Mgogoro waibuka shule ya Thaqaafa Mwanza / Wadai kuondolewa ujumbe wa bodi bila taarifa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Baadhi ya waliokuwa wajumbe kwenye bodi ya shule ya sekondari Thaqaafa iliyopo mkoani Mwanza wametoa malalamiko na kudai nkuwa wameondolewa kwenye bodi ya shule hiyo bila wao kuwa na taarifa Rasmi na kwamba ni kinyume na katiba ya taasisi hiyo.
    Wakizungumza na waandishi wa Habari wajumbe hao wameeleza kuwa Shule hiyo kwa sasa inaendeshwa kinyume na katiba ya Taasisi yao na kuiomba Serikali kuifutia usajili.

КОМЕНТАРІ • 16

  • @mamuuchany6386
    @mamuuchany6386 Рік тому

    Tena kuna mtu anaitwa Madam Opio, huyó mama ni hatari akiona mtoto wa tajiri hata kama kilaza atamsifia,na akiamua kunyanyasa mtoto wa mtu anamyanya sana tena kama mzazi wake ni masikini, OPIO AFUKUZWE HARAKA kaiharibu Thaqafa

  • @ibrahimjuma6459
    @ibrahimjuma6459 Рік тому +1

    Shule ikishafutwa alafu inakuaje
    Kama umesema shule ni Mali ya waislamu basi hao waendeshaji walio sababisha Hilo ndio watolewe na kuadhibiwa Kwa mujibu wa Sheria lakin unaposema shule ifutwe ili wengine wasisome tena nadhani hayo siyo malengo ya waislamu walio Jenga shule hiyo
    Kiujumla hapo ni mgongano WA maslahi hawa wazee wamenyimwa ulaji

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 Рік тому +1

    Shule Moja tamu sana hii, THAQAAFA shule yangu hii niliinjoi sana Advanced Level

    • @geraldbenjamin9302
      @geraldbenjamin9302 Рік тому

      Hapo nahisi anawaongelea wale ndg wawili wenye mizigo mikubwa

  • @bihalimabihalima6701
    @bihalimabihalima6701 Рік тому

    😂😂🤣🤣🤣🤣hata sijui nacheka nini,LKN WAKAT MWINGINE MUNGU ANAWEZA KUTUMIA ADUI YAKO KUKUFANYIA WEPESI KWA YALIYO MBELE YAKO.ALHAMDULILLAH🤲

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому

    Mlizidiana tu kete karibu taasisi zote za waislam Tanzania ni majanga tu.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Рік тому

    Usititie dhambi waislamu.Masuala binafsi mngemaliza wenyewe kwa wenyewe.Ya nini kuanika masuala yenu binafsi mitandaoni?.
    Nendeni Rita,kwa waziri wa elimu na ikibidi nendeni mahakamani.
    Umeondolewa tafuta kazi nyingine ya halali acheni kuendekeza njaa.

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 Рік тому

    Mmekulaaaa nguvu za waislaam kimyaaaa sasa wakutoe kwenye sahani eti ndo ukumbuke waislaam acheni upuuzi

  • @chumamasunga8855
    @chumamasunga8855 Рік тому +1

    Mmmmh

  • @marijanismahili
    @marijanismahili Рік тому

    njaahaa itawahuwa mmeitoa tumboni sasa mmeipandisha kichwani

  • @amsangi9949
    @amsangi9949 Рік тому

    Majambazi mwisho wao mwaka huu tupa kule wakaseme na njaa zao

  • @zuhrasherally2824
    @zuhrasherally2824 Рік тому +2

    Ili mradi mnapigania mali ya Waislaam bac mtashinda bi idhni LLAH
    ..الا ان حزب الله هم مفلحون

    • @masunually3
      @masunually3 Рік тому

      hawa ni maambwa t wanafki wakubwa kwanza kila siku kesi wanashindwa kutafuta maisha yao wananza kuleta shari kuamsha shari ndo kazi zao nani asiewajua ni kesi ngapi wanazo shitaki kuwashitaki waisilamu na allah yupo atawazalilisha t muda sio mrefu madhwalimu wakubwa hawa watakufa vifo vibaya kabisa

  • @wangweemmanuel9048
    @wangweemmanuel9048 Рік тому

    With reference to these explanations hata mjinga atang'amua kuwa hapa Kuna mgongano wa kimaslahi. It's so sad that poor and innocent pupils have been victimized. Why not settle down this lamentations on the table?? My Qtns are!
    1) If you can't handle this situation down, would you pple be able to lead the board or whatever you call it??
    2) is there a problem hiring experts in particular fields who formerly studied at Thaqaafa, As long as they qualify to??? Mi nilidhani tunaelimishwa Ili turudi nyumbani kusaidia jamii na jamaa zetu kuleta maendeleo kwa ujumla? Kumbe ni kosa/dhambi??
    Thaqaafa is one the schools with a very good reputation in all aspects of academic and spitual education... We have been there, we know that some pple with bad intentions want to destroy this.. May Almighty God interven.

  • @chiccynaturaldamnhot877
    @chiccynaturaldamnhot877 Рік тому

    Eeh aisee Mungu awarudishie hii mali waislamu maana hio shule imesaidia wengi yaani haikujali dini....lakini namkumbuka yule mlinzi wa Thaqaafa nimemsahau jina eeh alikuwa mkaliii 😅