Sauti ya Jux tu 💥💥💥..It's lit. Hiyo ndio imenileta hapa. He just never disappoints. Kazi yake anajua sana. I'm not really a hip hop fan but I like this one. Love that Jux is giving us different vibes this year. The rap is so on point too, so lit
Dah, naeza kukaa kimya lakini nitaidhulumu nafsi, home boy kuna mda niliwahi kuhisi watu wa trap wanakupoteza ila this one imenirudishia imani, najua we ni mkali since day one.. BONGE MOJA LA NGOMA, Jux pia ameua asee, ngoma flani HAICHOSHI MASIKIONI 🎶🎼✴️👑⚡🔥🌟
VIDEO 🔥...SONG🔥...BEAT🔥... EVERYTHING 🔥. THIS SONG IS BURNING 🔥🔥🔥🔥..... JUX KATOA BONGE LA VOCAL YAANI KAMA ALIKASIRIKA ....MONI PIA KACHANA KAMA ALIKUA NA HASIRA NA MIC YAAANI DUUUH😍. KIZURI CHAJIUZA 🇹🇿. YOU GUYS DID SUCH AN AMAZING AND GREAT JOB. NIMEONA NIKIANDIKA IN SMALL LETTERS NTAKUA SIJAIFANYIA HAKI HII NGOMA YA MOTO.
Ngoma ni Kali kushinda hata *Kamata , Sandakalawe* sema imetoka siku mbayaaa mnooooo Leo Mondi kaachia video kesho Ali kiba anaachia video hii tutaangalia tusiokuwa na timu tu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wooooooza bonge moja LA dude mkulubilanga......nimambo....papaaa....kasumbalesa baba baba watu wana shikia bintu za majengo sokoni wanabeng ki k.........$$$$gringo&@@
Living my life like a billionaire ❤️🔥🙌🏽 Lingala: Nzembo Kitoko French: belle musique Swahili: wimbo Nzuri English: good music Finnish: hyvä musiikki Spanish:buena música Portuguese: boã musica Italian: bella musica 🔥❤️🎶🤗
Kwanza nlikujua kupitia Josh Nkafwatilia mkito kumbe mazish Ni WA Centro haswa hanichosh Sasa collable na wish wakati naishi kwa hii sayari kubwa sio mars Big up @jux one Love central zone
Tunafeli sana centrozone ni wa kumpa tension zote yaan...
MONI Ameuwaa sanaah 🔥🔥Wapi Likes za Centrozone...Love From Mombasa ❤️🇰🇪
Bonge la ngoma! You deserve more attention and SwahiliNation we are here to support you 🤟🏿✌🏿
Swahili nation
Swahilination still around broo
Wanangu wa muleba gonga like za nguvu twende sawa
Hili Bonge La Dude Jamani 💥💥💥 African Boy Umetisha Kinyamaa Harafu Michano Sasa Ni 🔥🔥
Huyu Moni ana hatari huyu..
Moni kama moni hatari mzee nakuaminia
Wanangu toka Dodoma gonga like hapa,
#Walume
Mume..living our life..eeeh
Majengo sokoni to the WORLD 🌍🔥🇹🇿 ila JUX Fundi 🔥👊
Oyooooooooo Mambo Ndio Hayooo
Qumamakeeee Centrezone Umetsha Mbaaaaay Jux Pia Umeuaaa Mbaaaaay....🔥🔥🔥🔥
HII ngoma naisikiliza sana yani nimeikubali iko good any where big job Moni and jux
Home boy we ni mkali kinoma noma 🔥🔥🔥
Nishafanya Mingi now U can’t tell nothin, Mungu na bidii baraka za Wazazi mpka Mkaelewaaa,,, Gonga like Jux, twende sawa 2024.
Ilibidi nihame mkoa ndio nitoke,!!! %usiache KUTABASAMU%
Bonge la Hit, Ngoma imesimama Sana hii
Just creativity and mind over this one. Positive vibe all the way. Big Up to you Champ
tunapotokaa hatu snitch oyaaa mselaa si wenyew watot wa street oyaa mselaa.....Dom town wote twenden🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sauti ya Jux tu 💥💥💥..It's lit. Hiyo ndio imenileta hapa. He just never disappoints. Kazi yake anajua sana. I'm not really a hip hop fan but I like this one. Love that Jux is giving us different vibes this year. The rap is so on point too, so lit
Have some respek for moni too
@@dach_addiction9557 I do, that's why I said the rap is lit.. It's just I didn't know him before, now I do
Sophie howz Kenya?
ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html
Do you know who's moni centrozone😋😍Huyu ndo scar mkadinali wa tz bana
Dah, naeza kukaa kimya lakini nitaidhulumu nafsi, home boy kuna mda niliwahi kuhisi watu wa trap wanakupoteza ila this one imenirudishia imani, najua we ni mkali since day one.. BONGE MOJA LA NGOMA, Jux pia ameua asee, ngoma flani HAICHOSHI MASIKIONI 🎶🎼✴️👑⚡🔥🌟
Mmetisha wazee wa mistari ❤
Moni, moni,moni
Commando hujawahi ni dissapoint ma niga
Boooonge la ngoma! Remix yake muweke na country boy
Omg am in love with this songs ❤💝 this is real tanzanian life!.
Hit song ameongelea ukwel
One of most underrated Rappers!.
Ifike sehemu MONI apewe heshima
VIDEO 🔥...SONG🔥...BEAT🔥... EVERYTHING 🔥. THIS SONG IS BURNING 🔥🔥🔥🔥..... JUX KATOA BONGE LA VOCAL YAANI KAMA ALIKASIRIKA ....MONI PIA KACHANA KAMA ALIKUA NA HASIRA NA MIC YAAANI DUUUH😍.
KIZURI CHAJIUZA 🇹🇿. YOU GUYS DID SUCH AN AMAZING AND GREAT JOB.
NIMEONA NIKIANDIKA IN SMALL LETTERS NTAKUA SIJAIFANYIA HAKI HII NGOMA YA MOTO.
Kulikuwa kuna haja ya kuwaingiza mabantu vers yao mbaya sana
All the way from Central!aisee bonge la ngoma
Ngoma ni Kali kushinda hata *Kamata , Sandakalawe* sema imetoka siku mbayaaa mnooooo Leo Mondi kaachia video kesho Ali kiba anaachia video hii tutaangalia tusiokuwa na timu tu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Rap represented well in Swahili Nations
African boy hawajai kuniangush aswaa kweny chorus
Nakumbali kazii
Hatari Sana 🔥🔥
Ngoma Kali kinyama
Mamaeee yank malume Ngoma Kali kinoma big up bro👍
Noma sana wanyama ndani yá mjengo🔥🔥
Imebidi tu niirudie mara tano haina namna, huu unyama wa humu sio poaaaaaaa
Jux we love yoh vibe.... Mob love from KE💥💥✌✌
Mmetisha sana wakali wango moni sentrozone na juma jux nakubal sana wanang 👊
Malume on this one👍
tukiona ubwabwa wa hitma tunauvamia oyaaaa mlo mmoja wakishua haezi jua iyo kitu
Dom town lets goo🔥
sawa african boy
Ma bruh 💀💀💀
Moni centrozone 🔥🔥
Sasa nishapata ngoma kali za muda wote kutoka kwa moni
la moto
mihela
dodo
na hii 😁😁😁
Just love it💞💞💞🇰🇪
Mkitaja watoto wenu wa trap msitaje jina langu may be the best rapper of all time ndo mtaje jina langu🔥🔥🔥🔥🔥
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Wabangu wa majengo sokoni gongek like hapa twende sawa
Maniga centro🔥
Oyaaaaa moni mwananguu unajuaaaaa mzee mbaya mbovu hili goma bovu sanaa🔥🔥🔥
Chorus killer 🔥🔥🔥🔥
Wanang wa gwasa,,mko pw gusa like tujuane
Appreciate bro moni
Juma Hiyo Chorus Kainyonga Kinyama Sanaaaaaa
That chorus❤️
Umeona eeeeh😜 yaaani Jux kama alikasirika maana siyo kwa vocal hizo yaaani he sang from the heart
Cetrozone huwa akoseagi#watoto down town💥💥🗨
M A L U M E 🔥
Malume
Siwezi fanya wimbo na jux afu niimbie maisha yangu
🇧🇮🇧🇮✅✅✅ félicitations pour cette belle vidéo Brorher 👏🏻👏🏻
Nimekubal huo munganiko ngoma kali jux nimekubali hatar hiyo merod noma
This song is dope 🔥 🔥 🔥
Oya we ngoma kali mamake nashangaa wakina mond wanaimba uchoko halafu wanatrnd kumbe uchaw tu.
