Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 7 січ 2025
- #BestNaso #Narudikijijini #SlideDigital
(C) Slide Digital
Best Naso Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.bio/qwm8md
Written & Performed by Best Naso
Follow Best Naso on:
www.facebook.c...
/ bestnasotz
/ bestnaso
open.spotify.c...
/ yamoyoni-single
www.boomplay.c...
audiomack.com/...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Dah nmekumbka mbal sana 😢😢😢😢nmejkuta nakumbka ndg na rafk nliowazika RIP wote waliotanguliaa😢😢😢😢😢😢
Pole kipenz mm mwenyewe inanikumbusha mbali sana kipindi hicho nilikuwa mdogo sana nilikuwa namiaka kama 5 lakn naikumbuka sana😢
Firt listened this song after strong divorce, juu ya umaskini😥😥 huu wimbo ulinitoa machozi stii favorite 😢 all kenyans and Tanzanians wenye mnasikza kwanga tu hiyo like na salamu tukienda😢
Tulioskiliza huu wimbo 2024 weka like hapa
Nyimbo lenye funzo.
Wale tunaosikiliza hii nyimbo 2024 tujuane❤
Pamoja ✌️🫂❤
❤
Jamani tuache utani hizi nyimbo zetu hazichuji aiseehhh kama mpya tuwape maua yao❤
Caro
My first time kuisikiza na nimeipenda❤kenya twapenda vina ujumbe kama hizi. Kama hii wimbo imekufunza kitu tia kidole hapa
🎉
❤😢😅
Gonga like hapa kama umeitazama hii hit in 2024
Kama upo 2024 unasikiliza ngoma hii tujuane
Listening from Kenya
mambo
Tuko weng mno jmn ❤❤
Mam😢
Nipo na naiskilza
Nafungua mwaka nahii ngoma asee sio pwa ila kama unakubali hii kazi angusha like ❤❤ man
Kama unaiskia hii ngoma 2024 nipee likes😊🥺🫂
Acha,tu,inatukumbushambali
Nikweri,manyanyaso,kwangusum
Huu mzki noma sana❤❤❤❤❤
Pouw san
@@regnardndunguru2532 mambo kakaa
Nani kama best naso maisha marefu kwako broo by madoni member kahama moja
This guy is badly talented. Hongera Sana Best Nasso. Siku 1 nikiwa Rais/Mbunge ntakualika Uje unitumbuize❤❤❤❤. Mad Respect, pokea Maua yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Hiii ngoma ina nikumbusha mbali sana niliko toka daah naipenda kiufup
Hii Ngoma ilinitoaga machozi hicho kipnd kulingana na maisha 😔 kama unaikubali hii Ngoma Gonga like twende wote ♥️
Naso wap jaman
Hi Ngoma inanikumbusha mbali sana,sitawahi kuisahau
Naipenda. Sana. Mwanaume. Ni. Maamziii. Kuaaa. Na. Maamzi.
Ya nn
@@emmychris333kwel kbs
Tulio sikiliza hii ngoma 2024/10 tujuane kwa like
Kweli ngoma za zamani ndio ngoma
2024 ngoma bado inaleta raah
From mbeya mumalila 2024 bado naikubali nipo dar__salam nataka nirundi mbeya
Kama unasikiliza wimbo huu 2023
❤❤❤
Naupenda huwimbo sana❤❤
Kama uko nasikiliza hi nyimbo leo 2024 dondosha like hapa 🇨🇩🇨🇩☝️
Bora urudi kwa mama yako mwanangu huu wimbo unamafunzo sana
Brother rudi kwenye game
Njoo home mziha negero tuliani madizini tumekumis kaka
Tulio kuja baada ya mbosso ,,kuiimba
Tujuane
Hu wimbo simu yangu ya kwanza kununua na ilikuwa kiswaswadu ilikuwa na hu wimbo tu nakumbuka wakat huo nipo kijijini njombe nalima ndo nimetoka tu kumaliza shule ya msingi mda wote napiga hu wimbo
Gonga like tuliosikiliza 2024
Wimbo huu unatoka mama angu yupo baba yupo na mdgo wangu swaum leo 2024 nakuja hpa wote nimezika 😢😢😢
😭😭pole sana Mungu akawe faraja maishani mwako dah!!
