NILIANZA NA KUKU 11 TU, SASAHIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA MWENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 73

  • @AvilaCholela
    @AvilaCholela 3 дні тому

    Kazi nzuri.

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 8 місяців тому +7

    Mimi Nina eneo kubwa ,na ninapenda sana ufugaji na hitaji elimu sana, nahitaji ramani ya Banda ushauri wenu ni mzuri Naomba Namba zenu.

  • @fatimarungwe4882
    @fatimarungwe4882 5 місяців тому +2

    Mimi sioni nambazeni .namba mnitumie namba kama namba naitwa fatma nipo dar mikocheni B.naomba nitumieni nambazenu naweza nikaingia kwrnye group. Yako.

  • @juliusmkilima5610
    @juliusmkilima5610 7 місяців тому +1

    Mpo vizuri napenda iyo

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 2 місяці тому +1

    Ni aina gani ya kuku?

  • @MaryNyoni-n7j
    @MaryNyoni-n7j 6 місяців тому

    Nipenda sana masomo yenu.Napenda sana kufuga kuku.

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  6 місяців тому

      Karibu jiunge na kundi letu la Mafunzo WhatsApp 0712188239

  • @MaryNyoni-n7j
    @MaryNyoni-n7j 6 місяців тому

    Mpo wapi?

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 8 місяців тому +3

    Kingo Farm nakufatilia sana sana tena sana. Video ina motisha lakini haijaelezea namna unavyoingiza hiyo pesa kwa mwezi. Fafanua tafadhali

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому +1

      Shukrani sana broh endelea kutufuatilia utajifunza mengi

    • @FrederickNkyaa
      @FrederickNkyaa 8 місяців тому

      Uhunii tuu mwingii

    • @gabrielzakaria2810
      @gabrielzakaria2810 8 місяців тому

      Me naomba niseme hyu jamaa sio muhun anafanya kaz me leo nmeongea nae yupo sahihi nasema hv kwa kuwa na Mimi nafuga

    • @chachawambura4030
      @chachawambura4030 8 місяців тому

      @@FrederickNkyaa wewe ni mfugaji?

  • @bonifacemollel87
    @bonifacemollel87 7 місяців тому +1

    Baba Milioni 2 kwa mwezi aisee sio kweli hapo nae umetupiga

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому

      Asante Kwa maoni na ushauri

  • @MahitoSelemani
    @MahitoSelemani 7 місяців тому +1

    Jambo Kaka na mimi nahitaji sana mafunzo ya ufugaji kuku ila nipo kongo Drc

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому +1

      Tutafute WhatsApp+225712188239

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 2 місяці тому +1

    Namba tafadhari

  • @RachelYoram
    @RachelYoram 7 місяців тому +2

    Nimependa darasa lenu nitajitahidi kuwafatilia Sanaa

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому

      Karibu kwenye kundi la Mafunzo utajifunza mengi zaidi

  • @DericksRoni-xz5kg
    @DericksRoni-xz5kg 7 місяців тому +1

    Mimi pia ninataka hii ukulima nashindwa nitaanza zipi nisaidie bwana

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому

      Tutafute WhatsApp au tupigie 0712188239. Ujiunge kwenye kundi la Mafunzo ya ufugaji au ununue kitabu chetu kitakusaidia sana

  • @ngwadaratifa1008
    @ngwadaratifa1008 8 місяців тому

    Kwasasa mna kuku wa ngap?

  • @oscakaitaba6436
    @oscakaitaba6436 8 місяців тому +2

    Sioni majogoo. Unafuga kuku wa mayai kwa njia ya kienyeji?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Hao ni chotara wanataga hata bila Jogoo

  • @RenaldaMunishi509
    @RenaldaMunishi509 7 місяців тому +1

    Nilitamani ufafanue jinsi unapata hyo milioni2

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому

      Njoo kwenye kundi letu la Mafunzo ya ufugaji utaona mwenyewe

  • @SebastianUlomi
    @SebastianUlomi 7 місяців тому

    Kaka mimi nina kuku20 lakini vifaranga vikitotolewa vinakufa nifanyeje naomba uhauri

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  7 місяців тому

      Pole sana nakushauri ujiunge na kundi letu la Mafunzo WhatsApp, kule tunafundisha namna ambavyo utawalea Vifaranga tokea siku ya kwanza mpaka miezi miwili, tutafute WhatsApp 0712188239 tukuunganishe Kwa TSH 5,000/=

