba kama kiba vile
    On top of that, good work and I appreciate your, keep up ever

  • @MTALIITV
    @MTALIITV 4 роки тому +17

    Verse Yakwanza imeniweza🔥🔥🔥

  • @sarafinamaximiliano976
    @sarafinamaximiliano976 4 роки тому +77

    From Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kings juuu team kiba like zenu jomon💥💥💥💥🔥🔥🔥💃💃💃💃

    • @steveaniseth9182
      @steveaniseth9182 4 роки тому +1

      Makini san

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 роки тому +1

      Sarah Maximo naombeni jamani subscribe kwenye youtube channel yng tafadhal

  • @asbatnassor3347
    @asbatnassor3347 4 роки тому +2

    K2ga fund... Pamoj na mwalim wak King 👑 kiba nawakubk

  • @dr.bonye1
    @dr.bonye1 4 роки тому +6

    Huuuuuu wimbo ndio wakufungia ndoa baada ya watu kuweka vigingi vingi 😂😂😁😁😁😀😍😘😘
    Kama umeupenda huu wimbo gonga like kwa young king 👑 K_2ga

  • @escaladeokonkwo1048
    @escaladeokonkwo1048 4 роки тому +31

    KingMusic Fo life

  • @gilbertmushi.
    @gilbertmushi. 3 роки тому +3

    Mwanamfame jmn🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤪

  • @bonifacebandasalimubanda3362
    @bonifacebandasalimubanda3362 4 роки тому +19

    Tumeipokea ngoma na mikono wote miwili bro

  • @SpiritNomadic
    @SpiritNomadic 4 роки тому +11

    Kenya hapo vipi 🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @hamedmohammed8912
    @hamedmohammed8912 3 роки тому +1

    Dah hii ngoma kila nikicklza na2liaga. Alaf napata vibe LA kumove on

  • @hamiduibrahim3740
    @hamiduibrahim3740 4 роки тому +55

    Du hiii ngoma mbona hatar saan like jaman kwa wale wapenz wa mzk mzr

  • @badboetv4968
    @badboetv4968 4 роки тому +15

    goma LA mwezi hili🔥🔥🔥

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 роки тому +2

    Hii ngoma nzuri na ilitoka muda sahihi wa Valentine ila haikua na promo kubwa 2kga yupo slow

  • @Andrew_Kibasa
    @Andrew_Kibasa 4 роки тому +24

    Wimbo safi, hujawahi kukosea K2GA ✔

  • @fungafungatv448
    @fungafungatv448 4 роки тому +15

    K-2GA 🔥 🔥 unaweza bhan