Naona malumeeee umem unblock rapcha the last king of 90's safi kazi ziendeleee rap tamu nyie ngoma Iko on point mazeeeee 🔥🔥🔥🔥 mwanaume akirudi usiku yanazungumzka mwanamke akirudi ucku ndoa imevunjika #wanangu99
Wakija marapa wao huchinji unavunja shingooooo Duuuh East zoo majengo sokoni Dom city sio pow Wadau inabidi wawekeze kwa nguvu kubwa mana kwa hizo floo nakuona mbali 🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟💯
Mwanaume akirudi nyumbani usiku linazungumuzika mwanamke akirudi nyumbani usiku ndoa inavunjika😅😅😅😅 dada body usiifaniee mchongo bongo utapelekwa moto mpaka utapike nyongo😅😅😅 heyhey don't tell my mom this is not me💯💯💯
Alesikia mstar wa rapcha unasema mwanaume akirudi asubuhi linazungumzika mwanamke akirudi asubuhi ndoa inavunjika like zenu tafadhar hata 2 tu
Nimerudi Tena Hii Ngoma haichoshi kabisa Dah Mon jamani Muacheni
Dada body usiifanye mchongo bongo utapelekewa mpaka utapike nyongo😂😂😂
Niliapa ntafia booth baba apate. Mboga nikifa nikazikwe Dodoma ntaacha nauli👽👽
Mwambie Rapcha iyo flow ya mwisho kuanzia 2:44 ni 💥
Kuna ile ya kuanzia dakika 2:54 ni Moto mwingine
True
ua-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/v-deo.html
imebidi nimerudi kuisikiliza tena, kaliii
Washkaji wamepita vizuri wanastahili pongezi 👏
@@leadflavour_tz kinyaa Huna unapozamia uvinzaa
Dah Huyu Ndio mon Nae Mjua Sasa apa Nafs yangu imerizika 🙏🙏
2024 nimerudi kusikiliza hili goma
Wananguuuuu 2endelee Jaman kuskiliza Ngoma kupandisha Dude lipande juuu zaid
Dogo maarfa day after day kama vile unakuja unaktaa but soon utaweza japo ni shughur kupata pacent
Kumludia Malaya iyo ni mistake 🔥🔥🚀
Kitu safi 💯… uliamua huu mwaka hatulali, vitisho juu vitisho hadi Roma Zimbabwe aende retire 😂😂😂
Ngoma kali sana wote mmepita ingawa Sikio langu bado linapata shida kuelewa mistari ya Rapcha ila flow Kali sana,Maarifa umetisha
Fatilia vizuri tu kila mstari utaelewa
Maarifabigthinkermtu mbaaaaad bad mtoto wa baba kibaha finesssssssssssss
Team Kiba suporting Monicentrozone 🎶🎶👑
Nakubali Sanaaaaa
True
ua-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/v-deo.html
Maaarfa Verse is A pure Masterpiece🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Verse ya mwaka
Absolutely
Majengo
ua-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/v-deo.html
Hipop ikiendelea hivi Hollywood ni kesho2🙌
Sio Siri Maarifa ndo ame ua kuliko wote🔥🔥🔥
Nakbali asilimia mia. Katisha. The meaning of maarifa💥
Kiukweli amewaficha duuuh hadi inaogopesha☠☠☠
Definitely 🔥🔥
😂😂😂 maarifa kafnya verce raini sana kaznGua bigUp Maniqq AwadHi & Rapcha
Maarifa alieka mistari ya kishua akijua yupo mwamba anaekuja Raptcha ila wote wana ni moto
Rapcha mungu amuongoze ni rapper wa kwanza kutuxua adi mbele
Walitaka mfupa nkawakuta wana mapengoooo😅😅😅😅😅😅. Somo linaeleweka maarifa
Uyuu maarifa nyie🔥🔥
Maarifa ni problem🙌🙌
Unyama Unyamani halafu HATURINGI
Naona malumeeee umem unblock rapcha the last king of 90's safi kazi ziendeleee rap tamu nyie ngoma Iko on point mazeeeee 🔥🔥🔥🔥 mwanaume akirudi usiku yanazungumzka mwanamke akirudi ucku ndoa imevunjika #wanangu99
Maarifa all de way
Jumatatu marejesho na vikoba....oyaaa dudee hiliii balaaaa full watalibaniii humu ndaniii..hii video hata NETFLIX inaishiiii
hahahahaha Good Music mamamamamaaaaaaaaaaaaaaaaeeeeeeeeee
Rapcha noma Sana... "Mwanaume akirudi usiku linazungumzika ila Mwanamke akirudi usiku ndoa inavunjika"
Shaulin Maarifa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 absolutely phenomenal ⚡️⚡️⚡️ the Future is secured 🇹🇿💰💰
🔥🔥🔥🔥
Maelekezo ya vichwa 3 Maarifa big thinker bro toka kitaa👊👊🍁
Majengo
ua-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/v-deo.html
Malumeee dundoo🥁 kumrudia Malaya hiyo ni mistake👑👑👑
Moni is DOPE but underrated 💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🇰🇪
Wazee ni mazishi sana ni murder kesi mbovu mmeuaaaaa💥💥💥💥
Oa nyie tupelekeni 🇱🇷🇬🇧🇰🇾