  • @GloriaNkerego-j3c
    @GloriaNkerego-j3c 8 місяців тому +1

    Naomba namba

  • @jofreykabulule
    @jofreykabulule 8 місяців тому +1

    Mko sehemu gani

  • @suleimanmuhiddin5363
    @suleimanmuhiddin5363 8 місяців тому +1

    Unatotolesha kwa machine au wanatotoa wenyewe?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Wanatotoleahwa kwenye mashine

  • @ZubedaAbdallah-s5p
    @ZubedaAbdallah-s5p 8 місяців тому

    Naomba namba yako

  • @FredsonNyondo
    @FredsonNyondo 8 місяців тому +1

    Nafurahia elimu yenu

  • @mariakisinda-pe7us
    @mariakisinda-pe7us 8 місяців тому

    Vifaranga vyangu vinakufa tu nifanyaje?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Tutafute WhatsApp 0712188239 kama utapenda tukuunge kwenye kundi la WhatsApp la Mafunzo ya ufugaji Kwa vitendo Ili ujifunze

  • @NeliusMjungu
    @NeliusMjungu 8 місяців тому +1

    Mimi ninao kuku watano na nimetotoledha vifalanga 30 ila sijui namna ya kuchanganya chakula na ujenzi wa banda mnisaidie tafadhali

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Njoo WhatsApp 0712188239

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 8 місяців тому

    Kwa haraka nimemuelewa anatangaza dawa za kuku

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Sisi hatuuzi Dawa za Kuku.

  • @dorcasassenga2005
    @dorcasassenga2005 8 місяців тому +1

    Ila huyu jamaa simuamini saana. Anaingiza Milioni 2 kwa Mwezi,halafu mazingira siyo rafiki.! Kwa ujumla mazingira hayavutii kulingana na kipato anachosema!

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      Ongeza idadi ya kuku, fikilia kuhusu vitu Vya msingi kama mabanda, tumia gharama ndogo iwezekanavyo Ili kuongeza margin ya FAIDA, hii itakufanya UFANIKIWE ndani ya muda mfupi, achana na vitu visivyo Vya msingi kama vile kuweka tails kwenye Banda la kuku Sababu tuu unapata pesa hapo lazima utachelewa,
      tunakukaribisha kwenye kundi letu WhatsApp 0712188239, ujifunze zaidi. Mungu akubaliki

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂❤

    • @nicodembrown7508
      @nicodembrown7508 8 місяців тому

      Waongo

    • @jossporahmsw8420
      @jossporahmsw8420 8 місяців тому +1

      Tufanye unakuku 500 wanaotaga,, utakosa trey 10 za mayai kwa siku?kwa mwez1 trey 300kwa sh11000trey, yaan sh11000×300=3300000,

    • @nicodembrown7508
      @nicodembrown7508 8 місяців тому

      @@jossporahmsw8420 hapo pigia kuku 200

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 8 місяців тому +1

    Ulikuwa tayar unaeneo na pesa, ndyo maana ilikua rahs kwako,, bila hivyo ni ngum bro.

    • @chachawambura4030
      @chachawambura4030 8 місяців тому +4

      Kila kitu ni malengo, hata ukiwa na Kila kitu kama huna malengo na uthubutu huwezi kufanya hicho alichokifanya yeye.

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому +2

      Ni kweli kabisa broh weka malengo mazuri muombe mungu akutangulie upiganie ndoto yako

    • @rehemaothuman3764
      @rehemaothuman3764 8 місяців тому +3

      Akuna mtu atakae kupa mtaji pambana

    • @jossporahmsw8420
      @jossporahmsw8420 8 місяців тому +3

      Sahihi,,,,,,

    • @emmanueleddiemwamakula3398
      @emmanueleddiemwamakula3398 8 місяців тому

      ​@@KingoFarm1 mtaji ni suala pana sana na mara nyingi mtaji fedha ndio huonekana unapoanzisha biashara/mradi hivyo tuendelee kujifunza kila siku. Kikubwa anza na ulichonacho maana ndio mtaji namba moja @chachawambura4030

  • @lightouma477
    @lightouma477 8 місяців тому

    Hawa jamaa wanaongeaga tu ila kama huna hela hakuna utakachokifanya,maana fikiria huna hela,huna eneo,huna hata wakukukopesha kwa riba rafiki, huwezi kufanya kitu,utaushia kufanya vibarua na kupata pesa ya kula tuu

  • @Esther-c9h5l
    @Esther-c9h5l 3 місяці тому +1

    Number pls

  • @Kefafundi5
    @Kefafundi5 8 місяців тому +1

    Number yako haitaki kujitokeza kwa whtsapp

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  8 місяців тому

      0712188239 ipo what's up

    • @EdwardHekela
      @EdwardHekela 8 місяців тому +1

      Broiler ikifunga miezi minne wanaweza fika kilo ngapi