Pole
Pole sana
😢😢😢😢
hingoma ilikua kalisna icho kipindi 🇨🇩 APA hingoma ilifanyaga vizuri sn
Kuna nyimbo unaweza ichukulia simple ila imebeba ujumbe mkubwa sana,ukilinganusha na matukio yanayoendelea,kwa waliokuwa na kipato kikubwa kuliko waume zao ni mara chache kuwapenda wazazi wao na wanapenda kutawala maeneo yote ingawa imeimbwa kumlenga mwanamke ila wanaume nao wapo,Mzazi ni mzazi tuu.
Kama unasikiliza hii ngoma mwaka 2024 like hapa 🔥🔥🔥
Niliwah kupata mchepuko ukwa na dharu nilivyo ipg hi ngoma mbna alia 😭😭 na dharau alicha sik iyo nakubal best naso
Penda sana wewe best naso Mungu akulinde
Tangu utotoni miaka kumi iliyopita na nkama ni juziu BEST Nasso to the world 🔥🔥
Kama upo apa 2024❤❤❤ gonga like
Acha,tutumejifunzakitu
Tupo
Panga la zamani ukali ule ule 2024 kama tuko pamoja gonga like twende sawa
❤❤❤❤❤
2024 hizi ndo nyimbo zenye ujumbe,unaweza sikiliza hata ukiwa umekaa seating room na wazazi wako
My best song !!. Since 2013..... repeat button kila time.. TUTOKE pia was top.. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aii ni kweli bora ukae maskini kuliko kua mtumwa wa mapenzi
kila kitu kina mwisho...duniani tunapita🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Best Nasso song still a hit in 2023🔥🔥🔥 love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
GOOD
If things get tough in the CBD or cities we go back to the drawing board... kanairo tings ain't going well. Moshatha is calling buana🤣🤣🤣
❤❤
Mimi narudi kwetu subukia😂
@@FlorenceNjogu-xl3pw Nakuru 😂😂😂
Huyu anaimba nyimbo ambazo zinamgusa kila mja! Nyimbo zenye stara na heshma. Haamrishwi na Lucifer kuimba uchafu kama wengine! Hongera sana,bro. Wish you all the best in your music journey! 💪👍🤝
nmerudi huu mwaka tena kusema hii ngoma remains the main hit
Ahahaaaa
Wimbo mzuri za Jana, leo, na kesho... Wa congomani tuna kubali🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Napenda sana huu wimbo
Yaani hii ngoma apana nakumbuka mbali sana❤❤❤❤
nyumbani kwetu ni maskini SAWA, lakini si ulinikuta naishi 💯📌@254
🔥🔥🔥🎵🎶🎵 kwangu mi mpia nitaisikiliza paka kifo changu🚶🚶💯
Kaka nyimbo zako nzuri kweli.
Naipenda sana nyimbo hii Kwanzaa Enzi zile mpaka sasa
Kama mda huu unasikiliza ngo hii nipe like❤❤
Watu wa zamani mlikua na mziki mzuri,,,,nmelia 😢🫂🫂
Wimbo huu haunishi hamu napenda kuisikiliza zaidi na zaidi mashairi yana ujumbe mzuri tamathali za semi zipo muruwa.
