TENGENEZA FAIDA ZAIDI YA TSH 450,000/= KWAKUFUGA KUKU 75 TUU.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @MaryNyoni-n7j
    @MaryNyoni-n7j 6 днів тому

    Asante sana.

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 5 місяців тому +2

    Asante sana kwa mchanganuo mzuri kiongozi. Ninakufuatilia kwa ukaribu zaidi.

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 місяців тому

      Karibu sana na kwenye kundi la WhatsApp utajifunza zaidi

    • @ziporahingi899
      @ziporahingi899 4 місяці тому +1

      Sh ngapi kujiunga wasapu

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 місяці тому

      @@ziporahingi899 5000 Kwa mwezi mmoja

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 3 місяці тому

    Hongera sanaaa

  • @eleriandeurassa7937
    @eleriandeurassa7937 Місяць тому +1

    Mimi nahitaji wa mwezi moja ni sh ngapi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  Місяць тому

      Jiunge na kundi letu utawapa wafugaji wengine WA huko ulipo watakuuzia

  • @RamlaYussuf-g7z
    @RamlaYussuf-g7z 2 місяці тому +1

    Mm nataka nianze hiyo sasa nitawapataje na mm nikobzanzibar naomba nisaidie

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому

      Tutafute WhatsApp 0712188239

  • @EstaDaffi-wg5cr
    @EstaDaffi-wg5cr 3 місяці тому +1

    Product from klerruu

  • @eleriandeurassa7937
    @eleriandeurassa7937 Місяць тому +1

    Mimi nahitaji wa mwezi moja nitapataje namko wapi?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  Місяць тому

      Kuku hatusafirishi sisi tupo mtwara

  • @NeemaMtambo-m6f
    @NeemaMtambo-m6f 2 місяці тому +1

    Mimi nahitaji kuku nitawapataje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  2 місяці тому

      Kuku tunawauza Kwa watu waliopo ndani ya Mtwara hatusafirishi

  • @EN-wx8kf
    @EN-wx8kf Місяць тому

    Nitawapata wapi

  • @ayubumitiakimitiakikivuy-fo3yp
    @ayubumitiakimitiakikivuy-fo3yp 5 місяців тому +1

    kingo farm ukowapi

  • @oriethkimaro333
    @oriethkimaro333 5 місяців тому

    Nashukuru swali langu nikiweka uduvi na dagaa kunashida ngani?

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 місяців тому

      Hamna shida , hiyo ni protein

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 4 місяці тому

    Swali ndugu yangu ,kwani kroila wataga mwezi mzima kama leasi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 місяці тому

      Ndio wanataga mwenz mzima kama taruka haizidi siku tano

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  4 місяці тому

      Kwa elimu zaidi tutafute WhatsApp

    • @Amirmgunya-pt2zm
      @Amirmgunya-pt2zm 3 місяці тому

      kuku wa kroila anaweza kutoto mwenyewa au mpka upeleke kwenye shine?????????????

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 місяці тому

      @@Amirmgunya-pt2zm mpaka apelekwe kwe mashine

  • @LightnesStephano
    @LightnesStephano 3 місяці тому

    He'll mko wapi

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 місяці тому

      Mtwara, Unaweza pia ukatupata WhatsApp 0712188239

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 5 місяців тому

    Mnapatikana wapi,tunaweza tuwapateje?No ya cm Tafadhali

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  5 місяців тому

      0712188239

    • @Nefe_mo
      @Nefe_mo 3 місяці тому

      ​@@KingoFarm1🎉

  • @RachelMwakitalu-db2vj
    @RachelMwakitalu-db2vj 5 місяців тому

    Mnapatikana wp?