1.rapcha
2.moni
3. Maarifa
Nani anabisha
Wakija marapa wao huchinji unavunja shingooooo
Duuuh East zoo majengo sokoni Dom city sio pow
Wadau inabidi wawekeze kwa nguvu kubwa mana kwa hizo floo nakuona mbali
🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟💯
Maarifa nauli hiyo ya kwenda kibaha kwenye mazishi Mimi mgao sijapata😂🤣😆😅
Rapchaa mzee unaupiga mwingi ujawahi niaungusha
Nimwage tenzi nisimwage tenzi
Mtoto wa baba ,👊👊👊👊
Marfa papa twede changing stayle
Ngomaaa kaliiiiii kichupa flaan cha kinyamweziii huna bayaaaa #maluuumeee Roof lipooo juuu xaaaaaaaaaana🔥🔥🔥
Pale #majengosokoni kule #MMB Huku #wanangu99 all in all mmeuaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Hizi ndio hiphop tunazopaswa kusikiliza...madini mengi sana
Pilipil banian 🛠️🛠️💪🚐
Maarifa dah aisee huyu jamaa hatar sana💥💥💥
Majengo sokoni, wanangu wa Ilazo na ihumwa
Maarifa verse imeenda shule
Malumeeee 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ila moni centrozone unyama sana💪🏿👑
Maarifa umetoa maelekezoo haswaaah mamaee!!!😏😏😏
Last King Of 90’s 🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi kubwaaa malumeee🙌🙌🙌
Sasa Nimeelewa Kwanini Mnamkimbiaga Maarifa 😁😁😁 This Dude Is Lit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bado Mm mwenzenu Naendelee Kuskiliza Ngoma Maana Sioni kama Linachosha Asante Malume
daaah hili jiwee
Monicentrozone my brother love u so much ❤ thanks kwa kutuwakilusha watu wa DOM vizuri nakupenda sana kaka
Ngoma Kali sanaaaaaaaa
Jiweeee
Malume Go baba
Jaman 2endelee Kuskiliza Ngoma isishuke kwenye On trending
Niko tayari kukutana na rapcha nimpigie magoti kisha nimpongeze kwa kazi anazofanya
Maarfa kweli hvyo tu
Roof umelpgia kwa juu Sanaa MALUMEE
Papa Benedicto na double tap Dem wa Vatican 🎶
Moni unazidi kuwa best every now and then
ua-cam.com/channels/lDUnwZYujm6OgSP89p1ToA.html
1.rapcha
2.maarifa
3.moni
Rank yours if u dont urgue
Amini kk
Maarifa
Moni
Rapcha
Team kiba tupo ....
Oyaaa nataka like 10 tu kutoka dom hapa
Mwanaume akirudi nyumbani usiku linazungumuzika mwanamke akirudi nyumbani usiku ndoa inavunjika😅😅😅😅 dada body usiifaniee mchongo bongo utapelekwa moto mpaka utapike nyongo😅😅😅 heyhey don't tell my mom this is not me💯💯💯
Rapcha killed it🔥🔥🔥🔥
No maarifa killed it
Maaarifa 🔥🔥🔥🔥
Broo cjawah kukupinga kabisa
Unyama mwingi sna 🎬✊🏾✌🏾
Maarifa achia ngoma sasa, humu ndani umeua sana🔥🔥
Maelekezo ni mibaa monii mwibaa
Maoni majengo sokoni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ebanaaaaa eeeeeehh hiii ngoma ninomaaaaa Maarifa ulipaniki duuuuuuu noma wauni 🥂🥂🥂❤️
Rapcha was another level🙌🙌🙌🙌
Maarifa 🔥
Ni hatari hii ngoma tatizo tuzo zinaenda kwa wababa pua2 ndo mziki wa bongo unapofelu
Moni safari hii umeamua magoma yalioenda shule
Moni Centrozone love you Dodoma people for love
Sema rapcha nimbayaaaaaaaaa
Jiweeee......rapcha mtu mbadiiii moni umeua maarfa umechakaza
We rapcha umeua mzee
Rapcha mwambaaaaaaaa umeuwaaaaa
Maarifa suprised me into this. This is big, Salute to Moni and Raptcha too...
👇 *BONYEZA* 👇❣
ua-cam.com/video/MIr9vodXucE/v-deo.html
Karudi kwa kishindo sana
Maarifa is 🔥
True
ua-cam.com/video/tBIn6bSMCVU/v-deo.html
😎😎😎😎😎😎😎😎
Huyu rapcha ni 🔥🔥🔥🔥🔥
>>>Papa anahatar Sana 🔥🔥
rapcha unaua sana kwenye features
Mkileta marapa wenu mi c chinj nakata shingo
Oya mwanangu raptcha kafanya yake humu ndani🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nimetoboa japo waliminya 🤔.... Mtoto wa Baba... Respect
Umeua rapcha kipalestine
Much Respects Kwenu... Moni × Maarifa × Rapcha
'...takutana jumatatu marejesho na vikoba..." Moniiiii🧠
oyaaaa wanangu dahhh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Malume 🌄❤️❤️❤️❤️❤️
Maarifa Maarifa aka pacha umetisha na wote mumeua🔥🔥🔥🔥🔥
1. Rapcha
2. Maarifa
3. Moni ..... Hii kitu mmeuaaaaaaaaaaaaaaaaaa 2:44 Balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🥶
Nakubl sana ,,,ngoma zako #majengo_sokoni