kama ushai ishi kwa ndugu wa damu au lafiki wa dhati unaielewa hii ngoma sana. manyanyaso kisa nipo kwako wee usinikumbushe. 2023 gonga likes
Kuishi n mtu wa damu ni shida tupu cwez kusahau nilichopitia 2018 😢😢 hpo mm n mgeni mjini
😢😢😢
Acha kbsaaa hayaa maisha asikuambiee mtuuu
Hakuna ngoma ilowahi kuleta vibe kubwa tz km hii, km unaikubali mpk sasa gonga like twende, 13/11/2024🎉
Hii ngoma hainiishi hamuu siku zotee
Inanikumbusha mbali sana kimaisha
Kama unasikia hii ngoma nipee likes 2024
❤❤❤❤
Nzuri hii, mafundisho inanikumbusha mbali sana,
Mpaka Léo 2024 n'a sikilila huu muziki kweli nautaka
Dah hii ngona miaka hio kwenye top 10 ya dijaro arungu kila week inashika namba moja mwaka mzima wale wamikoani mnaelewa tupien like hapa twende wote✌🏽
Still hot in 2024
Daaaaah umenkumbsh mbal sn enzi z dijal alungu kweli ujakosea ilikuw inabmba sn kitamboo hchooo kwel nmekuw sasa ❤❤ nakkubal sn kak love youuuu
Ahaaa Sasa naelewa kwanini harmonize alisema ,fungasha urudi kijijini best nasor me akinipenda mungu inatosha😢😢😢
Am still in love with this song 💖💖 in 2024🎉 from 🇰🇪
Hii ngoma sichoki kuianglia mpaka maisha yajayo
This song still hits me diff since I knew it when living with distant relatives,,,,it wasn't easy from one house to another😢😢😢11:47 on 6/1/2024 still listening😢😊
Mamb
❤napenda sana kusikiliza muziki huu
Nyumbani kwetu ni maskini sawa;lakini si ulinikuta naishi bana😢the nostalgia is real
huyu broo namkubali saanaaa
Hii ngoma kali🔥
Ndio maishaye2
Nani hataambia best naso vile nampenda haki❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
@@MarkSulle-yg5lt One of my best artist plus chege❤❤❤❤❤
@@jacque21 natamani kujua ulipo rafk
Ww uko wapi kwani rfk@@MarkSulle-yg5lt
Mapenzi ni mapenzi tu, hivyo pesa Haina nguvu yoyote katika mapenzi ya kweli
Ndiyo,nabebavilago,vyangu,manyanyaso,kwangu,sum
Best naso na dijaro wa rungu pamoja sana ❤
Soon 1M, anyone in August 2024? Hii ilikuwa kali ile miaka ya 2013❤❤❤❤
❤❤❤inanitia machozi aki
Wa kwanza kuja hapa january2025 nimewahiiii like zenu tafathaliii🤗🥰😀😀
Niliwahi lia siku moja hii ngoma ikicheza
Iko poa sana
Great song hongera here kaptain John from Kenya
Tumeishi kwa ndugu na tumeona manyanyaso waliyonayo na tunapousikiliza huu wimba hakika unatukumbusha yote.
Nyimbo nzuri sana nimeupenda huu wimbo
Napenda sana songs za Best naso Nampa pogezi❤❤❤❤
Inafanya nimkumbke mama anguu dar!!❤🎉
Umenikumbusha mbalisana uuwimbo,kukaakwamtu,shidayataka,moyo,
Nabebavilago,vyangu,manyanyasokwangu,sum
Acha,tu,maishasafarindefu,mtuanamuakukuchafuatu manyanyasokwangusum
Hizi ndo ngoma zangu xx toka enzi hizo ❤❤❤❤❤❤
Heri kua na Imani kuliko kuteswa ju ya tharao ya umaskini...2024 🔥🔥
Usijali ndo maisha utavuka
Ambaye ana nyimbo za best nason au za tunda man nimpatie amba angu anidondoshee
Huu Wimbo unanikumbusha mbali sana ila tu vile baada ya maisha ua kuna maisha
Wa kwanza wapi likes zangu angalau kwa leo wadau ...
Wimbo huu ni maisha harisi ksbisaaa❤️❤️❤️❤️2023
Kila mtu anachek hii ikoj 🎉
Hii nyimbo ya zamani imenikubusha kitu
2024 n still a vybe with lots of memories😢😊❤❤
Kabsaa
That's tru
Mwezi wa saba huu nasikiliza wimbo huu 2024
Best naso 🎉🎉🎉🎉🎉❤ nyimb zako za zaman nazikubali san ulikua huna kaz mbov 12 tareh 9 2024🎉❤
Kweli hii nyimbo ni nzuri
Safi sana
Naisikiliza tena leo 20.09.2024 Ijumaa tulivu kabisaa nikiwa hapa Dar es salaam Tz
Dah hu wimbo naupend mpk sasa
Kumbe uyu ni mama nono😅
Nakupenda na nyimbo zako Kaka yangu Best Naso