I'm living my life🔥🔥🔥🔥🔥
Sema nn ngoma Kali sana japo mie team mond ila kwa dundo hili mmeua mazeee
Deserve FULL RESPECT
Wooooooza bonge moja LA dude mkulubilanga......nimambo....papaaa....kasumbalesa baba baba watu wana shikia bintu za majengo sokoni wanabeng ki k.........$$$$gringo&@@
This Man 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kali jux kauwa moni we mnyama tyu ckupi jina n mnyama gan ila we n animali🔥🔥🔥🔥🔥
Underrated track
Kideo hakichoshi salute malume.👮
It’s all about jux🔥❤️❤️
Toka nianze kukufuatilia moni hii nyimbo umeimba juu ya kiwango unachokiimbaga aisee,Hii ni Bonge la wimbo Brother na Jux ndo🔥
Living my life like a billionaire ❤️🔥🙌🏽
Lingala: Nzembo Kitoko
French: belle musique
Swahili: wimbo Nzuri
English: good music
Finnish: hyvä musiikki
Spanish:buena música
Portuguese: boã musica
Italian: bella musica
🔥❤️🎶🤗
Oi mone ngoma tam sema jux kanimaliza kinoma ngoma kaitendea haki
MAJENGO SOKONI MUSIC
ua-cam.com/channels/04v5XrpoAuZxoMpGuXvIeQ.html
Pure good music sio zile vitu Babalevo uimba 🎤😀😀
Huyu jamaa nilikuw simkubali kwasababu nlikuw simsikiliza siku nilipoanza kumsikiliza hajawah nitokaaa
Kwanza nlikujua kupitia Josh
Nkafwatilia mkito kumbe mazish
Ni WA Centro haswa hanichosh
Sasa collable na wish wakati naishi kwa hii sayari kubwa sio mars
Big up @jux one Love central zone
DUUUUH NGOMA KALI SAAAAAAAAAANA SINA MANENO ZAIDI YA KUPIGA 👏👏👏👏
Tunapotoka hatusinichi 👊👊👊👊
Good work watoto wa knyama likes apaa
Ngoma kali yaan ni nouma 🤟🏽🤟🏽🤟🏽
Monicentralzone hii kitu noma sana
Mwanangu moni centrozon hujawahi niangushaaa
Oyaaaaah hiiiiii ngoma moni aliandka uchiiiiii nn mmmmh atar kwa afyaaaa
Dodoma oyeee
Malume Babaaaaaaaaaaaa hii kila siku inazidi kuwa kali
African boy to the world💥💥💥💥🔥
ua-cam.com/video/0dtdfKEoMuU/v-deo.html
Moni kwenye mistar ujawai feli bigup bro unateleza na mistar ngoma kali sanha
Ila wanangu wa majengo sokoni mpepe mnawasha wazi wazi 🙌🏿
Moni Centrozone ni Moto Mwingine Wajiangalie
always from majengo sokoni dodomyaaaaaa
Chamwino Nkuhungu Gwasa mpaka Itega ... Living my life
Tumeanza huu mwezi na kazi nzuri Sana🙏🙏🙏
Goma kali sana just ongeza sauti ya redio
Ngoma qaliii saana mzeee 🔥🔥🔥🔥#tunapotoka hatuswitch coz ss wenyew watt wakitaa👏👏
Bonge La ngoma hiliiii haipingwiiii
Kmmmmmmkkkkk oiiiiiiiiiiiiii this Joint
Naamnia wana ndugu imeweza kutoka Mombasa kisauni full salute
Moni hupo vizuri napenda sana crank zako
Bonge moja la ngoma